ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ Tunawashkuru sana kwa kutuekea mambo mengi yenye faida na kuzijenga imani zetu, Allah azidi kuwapa nguvu ya kuyafanya hayo, na awalipe malipo yalo mema. Pia ombi langu kwenu mututafutie recordings zaidi za Shaykh Nassor Bachu رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ Hususan series ya RIYADH AS SWALIHEEN, na pia series ya FIQH SUNNAH.
Allahumma ghfir llahu warhamhu...
Ma Shaa Allah ❤
ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ
Tunawashkuru sana kwa kutuekea mambo mengi yenye faida na kuzijenga imani zetu, Allah azidi kuwapa nguvu ya kuyafanya hayo, na awalipe malipo yalo mema.
Pia ombi langu kwenu mututafutie recordings zaidi za Shaykh Nassor Bachu رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ
Hususan series ya RIYADH AS SWALIHEEN, na pia series ya FIQH SUNNAH.