Raddi juu ya Uongo wa Muhammad mafuta kwa Sheikh Nassor Bachu||Muhammad Bachu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 235

  • @jamalturky9001
    @jamalturky9001 2 роки тому +11

    Al Marhum Sheikh Nassor Bachu alikua anaijua manhaj hayo kabla ya wao kuzaliwa wote hao... Allah ampe. Pepo Ameen

  • @ummatchannel4300
    @ummatchannel4300 2 роки тому +14

    HAKUNA BID-A KUBWA INAYOTAFUNA UMMA KAMA HAYA MAKUNDI YANAYOUNDWA LEO, AMBAYO HAYAKUWAPO WAKATI WA MTUMEﷺ.

    • @universitylink
      @universitylink 2 роки тому

      Sorry typing error student not students

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 2 роки тому +1

      Dini ya Uislamu Duniani ni Dini ya tangu zama za manabii wa Zamani. inafundisha kumuamini Allah na kumuabudu na kushikamana na kamba ya Allah bila kufarikiana.
      wanaojiita viongozi hali ya kuwa wanaongea huku wakipanda mbegu mbegu za chuki wajue mbegu hizo ndizo zinasababisha kuwapo vikundi vikundi vinavyozozana. Kwa hivyo, tuwapuuzeni

    • @cheapunderage8228
      @cheapunderage8228 Рік тому

      Ni kweli kabisa akhy…ila pamoja na yote rasulli lillah swallau alley wasam alisha tabiri atakae ishii umri mrefu ataona itlaf nyingi

  • @mamakemusab2011
    @mamakemusab2011 2 роки тому +3

    Allah akupe subra sheykh Mohd bachu Ila sisi waja wa mwenyezi mungu tunamtokea ushahidi sheykh nassor bachu alikua nfano mwema na kiongozi mwema Allah amrahamu na amkunjulie akhera yake.mm kuinukia kwangu nimeyaskia mawaidha ya sheykh nassor bachu iweje wanamkashif sheykh

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 роки тому +4

    Wallahi this boy Mohamed Bachu is a blessed boy with knowledge, wisdom na ufasaha wa lugha. Masha Allah

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 2 роки тому

      Pongezi kwa matamshi yako mazuri. Tuweni wakweli. Tuacheni kuvunjiana heshima

    • @ashrafseif9460
      @ashrafseif9460 2 роки тому +1

      Lakin sheikh bacho ALLAH AMREHEM HAKUWA NA TABIA YA KUPANDA KWENYE MITANDAO NA KUSHAMBULIANA NA WATU. NI BORA KUIGA TABIA HII,

    • @ashrafseif9460
      @ashrafseif9460 2 роки тому

      Halafu nyny mashekh mnapondana mitandaoni then ET mnaombeana hifadhi ya Allah huon mnachangannya watu

    • @ashrafseif9460
      @ashrafseif9460 2 роки тому

      Sheh bacho aliutoa ummah ktk bidaa nying tumpe heshima yake

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому +13

    SHEIKH NASSOR BACHU, NIKIPENZI CHA WANA SUNNAH KWA WAJUWAO LUGHA YA KISWAHILI,
    TUNAMUOMBA ALLAH AMRAHAMU NA AMSAMEHE MAKOSA YAKE..
    WASEMAO KWA UBAYA, HAJUI SHEIKH AU HUENDA NI UHASIDI WAO TU.
    ALLAH AWAONGOZE

    • @ibnuali6857
      @ibnuali6857 2 роки тому

      Hakuna sheikh ninaye mpenda kama sheikh nasor bachu Allah amrahamu

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      @@ibnuali6857 sasa hao masalafi wamepata wapi eti wao Ndio wamemlingania?

    • @saidimadzumba2266
      @saidimadzumba2266 Рік тому

      Huyo jamaa (mafuta)ni mtaka sifa! SHEIKH Nassor Bachu amefanya daawa mzuri sana!

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 2 роки тому +2

    Allah akuhifadhi, na endelea kuelimisha umma, tunakupenda kwa ajili ya Allah shekhe Muhammad Bachu

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 роки тому +1

    Shukran jazzaka ALLAH kheir sheikh wangu

  • @TheOthmoney
    @TheOthmoney 2 роки тому +3

    MIMI SINA ELIMU KUBWA , ILA NNACHOJUA KUWA WAISLAMU NI NDUGU! WALLAHU A'ALAM

  • @mumajadkhatwab2180
    @mumajadkhatwab2180 2 роки тому +3

    Bila kukosea watu heshima wallahy kuna namna mzuri sana yakulinganiana ila nyinyi munapenda mizozo lau ingekuwa dini mtume ametuachia sisi saa hii bac isingefika mahali kwa midomo yenu michafu yakutupiana maneno kama nyimbo za tarab.. tumeambiwa tulinganiane kwa hikma na mawaidha mema... kisha shida kubwa ni kujigamba kuwa muko kwa haki mia fil mia ni kama mulikuwa wahyi ukiteremka...Allah atuongoze sote Amiiiin

  • @masudbasra566
    @masudbasra566 2 роки тому +2

    Ndugu yangu achana na watu wasioijuwa dini bachu nisheikh mzuri sana mola amrehemu

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 2 роки тому +5

    Ukisikia tu mlio wa maji ujue unakuja kuzima moto(unao kula thamani ya sunna) 🌊~🔥

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 2 роки тому +1

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 2 роки тому +9

    Jamani kwani kama hujamjibu si atakujibia Allah?
    Mohammed Bachu Mawaidha yako ni mazuri. Sasa kama kuna watu hawapendi kukuona katika umri ulionao na kuweza kutoa mawaidha bila kubabaika huwenda wengine hawapendezewi kutokana na ufahamu wako kuwa mkubwa kuwapita wao.
    Nakusihi waache wakubeze na wala usiwajibu, Allah atakujibia.
    Maana kama utaendelea kuwajibu kila mmoja watu watakusema vibaya na watahusudu.
    Jikinge kwa Mwenyezi Mungu kisha endelea kufanya kazi ya Allah malipo yako atakulipa ‏‏Allah.

    • @abdallahmohamed8433
      @abdallahmohamed8433 2 роки тому

      Swadakta

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 2 роки тому +2

      Acha wajibiwe usiifiche haki. uovu uondolewe kwamikono au kwa kusema na kuchukia .madam uwezo wa kusema haki upo basi haifai kuificha haki ili watu wabainikiwe malipo kwa Allaahu yapo palepale na ujue kunawatu wanafaa kua ubao ili kuwasomesha wengine na tujue usahihi ni upi. Ukisema akae kimya itaonekana nishutma za ukweli kikubwa tu nikutoanza ila wakianza wajibiwe ili nao pengine wakajua haki wakaifata pengine nao hawajui wakidhan wapo sahihi. Acha tuelimishane kupitia yote haya .

    • @ahmedjuma2674
      @ahmedjuma2674 2 роки тому

      Waache wakosowane mpaka wakaesawa

    • @AW-vt9pw
      @AW-vt9pw 2 роки тому +1

      Tujikumbushe katika clip za Marhum Sheikh Nassor Bachu

  • @najashrk3738
    @najashrk3738 2 роки тому +3

    Sikuzote unapousema ukweli hutofurahisha watu wenye kuongeya uwongo maaana nisawa umewazibiya njiya yao ya upotovu. Utasemwa utachukiwa nahutokaa kuwapendezesha wao..Ittaki llaha. Endeleya kutuelimisha Allah akulinde nauwaduwi wakila aina Aaamin

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 2 роки тому

    Allah akulipe kheri. Mm nakufahamu sana sheikh wangu na nakupenda kwa ajili ya Allah.

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 2 роки тому +3

    Asalam alykum
    Shekh wangu Mohamed bachu nakuimba utubainishie matatizo ya Shekh Qasim mafuta
    Kwa sababu Mimi nikipenzi chake kama vile wewe nikipenzi changu ktk walimu ninao fadika nao ahesnte
    Mungu atuhifadh sote

    • @neemafatu7885
      @neemafatu7885 2 роки тому +1

      Hata mimi nashangaa sana.hawa woote ukiwasikiliza ,wanaongea SUNNA tupu.sasa kwa nini walumbana.NACHUKIA SANA.

  • @abuuyunusnassor446
    @abuuyunusnassor446 2 роки тому +3

    ni maneno ya wazi kabisa na yenye kufahamka kutoka Muhammad Nassor bachu (حفظه الله) Maa shaa Allah
    Makundi katik dini yanasababish mfarakano katik din ya Uislamu bila ya shaka

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому +1

      Hii Ndio azma ya usalafi
      Maana usalafi ni fitna ya Kushughulisha waislamu wasahau changamoto zao
      Kazi yao ni mipasho na kusutana tu

  • @binbajoun7918
    @binbajoun7918 2 роки тому +1

    Ahsante Allah kuhifadh azidi kukuongoza

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 2 роки тому +1

    Ndugu zangu wasikilizaji tusiwaige mashekh wanao tukanana kielimu wanamema mengi Sana hao wakiwa sio wachawi Wala washirikina wanadaraja kubwa mbele ya allah

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 2 роки тому +1

    الله يبارك فيك يا شيخنا

  • @JumaShundi-tn9pf
    @JumaShundi-tn9pf 4 місяці тому

    Assalaamu alaykum warahmatullah....
    Nasaha.
    Msiwaseme marehem wénu vibaya,
    Mtume amekataza jaman
    Dunia inakwenda wapi!?

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 2 роки тому

    Sipendi kukuona tofauti,migongano,ugomvi baina ya Masheikh wetu.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 2 роки тому +1

    Allah atakulipa Maana unafanya kazi za mitume.

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 2 роки тому +2

    Sina la kusema ila niseme tu wallahulmustaan 🤲🤲

  • @موسعلی-ه8ث
    @موسعلی-ه8ث 2 роки тому +1

    ماشاء الله 🙏🙏

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      Nothing to translate
      This is true colour salafy
      It's here to bring chaos in Deen

  • @hassanalbasq3160
    @hassanalbasq3160 2 роки тому +3

    Acha kibri FUATA HAQQI NAKUNASIHI KAMA MWANAFUNZI MWENZANGU!! ACHANA NA BAHIZBI HAKIKA WATU WA HAQQI HUKAA NA WATU WA HAQQI.

  • @abdulazizi2475
    @abdulazizi2475 2 роки тому +1

    Hakika jambo kubwa kwa wanazuoni ni kuibadilisha jamii kwenda katika wema au ni kusubiri mwanachuoni ateleze adogoshwe na kufundishwa kusoma na kuambiwa hafai
    Jamii yetu inafaidikaje na midahalo ya wenye elimu

  • @ahmedhusseinshnoor1210
    @ahmedhusseinshnoor1210 2 роки тому

    Kuna ubaya gaani kusema Alijuwa haki mishoni ya umri yake ?? Sema Alhamdulilah Kama Baba yako alikufa juu yaki rahimahullaah sheikh nasir bachu .

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 2 роки тому +3

    Hawa masalafiya wanachugua mashee na kuwatoa na kuwavunjia heshima mashee wengine.kundi hili la kuwachagua mashee na kuwa na kiburi halipaswi kufuatwa.

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 2 роки тому +14

    Allah atuongoze soote na nilisha fatiliya radd nyingi tofauti kwamakini mm mBurundi ila nawez kusema Ma Sheikh wa Kisalafi wa Tanzania wanafanya kazi kubwa saana East Africa kwakuilimisha watu na kuijuwa manhaj sahihi Allah awalipe kheri kwa ilo. Imma kuusiyana na Usalafi Jadida kwakweli uyo usalafi jadida sio ambao wanao kwa ushahidi wa Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadhi alio utowa kweny MUHADHARA leo baada ya sala ya Asri na ambao wanamzuliya et ni hizbi,... wameamuwatu kumwita ivyo ila Haqqi itabaki kuwa haqqi

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

      Sana Allah awaifadhi wametutoa vumbila macho kwa mambo. Mengi saba na Nassor bachu ametu vumbua Sana mm namuelewa Sana muda mwingi na sikiliza Mawaiza yake

    • @karimulahiabdullahi6816
      @karimulahiabdullahi6816 2 роки тому

      Nataka unambie mtu anayejiingiza kwenye mataasisi sio Hizbi? Au ushabiki unakusumbua ww

    • @abdallahmoussa614
      @abdallahmoussa614 2 роки тому +1

      wapi uliona ushabiki kweny Dini ya Allah

    • @karimulahiabdullahi6816
      @karimulahiabdullahi6816 2 роки тому +1

      Si ww hapo ni Shabiki wa kasim mafuta. Na mna tabia ya kuyafumbia macho maovu ya kasim mafuta lakini maovu ya wengine mnayasema mpaka kesho. Mumefitinika nyie Allaah awarudishe mahizb wote pamoja na nyie katika Haqq

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

      @@abdallahmoussa614 ndugu yangu katika Iman kunawatu siowaelewa Dunia hata umuelekezetu vipi waoni ushabikitu na sifa pepoyao Duniani kwakusifiwa ukisimama kwenye Haki uchukiwa. Kwahiyo usibishanenao kaakimya Allah atoipa kilammoja kutoka Ana anachokitanda

  • @mikealeck6447
    @mikealeck6447 2 роки тому +3

    watu wengi wanashindwa kuelewa , sheikh Nassor Bachu alikuwa elimu yke ni msaada kwa ummah, hawa wasasa elimu ni msaaada kwa ajili ya vikundi vyao na nafsi zao, huko Tanga ndio balaaa.

    • @abuukwacha2438
      @abuukwacha2438 2 роки тому

      Maalim unashughulika na watu ambao elimu zao bado

  • @rsbjvjdjgh2181
    @rsbjvjdjgh2181 2 роки тому +2

    nimesikia sauti ya kipenzi chetu mwalimu wetu hadi machozi yananitoka Allah ampe pepo ya firdaus jirani yake awe bwana mtume S.A.W mimi napenda sana kwaajili ya Allah muhhamad bachu wavumilie tu samehe wenyewe tunajua kazi aliyo ifanya baba yako Allah ampe firdaus l aallah

  • @arnoldisaya2907
    @arnoldisaya2907 2 роки тому +4

    Kajifunze kwa Dr ISLAM MOHAMEDI SALIM Huenda INSHAALLAH ukatambulika wewe ni manhaji gani maana hatukuelewi

    • @jumaothman9449
      @jumaothman9449 2 роки тому

      Nani aende kujifunza

    • @saadiashariff5377
      @saadiashariff5377 2 роки тому

      Mashaa Allah Allah amuhifadhj Dr islam Muhammad. Ameen thumaa Ameen

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 2 роки тому +1

      Huyo Dr.ISLAM wenzio masaraf wanampinga zipo crip za Kassim Mafuta amesema Dr.Islam sio sarafu kwasababu hauzungumzii huo usarafi

    • @Zainabnoor0087-ze
      @Zainabnoor0087-ze 5 місяців тому

      ​@@mgazamhina840majadida wamempiga Red card DK Islam bila hoja,! kweli ujadida ni uvundo

  • @ahmedseif743
    @ahmedseif743 2 роки тому

    Shukran Maalim wetu tutavumilia INSHAALLAH

  • @hessenomary6032
    @hessenomary6032 2 роки тому +1

    Mropokwaji umekimbilia kulingania kabla hujawa na ilmu. Kaa chini usome ibn baachu

  • @arnoldisaya2907
    @arnoldisaya2907 2 роки тому +3

    Mbona unashilikiana mashekhe waliopinda mfano shekhe kishik

  • @adensir630
    @adensir630 2 роки тому +1

    Mie Wallahi hakuna mtu niliuekuwa na mpenda katika walinganizi was dawa salafiyya zaidi ya Nassoro bachu رحمه الله تعالى...Naumia Sana kuona watu bado wanamuhisisha katika maswaala ya Raddi..

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 2 роки тому +1

    Mashekh wa Leo wote Tz muigen hekima za Nasor Bacho rehmahulau nyie wengine ni makund tu

  • @ummesaniyah
    @ummesaniyah 2 роки тому +1

    Huyu mafuta na salafi wenzake Wana dharau na kibri kikubwa...na hii ni ishara ya upotofu wao au misguidance. Alama yao kubwa ukosefu wa ilimu, uelewaji mdogo , ukosefu wa adabu na ukosefu wa akhlaq... Allah kawanyima hizi khair zote...
    Allah awaongoze ndugu zetu hawa...

  • @farajimtana123
    @farajimtana123 2 роки тому +1

    Ila tunge jibiwa lile la Million 200 watu wange rudisha Imani ila kwa sasa ngoja tukae kwanza upande wa Sheikh QASSIM MAFUTA.

  • @abuuyunusnassor446
    @abuuyunusnassor446 2 роки тому +1

    Mtihan kwa kweli Hatari

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq Місяць тому +1

    Muhammad mafuta huyu kijana Ana maneno machafuu Sana na anajinasibisha na usalafi ila sio salaf ni hizbu salaf Ana mdomo mchafu mnoo

  • @salmasaady3989
    @salmasaady3989 2 роки тому

    Wewe ni fundi unajua pambana Allah atakulipa tupe elimu shekh mtoto wa nyoka n nyoka

  • @nassorsalum9110
    @nassorsalum9110 2 роки тому

    Huyo hamjui vizuri Nassor Bachu.

  • @ramadhanmakame6313
    @ramadhanmakame6313 2 роки тому +2

    Muhammad Buchu ndugu yangu watafute ni kina nani walomfata sh. Nasor na akaikubali dawa.
    Nani walomfata sh. Nasoro.
    Na kutumia vitabu vya sh.Alban dalili ya mtu wa sunnah.
    Kwani kuna watu wangapi wanatumia vitabu vya watu sunnah na si katika watu wa sunnah.
    Kama huna cha kusema nyamaza sio lazima useme.

  • @ibrahimsiddiq4018
    @ibrahimsiddiq4018 2 роки тому +5

    Wewe ndo urudi kwenye njia ya sawa hizbiy salafiyah ipi ya Qassim Mafuta? Usalafiyah umehuishwa na Abulfadhwil qassim mafuta kutoka kwenye u Answar Sunnah!! Yaani wewe huna unalolijua maana sisi tunajua taasisi ya Answaar Sunnah na madudu yake yooote

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      Huu Ndio ukweli kuhusu salafi maana ni fitna ilioingizwa kwenye dini kutubabaisha

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 2 роки тому

      @@abuuabuu4831 wewe mfata mkumbo Wala hujui ulisemalo na madai yako ni batwil na labda upewe udhuru wa kutofaham nini Manhaj Salafy

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      @@ibrahimsiddiq4018
      Manhaj Salafi ni fitna iliopandikizwa kwenye Uislamu kutushughulusha na kufanya waislamu waitane Majina mabaya
      Huwezi kudikia wanazungumzia mambo ya ghaib wala changamoto za waislamu zaidi ya kurushiana vijembe. Kusutana. Kubezana n, k
      Nassor Bachu Allah Amrehemu alikua anazungumza mambo ya Mauti. Kaburi. Qiyama n, k
      Alikua anazungumzia ubaya wa Zinaa. Riba n, k
      Lakini nyie ni mabingwa wa Kusutana

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 2 роки тому

      @@abuuabuu4831 hayo ndio unayoyajua kwa sabb waskiliza mihadhara tu na sio darsa... We nahisi hujui tofauti ya darsa na mihadhara. Mihadhara hio ya kuraddi hayo hayatakosa na yana asili ni misingi kutoka kwenye Qur'an!!! Allah amewaraddi Wengi katika Qur'an. Ama ukija kwenye darsa walohifadhi Qur'an, hadithi na aqeeda Sina hesabu maana ni wengi mno alhamdulillah. Hii dini lazima iende kwa kukataza na kuamrisha mema. Kuraddi ni sehem ya dini kuelimisha ni msingi wa dini kwa hio usijeghurika na mitandao njoo soma dini kaa kwenye halaqat za elimu utaelewa uhalisia

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      @@ibrahimsiddiq4018
      Sina muda wa kusoma mipasho na kusutana
      Nitafutie speech moja ya Nassor Bachu anakufuriaha na kulaani waislamu kama hao masheikh wenu
      Leo wanakwambia TV imaan ni Haram kesho wanakwambie sio
      Yaani hawa ni fitna kubwa Sana kazi yao ni kuchanganya ummah ili tupingane na tuuane
      Kule Somalia salafy wamewasha moto nchi na hapa Tanzania bado kidogo tutaanza kuuana kwa sababu mnapandikiza chuki sana nyie

  • @husseinjuma6865
    @husseinjuma6865 2 роки тому +1

    Usiwatwani mashekh wetu sisi tunawaheshim km tunavyo muheshim babayk

  • @mwajitajunior7633
    @mwajitajunior7633 2 роки тому +1

    Tunakuelewaaa ndugu Sheikh Muhammad endeleaa na daawah

  • @abubakarsaidi6658
    @abubakarsaidi6658 2 роки тому +1

    Habar zako zimeishaa kijana rudi katk mstari ziendelee

  • @yousufantari8776
    @yousufantari8776 2 роки тому

    Nyie mashehe nyote wazinguaji tuu sasa, Mmekuwa hamna kazi za kufanya kufapigana vijembe tuu.

  • @khamisjuma3899
    @khamisjuma3899 2 роки тому

    Kazi ipo

  • @tasliyaah
    @tasliyaah 2 роки тому +1

    Hakuna kikundi kilichotengenezwa wacha kuropoka fuatilia mambo al akh hizo ni tuhuma za uongo za barahiyani
    ALLAAH akuongoze uijue Haqq manhaj salaf
    Aamiyn

  • @arnoldisaya2907
    @arnoldisaya2907 2 роки тому +2

    Nahaya mapichapicha mara kenye profile ya UA-cam mara kwenye title ndio misingi ya manhaji salafi au ndo nini

  • @bilo1106
    @bilo1106 2 роки тому +2

    Mm nko na miaka 43na nilianza kumsikiza shekhe nassoro bachu nikiwa na miaka 19 na tayar alikua wa alhsunna kama mtu hakubal sikizen clip zaka za miaka hiyo alafu si muache hivyo vidaku vyenu kwan viko na faida gan jaman...mtu hataka hukusoma jiuulize nabii muhmmad alipiga maulid ama alipigiwa...kama kapiga yye tupige ...kama alipigiawa hiyo sio sunna maana sunna nikufanya alichokifanya basssssss...

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 2 роки тому +2

    Mawahabi sasa mmeingia hatua nzuri ,mnapaluana nyie kwa nyie ,kwenu hakuna kheir hata kidogo

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 роки тому +2

    Tumekufahamu vizuri sana. Endelea kutuelimisha tuko pamoja na wewe

  • @abishafiqabishafiq6065
    @abishafiqabishafiq6065 2 роки тому +1

    Mawahabi hamna akili mtapigana wenyewe 😄😄😄🤣🤣

  • @alkhalilmussa5633
    @alkhalilmussa5633 2 роки тому +2

    Huna jambo weeeeee salafi gani nyie saaa iviii mnagmbana nyinyi kwa nyinyi aoooi

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 8 місяців тому

    Njia sahihi ni kufuata sunna .

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 2 роки тому +1

    Wawe na adabu katika kuwakosoa masheikh zetu. Warudi wakamsome Sheikh Nassor Allah amrehemu. Sheikh kapitia vitabu vya masheikh tofauti na zaidi Kwa Sheikh Albani.. sasa hawawanaokuja wakisema sheikh kajua Haqq mwisho wa uhai sasa yy uyo Mafuta ataijua lini. Watu wasijifanye wana elimu ili waitwe aalimu. Na wafahamu.. kuna Hukumu Mbele ya Allah nani ataonekana alisoma dini kuwafahamisha watu na nani alisom kwa kutaka aitwe yeye ni Aalimu.

  • @mwajitajunior7633
    @mwajitajunior7633 2 роки тому +2

    Hawaa wapuz kumbeee...? walikuw wapi mwanzo nassor bachu alipokuwa analinganiaaa hawa watu elimu zao haziwasaidiiii hazina faida Kwa nafsi zao watambadlisha naniiii

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      Hii Ndio salafi hakuna chochote Bali kuleta firqa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

    Kwani MUNGU ndiye anaejua Kwayote she He wetu ww ungeyaachatu kwani hata wakisema kweri uwongo tu acheni sifa kwa watu takenisifa kwa Allah mmebaki kusema a mm ss hivi mnauzi kusema na

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 2 роки тому

    Mm niko na wewe mdogo wangu shekhe mohamed usirudi nyumaa wape elimu mpkaa wananyooka kwa uwezo wa allah

  • @nassorsalum9110
    @nassorsalum9110 2 роки тому +1

    hao masalafi wa siku hizi hebu wachunguzeni vizuri. ninawasiwasi wanatumia kilevi hawa

  • @simaiabeidussi8138
    @simaiabeidussi8138 2 роки тому +2

    Radi hata sumbawanga zipooo!!!

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 2 роки тому +2

    watu waliokufa hali yakuwa kabla daawah haijaingia tunawahesabu vp??

  • @islamforurope2340
    @islamforurope2340 2 роки тому +1

    WEWE UNAFATA MANHAJ SALAF IPI? MANHAJ YA SALAFI NI YA KUANDIKISHANA UANACHAMA? TANGIA LINI
    WE NI KAHIZB TU HUNA LOLOTE, HEBU TUAMBIE KADI YAKO YA UANACHAMA NI NGAPI?

  • @ummaumona6593
    @ummaumona6593 2 роки тому

    Naona ulisema humjibu abul Abbas juu ya mada hii au maneno yamekaa sehemu yake weye mpumbavu jahili
    Ruwaybidwaaaaa

  • @kassimfahmiashursalim4128
    @kassimfahmiashursalim4128 2 роки тому

    Si ukae usome Kwanza we kijana bado mdogo Hata miaka 25 hujafika. Soma kijana washindana na watu waliokua juuuu.

  • @ngundejkassim3252
    @ngundejkassim3252 2 роки тому +3

    muhaddith mohammed bachu??

    • @khadijajuma1928
      @khadijajuma1928 2 роки тому +3

      Nahisi shk Kassim Mafuta Hukumtendea haki kwani aliekusema wewe ni Muhammad Mafuta, sasa Kassim Mafuta Hapo kaingiaje? Sasa wamjibu Mohammad Mafuta au Kassim Mafuta?!

    • @siafuonlinetv
      @siafuonlinetv 2 роки тому +1

      @@khadijajuma1928 AWO WOTE NI PUNDA NA PANDU YAANI JORA MOJA

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому

      @@khadijajuma1928 umeonaee ssa wanataka kugombanstu bas

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 2 роки тому +2

      @@siafuonlinetv km hao punda weye nani au ngurue?

    • @zawiyatanzaniatraders8449
      @zawiyatanzaniatraders8449 2 роки тому

      Allah akuhifadhi na akupe upto mkubwa wa kielimu

  • @husseinjuma6865
    @husseinjuma6865 2 роки тому +1

    Ww mu/bachu kasomeww acha upinzani

  • @thethreesistercaves6414
    @thethreesistercaves6414 2 роки тому

    Asalam alaikum ustadh

  • @khamissalum8906
    @khamissalum8906 2 роки тому

    HATUTAKI KUGAWANYWA.. MTAFUTE UMPE MKONO TUUNGANE DINI IWAFIKIE VIZAZI VYETU IKIWA NI MOJA TU..

  • @aminirashid2833
    @aminirashid2833 Рік тому

    Mohammed bachu nenda kasome chini ya wanachuoni wanaoijua hakki bado elimu yako ni changa Sana tu

  • @Blitzplayz615
    @Blitzplayz615 2 роки тому +1

    Jamani sipendi mashek wakujipizana mutume muhammed salallhu alehiyi wadalam alipituya mingi kwenye tawa zake aka subiru lakini masheki hawa wana jibizana 2 hiyo ni sifa mbaya

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 2 роки тому

    Mafuta ni yakupikia mboga na ugali shekh tonge Hawa!
    Wapi na wapi watu kama Hawa kuacha pesa wakashikana na dini

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 2 роки тому

    Maneno ya mtumi swalla Allahu alayhi yatimia umma kugawanyika vikindi 72 SASA haya simageni cha 73 ndio cha peponi musidanganyike nacho ni twariqa

  • @MohammedAli-mf3ln
    @MohammedAli-mf3ln 2 роки тому

    Mashehena wa tanzania tende zitawatiya motoni - mtume muhamead alikuwa dhehebu gani

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 роки тому

    Sheikh Mohammed Bachu leo umenichekesha kwl wasema Mohammed mafuta afungwe kamba

  • @khamissalum8906
    @khamissalum8906 2 роки тому

    MTUME ALITUFUNDISHA NJIA HIYO KWENYE KUKOSOANA?

  • @nasrikileo
    @nasrikileo 2 роки тому

    😀😀😀 daah, itafuteni kweli ya Mwenye Vyote (Mun hunguu) sababi mmepewa akili..

  • @rwandasaid4388
    @rwandasaid4388 2 роки тому

    Sasa hivi mmewacha watu wamaulidi mnagombana wenyewe kwawenyewe mpaka wanagombana na watu wamaqaburini subbhanallah fanyeni istighifar

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 роки тому

      Usalafi ni fitna ilioanzishwa na makafiri
      Wanetukana masheikh wengi sana sasa wamejirudia wenyewe

    • @soudsoud7330
      @soudsoud7330 2 роки тому

      Ni shida kwa kweli

  • @farajimtana123
    @farajimtana123 2 роки тому

    Hata mimi namkubali sana Sheikh wetu huyo Allah amrehem.
    Ila mimi naona una jikanyaga. Mantiki ni kafikishiwa. Je baada yako alifikishiwa hiyo dawa alikubali au alikataa jibu alikubali.
    Sasa kama walio mfikishia baba yako na akakubali na akarekebisha baadhi ya mambo vipi wewe uwakatae na uwaite majadida
    Mimi naona kijana unajikanyaga sana hebu fuata haki.
    Acha kutafuta Umaarufu

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 5 місяців тому

    yaani kuna watu wanawaingiza watu ktk sunna na pia wanaweza kuwatoa! nyie majamaa

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому

    Sasa waliomfikishia Ni Nani?si ndio hao kina qassim mafuta ambao wewe unawatukana

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 2 роки тому

    Sheikh wangu andika Abu Muhadith sio Muhadith Video yako.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 роки тому +1

    Hadi maiti hapati amani na Hawa washenzi

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 2 роки тому +4

    ichi kibaleghe kijinga kwel we huku hasa unyamaze mada za watu hizi huziwez em kasome uko

    • @rahmaabdillahi2795
      @rahmaabdillahi2795 2 роки тому +1

      Mtihani ulioingia ni viburi vya wenye elimu na kujitapa kuwa kila mmoja ni bora.... Allah awanusuru.

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 2 роки тому

      we dada ttzo humjui huyu ndo maana lakin watu km hawa mtu wa kawaida hawez kuwajua ila wale wenye kujishuulisha na kusoma na kuitafuta haqq

    • @rahmaabdillahi2795
      @rahmaabdillahi2795 2 роки тому +1

      @@mhrmahir3756 Elimu ya dini humjazia mtu iimaan akawa mpole hata akitukanwa na majaahil huwa hayuko tayari kupambana ili ajiinue yeye labda kupambania haqq.... hivi vita vya ubinafsi havisaidii dini.

    • @rahmaabdillahi2795
      @rahmaabdillahi2795 2 роки тому

      @@mhrmahir3756 Wallahu Ya'alamu

    • @kherimkose3669
      @kherimkose3669 2 роки тому +1

      Mashaallah wewe Dada upo sahihi

  • @eshasalim3660
    @eshasalim3660 2 роки тому

    Alhamdulillah napenda vile unavyozungumza ukweli na kufafanua na huongopi kusema haki Allah akuhifadhi

    • @allysekondo2920
      @allysekondo2920 2 роки тому

      Jamani kujiita salafi ni bid'a ,hakuna swahaba wala wajawema waliotangulia waliojiita salafi,je nyinyi mumepata wapi kijiita salafiy,acheni uzushi nyinyi ndiowatu w bid'a.

    • @ShilQingqingriginalsquaredance
      @ShilQingqingriginalsquaredance 2 роки тому

      Tunashkuru kumjua shekh Qassim mafuta Kama ni mtu wa sunna msikilize Zaid utafaidika

  • @MohammedIssa-z1k
    @MohammedIssa-z1k Рік тому

    sasa tayari muko makundi matatu salafiyun,hizbi na sunna muhammad je lipi kundi sahihi ambalo nilapeponi?ebu tufahamisheni ss wanafunzi wenu tujue

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 2 роки тому +1

    munauwasha moto uendelee kutafuna suna badala yakuuzima

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 2 роки тому

    Mbona humjbu shekh hadi Leo. Hahahahaha. Kelele tuu

  • @abubakarsaidi6658
    @abubakarsaidi6658 2 роки тому

    Huoni kua watu wasiokua katk sunna ndio wanakupend kulik waliokweny sunna hujajijua tu kua kijana unamatatizo

  • @rajabkigo2760
    @rajabkigo2760 2 роки тому

    kwani mtume alikuwa dhehebu gani?

  • @ABUUALLY-b3t
    @ABUUALLY-b3t Рік тому

    Nyinyi mawahabi si katka Ahlu sunna wa ljaamaa mumejipachiaa tu 😂kama kweli hasaa basi hebu tufafanulieni nini uwabahi na hii madhehebu yenu imetoka wapii! Maana ni watu mlozukaa tu hatukujueni na me natamani kukujueni ! Kwahiyo sheikh muhammad bachu tunaomba muweke darsa inayo husu historia ya mawahabi tupate kukujueni ambao munajita masalafi

  • @ismailyusuf3755
    @ismailyusuf3755 2 роки тому

    Sheikh ALLAH akuhifadhi endelea kuwaeka sawa hawa wenye usalafi feki wala usichoke mm naimani watakuelewa tu siku moja japo hawa watu hata darasani pia wana akili ngumu

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 роки тому

    Izi ndendebwe za masalafiya JADIDAH wakina mafuta wamejitokeza bidah na suna zimebainika

  • @malcomx2774
    @malcomx2774 2 роки тому

    mumekosa KAZZZZ tokeni zenu na ujinga wenu

  • @MohammedIssa-z1k
    @MohammedIssa-z1k Рік тому

    uzuri wenu nyie Allah kawapa uwezo wakuhukumu kila mtu nakumtabiria wamotoni na wapeponi yani munavojiona nyie nibora kuliko mtume saw

  • @hashimsaid5546
    @hashimsaid5546 2 роки тому +2

    Eti alifikishiwa daawa Ina maana ilikuwa wapi au nyie ndio mmeileta?