Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu maana unasema unaweza kuzaa mwezi wa Tano sasa na uyo mwandishi au mtunzi wanatokea wapi wakati unatuaminishi kuwa story ya kweli story nzuri ila kuwa makini kama uongo tuweke kwenye uongo kama kweli tupeleke kwenye ukweli mungu akubaliki Kwa story nzuri🙏🙏🙏🙏🙏🕌🕌⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪
Stori yako imeniingi vyema kabisa kikubwa t Mimi kama Mimi naombea mungu penzi lenu wewe na saiboge lipate kudumiu da ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwamba saiboge umepambana kweli onera zako
Dah! ebwana jamaa amepambana sana hadi kukupata ila amenikumbusha mbali sana kipindi nilivyokuwa namtongoza mama watoto wangu coz nae alikuwa msumbufu sana, hakika mungu hawasimamie ktk maisha yenu ya ndoa....😘😘😘
Jamaa ni kama harmonize vile yeye huwa hapendi kukatishwa tamaa na chochote kitu hasa linapokuja suala la mapenzi....ilove the story pia hongera sana kwa usimulizi mzuri uliojaa mvuto na hisia ya kuvutia
Nashukuru San simurizi nzuri San nimejifunza Ving namie nikimupata my Wang nitamupenda San na nitamuahidi Sito musarit mungu awe nanyi na awashushie watoto Asante sn shemu musarimie brath
Dunian kuna fumbo mshukuru mungu kukupa saibogi mwamba anae jitambua na kujua dhamani ya make nn kwa bora kukosea vyote sio kuoa au kuolewa hogera sana mungu awabariki❤❤❤❤❤😁😁😁😁😁🤝🤝🤝
Mapenzi ni popote, ni jinsi ya uvumilivu wako na kujikaza tu pale mwanamke anavyo ku puuza, Your the best, unajua kusimulia kamama, Hongera sana. keep it up,
Wanaume tunapitia changamoto kubwa Sana kwenye maisha, hasa suala zima la mahusiano kumbadilisha mtu asiekupenda mpaka akupende so Kaz lahis na migogoro yote iliyotokea Ila jamaa kashikilia msimamo wake ama kwel TRUE LOVE 💞💓NEVER DIE💔. hongera kwa mhuni kapambana kwakwel saibog .
Natamani sana mtu Fulani angelisikiliza simulizi huu angalau angeweza kuelewa hisia zangu na mm ,,naumia nateseka kwa sababu ya vnye nampenda..... nampenda sana uyo mdada
Hakika story na simuliz yako ni nzr sana kuna wakati tunakuwaga na hisia na watu flan lakn kulingana na hazi tulizonazo tunaamua kuzikatiri hisia hizo tunamshukru Kelvin kwa kuwa muwazi juu yq hisia zake kwako .ujumbe au funzo la story nililopata ni kwamba usiogope kufanya kitu kwa kuhofia hali uliyonayo hasa suala la mahusiano ni kujitahidi kuwa na mahisiano mazr na ishawishi mzr kwa asiyekupenda ili akupende zaidi ya ulivyozan ww
Ahsante sana kwakweli nina kila sababu kukupa hongera msimulizi wa stori hii tamu sana yan sjapata kuskia stori tamu maisha yangu zaidi ya hii ulosimulia wewe❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝 kila la kheri
Umesema hujajifungua ila unataraji mwakani utapata mtoto maana yake ulicho simulia ni kweli,, sasa ukasema mtunzi na msimuliaji,, hapo ndio umenichanya,, hiki kisa ni utunzi wako ama uandishi,, kwanza tuanzie hapo kisha ndio tujue mapenzi ni nini
@@ramadhanmassawe-m6t oooh,, sasa kama hivyo ndivyo badi asiseme mtunzi nadala yake aseme msimuliaji wako ni...... kwasababu si hadithi za kutunga ila ni jambo lililotokea,, hivyo yeye amesimulia siyo ametunga 😂😂😂
Wajua penzi ni kutoka moyoni haijalishi maskini au tajiri mzuri au mbaya Yani ni nidhamu na upendo ndio kichofanya mushi mungu awajalie maisha marefu hata Mimi nilipenda mwanamke na nikapata nae watoto wawili sijahi maisha I penda mwanamke kisa anapesa au mzuri au ana hipsi uko si kupenda huko ni kutamani kupenda unapo kimoja to
Woww nimeipenda simulizi ya kwako Allah aendelee kuwalinda na kizazi chenu Inshaallah❤
Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu maana unasema unaweza kuzaa mwezi wa Tano sasa na uyo mwandishi au mtunzi wanatokea wapi wakati unatuaminishi kuwa story ya kweli story nzuri ila kuwa makini kama uongo tuweke kwenye uongo kama kweli tupeleke kwenye ukweli mungu akubaliki Kwa story nzuri🙏🙏🙏🙏🙏🕌🕌⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪
Stori yako imeniingi vyema kabisa kikubwa t Mimi kama Mimi naombea mungu penzi lenu wewe na saiboge lipate kudumiu da ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwamba saiboge umepambana kweli onera zako
Saibongi(saibogi🤦♀️) bwanaaaa 😀😀😀😀asante ❤❤❤❤❤
Mapenz hayana mdhamana mdhana moyo wako ❤ kwhy ukitokea kumpenda mtu umependa kwel❤❤
Story nzuri za mapenzi
Wow 👌 simulizi ni mzuri sana nimemiss sana❤
Dah! ebwana jamaa amepambana sana hadi kukupata ila amenikumbusha mbali sana kipindi nilivyokuwa namtongoza mama watoto wangu coz nae alikuwa msumbufu sana, hakika mungu hawasimamie ktk maisha yenu ya ndoa....😘😘😘
Alikuangaish ety😂😂😂
Yeah! 😁😁😁
❤❤❤❤ stor imevutia sana pia umeeleza vizuri kweli mdada❤❤❤ pamoja sana kama vile nawaona mlivyo kulana
🤣🤣
Wallah nakupenda wee dada kutoka moyoni
Love you too muna
❤❤❤❤masha Allah kabisa nime enjoy wallah hadi nasisimka
😂
Ww unaionaje
Hongera ila na mm kunam2 nampenda je nifanye Kama alivyo kufanyia carven
Ubarikiwe sana Kwa sorry nzuri,
Naomba muokoke
Kwanza hongera sana dada kwa kuona kuwa mapenzi hayangalii rangi kabila wala cheo cha mtu hisia nimuhimili mkubwa sna wa maisha nimekufahmu sna
O
Mapenzi nikitu cha ajabu kweli,unachagua shule kazi na hata sehemu zakuishi ila tumeshindwa kabisa kuchagua wakumpenda 😘😘
wauni mmeona iyo
Mungu awatangulie katika maisha yenu
@@IsOmari-o1o😅😅😊😊😅 0:21
@@IsOmari-o1o ekiss
kwani shule, kazi na mahali pa kuishi hzo sehemu zinaongea au
Yan wewe dada mda wote naku miss jaman napenda san simuliz❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️nimeipenda sana mapenzi nikama tindikali yakokuangukia yanaharibu hisia zako za kale zote unajikuta ushapenda huwazi kuacha tena
🎉😅😂❤
❤❤❤❤❤❤❤😂😅❤❤
Nimejifunza ❤uvumilivu ❤
Muhuni akipenda anapenda kweli ❤❤❤❤
Jamaa ni kama harmonize vile yeye huwa hapendi kukatishwa tamaa na chochote kitu hasa linapokuja suala la mapenzi....ilove the story pia hongera sana kwa usimulizi mzuri uliojaa mvuto na hisia ya kuvutia
❤ naipenda sana sauti yako kwasbb unajuwa kusimulia halaf unasauti nzuri ya mvuto kwaiyo ningeomba simuliz zote usimulie wewe
Oyaa
I like❤😂😂😂nimeipenda sana story yako🎉
❤❤❤❤wallah kweli penzi niopofu na Wala kwenye penzi hakuna ushaur nmeipenda nasa hii simulizi
❤❤❤❤mapenzi kma maua
Nakupa hongera kwa ushunjaa wako wa kumpenda jambazi mungu awape nguvu mpendane milele
Nimependa Sana simlizi hii japokuwa sijawahi kuingia kwenye mahusiano mungu akutangulie ujifungue salama salimini dada yangu
Asante sana kwa hadithi izuri
❤❤❤❤❤Simulizi iko vizuri sana mmejuwa kuipangilia ongeren🎉🎉🎉🎉🎉
Ameena Ameena mambo
Jamanii story nzurii sanaa❤😍😍😍😍😍😘👌👌👌👌❤
Nashukuru San simurizi nzuri San nimejifunza Ving namie nikimupata my Wang nitamupenda San na nitamuahidi Sito musarit mungu awe nanyi na awashushie watoto Asante sn shemu musarimie brath
Nimejifunza mengi kupitia hii simulizi mana inastory nzuri na yenye kufunza katika maisha ya mapenz 😍 i like it😍
Tunatakiwa kujifunza kwa hili naomba sna tujifunze na kujali maisha ya wale ambao waliongoza ktk majanga kama hyo ya ulevi
aisee mapenzi kweli ni mambo moto
Dunian kuna fumbo mshukuru mungu kukupa saibogi mwamba anae jitambua na kujua dhamani ya make nn kwa bora kukosea vyote sio kuoa au kuolewa hogera sana mungu awabariki❤❤❤❤❤😁😁😁😁😁🤝🤝🤝
Upendo wa kwel kabisa ndivo ilivyo ukimpat anae kupnda kwel ila dah muishi daima..MUHUNI KAPENDA❤❤❤
Dah pole kamanda umepitia mtihani mgumu sana mungu amekusaidia
Mapenzi ni popote, ni jinsi ya uvumilivu wako na kujikaza tu pale mwanamke anavyo ku puuza,
Your the best, unajua kusimulia kamama, Hongera sana. keep it up,
Hongera sana
Mapenzi ni tunda au kitu roho inapenda malikiaaa❤🎉 achakabisa.
Nakupendaga sana we dada
Mie pia Nakupenda Sauda
Wanaume tunapitia changamoto kubwa Sana kwenye maisha, hasa suala zima la mahusiano kumbadilisha mtu asiekupenda mpaka akupende so Kaz lahis na migogoro yote iliyotokea Ila jamaa kashikilia msimamo wake ama kwel TRUE LOVE 💞💓NEVER DIE💔. hongera kwa mhuni kapambana kwakwel saibog .
Yeah ni kwel kabxaa yaan😊😊
Natamani sana mtu Fulani angelisikiliza simulizi huu angalau angeweza kuelewa hisia zangu na mm ,,naumia nateseka kwa sababu ya vnye nampenda..... nampenda sana uyo mdada
Aiseee dada yang mm sina hata rakuongea ila nimejifunza mengi sana ubalikiw sana nime injoy
Jamn hay mapenzi❤❤❤❤❤❤
My siset wew ni.mwanamke sabite sasa mimi sina mengi mungu akubaki san ten.san ujifungue salam uwe kam mke na heshima zake
Kongore kwenu so ❤❤❤❤ hatar na nusu
THE POWER OF LOVE💖
Simuliz n tam jmn n imenifundish ktyu kikubwa San congratulations
STORY MZURI SANA 🌹❤👏🙏🇹🇿🇬🇷⛴⚓
Mapenzi ayana rangi wala kabila mungu akubaliki ujifunguwe salama
Kwaiyo ii.simulizi ni truu stori au vipi dada nakam ni kweli hongera Sana kwa kumpata mweza wako
Daaaah asanteh kwa simulizi
Nace simulizi nimependa kwl na imenijenga kinamna furani I love it ❤️❤️
Hogera sana nimeierewa sana simerizi hii hero waooooo
Story nzuri kabisa 🎊❤️🇨🇩✌️
history zuri kabisa, acha Mungu azidi kukupa ukingo wakutosha ili uje kujifungua kwa usalama
❤❤❤❤❤❤❤ nimekubali mapenzi ni shule
Mungu akubali dada umenifunza kitu
❤❤❤❤
Love story nmeipenda
Mungu awalinde na penzi lenu lizindi kubarikiwa
Nimeipenda sana❤
Hii story ime nifunza mwana mke au mwanaume mwenzio anavo kwambia neno nakupenda jalibu kuli fikili kamaanisha nn yn kiufup daah ni story tam xaan❤❤❤❤
Ki ukweli nimeipenda Sana hii hadithi big up
Hakika story na simuliz yako ni nzr sana kuna wakati tunakuwaga na hisia na watu flan lakn kulingana na hazi tulizonazo tunaamua kuzikatiri hisia hizo tunamshukru Kelvin kwa kuwa muwazi juu yq hisia zake kwako .ujumbe au funzo la story nililopata ni kwamba usiogope kufanya kitu kwa kuhofia hali uliyonayo hasa suala la mahusiano ni kujitahidi kuwa na mahisiano mazr na ishawishi mzr kwa asiyekupenda ili akupende zaidi ya ulivyozan ww
Nimeipenda sn hii story maana inamaanisha❤🎉
Nakuombea kw mungu kwanza ujifungue salama na mungu ampe uwezo wa kuiwacha bange
Ongera mrembo ❤❤❤❤❤❤ kama poris wote wsngekuwa kama wewe tusingebaki na vibaka mtaani atammojaa😊😊😊❤❤❤❤
Nice storry be blessed
Mungu awajaharie mje kua wazazi bora 🙏
This stry is so nic n qwa akika hii stry hinasema wacha kudharau mtu mungu hubadilisha kila kitu qwa wakti wake ham njia yake
The story is so lomantic
Napenda kisaut chako
Story imeniingia sana ila penzi ni fumbo ambalo kulifumbuwa kwake kazi, sawa na kusema in the impossible there is a possible
Umetisha dada❤❤❤
Bonge lastor iseeee congraturation
Dah historia nzur sanaa
Kweli mapenz ayachagui nimejifunza pia asante
Simulizi hii nmemkubali sana kelvin kwa kubadilika, na bangi pia ninauwakika ataacha kuvuta....
Nimeipenda mno, mapenzi hayachagui
❤️❤️ mapenzi ya kweli
Nakobali sana mapezi onapenda popote palé
Muhun akipenda ana penda kweli ana mbamba❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe na ujifungue salama
Mapenzi Konyoo ❤😂😂
Napenda sana kusikiliza story asante sana
Aisee story nzur sana inafunza yan v2 vingi yan uzimzarau m2 kabsa
Ahsante sana kwakweli nina kila sababu kukupa hongera msimulizi wa stori hii tamu sana yan sjapata kuskia stori tamu maisha yangu zaidi ya hii ulosimulia wewe❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝 kila la kheri
Ubarikiwe sana afande mapemzi ni kitu Cha ajabu sana nimefurahia mapemzi wenu
Dah kwel
nime hipenda sana ❤❤❤❤🎉
Kweli Asante sana kwaiyi adisi
Mapenzi haya chagui wala hakna mwalimu wamapenzi
Simulizi nzur sna❤
Jini kisirani❤
Nimependa sanaaaaa
Umesema hujajifungua ila unataraji mwakani utapata mtoto maana yake ulicho simulia ni kweli,, sasa ukasema mtunzi na msimuliaji,, hapo ndio umenichanya,, hiki kisa ni utunzi wako ama uandishi,, kwanza tuanzie hapo kisha ndio tujue mapenzi ni nini
Yey kapewa stor asimulie na muusika maana muusika awez kusimulia kwaiyo iyo ndo kazi inayomweka mjin
@@ramadhanmassawe-m6t oooh,, sasa kama hivyo ndivyo badi asiseme mtunzi nadala yake aseme msimuliaji wako ni...... kwasababu si hadithi za kutunga ila ni jambo lililotokea,, hivyo yeye amesimulia siyo ametunga 😂😂😂
Nice usmhukm MTU pia tafkari kabla yakutenda
Mungu awabarik milele..❤❤
❤kwel mapenz ni safar ndef
Wajua penzi ni kutoka moyoni haijalishi maskini au tajiri mzuri au mbaya Yani ni nidhamu na upendo ndio kichofanya mushi mungu awajalie maisha marefu hata Mimi nilipenda mwanamke na nikapata nae watoto wawili sijahi maisha I penda mwanamke kisa anapesa au mzuri au ana hipsi uko si kupenda huko ni kutamani kupenda unapo kimoja to
😂😂 nimecheka apo mwisho..et nisamehe nilikukenga na jiwe❤❤
Uvumiliv hu0 nd0 una0takiwa mom ❤❤
Good San nimependa story Yako mazi
Wanangu ambao tupo upande wa saibog tujuane hap🔥🔥🔥
👍
Saibogi ameonesha ushujaaa wake apo
Balaa