Machozi yamenitoka maskini binadamu wanaweza kukuharibia kwa kukutengenezea kitu cha uongo ili wakuharibie tu,Pole Meena,Dunia tunayoishi si yakumwamini tu kirahisi..Pole sana,Mungu akubariki na endelea kufanyakazi yako nzr mamy
Suala la udhalilishaji wa mtandaoni au maoni ya kihuni dhidi ya watu maarufu ni suala zito na njia nzuri ya kulikwepa au kupunguza madhara yake ni kwa KUKAA KIMYA na kupotezea, inasaidia ... Safi sana Salama kwa kuiadress hii issue pia
Meena Ally the most beautiful and smart public figure I know. Keep it really dear. Live it as you said it: The hard part is not to convince people but to release that no matter how much you convince people, they'll take what they want not the truth from the speaker.
Situation ya meena niliitetea kutoka siku ya kwanza inatokea nikimuamin kabla hata hajajitetea kazn mpk leo naitwa team meena😀😀😀 na sijali wala nn nakupenda kinoma
Subhana Allah kuna watu wanafanana.. Mimi na Meena tunafanana copy right lakini mm skin yangu light kuliko yeye.. Sauti ,sura na story yake yakuzaliwa nyumbani same here.
@@barakakusa7606 ha bibie wapi nimejisifia?? Mimi nimesema ukweli sijajisifu.. Huyu Meena nilipomuona nimeshtuka kwa tunavofanana nikaweka video hii kwenye whatsapp status kila mtu ananiuliza mbona mnafanana sana.

BIG Up to Salama Na. This Girl Meena is so smart...!
Meena is so smart...👌💚
Wow jamani kipindi kizuri nimecheka,nimejifunza ,nimeenjoy keep it 💯👌 Salama God bless you and Meena
Nice show. I enjoyed it. Meena is smart.👏
Salama Meena kakugeuza therapist leo❤ Glad to see your Soft side #libraganggang
Ahsante umenyoosha maelezo dada angu nakupenda sana
Polesana kwa kuondokewa na bibiako na pia umejikaza sana mdogoangu piga kazi wewe utafika mbali sana zaidi ya kina salama jabir
Mwambie mina namkubali Sana akeep up
Meena wallahi miss u cku tulikutana zenj foro tukatia stori sn ww ni mchangamfu
Suala la udhalilishaji wa mtandaoni au maoni ya kihuni dhidi ya watu maarufu ni suala zito na njia nzuri ya kulikwepa au kupunguza madhara yake ni kwa KUKAA KIMYA na kupotezea, inasaidia ... Safi sana Salama kwa kuiadress hii issue pia
Hakika
Dah!inatisha history hiyo ni kweli Huwa inatokea sio kwako tu wengine wamekutana na iyo mambo lakin cha msingi pambana
Nakupenda mia fil mia salama nakupenda kwa ajili ya Allah
Pole sana Meena hiyo ndo dunia 😔😔😭😔
Part 2 of this SalamaNa always inakua lit
Another beautiful session Da Salama.Da Meena you are doing great,keep your head up and keep doing what you are doing.
Allah bless you all.🙏🙏
Meena Ally the most beautiful and smart public figure I know. Keep it really dear. Live it as you said it: The hard part is not to convince people but to release that no matter how much you convince people, they'll take what they want not the truth from the speaker.
I like it was lovely💕😍 she strong woman
Sauti..yake yakutetemeka..emotional
Mwijaku pia ni mtu ambaye alisimama Sana kumtetea Meena Kwa ile situation,Hongera nyingi kwake na sisi tuliopinga hii ishu.
Leo wa kwanza mm kuangalia
I like u'r hair style & how u'r looking today Salama.
Magwiji mmekutana asante salama mimi najifunza vingi kupitia kipindi chako
Very true
Neema your really cute
Meena.ali.kweli.salamaa.upo.fresh
My two favourite ladies😍😘😘
Good 👍meena Allah blessed
Pole sana
God Amit.... Motive is 180 km per hour....keep the hustle hard...
I wish siku moja Millard ayo akae kwa hicho kiti cha meena
This lady is smart man
She's smart 😊🥰
Salama and Meena what a connection 💯
show kali sana salama
Tunaomba Salama Na Mwijaku
So sorry Meena,💕
Ngoja nikaiangalizie ile Video tena.
I like u'r hair style & how u'r looking today.
I like u'r hair style & how u'r looking today Salama.
This is so emotional man
So good so sweet i love this season aiseeee i love that woman❤️🔥❤️🔥 in swahili mumependeza wish one day niwe hapoo yahstone town its my dream 🦋🦋🦋
Me too bro
I love this girl so much❤️
Mashallah
#Salama
#MeenaAlly
Niliamini kua sio yeye at first kabisa☣....
Unfortunately meena ni mkubwa sana ndio Maana likatumika jina lake kwenye Ile connection.. 😝😝
People are choosing what they want to hear no matter how you convincing them
Salama ❣️ napenda the look..
Zanzibar United
Salama na Hersi inapanda lini?
💓🤗
Situation ya meena niliitetea kutoka siku ya kwanza inatokea nikimuamin kabla hata hajajitetea kazn mpk leo naitwa team meena😀😀😀 na sijali wala nn nakupenda kinoma
Nimeona video sioe yeye
♥️♥️
Nadhani meena amsikilize vizuri nikki wa pili juu ya mentality ya kuingia nayo mtandaoni
Watanzania bwana kuwa positive amju wala a uwezi sasa uyu kujifanya kuwa positive ata dk mbili ajamaliza kajibu ma uma wee kisha karudi kule kule ahaa
Ile ya Zuchu iko wap we bi mdada
Meena ni wif matio
Meena.ali.umenitowa.mavhozi
Salamaa.meena.ni.mtu.wapi
Subhana Allah kuna watu wanafanana.. Mimi na Meena tunafanana copy right lakini mm skin yangu light kuliko yeye.. Sauti ,sura na story yake yakuzaliwa nyumbani same here.
Eeebu tukuone
Unione kwa vipi yaani?? 🤨
Jioneshe tupige kura siyo kujisifia tu.
@@barakakusa7606 ha bibie wapi nimejisifia?? Mimi nimesema ukweli sijajisifu.. Huyu Meena nilipomuona nimeshtuka kwa tunavofanana nikaweka video hii kwenye whatsapp status kila mtu ananiuliza mbona mnafanana sana.
Tunaomba ya Dina marious
Hapaaa ulipomtaja bibi umeniumizaa moyo wangu nakuelewaaa yamenikutahaa hayoo
Very sorry meena I got u Very well
Ya zuchu Ni lini
ilishapita itafute
@@veronicapotas5706 haiko UA-cam
Ipo nimeiangalia sema ni fupi ila ipo yutube
TUMIYENI KISWAHILI KITUPU BWANA MSITUZINGUWE..
Nakukubali Sana Dada Meena
Yule ni ww usiongope apa ana unene gani yule
Salama and Meena what a connection 💯
Pole sana