WANAHARAKATI WAIBUA MJADALA MZITO MBOWE KUPIGA KAMPENI KIMYAKIMYA PIA KUMSUPORT LISSU KUWA UENYEKITI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 78

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 18 годин тому +3

    Mbowe alihutubia mwanza huku smelewa wakati huo akimsifia Rais samia
    Hii inafikilisha sana binafsi nasema Mbowe Must Goo

  • @marysichinsambwe7708
    @marysichinsambwe7708 22 години тому +6

    Mbowe must go.

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 3 години тому

    Asante sana Balozi Dr Slaa, Kwa Kufungua Pandora Box, na Umeeleweka Vizuri kwa Sababu ya Kutoa Somo Zuri sana

  • @JimokuMhela
    @JimokuMhela 4 години тому +1

    Haya yote yanayosemwa na akina Lissu, Slaa na wanaharakati ni kutokana na Mbowe kujifanya Mungu.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 22 години тому +5

    Kwa siasa za sasa Tundulisu ndio mpango mzima ❤

    • @zandaanimediatz
      @zandaanimediatz  22 години тому

      yaaa tumsuport mwamba LISSU

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 21 годину тому

      SIASA ZA ABDULI 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 21 годину тому

      DIASPORA RUDINI NYUMBANI TUMIPE KAZI YA BODABODA 😢😢😢😢😢😢MMEFILISIKA KISIASA

    • @salimabdul9720
      @salimabdul9720 18 годин тому

      ​@@OmmyJames-xn7jida am as cm..❤😂❤😂😂🎉🎉😢😢😢😢😢😢😮😮😊😊😮😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😮😮😮😅😅😊😊😅#😅😮😅😮😮×😮××××,,×,,,,#900####😅😅#😊#😊##😊😊😊

  • @elinihakimsuya1673
    @elinihakimsuya1673 20 годин тому +3

    Wanaharakati anzisheni chamachenu acheni uchochezi.huyodoctor alishawahi kusaliti chama acheni kujipendekeza chadema

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 18 годин тому +2

    Mbowe amekijenga chama Kwa gharama sana,,Nikiongozi mzuri,Hawezi kukivuruga chama,Dk Slaa Angalia sana maneno Yako,

    • @edsonkati
      @edsonkati 17 годин тому

      Eti chama kuwafia mkononi!!!😢nani kakwambia kinakufa?Dr Slaa weka akiba ya maneno Chadema ilishakushinda sasa umepata platform ya kuongea ya moyoni mwako!mbona hukuyaongea kabla???msimlazimishe Mbowe eti atangaze nia kwani lazima?kama Makamu katangaza ni yeye tusilazimishane bana!!

    • @ikotilissu5380
      @ikotilissu5380 17 годин тому

      Kwa gharama zipi? Zake mfukoni au za Chama?

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 19 годин тому +2

    Yaani huyu mzee ni mnafiki Lisu alisema katiba yao iliondoa ukomo wa uongozi sasa mbowe kuvunja katiba wapi

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 16 годин тому +1

    Chaguzi zote zinahitaji pesa. Pesa inahitajika hata kuchaguliwa , demokrasia

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 6 годин тому +1

    Mbowe achia ngazi

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 19 годин тому +2

    Nyie diaspora mnatekwa na Dr. Slaa. Tumieni akili zenu.

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 11 годин тому +1

    Mama yangu mbowe

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 4 години тому

    Hebu basi mumjadili na Lissu udhaifu wake,maana mnamkandia Mbowe tu.Lissu CHADEMA tunampenda lakini si kwa nafasi ya Uenyekiti,bado anapwaya sana.

  • @charleslyoba7877
    @charleslyoba7877 18 годин тому +1

    Mm nafikili hata hao ccm ambao walikua wanataka Mbowe aondoke bado wanataka mboe aondoke angalieni comet za watu wanamtaka nani Jamani Mbowe ni kiongozi Mzuli kwa ujinga wanaofanya ccm ukipata kiongozi asiye makini nchi itaingia kwenye matatizo . Lissu yeye familia yake yote ipo nje kwa nn wasiludi msituletee matatizo.

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 11 годин тому

      Safi sasana, tupaze sauti zetu mtu anatakaje kugombea hapa anauraia pacha wakati nchi yetu hairuhusu uraia pacha?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 11 годин тому

      Alisu anataka kuvhufua nchi lisu asiposhinda atamwaga dam kwakuhamasisha vurugu

  • @evarimdecoration4256
    @evarimdecoration4256 9 годин тому

    Mimi naona Mwenyekit angekuwa Heche! Lisu kiafya na uenyekiti nadhani haviendi.. Yeye ni mdomo tu ukitokea mtiti mtamkuta kakaa hapohapo! So wamuachei Kijana Heche

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 4 години тому

    Ninyi Diaspora ni wapiga kampeni wa Lissu ,na mnaonesha upande wenu.Jueni kwamba Lissu bado anapwaya kwa Nafasi hiyo ya Uenyekiti,ni mtu wa mihemuko,mpenda kushangiliwa kama (Magufuli)Sisi tulioko Bongo tukilinganisha Mbowe na Lissu,Lissu bado yuko chini kimvuto kwa wananchi.Mbowe anauwezo mkubwa kupambana na CCM,si rahisi kurubuniwa na CCM wala kununuliwa.

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 3 години тому

    Nafikiri. Washauri wa Mhe. F. Mbowe Wangemshauri, ili kulinda Legacy yake angefanya maamuzi magumu, ya Kung'atuka tu kulinda heshima yake. Asikubali kushinikizwa na wapambe wake. Chama ni kikubwa

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 22 години тому +2

    Diaspora acheni na Dr. Slaa mna Nia ya kuvuruga Chadema. Nyie ni mmeshaonesha kwamba mna tamaa

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 4 години тому

    Hakuna proove kwamba Mbowe amefanya kampeni mapema,chaguzi za kansa zimefanyika kwa kura za wajumbe wa kanda.Acheni kumsingizia Mbowe kwa hilo.Mbowe ujasiri wake,ukakamavu wake,hamasa zake kwa wananchi,kukubalika kwake na Watanzania hata na baadhi ya walio ndani ya CCM.Acheni kura ziamue nani awe m/kiti.Mjadala wenu huu unaigonganisha CHADEMA na kuigawa mapande.Ninyi mna upande wenu mnaoegemea ambao ni wa Lissu.

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal Годину тому

    Mpe Lisu nafasi na kama mnataka Mbowe aendelee, basi iache CCM nayo iendelee. Si hamtaki na mnahofu mabadiliko ndani ya chama?

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl 9 годин тому

    Mbowe akigombea uenyekiti, Chadema itabaki na watu wa kaliba ya Mbowe tu, kwa kifupi chadema itakuwa imekufa.

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 19 годин тому +1

    Usilingajishe ya dini na ya chama cha siasa.
    Acha watu waamue

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 22 години тому +2

    Nyie anzisheni chama chenu Mbowe ni kiongozi kuliko hayo makelele tunayoyasikia mapema. Nyie mnataka Lisu akafanye mapinduzi ya fujo nchini kwa kupeleka watu barabarani.

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 21 годину тому

      Kwani ikiwa hivyo kosa liko wapi

    • @AgustnoBoaz-m4m
      @AgustnoBoaz-m4m 20 годин тому +1

      Kwa wakati tofauti huyo Mr Mbowe amekuwa akiitisha maandamano na hayafanikiwi! Swali kwako je Huyo Mr Mbowe amekuwa akipokea shinikizo na kuitisha maandamano kutoka kw Makamu wake Lissu? Acheni kufanya siasa za kccm itawasaidia! Wew ni Sawa na mjinga anaetafufa kitu kilichodondka ktk Giza kw macho unaweka ushabiki wa tumbo njaa na sio kufikiri ktk akili.

    • @GiliadLuziro
      @GiliadLuziro 19 годин тому

      Kwan shida iko wap

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 7 годин тому

    Humu ni mwendo wa Propaganda kwa kwenda mbele,wanamchukia na kumuogopa Mbowe kichizi yaani!!!😂😂😂😂😂

  • @elinamilyamuya3277
    @elinamilyamuya3277 16 годин тому

    Kwa ushauriwangu muheshimiwa mboe angemkabidhituu tundulisu kijiti kwani mboe amefanya mengi mazuri tunainjoi kisiasa.
    Kiungwanatuu kutokana na kukaa mudamrefu aachietuu nawengine waendeleze Pali alipoachia mboe

  • @oam14l
    @oam14l 12 хвилин тому

    This forum seems to be debating personalities rather than issues.

  • @josephatkajange-zx2tl
    @josephatkajange-zx2tl 9 годин тому

    Mbowe hana meno, ni kibogoyo, hang' ati.

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 15 годин тому

    Is Mbowe not selfish?
    Kwa faida ya CCM au CHADEMA?

  • @rugemalilalucas4533
    @rugemalilalucas4533 20 годин тому +1

    Ovyooooooooo unda chama chako slaa

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 18 годин тому

    Sababu za kuweka mazoku na majoku nibaada ya magufuri kuumiza chama huko kwenye wilaya zetu chama hakikuwepo tusingeweza kufanya uchaguzi kusajili ulianza upya chini ya mazoku

  • @chage97
    @chage97 15 годин тому

    Lisuuuuuuu

  • @francismahu6218
    @francismahu6218 21 годину тому +1

    mawenge yanawasumbua

  • @PIUSSEBASTIAN
    @PIUSSEBASTIAN 17 годин тому

    Kama mnagombania chama kuongoza je inchi mtaipeleka wapi nyinyi halafu mnasema m naibiwa kura wakati wa kuwapigia kura wako wapi Kwa hayo mnayoendelea kwenu watanzania sio wajinga kiasi Cha kushindwa kutofautisha dhahabu na shaba jisafisheni kwanza ndani kwenu na muwe na demokrasia ya kwer

  • @josephmushi1901
    @josephmushi1901 19 годин тому

    Ila sijawahi kuona mtu mwenye roho ngumu kama slaa. Dah. Mpaka naogopa.

  • @AnosisyeMwaigomole-t8q
    @AnosisyeMwaigomole-t8q 10 годин тому

    Nikushauri tu mboe mwamini lisu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 22 години тому +2

    Chadema ubinafsi tu.badala ya kuongelea sera mnapambania madaraka tu.😢😢Uzalendo zero😮

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 18 годин тому

    TINDU LISU Pamoja nae Daima

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x 14 годин тому

    Silah sema usemavyo lisu hatumtaki atakuletea ushoga kwani akili yake imetekwa na wazungu Hana analo amini yeye ni wazungu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 11 годин тому

      Nikweli Lisu ushoga tayari halafu madini yetu yote yanaenda kwawazungu kulipa fadhila .we fikiria saivi yeye anaurai wapili familia yake yote kahamisha haipo Tanzania ndio maana anataka kuleta machafuko Tanzania halafu yy anapakwenda.lisu akigombania asiposhinda antahamasisha machafuko

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 18 годин тому

    Tundu lissu tutakufata ueendako tupo na wewe utatufikisha inchi ya ahadi

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 10 годин тому

    Acheni unafiki mboe anahaki ya kugombea kama watu wengine

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 8 годин тому

      Ni kweli kabisa ana haki,kama Tundu Lissu naye alivyo na haki.

  • @JovinaJohn-t3b
    @JovinaJohn-t3b 20 годин тому

    Yaani mtashangaa

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 22 години тому +1

    Ila wewe mzee tangu ulipoteuliwa kuwa balozi ukasema kuna vijana walihusika na utekaji nia yako ilikuwa uwe Rais baada ya kukosa ndio ukaanza kuiponda cdm. Haya bwana!

  • @leonardbukulu5527
    @leonardbukulu5527 22 години тому

    Chadema kunakitu huko juu mwenyekiti niking'ang'anizi wa madaraka anapata maslahi ya chama

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 21 годину тому

    DIASPORA RUDINI NYUMBANI KUNA KAZI YA UCHUNGAJI AU PALOKO 😢😢😢😢

  • @samuelmakara
    @samuelmakara 20 годин тому

    Shida ya vijiwe hivi ni kujadili watu badala ya Mustafa alive ya taifa

  • @PaullyzmundaPaullyamunda
    @PaullyzmundaPaullyamunda 17 годин тому

    Kwani Dr. Silaha na yeye ni Chadema?

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 22 години тому +1

    Nyie mnafikiria wtz ni wajinga kama nyie sisi tunawaelewa kuliko mnavyojifikiria wanafiki wakubwa

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 18 годин тому

    Mbowe haoni haya kugombea jaman ni AIBU SAANA AFAI KABISAA MBOWE Kwann anakuwa kupeeee?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 11 годин тому

      Ivi wanapambania vyeo halafu et wanasema democracy

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 19 годин тому

    Siamini kama ni mdomo wa slaa unaongea hayo maneno ya uchochezi kweli huyu ni mamluki

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 18 годин тому

    Mbowe ni mnafiki sn mbowe ww sio nabii wacha. Tundulisu aongoze chama kwani lisu ndo mpango mzima kwa siasa za sasa

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 11 годин тому

      Mnamtakaje lisu wakati lisu anauraia Mara mbili familia yake imehamishwa kwann amehamisha au anataka kuua watu kupitia maandamano?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 10 годин тому

      Pengine apumzike nautekaji utaisha

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 10 годин тому

      Utekaji umekumbatiwa na kundi lililopo chadema. Kwakusud tu

  • @DenisKiwaya-e4f
    @DenisKiwaya-e4f 19 годин тому

    Sasa ww slaa unabwabwaja we ni chadema? We ongelea yanayokuhusu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 18 годин тому

    Mimi Niko na Lisu kokote analipo Mbowe vision imehisha

  • @salomeurio560
    @salomeurio560 21 годину тому

    Acheni kumchafua mtu aliyewasaidia mpaka mkawa watu wakubwa na wakujulikanaa....
    Muogopeni Mungu wa mbinguni mnayemwabudu...

    • @jamesjahasa3348
      @jamesjahasa3348 20 годин тому +1

      Kabila furani presha zinapanda mkuu wa saccos anawekwa mtu kati

    • @assaandrew2411
      @assaandrew2411 19 годин тому

      Wachaga kazi mnayo