Ijumaa ya mwisho tarehe 29 December mwaka wa 2023 video ya mwisho ya mwaka 2023 ikienda kwa jina la FUNGA MWAKA.. kutoka kwa crew nzima ya team jotii....mimi mmejua kunivunja mbavu zangu😂😂😂😂😂😂 shabiki zenuu tunawapenda sanaaa endeleeni kutupa kazi nzuriii mwaka 2024 tunawaombea mvuke salama tuendelee kua pamoja wapenzi wetuu🙏🙏🙏🙏🙏
Kumekucha.. Funga Mwaka.. Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo Miguno! 🤣🤣🤣🤣❤🇰🇪
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahah unatembea km tembo 😂😂😂😂😂😂😂
we ndo ulie baki mchekeshaji bora wa siku zote na mda wote GOAT
Uyo jamaa anaefua anajua sana kuigiza yan ukimtazama anachokiongea utazani ni kweli
😘ua-cam.com/video/G8Vrn3nS5wI/v-deo.htmlsi=E7qlFksQbul5oItz
Funga Mwaka.. Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo Miguno! 🤣🤣🤣🤣❤🇰🇪
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😮😅😅😅😅😅😅😅😅 joti we bwege mana nikikwambia unaweza we noma damu akuna Hanae kuweza bada ya king majuto ndo ww ❤❤❤❤❤❤
Nyie mnaowah wa kwanza na kuomba like na kwenye maisha mngekua mnapambana hvyo hii nchi isingekua na vijana wa hovyo😂😂😂😂😂😂
Hhe
Kwakweli
Wallah 😅😅
We waache wazoee vya kuomba watakufa firwa siku ya siku,wananikeraga sana
Bora hata umewachana,,,
Hawa wasenge kweli😂😂😂 sasa badala wapigane wao kwa wao
Joti Demu wetu kabaki ndani kwa Msela naomba uchukue washikaji ukamtoeeeee kwa kweli haiwezekan haiwezekan upigwe haraf dem umuache ndani kule
Ijumaa ya mwisho tarehe 29 December mwaka wa 2023 video ya mwisho ya mwaka 2023 ikienda kwa jina la FUNGA MWAKA.. kutoka kwa crew nzima ya team jotii....mimi mmejua kunivunja mbavu zangu😂😂😂😂😂😂 shabiki zenuu tunawapenda sanaaa endeleeni kutupa kazi nzuriii mwaka 2024 tunawaombea mvuke salama tuendelee kua pamoja wapenzi wetuu🙏🙏🙏🙏🙏
yai la mbun nalipaslia wapi n kwere 🔥🔥💪
Nishai ! TV tena? Mambo ni "MWENDO WA KUKU!" Umejisahau!!! 😁😁😁😂😂😂
Tunawapenda Sana mashabiki zetu pia tunawatakia heli ya mwaka mpya
Mnatisha Sana, ila Leo kuuza Ghetto la mshikaji 😅😅😅 balaa
Nakukubare sana kaka mlewa , ukiwa na nishai Huwa unyama sana kaka big up 👊👊👊
Nakukubali Sana mlewa usihame team Jotiii 😂👏🏼
Umeuza geto la Mwamba aisee 😂😂
Heri ya mwaka mpaya kwako pia ila kiboga ndio angefunga mwaka
Nakbare mlewa , hujawaai feli 👊👊👊💯
“Nishai” ni character bora sana kwangu 😂😂😂
Nakurank top sanaa kwa comedy👌👌💪💪wewe ni mtu wa nguvuu sanaa🔥🔥🔥
😂😂😂😂 ila nyie 🙌🙌🙌🙌
Kazi Nzur Sana Big Up Mr Joti With Your Team
Hongera kaz nzuri kwel funga mwak💯
Hahahaha 🤣🤣🤣😂🎉 hawa nyumbu wanajua aise respect kwen😅😅
😂😂😂😂unatembea Kama kibanda Cha simu
Joti naomba 😅😅😅kiatu 2024 uache kuvaa nimechka Sana badaili😂😂
Kweli hiyo funga mwaka
Nawapenda sana mnajua kuigiza
Eti "babie wangu jamani uko wapi?!!" 😂😂😅😅😆😆😆
Baby wake anachezea kifinyo 😂😂😂
@@allymukhsin2962 hahahaha 😀😀😀 yaani nimecheka kinomaaaaa
Hii funga mwaka kweli.
Nimependa kipigo Cha mabinti
Mwendo wa kuku. Hz nazo nahesabu
🤣🤣🤣 Kweli funga mwaka. Baad ya kupigan wawo wanapig wanawke khaa.
😂nakubar sana mwanagu joti
Kumekucha 😂😂😂😂mwaka unaisha vibaya duuh 😂😂😂
Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo miguno ya mwisho 2023 🎉😂😂😂😂😂
Mtomba ngile kama mtomba ngile 😂😂😂
Joti we tuzo zote ni zako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Joti Magician 😂😂😂
😂😂😂 Kama Azizi Ki
😂😂😂😂😂, wangepigana wanaume
kwel funga mwaka🤣🤣
My best commedian
Mwenye deni hana geto mwenye geto hana dem😂😂😂😂
hii kaka nishai umeamisha😂
Naombeni like 100 jamni. Funga mwaka hii😅
Mwendo wa kuku Nishai 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
dah, funga mwaka haswaa😂
Hahahahaaa 😅 joti kiboko
Joto kali sana Dar
Nacheka kama mjinga kwa vituko vya Joti
😂😂😂😂 funga mwaka hiyo👏👏👏
NI YEYW 🎉❤😂
Kuku kuku style😂😂😂😂
This is the best 😂
Saidy zito umeyatimbaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
nakumbuka mau fundi alifanya hii comedy 😂😂❤
This is best of the year😂😂😂😂
Mr Joti this is too smart!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
😂😂😂!!! Hii kweli funga mwaka.
Big up joti na crew yako mnajua Nini mashabiki wanataka na kwa wakati upi
Sema huyu msenge 🙌🏾🙌🏾✅
😅😅😅😅 nmekeka joti chiz
Jot tena diagod❤❤
Hahaha nimecheka kifala
Jott nimecheka kwa sauti kubwa😂😂😂
doooh
😅😅joti El magnifico,..🤣🤣🤣
Nmecheka.sana joti unarushwa2 😂😂😂 umepatikan
Hahahahaha safi sana
Idear
😘ua-cam.com/video/G8Vrn3nS5wI/v-deo.htmlsi=E7qlFksQbul5oItz
akaaaa😂😂mijitu baada ya kupigana wao wanaume wanajifanya wajanja wanawapiga wanawake haaa
Si ndo apo sasa😂😂😂😂😂
Joti huna mpinzani😂😂😂
😘ua-cam.com/video/G8Vrn3nS5wI/v-deo.htmlsi=E7qlFksQbul5oItz
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣joti Jmni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nishai mtambongile ameyatimba
kuomba like wakati hupati maokoto ni ushamba...😂😂😂
hahaha 😊😊😊😊😅😅😅😅I like this one ☝️ 😊😅
😘ua-cam.com/video/G8Vrn3nS5wI/v-deo.htmlsi=E7qlFksQbul5oItz
Et fanya manuva mjombaa😂😂😂
Sasa si mpigane wenyewe jmn😂😂😂
C wapiganee wenyeweee😃😃😃😃😃😃😃
😂😂😂 noma sana funga mwaka.
Kwan like zina Nini jmn usikute Dili mjini tusiachane bc
Yai la Mbuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂daa
Namimi nimewahi naombeni Like Jamani
Dah kweli funga mwaka
This is so funny, that's why you should never judge a book by it's cover
Yai la mbuni😂😂😂😂😂
Kweli hii funga mwaka 😂😂😂😂
Oyaa nakuuwaa😅😅
Washenzi Sana 😄😄 kwanini Msipigane Nyie
Nampenda sana Huyu mkuu
Et mwendo WA kuku😂
Jamani naomben no ya simu ya Jot
Sasa uyo mdada ulomwacha uko ndani itakuaje?
Joti bwana umekuwa kama kichaa kisa mwanamke duuh balaa siyo Kwa vipigo hivyo
Mimi sasa na yai la mbuni nalipasulia wapi sasa? 😂😂😂😂
Kudade😂😂
Hii ya leo umechemka kabisa
Funga mwaka kweliii😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 hii kwel funga mwaka jotiii ukifa hauozi aisee unavunja mbavu
Si mpigane nyiye😂😂😂😂 wanawake tena
Ama kweli hii funga mwaka,,,,funga mwaka jot,,,,,funga mwaka kicheko
Mbavu zanguuu😂😂😂😂😂
Ivi nyie waomba like mda wote mbona maisha yenu hayabadiriki mwaka CCA mpo vilevile
Naombeni like 20k
Mimi nampenda sana Zhu
Safi kaka
😂😂😂😂😂😂hiii funga limwaka kweli
Bora nifunge mwaka hivi hivi duh mpaka Bando nimekopa😂😂😂