RAIS SAMIA AMGEUKIA NAPE - "MWANAUME ANAMBUSU MWANAUME, WIZARA HAMCHUJI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 273

  • @أبوعبداللهراشدمحمدناصرراشد

    Asante Mama hao wasanii wanao ambiwa nikio cha jamii ni kiuo cha kutangaza zinaa, Wasanii wote wa kitanzania wanatembea uchu wanatunyanyasa kijinsia wanaume

    • @nassornurdin1290
      @nassornurdin1290 2 роки тому

      Wasanii wanao ambiwa kuoo cha jamii nikituko kwajamii..msanii m1 ana wanawake 34..anawanaume 30..anavaa uchi anaelimisha nini..mwisho hadi dada zetu wanavaankisanii kukaa uchi ni fashen..kwao tungeni sheria hadi move zao zavitandani zisiwepo.

    • @JimmyWilliam-mf4of
      @JimmyWilliam-mf4of 7 місяців тому

      Kama ulikuwepo

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 роки тому +12

    Asante sana mheshimiwa mama👏👏👏 hili la kutembea nusu kuvaa limeenea sana...hasa wasanii ambao wanaitwa kioo cha jamii...ila mama hujaongelea hizi nyimbo za sasa! Ni matukano nje nje!!!! Hili waziri ajiongeze.

  • @mussayasini4130
    @mussayasini4130 2 роки тому +5

    Asante Mama wambie hao wanaojifanya wamagharibi hasa watoto wa mwaka kuanzia tisini kwenda mbele ndo wamekuwa tabu na maabara duniani waziri anatakiwa asimamie yote hayo kama anaogopa kusemwa na ushikaji akae pembeni nafasi apewe mwingine maadili hakuna kama alivyosema hao dada zetu huko mitaandaoni na hao baadhi ya mabraza men tabia mhh

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 роки тому

      Duuu msituchambe sana jaman nass tunaokaribia 2000 huko

  • @japhethgeriad4519
    @japhethgeriad4519 2 роки тому +20

    KATIKA HILI, BWANA AKUBARIKI SANA, YOU'VE SPOKEN A VERY IMPORTANT MATTER MADAM PRESIDENT, KATIKA HILI UMEUPIGA MWINGI..✌✊😊

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 7 місяців тому

    Thanks to our Queen 🎉 The new Tanzanians strong President ever for by myself as ordinary citizen deeply i love you my mom ❤ Tanzania 🇹🇿

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 2 роки тому +1

    Ahsante sana Rais wetu kwa hilo. Kadhalika hilo inabidi iwaguse hata wasanii ambao baadhi yao wamevuka mipaka Ni aibu tupu ujumbe wanaoutoa na vitendo vyao kwa ujumla. Naamini kwa hali ilivyo kizazi chetu kinachokuja kitaweza kuharibika sana. Matokeo hayo yatajitokeza miaka ijayo.Hili naomba tulitazame ni ushauri tu.

  • @andreamndeme1539
    @andreamndeme1539 2 роки тому +23

    MAMA LA MAMA HEBU UNDENI HIZO SHERIAAAAA WASHUGHULIKIWE MAPEMAAAAA ,,

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 2 роки тому +18

    MAGUFULI ALIPOWATUMBUA HAKUWA MJINGA ndio maana WATANZANIA kamwe piga uwa hawatamsahau kwakuwa alikuwa ni chaguo la MUNGU kwa WATANZANIA sasa hiyo ndio faida ya UHURU WA HABARI 🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️ naona kwa mbali MAGUFULI UMOJA PATI ni shiiidaaaa ya DUNIA shikamooo ndugu Pole Pole

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому

      Chaguo la Mungu anakua na kibali kwa Mungu na kwa wanadamu maana kwa USHINDI wa kura halali Mungu hujidhihirisha ndio Mana twasona hekima ya Suleman, lkn siku hizi ndizo Suleman alisema kaona ajabu juu ya ichi kuona watumwa wamepanda farasi na hali wafalme wanatembea kwa miguu

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому +1

      Usisemee mioyo ya watu sama kwaajiliyako usie msahau,pia tumia busara kufikiri hata mtu Alie umwa na nyoka humkumbuka yule nyoka kwaajili ya ule mkasa na balaa, ila aliekula kuku siku ya krismas humkumbuka aliempa kuku ila sio kwa Sana maana ubaya unavuma kuliko wema, ndio maana polisi hapendwi na mwizi ispokua pale anapomuokoa mikononi mwa wanainchi wenyehasira,

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 роки тому +1

      Naona umeandika uharo wa bata mwanzo mwisho 🤣🤣🏃🏃

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 2 роки тому +6

    Hongera Rais wetu, kwa mungu hilo umelisemea na tunasubir lifanyiwe kazi, ili jukumu uliepuke

  • @gracebecky6592
    @gracebecky6592 2 роки тому +16

    Thank God there's someone aware of what the devil is planning against our children asante Rais wetu am a happy woman

    • @salma-gf8ek
      @salma-gf8ek 2 роки тому

      Kweli kabisa wanawake tunajizalilidha

  • @obrienwejuli4804
    @obrienwejuli4804 2 роки тому +6

    President of Tanzania, you are very relevant and very educational to all regional countries and I Must say that you are leading in showing the way to our future leaders keep it up President

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому +25

    MAMA MLEZI
    HONGERA KWA KUYAONA HAYO
    HALI NI NZITO MITANDAOONI!!

  • @aldeamasuki6196
    @aldeamasuki6196 2 роки тому +1

    Hongera mama kwa kuziona hizo picha za utupu zimetuchosha sana tunaomba washuhulikiwe

  • @dennisisrael2187
    @dennisisrael2187 2 роки тому +4

    Hapa Ni kweli Mama umesema 🙏🏽

  • @dariusmutalemwa1491
    @dariusmutalemwa1491 2 роки тому

    Mama Mungu ambaliki sana

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 роки тому +1

    Asante Mama kwa kukea hilo. Kuna mambo ya aibu mitandaoni. Tusisahau jadi na mila zetu. God bless you always. Tunakupenda.

    • @usalamaedward1189
      @usalamaedward1189 2 роки тому

      Sio cartoons peke au watu kuweka picha za utupu kwenye mitandao ya kijamii hata nyimbo za siku hizi wanatukana sana

  • @jumamwete1600
    @jumamwete1600 2 роки тому +4

    Mashaa Allah hutuba nzuri yenye ukweli halisia

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 роки тому +1

    Asante mheshimiwa umenena vema

  • @derickbenedicto7435
    @derickbenedicto7435 2 роки тому

    Fantastic

  • @far_hard1301
    @far_hard1301 2 роки тому

    Uko sawa rais wetu

  • @MaryamAziz-q7t
    @MaryamAziz-q7t Місяць тому

    Mama asante sana tumechoka na picha chafu mtandaoni hebu wekeni sheria

  • @hasheryhermas6653
    @hasheryhermas6653 2 роки тому

    Hakika Rais wetu.

  • @pinkertontv5735
    @pinkertontv5735 2 роки тому

    Bei kupanda huoni, ila kubusiana f asta unaona🙌🙌 unapoteza mvuto hizo story waachie vijiweni.

  • @miriamcheya3136
    @miriamcheya3136 2 роки тому +9

    Safi sana mama yangu na picha za mashoga tumezichaka mama piga marufuku mashetani hao

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 роки тому +1

    Mama mlezi bigup mama

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 7 місяців тому

    Ubarikiwe Mheshimiwa Raisi sio katuni tu mama hata watu woamo Mungu Tusaidie sijui tufiche wapi watoto it pains Ahsante

  • @shabanibumbo5774
    @shabanibumbo5774 2 роки тому

    mama katika siku omeongea vitu vya maana ni leo maana mimi mwenyew nasikia vibaya sana kuona maadil yana momonyoka kazia sana hilo mungu atakuingiza peponi inshallah

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 роки тому +9

    Rais wangu ongera sana tena sema tena sema sana wamezidi jamani. NI OVYO OVYO.

  • @Nzumbsitta
    @Nzumbsitta 2 місяці тому +1

    Mama samiah piga khazi

  • @mwitajoseph5003
    @mwitajoseph5003 2 роки тому +1

    Asante mama umeongea vizuri sana

  • @gamap2023
    @gamap2023 11 місяців тому

    Hapo Raisi wangu umetetea maadili ya MUNGU kabisa, tunakuombea Mkuu wetu wa nchi, Bwana asimame nawe daima

  • @bhmwamkinga4203
    @bhmwamkinga4203 2 роки тому

    Asante kwa hilo

  • @abdallaabeid4251
    @abdallaabeid4251 2 роки тому

    Very good point!

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому

    well well well.Mungu akubariki kwa kuliona hili mama

  • @charlesmasese6342
    @charlesmasese6342 2 роки тому +10

    Huyu Raise ni mzazi kwelikweli tumuunge mkono watanzania

  • @brotherblack6531
    @brotherblack6531 2 роки тому

    Mama mavazi pia hawa wabadilishe asante sana asalaam alaykum

  • @masoudidadi7369
    @masoudidadi7369 2 роки тому

    Safi sana rais wetu

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 2 роки тому

    Shukrani umeongea ukweli.
    Pia zipo groups za WhatsApp na nyinginezo zilizoanzishwa ambazo zinakiuka maadili zifungiwe zinapotosha jamii.

  • @uwezatunuhalisi426
    @uwezatunuhalisi426 2 роки тому +1

    Sina cha kusema Samia big up ningalikuwa na uwezo libidi nikupe zawadi ila MUNGU BABA aendelee kukufungua usafishe madudu yote katika Taifa hili

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 роки тому +12

    Madam President kunywa Maziwa fresh ya moto kikombe kimoja na vitafunwa (sambusa 1& chapati 1) ntalipa.

  • @ramadhanramadhan3698
    @ramadhanramadhan3698 2 роки тому +7

    Well said madam President. Kizazi chetu kipo katika hatari kubwa kutokana na ukuaji wa media holela bila udhibiti.

  • @ghuheni
    @ghuheni Рік тому

    Big up Our President May the LORD be with you.

  • @Bosskubwah4501
    @Bosskubwah4501 2 роки тому

    Hakuna Dini inayosema uhuru WA kuvaa ila YA ni ya SHETANI
    Kama BAADHI YA WASANII WA BONGO FLEVA NA BONGO MUVI wanatukalia UCHI UCHI this is TANZANIA watu na MAADILI YAO hizo POST ZA UCHI NA NYIMBO ZA MATUSI ni uwakala WA SHETANI(illuminate)
    Shukran MAMA LA MAMA

  • @haithamyahya6722
    @haithamyahya6722 2 роки тому

    Big up

  • @romanakipanga6113
    @romanakipanga6113 2 роки тому

    Asante Sana Mheshimiwa Rais your real mother apart from Being a president,hasa watoto wakike wamezidi kujiweka uchi mitaoni na mengine mengi ni kweli waliemishwe na wakirudia washughulikiwe.

  • @neemakilingo8282
    @neemakilingo8282 2 роки тому

    Hapa nimeanza kukupenda mama kwa Hilo Ubarikiwe

  • @jojianaskibura3190
    @jojianaskibura3190 2 роки тому

    Wasanii wanacheza utupu na mwingine anainama hali uchi, tunawekewa kwenye mabasi , aibu aibu kweli kweli, tunahitaji mabadiriko. Kila basi wanaweka unashindwa kusafiri kwa raha.
    Asante Rais wetu tusaidie

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 2 роки тому

    Thanks mama God bless you

    • @CharlesMisungwi-f8t
      @CharlesMisungwi-f8t Рік тому

      Siyo makatuni ya watototu nipamoja nawale wachungaji wenyekudhalilishawanawake ndani yayalewanayoyaita makanisa .Serikalipia isisajiri auyapigwe marufuku .Shidani.nini? wakati serikali inamkono murefu auhao hawaharibu jamii hatakamani uhuruwakuabudu.lakiniwanavunjasanasheria naudhalilishaji wa utu hasajinsia yakike.

  • @badrudiniabdulmpakate2014
    @badrudiniabdulmpakate2014 2 роки тому

    Hongera Mama.

  • @amanifabien1791
    @amanifabien1791 2 роки тому

    Kabisa mama anasema safi

  • @ndongeyejackobo4059
    @ndongeyejackobo4059 2 роки тому

    Excellent

  • @Bise270
    @Bise270 2 роки тому +1

    Leo Mhe rais ameongea point sana,inabidi tuamke na tuache kuyafumbia macho masuala kama haya hili tuweze kunusuru vizazi vyetu vijavyo visikute jamii iliyovurugwa kupita hii.maana hali inatisha sana huko mitandaoni.

  • @omaryramdhani9823
    @omaryramdhani9823 Рік тому

    ليس لها من دون الله كاشفة اللهم بحق هذه الآية الشريفة وما حوته من الأسرار المنيفة أن تصرف عن رئيسنا سمع بنت صلح شر الحساد و الظالمين والموذين والساحرين والباغين والسارقين وكل من كادها بالسوء من الجن و الشياطين والانس اللهم اردد كيدهم في نحورهم اللهم اشغلهم بشاغل لا يستطيعون رده اللهم شتت شملهم اللهم مزق جمعهم اللهم فل حدهم اللهم قل عددهم اللهم ارسل العذاب إليهم اللهم اقتلهم يارب العالمين و صلى الله على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم

  • @mtahogarashid8488
    @mtahogarashid8488 2 роки тому

    Hapo safi kabsa wanakera sana

  • @arnoldvictor8763
    @arnoldvictor8763 Рік тому

    Hapo Rais UNENENA! Wizara iliondoe taifa kwenye huo upuuzi wa kimagharibi!

  • @neelamvithlani3040
    @neelamvithlani3040 2 роки тому

    very true

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 роки тому

    Eeee mama hiyo Sheria ije haraka my raise be blessed

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 2 роки тому

    Sijaona kiongozi hodari kama mama Samia. Mola akulinde.

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 2 роки тому

    Upo sawa mama.

  • @mussahaji905
    @mussahaji905 2 роки тому

    Safi sana

  • @marianasumari3415
    @marianasumari3415 Рік тому

    🙏

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 роки тому

    Kwahili hongera sana rais

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому

    Kusema kweli mneno hayo ni sahihi hakuna mtu atakubali kwa dada yake wala kwa mama yake wala kua mtoto wake mambo ya uchafu NA hiyo ni deni utailipa kwa famili yako ukifanza utafanzwa ndani ya chumba yako ya kulala NA usisahau kwamba mungu alihatamisha zina lazima kwa njia ya ndoa halali itakuja siku utalea watoto sio wako

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 2 роки тому +1

    Mama tunakupenda ila hapo ndipo unapo feli kwa hizo bembeleza bembeleza zako. Mtu kazi kaishindwa fukuza acha yahe yahe hizo zinakuharibia serikali yako. Kwa Dunia ya Sasa kumkabidhi mwanasiasa wizara ya habari ni kuhatarisha mustakabali wa Taifa. Hizo wizara Dunia hii ya utandawazi zipo chini ya majeshi. Na si majeshi tu bali intelligent military personnel. Tuamke 😔

  • @rajabujisena5689
    @rajabujisena5689 2 роки тому

    Hongela mama umenikumbusha enzi za baba magufuri unwell ndo msinngi wataifa letu

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 2 роки тому

    Mama safi sana waanze na wasanii wanaokaa na kuziba kati kuachia mapaja nnje

  • @beatricenmarwa9745
    @beatricenmarwa9745 2 роки тому

    Ubarikiwe mama kutetea utu na heshima yetu.

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 2 роки тому

    Mama akee, nakupendaga bureee

  • @abubakariomari4660
    @abubakariomari4660 2 роки тому

    Nikweli mama, hili nijanga la kitaifa hadi kwa baadhi ya watumishi, jambo hili limepelekea kukosekana haya, kwa Wana wake, na kuathirika kisaikolojia kwa wanaume upande wa kutamani kwani kila siku wanao an watu wakiwa wamevaa lkn uchi, Hawa wasanii sio vioo vya jamii Bali ni vyoo vya jamii. Wachafuzi WAKUBWA.

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 роки тому +2

    Mheshimiwa Rais hili la maadili kila mmoja atakuunga mkono.
    Viangaliwe mpaka uimbaji wa nyimbo za wasanii

    • @kanoa645
      @kanoa645 2 роки тому

      Ndo maana akasema yako mengi nadhani Ni pamoja na hayo

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 роки тому

    Unakuta wimbo unapigwa lbd ndani ya basi au movie
    (iwe ya ki Tz au nje) inaoneshwa ndani ya basi, uko na familia mnasafiri!!😭 wasanii hao waonywe...hawa wa kwetu..au ikibidi wafungiweeee... wanatuharibia watoto mchana kweupeee!!
    Na hawa wa kwenye mabasi waonywe..🙏🙏

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 роки тому

      Filamu Zina Namba na hizo Namba Zina maana.. zipo zinazofaa kuoneshwa kwa watu wa umri huu au ule, mf..Kuna miaka chini ya 12 wanaweza kuona, miaka chini ya 15, miaka chini ya 18, zaidi ya 18, na filamu zenye kuogofya hata ukiwa mkongwe zinaogopesha Kama matukio ya mauaji, Zinaa. Muhimu Ni kujua na kutii Sheria.

  • @evancemakusa7474
    @evancemakusa7474 2 роки тому

    Point

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 2 роки тому

    MAMA HAPO SASA NAANZA KUKUELEWA HAYA MAMBO NDIO TULIYAMISS HAYA. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA.

  • @kondeboyjeshi3514
    @kondeboyjeshi3514 2 роки тому

    Hapo umeongea la maana sana mama samia

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 Рік тому

    Nikweli waandishi wa habari hata nyingi mna familia na msingependa yatatokee kwenu basi tumuungane kupinga ujinga huu tubaki na tamaduni zetu kwa faida ya vizazi vyetu

  • @marthabura2266
    @marthabura2266 2 роки тому

    Hongera mama umepiga mwingi

  • @rebecaisemi8349
    @rebecaisemi8349 2 роки тому

    Piga marufuku vitu kama hivyoo havifaii kabisa kwenye nchi zetu hiyo sio asilia yetu asante sana mama kuyakataa hayo

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 2 роки тому +1

    Umeongea sawa mpaka mimi nimekuelewa .

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 2 роки тому

    Kweli.kabisa mama

  • @devidluhaga5514
    @devidluhaga5514 2 роки тому

    Maamaa ukienda huko kurayangu miaka mia niyako

  • @KituMelaupeshuti
    @KituMelaupeshuti 9 місяців тому

    Kweli mama washuhulikie mama wetu

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 2 роки тому

    %100 Mama

  • @oscarlinus1545
    @oscarlinus1545 2 роки тому

    Good president

  • @hasanoorashid628
    @hasanoorashid628 2 роки тому

    N kweri kabisa mama angu nakuunga mkono

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 Рік тому

    Mama anaumia sana juu ya hili ila TCRA hatuoni na kuliweka sawa? Ebu ingieni mtandaoni na mziondoe tubaki salama.

  • @murtallamohammed381
    @murtallamohammed381 2 роки тому +2

    Hongera Rais wangu mpendwa endelea kuchapa kazi watakuelewa tu.....

  • @deusdedithjoseph7588
    @deusdedithjoseph7588 2 роки тому

    Tuko pamoja mama

  • @zuwenakazoka55
    @zuwenakazoka55 2 роки тому

    Kwahilo asante sana mama

  • @nurusakoro9422
    @nurusakoro9422 2 роки тому

    Piga chini mama Samia wasikualibie kazi aooo wasio na elimu

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 2 роки тому

    MAMA HATA HUKU KENYA TUNAKUPENDA SANA. UNASEMA UKWELI.

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 Рік тому

    Yani hapo mama umeongea waambie kwakweli hata mwenyezimungu atatuazibu siku yamwisho viongozi waliochiniyako wapo wanakaa kimya naomba I tunywe sheria yoyote atakae piga picha yautupu mtandaoni atafutwe apigwe faini au jera

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 2 роки тому +2

    Hii kauli ya hatujui chochote ni hatari sana kwa waziri wa wizara hiyo,ajitathimini sana kwa kauli hiyo.

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 2 роки тому +1

    Mhe. Rais hongera lakini watendaji wako hawajiamini au vp lazima kila mpaka useme, hivi haya mabaraza yaliyoundwa wanaangalia na kuchuja nyimbo za ndani tu na vitu vingine wanaachia viende kiholela, hizo katuni zinahitaji uchunguzi wa hali ya juu ili kuwalinda vizazi vyetu na nchi yetu. KAZI IENDELEE HASA KWA WATENDAJI

  • @doctorngowi4870
    @doctorngowi4870 Рік тому

    Tunakuomba Rais umwondoe Nape uweke wengine wenye kukubalika

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 2 роки тому

    Mama point tumechoka na hawa wa facebook eti natacta mwanaume kisa ana umbo zuri kemea mama

  • @w4058
    @w4058 Рік тому

    Mama nakuunga mkono kwa hiyo mpaka video za kipumbavu pia zisinoshwe

  • @samuelmwaipaja5181
    @samuelmwaipaja5181 2 роки тому

    Mama nimeanza kukuelewa aisee...

  • @hermanlemunje7327
    @hermanlemunje7327 2 роки тому

    Kabsa Mama nimekuelewa Tanzania na Afrika kwa ujumla inakutegemea Kazi Iendelee.

  • @evamwimike7355
    @evamwimike7355 2 роки тому +3

    Mama umeongea kitu kinachosumbua akili yangu kila siku naomba sheria iwe kali zaidi kwa hao mashoga siku izi hawajifichi tena mama, taratibu nimeanza kukuelewa.

  • @dennishyera6127
    @dennishyera6127 2 роки тому

    Asante mama umeongea kama jemedari wetu. Shida yetu kilakibaya mpaka kiongozi wa juu. Aseme , wengine wanaona hayawahusu badilikeni jamani. Wote yatuumize na tukemee hasa mliopewa mamlaka.