Mwandishi wa Jambo TV mbona una mute sauti kila anapotaja TISS (Usalama waTaifa) na polisi na Rais Samia Suluhu Hassan? Au na nyie ni miongoni mwa "wasiojulikana?" Acheni woga bwana na lazima tupaze sauti ili shetani akimbie na asiendelee kuumiza watu!!
Tunakusikia vizuri

●kimbia nchi ufanyie kazi nje 😢 ○○