Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

YANGA YAMPONZA KOCHA WA MAMELODI |SIMBA KUBADILI GIA ANGANI NI KITU CHA KITOTO|DIARA ANACHEZA AHLY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • Usisahau ku subscribe UA-cam channel ili kuwa mwanafamilia wa Bongo Fm.
    #simbafans #nbcsports #timuyawananchi
    #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #simbasc

КОМЕНТАРІ • 7

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm Місяць тому

    Uongo kwan chama ana nn kiukweli mm nilipenda club ya simba kwaajili ya chama alikuwa mchezaji niliokuwa nafurahi sana nikimwaangalia akicheza Ila nilikuja kumchukia sana chama kila misimu yeye anatoa vitisho migomo anawagomea makocha anajisikia kiukweli hongeren sana simba kwa kuona chama ni mchezaji kama mchezaji mwingine acha aeende mungu ndo mtoa vipaji atakuja mwingine mzuri zaidi yake kuna wengi walio ondo wazuri zaidi

  • @chng1990
    @chng1990 Місяць тому

    Ata wasipomuanga Chama tunaye na tunatamba naye

  • @frankiemissingo1925
    @frankiemissingo1925 Місяць тому +1

    wewe ulivyomgonjwa mchezaji walikuwa naye u blame yanga 4 wat ,as walijua mkataba ukifika 6 mnhts kubaki anaruhusiwa kuongea na timu nyingine.

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm Місяць тому

    Unajua ukiwa na kipaji usiwe na majivuno sana utaishia pabaya mno ukitaka kuheshimiwa onyesha kipaji chako kwa kufanya kaz na kutojiona wewe ni bora kuliko wengine safi simba

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr Місяць тому

    SAWA hata kama alishasaini YANGA SASA matusi Kwa CHAMA ni ya NN ? CHAMA aliwahi kuwatukana ? Wanadai eti CHAMA alikuwa anawahujumu ...haya MANENO yanamliza CHAMA aamini kabisa kabisa kama hayo maneno kweli yanatoka Kwa watu wa Simba...CHAMA aamini kabisa kabisa mpaka alipoangalia MITANDAONI ...Ogopeni MTU kama CHAMA atoe chozi lake lidondoke alidhini Simba awawezi kubaki salama

  • @frankiemissingo1925
    @frankiemissingo1925 Місяць тому

    wewe why unawasemea simba ongelea lililopo ninyi waandishi kwanini hamuwezi kujificha kiuadirifu what a u defending.

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 Місяць тому

    Uchambuz wa hovyo kweli, yaani mchezaji aseme amesaidi sehemu nyingine wakati anamaliza nao mkataba.