MKOJANI AELEZA SABABU YA MKE WA RINGO KUKATAA KUOLEWA NA RINGO NI AIBU /UKWELI NDIO HUU
Вставка
- Опубліковано 27 чер 2024
- Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv - Розваги
Hongera sanaa ringo
Hongera 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉Wowowoow bado mimi.
Hongera sana ringo
Masantula eti leo umependeza
Tin white kapendeza sanaaaaaaaa😅
ongera sana
Huyu Ringo hata kwa serious issue anaonekatana comedy
Kitete 😅😅mi itakuaje sijui
Ila zunde😂😂😂😂 Ni hatari kaivalia ngija nginja
Kwaiyo mke kabadili dini
❤❤❤❤
Hongera sana ringo🎉🎉🎉
Haha😂😂😂😂
Mmmmmm ongera ringo
Ovyooo pengine una zambi kuliko yeye
hawana mango wazinifu tu ao na uyo dada akili mbovu
Naisi Wewe shoga Maana povu linakutoka
Acha wazin kila mtu atabeba mzigo wake we usiezini pia utabeba mzigo wako msiwaukimu watu
Kumbe kasha zaa nae zinaa miaka 7 hovyo kabisa
Weee zinaa yako inamiaka ngapi toka umezaliwa
@@SmilingElectricGuitar-wz3ij s ndo hapo sasa hahha
Hua nashangaa sana watu wanao hukumu wengine
@@SmilingElectricGuitar-wz3ij mimi nimeoa nikiwa na miaka 22 nilichumbia nikaoa sijakaa nae kwanza hata siku moja sasa hao wamekaa miaka 7 kiserikali ukikaa na, mwanamke miezi 6 huyo mkeo sasa anafanya harusi wakati huyo ashakua mke tayai wana mitoto kuibia watu pesa zao za, michango tu ila methali inasema WAJINGA NDIYO WALIWAO wacha ale pesa yenu na nyie mnakenua menoo mimi nina mke halali watoto halali wa ndani ya ndoa
Ss baada ya kufurahi wanaacha zinaa unazidi kuwahukumu utafikir ww unajua mwisho wako