Hii ni kinyume, tukikaa hatucheki bali tunalia.😭😭😭😭😭 yaa rabbi tujaalie waume wema na wake wema. Ila mwanamume akiwa mwanamme kweli na mwanamke anakua mwana mke kweli.
Assalamualaikum Daaaah kweli ni msiba ata mm ninapata elimu ingali naona vijana wengi wanapigana kisa mke kanunua nguo lakin hajawahi uliza mkewang anaendaga wap anarudi mudagan kajisitiri vp na wengine ata ibadat ningumu anategemea familianjema kupitia familia ambayo aifwati Mungu, toa ilimu dada yangu Mungu anakuona atakama sisi atukuoni bimana shetan ametekauma huu wahii kaum
@@TatuRajabu-cz6jz hakuna sababu itakayo fanya mtu azini nje ya ndoa,ikitokea kama mwanaume ana tatizo mwanamke ana haki na kushauriana na mumewe ili watatuwe hio tatizo na ikishindikana mke ana haki kuomba talaka ila kwa kuzini hio sio sababu.
@@TatuRajabu-cz6jz unachukuliaje Jambo la kizini??? Hakika ni Jambo baua kabisa muislam kizini. Na kwasasa imekuwa ni Jambo la kawaida mpaka mtu unasema kunasababu!!!! Allaahul mistaan
@@TatuRajabu-cz6jz kuwe na sabb kusiwe na sababa dadangu zinaa imekatazwa ni dhamb kubwa sana Mwenyezimung ajasema katika ndoa mkiwa na sababu zenu mutoke nje ya ndoa sheria zipo zimewekwe ikiwa hakuna maelewan mazur kwenye ndoa unafata sheria na utaratib wak ...Dini yetu rahis sana ila ss tunaifany kuw ngumu Allahuyaalam
Sema ukweli mama that's the truth Allah akuhifadhi wenye ku complain na hii daawa nikia uko weak na ndo wako aidha mume or mke ndio haikufurashi ukweli
Nyinyi wengine kwanza nendeni mukasome maana inaonekana munakasirika kwa kulinganiwa washenzi nyinyi na chaajabu wengi muliokosowa ni wanawake na nyinyi wanaume ni mabwege tuu inaonekana mumezoweya kufanyiwa hayo majanga na munaridhika nayo
Wananiuz much know et uislam umekataza mwanamke asitoe elim mtandaon enz hizo mtandao ulikuwepo pia hadi afanye darasa hapo hakujua hilo mnajifanya waislam sana et asitoe elim hadharan mnataka atoe elim chumban piten kule tunamsikiliza na yanatusaidia sana na tunaxid kumuombea heri every day
Acheni ujinga hamna wema hata elim yenu ni finyu huyu mama anaongea nawakina mama wenzake kosa lipowapi? Hakuwaita muingie k chaneli yake acheni wenye akili wafaidke na mawaidha
Bora wachukue maan mume mwenyewe ukimwambia kusukuvaa Ana dai nguo zenu ziko gali lkn yuaomba mungu ampe pesa aongeze mke aya uyu nae utamwambia nn wakati dera moja limemshi je mawili ata weza wangu naende iliakapate amlete ndoani ayaone vzr
Sasa hizi darsa za wanawake kwann mwazirusha UA-cam??? Hakika ni haramu mwanamke kupaza sauti yake mbele za wanaume. Halaf nahuyo cameraman mbona anawarecord audience??
Swali Kama ndoa ni lbada kwa nini sasa wakati wakisha ndoa mnasema muone kwa wema namuwachane kwa wema lnakuje kuhusu kuhalalisha kuachana au taraka na hii niIBADA KUU
Faida unatoa ila kazi hii yakujitangaza kama mwanamke au kufanya kazi ya Kutangaza dini kwa njihii umeipata wapi katika uisilam Au umesahau allah na mtume yuwasema nini kuhusu manamke kujihifadh kuanzia saut yake na mengne..
Hukatazi kusomesha lakn tumia njia iliyo fundishwa kwani kunawanawake wangapi wanaelimu nawanafundisha majumbani badlika dada Kwa Allah pya kuna maswali
Unapotaka kumkosoa mtu tafuta njia mzuri ya kumkosoa na sio mipasho tumia hekma kwa mfano ingependeza zaidi kutumia burka usionekane sura yako hapo kidogo ingependeza zaidi Allah atuongoze zaid samahani kama itakuwa nimekukwaza kwa kukujibu😊❤
@@haroubhbm5728 umeongea vzr ila ukitazama comment yangu ya mwanzo katka hizo comment mbili nilizo tuma utaelewa kua nimeanza vip kwahvo nashauri hakikisha unajibu kwa kuelewa alicho ongea mtu sorry
MashaAllah nakupenda Mungu akulipe akujengee nyumba peponi in shaa Allah
dah! ukhty maada nzuri saana twakuomba angalau kwetu BURUNDI kwa maana ndoa zaangamia balaaa... wa jazzakallah kheir
Mashaalah ustadha mola akubariki umenena ya msingi sana mola akuhifadhi na sheytan na wasiokutakia mema
Maashallah dada kwakweli tukiyasikia mawaidha yako tunaimarika saana na pia tunapata kujiamini
Asante dada yangu mwenyezi mungu akusaidiye rakira raeri dada yangu masharraa
Hongera saana ukhty, Allah akuzidishie ufahamu na uzidi kutuelimisha nasi kwa upana na marefu zaidi.
Hii ni kinyume, tukikaa hatucheki bali tunalia.😭😭😭😭😭 yaa rabbi tujaalie waume wema na wake wema. Ila mwanamume akiwa mwanamme kweli na mwanamke anakua mwana mke kweli.
Assalamualaikum
Daaaah kweli ni msiba ata mm ninapata elimu ingali naona vijana wengi wanapigana kisa mke kanunua nguo lakin hajawahi uliza mkewang anaendaga wap anarudi mudagan kajisitiri vp na wengine ata ibadat ningumu anategemea familianjema kupitia familia ambayo aifwati Mungu, toa ilimu dada yangu Mungu anakuona atakama sisi atukuoni bimana shetan ametekauma huu wahii kaum
Mungu akupe umli mlefu
Karibu kwetu Burundi 🇧🇮
Kazakallahu khaira😊 darasa hii nzuri sana ukht maashaalla
MashaAllah ukhty Allah akuzidishie hikma una nasaha nzuri sana❤❤❤
Ahsante sana ukht pammana sana usikate tamaa huu ni ulimwengu ulio kosa taaluma bora yeye niko zanzibar
Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh hajath mawadha mazuri sana maisha Allah
Asante usthadha kwa mawaidha insha'allah mwezi mungu atujaliee kheri ya dunia hata akhera insha'allah 🤲🤲
Mashaalah mawaidha nzuri
Assalam aliekum warahmatullah wabarakat twabiye wajibu wa mke kwa mume wake
MashaALLAH tabaraka LAAH, salute kwa khudba njema yenye maadili mema nakupa kongole
Mim na mkee akuqe maaidizi wamalengo na mwelekezi wa maisha yetu ndio sababu yakuowa mkee mqema
Jazakallah khayran
Following closely from Kenya 🇰🇪. ALLAH BARIK.
Masha Allah mama
Allwah akubaariki dada yang
Mashallah mungu akufanyie wepesi amiin.
Yani ni kweli kabisa kuna watu wengi sana wanazini na wanajua wako kwenye ndoa.
Kunasababu,na subira inahitajika pia,huwezi kutoka bila sababu
@@TatuRajabu-cz6jz hakuna sababu itakayo fanya mtu azini nje ya ndoa,ikitokea kama mwanaume ana tatizo mwanamke ana haki na kushauriana na mumewe ili watatuwe hio tatizo na ikishindikana mke ana haki kuomba talaka ila kwa kuzini hio sio sababu.
@@TatuRajabu-cz6jz unachukuliaje Jambo la kizini??? Hakika ni Jambo baua kabisa muislam kizini. Na kwasasa imekuwa ni Jambo la kawaida mpaka mtu unasema kunasababu!!!! Allaahul mistaan
@@TatuRajabu-cz6jz kuwe na sabb kusiwe na sababa dadangu zinaa imekatazwa ni dhamb kubwa sana Mwenyezimung ajasema katika ndoa mkiwa na sababu zenu mutoke nje ya ndoa sheria zipo zimewekwe ikiwa hakuna maelewan mazur kwenye ndoa unafata sheria na utaratib wak ...Dini yetu rahis sana ila ss tunaifany kuw ngumu Allahuyaalam
Nakupenda kwa ajili ya allah
Mashaallah tabarakaallah Allahuakbar 😘🥰
Asante sana
Maashallah tabaraallah ❤
Musisahau kupitia na kwangu wapenzi watazamaji ❤❤❤
BarakaAllah
Mashallah 😂😂wambie ukeli wamabo ndoa ni mzuri sana Bora uvumilie
Jambo zuri hili
Masha ALLAH
Mashaaallaah
Sema ukweli mama that's the truth Allah akuhifadhi wenye ku complain na hii daawa nikia uko weak na ndo wako aidha mume or mke ndio haikufurashi ukweli
Namtafa mwenye dini na tabia njema mwembamba mrefu umri 20-25 rangi si tatizo iwe ni ya asili kwa ajili ya Allah
Mashallah
Kaeni nyinyi basi mtoe ayo mawaidha si wanaume nyinyi
Karibu Burundi 🇧🇮❤
Mashaallah
Masha Allah, safi
Walykm salm
Nyinyi wengine kwanza nendeni mukasome maana inaonekana munakasirika kwa kulinganiwa washenzi nyinyi na chaajabu wengi muliokosowa ni wanawake na nyinyi wanaume ni mabwege tuu inaonekana mumezoweya kufanyiwa hayo majanga na munaridhika nayo
Yani nyinyi munao kosowa nyinyi wanaume tena acheni ubwege huoo
Unaziniwa,,na,,waumeambao,,siwaumezako jitazamekwanzawewe mzimamowakonisahihi huonikwamba unatoka,njeyandoa,kwakujirusha,mtandaoni nakama,,unafikira,,jitoemtandaoni
Aslm dada hata mwanayo wakiume anaezakuwa mlinzi na mkinga viwangi husishwa
Waislam acheni kutoa maneno yasio maan acheni watu wafike ujumbe hawa hawaiimbi nyimbo
Assalam alaikum wako wapi madada tuka lete uposa InshaAllah
Napata vip namba za ukhty fatma plss
Pia mnapenda kuhukum mtu cjui watu wapoje me wananiuz kwakwel na mnatafsir dini vibaya et saut sasa saut what?
Wananiuz much know et uislam umekataza mwanamke asitoe elim mtandaon enz hizo mtandao ulikuwepo pia hadi afanye darasa hapo hakujua hilo mnajifanya waislam sana et asitoe elim hadharan mnataka atoe elim chumban piten kule tunamsikiliza na yanatusaidia sana na tunaxid kumuombea heri every day
Anatuelimisha sisi ambao hatijapaya muda wa kuhudhuria dars hizo
Kama ww unaudhika tuachie cc tunaofaidika na mafunzo haya
Assalaam alaykum warahmatullah acheni hasadi kwani anaimba
Faida unatoa ila kpz chg saut ya mwanamke ni stra unavojianika mtandaoni sio maadili ya uislam kwa mwanamke
Faida yako nn,kama uko elimu na hutaifundisha,,,,,,mwenzako anaifundisha wee wasema anajianika mitandaoni....Acha husuda wewe..
Mm nko tayari halali ndio tunataka dada wko wpi
Ila wanamtandao wamefanya kosa kuweka picha za wasichana kuwaanika
Nataka bibi Niko tayari
Mama yangu Allah akulipe walinganiye
Acheni ujinga hamna wema hata elim yenu ni finyu huyu mama anaongea nawakina mama wenzake kosa lipowapi? Hakuwaita muingie k chaneli yake acheni wenye akili wafaidke na mawaidha
Umesema kweli,,mm mukenya lakini natamani saana mawaidha ya ukhut.
Swadakta mama Allah akuhifafhi duniani na akhera
Akuhifadhi
Mashallah allah akulipe mama
Bora wachukue maan mume mwenyewe ukimwambia kusukuvaa Ana dai nguo zenu ziko gali lkn yuaomba mungu ampe pesa aongeze mke aya uyu nae utamwambia nn wakati dera moja limemshi je mawili ata weza wangu naende iliakapate amlete ndoani ayaone vzr
SI hiza Malaki ya mapesa munigawiee
Sasa hizi darsa za wanawake kwann mwazirusha UA-cam??? Hakika ni haramu mwanamke kupaza sauti yake mbele za wanaume.
Halaf nahuyo cameraman mbona anawarecord audience??
Kweli unatoa,,elimu,,lakini,,,uko,n'nje,ya,,stara,,sautiyako,,na,,surayako hutakiwi,,kuonekana,,na,,waume,,ambaosiwaumezako kama,unaaminihivyo,,jiepushena,mitandao
Hata kwetu kwenye ukristo hatufundishiwi hivi mabinti kwaajiri ya ndoa
Swali Kama ndoa ni lbada kwa nini sasa wakati wakisha ndoa mnasema muone kwa wema namuwachane kwa wema lnakuje kuhusu kuhalalisha kuachana au taraka na hii niIBADA KUU
Ni ubinadamu mkishindwana basi muachane kwa wema na si kutesana au mmoja kuteseka ,
@@halimambwanachamosihumans7134MashaAllah, dada umepatia jawabu,,mwenye swali kimya.
Acheni mambo ya kijinga nyinyi kwaio asitoe mawaidha au?
Faida unatoa ila kazi hii yakujitangaza kama mwanamke au kufanya kazi ya Kutangaza dini kwa njihii umeipata wapi katika uisilam
Au umesahau allah na mtume yuwasema nini kuhusu manamke kujihifadh kuanzia saut yake na mengne..
Yeye ni mfano wa Bi Aisha
Miaka 20_35 . anayetaka kuolewa sifa dini, mwili mkubwa, mweupe, mwadilifu
Sijamuona km kalegeza sauti hapo
Au hakuvaa mavazi ambayo hayatakiwi amejistiri alhamdulillah sasa mengne yep
Tusiufanye uislam wetu ukawa mgumu
No no no no saut hiyo mama
Mnataka ajifiche ndan mnaopendq kukosoa watu nyie ndo wakwanza kufanya dhamb endelea Uht tunakusikiliza
Hukatazi kusomesha lakn tumia njia iliyo fundishwa kwani kunawanawake wangapi wanaelimu nawanafundisha majumbani badlika dada Kwa Allah pya kuna maswali
Unapotaka kumkosoa mtu tafuta njia mzuri ya kumkosoa na sio mipasho tumia hekma kwa mfano ingependeza zaidi kutumia burka usionekane sura yako hapo kidogo ingependeza zaidi Allah atuongoze zaid samahani kama itakuwa nimekukwaza kwa kukujibu😊❤
@@haroubhbm5728 umeongea vzr ila ukitazama comment yangu ya mwanzo katka hizo comment mbili nilizo tuma utaelewa kua nimeanza vip kwahvo nashauri hakikisha unajibu kwa kuelewa alicho ongea mtu sorry
@saidobongo912&haroubhbm5728:Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Ukhty Fatma anaongea vizuri hakuna mipasho,mm napendelea aelimishe mitandaoni
@@mamuamtoto mimi cjasema yakua hazungumzi vzr bl uisilam hauruhusu mwanamke kutangaza dini kwa njia hyo
Hongera dada yetu kwa kuzungumza na wanaweke wenzio na kuwpa elim
Mashallah
Mashaallah