Vyakula tofauti wakati wa ramadhan | Matobosho ,Tambi , Viazi na Ndizi za nazi, Kunde za nazi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Website:rukiaskitchen.com
    Facebook: Rukias kitchen
    Instagram: Rukias kitchen
    Cookpad: Rukias kitchen

КОМЕНТАРІ • 96

  • @user-gv4xn6ro9y
    @user-gv4xn6ro9y 5 місяців тому +1

    MashaAllah Allah akujazi kheri kwa mapishi mazuri sana❤😢

  • @mumtaaz1888
    @mumtaaz1888 4 місяці тому

    Maashallah chakula cha sukar ukiweka chumvi kidogo just like pinch chakula kinazidi kuwa tam jaribu kipenz uone, ila samahan kama nimekukwaza

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 місяці тому +1

      Asante huwa naweka watu mombasa we call it kikolezo 😋👌

  • @ruiyaruiya8111
    @ruiyaruiya8111 4 роки тому +6

    Mashallah, hongera saana hasa kwa hivyo vitobosho maana navipenda saaana ila leo ndio nimejifunza hasaa jinsi vinavyopikwa. shukran.

  • @ngulowitness171
    @ngulowitness171 4 роки тому +4

    Asante Dada unaeelekeza vizur, nami ntajaribu kupika.

  • @MormeIlania-yp1tt
    @MormeIlania-yp1tt Рік тому +1

    ManshaAllah shukran

  • @queenayushgal9955
    @queenayushgal9955 4 роки тому +2

    asante sana dadangu kwa mafunzo mazuri ya upishi mungu akubariki

  • @christinahillary3417
    @christinahillary3417 4 роки тому +4

    Ramadhani kama naiona inavyonukia

  • @sultanking9936
    @sultanking9936 4 роки тому +10

    Mashallah kwela dd unajua kuelekeza kwauzuru kifupi naelewa mafunzo yako shukran

  • @Mimi-jr4dn
    @Mimi-jr4dn 3 роки тому +1

    It is the voice and the swahili for me😘 go Ruki go

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 роки тому

    Napenda sana mapishi yko na napika vle umesema ila ila ningependa kujuwa chani mbali mbali ukianzi mwanzo wa kutengeneza shukran sana

  • @ummuwalid779
    @ummuwalid779 5 місяців тому

    Mashaallah mungu akubariki

  • @khadegaseed1413
    @khadegaseed1413 Рік тому

    Mashaallh mwanzo umetuwonyosha tuwi la nazi kwenye tambi lakin hujatwambia umeweka wakati gn

  • @bintjuma6986
    @bintjuma6986 4 роки тому +1

    Maa shaa Allah, ila nakuomba my dada uweke maelezo ivo vitu unavyotia hatua kwa hatua kwa mfano unatia tui bac pajiandike wengine hatuckii

  • @merahnzembi1887
    @merahnzembi1887 2 роки тому

    Hongera dear uko sawa

  • @sabahamuhaji4522
    @sabahamuhaji4522 4 роки тому +2

    Mashallah napenda sana upishi wako

  • @lavalava3304
    @lavalava3304 4 роки тому +2

    Shukran habibty tufanyie sambusa kwa unga mchele

    • @mariamissa1974
      @mariamissa1974 4 роки тому

      Shukraan daa rukky😘😘😘😘mungu akupe umri🙏🏻

  • @roshankhan6893
    @roshankhan6893 4 роки тому +4

    Assalam aliekum MashaAllah Upishi wako Umeni Furahisaha Shukran Jazzak Allah

    • @upendomkilya9862
      @upendomkilya9862 4 роки тому

      Kama nataka kupika kwajiri ya biashr ivyo vitu kweny ramadhan avina galam

    • @zawadinassar6045
      @zawadinassar6045 4 роки тому

      Mashallah asant ddng

  • @kipangasteven7733
    @kipangasteven7733 4 роки тому +1

    Shukrani sana

  • @nsmsle7082
    @nsmsle7082 4 роки тому

    Mashallah ahsante sana Mungu akubaarik kazi safi na nzuri sana

  • @rizikirajab7082
    @rizikirajab7082 4 роки тому +2

    MashaAllah

  • @zeynabwazirkindamba2697
    @zeynabwazirkindamba2697 3 роки тому +1

    Mashaa Allah is yummy

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому

    Maa Shaa Allah,Shukran Sana, Nakukubali Kwa Mapishi Hongera Sana m

  • @zakiakarim2430
    @zakiakarim2430 2 роки тому

    Naomba niulize izo tobosha ukimaliza kutoboa kwa mafuta hazianikwi

  • @zeynabwazirkindamba2697
    @zeynabwazirkindamba2697 3 роки тому +1

    Mashaa Allah yummy

  • @liam8955
    @liam8955 2 роки тому

    Masha Allah shukran habibty. Lakini nataka ku uliza, kwanini tui Zito Lina chemshwa kando na pia bila sukari? Mimi tui Zito Hua nalitia mwisho kwenye viazi. Na sukari Hua natia baada viazi kui a na kabla kidogo kutia tui Zito. Lakini nitapenda kuji funza zaidi kwako, nataka kujua sababu ya tyi Zito ku chemshwa kando na bila sukari na pia Lina nyunyizwa mwisho kwenye plate

  • @hamidurashida7834
    @hamidurashida7834 4 роки тому +2

    Ahsante..kwenye zabibu ndo shida..nilipo sidhani kama naweza hata kuzipata

  • @Qadar-vx4gj
    @Qadar-vx4gj 4 роки тому +1

    Shukran

  • @nimayussuf8341
    @nimayussuf8341 4 роки тому +2

    Mashallah

  • @saudaomar8710
    @saudaomar8710 2 роки тому

    Mashallah, Shukran

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 роки тому

    MashaAllah mapishi ajab😋😋😋👌👌

  • @zuukhamis3857
    @zuukhamis3857 4 роки тому +1

    Asante sana

  • @devothafredrick3911
    @devothafredrick3911 4 роки тому

    Unaelezea vizur sana Dada, Ahxante

  • @ummoislam4832
    @ummoislam4832 4 роки тому +1

    Maashallah

  • @rosechild5021
    @rosechild5021 4 роки тому +1

    I love the way u speak wow beautiful language

  • @sitihassan9439
    @sitihassan9439 4 роки тому +1

    Mashaallah kitu Asili

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 роки тому

    Mashallah 😋 😋 😋 😋 yummy

  • @tamynathani9606
    @tamynathani9606 4 роки тому

    Kesho napika toboshaaaaaaaaaaaa,thank mamy

  • @rihhanahassan2067
    @rihhanahassan2067 4 роки тому

    Shukrani

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 2 роки тому

    Sauti

  • @AsmaMurtaza-tt9iu
    @AsmaMurtaza-tt9iu 4 місяці тому

    Cjaelew ap kweny vtobosha ukimalz kuvpk mafut unavi wek kweny oven au vile vile

  • @mariamcharles9835
    @mariamcharles9835 3 роки тому

    Mashaa Allah Allah akubariki

  • @zubbedatt2771
    @zubbedatt2771 2 роки тому

    Mashaalaah

  • @georgetavalentine4686
    @georgetavalentine4686 4 роки тому

    Rafudhi yako tu na hiyo sauti maashaallah

  • @safiniarashid5299
    @safiniarashid5299 4 роки тому

    Shukran sana

  • @fatmajezan6812
    @fatmajezan6812 4 роки тому

    Thanks for sharing

  • @georgetavalentine4686
    @georgetavalentine4686 4 роки тому

    Unajua sana hongera

  • @linahmvungi8904
    @linahmvungi8904 2 роки тому

    Maharage

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 4 роки тому

    mashaaAllah tabarakah Allah

  • @neveragainneveragain1880
    @neveragainneveragain1880 4 роки тому

    Rukia nakupenda bule💖😋😋😋👍
    Unafa kabisaaaàa napenda mapishi yako! Ebu sikumoja tukutane face to face?mimi ni Jirani yako

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому +1

    Nakuelewa sana Daa Ruki👏👌

  • @MsBupe
    @MsBupe 4 роки тому +1

    Safi sana my dear

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому +1

      Asante sana mpenzi 🥰🥰🥰

    • @MsBupe
      @MsBupe 4 роки тому +1

      @@RukiaLaltia ❤❤❤

  • @zawadinassar6045
    @zawadinassar6045 4 роки тому

    Mashallah honger ddng

  • @jays3349
    @jays3349 4 роки тому

    Silazima kuyakausha na jua

  • @biabumwaruwa3795
    @biabumwaruwa3795 4 роки тому

    Shukran daa ,mate wanidondoka Masha Allah

  • @RahelSamwel-fn2rc
    @RahelSamwel-fn2rc Рік тому

    samahani hiyo lozi inayotumika ni haya maua lozi au ni lozi ipi

  • @eshanasihu1017
    @eshanasihu1017 4 роки тому

    Manshallah

  • @bbykiss5532
    @bbykiss5532 4 роки тому

    Masha Allah wajina nimependa Dada wajuwa masha Allah

  • @liyahmbae9029
    @liyahmbae9029 4 роки тому +1

    Just a question, she sounds like farwat right??

  • @user-gw8lq2qw3c
    @user-gw8lq2qw3c 5 місяців тому

    Kama natumia nazi za pakti sina tuwi jepesi natumia maji, kwenye kunyunyiza ndio naweka tuwi inafaa?

  • @jays3349
    @jays3349 4 роки тому

    Leo najaribu mkate wa sia but umetota

  • @carolinemakena1645
    @carolinemakena1645 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @julietbeka7331
    @julietbeka7331 4 роки тому

    Hongera dada shemegi alipata hapo mashallah

  • @mwamvitafida7746
    @mwamvitafida7746 4 роки тому

    Nakupendaga

  • @pilymuhidinliga9818
    @pilymuhidinliga9818 4 роки тому +3

    Asante dada je hiyo kastad powda ndo nn dear

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому +1

      Inauzwa dukani uliza custard utapewa

    • @pilymuhidinliga9818
      @pilymuhidinliga9818 4 роки тому +1

      Shukrani mpenzi mana nayafatilia kwa uzuri mapishi yako na Mungu akuongezee ujuzi zaidi ya huo ili nasi tujifunze kupitia kwako Inshaa Allah

    • @esthelitambike8732
      @esthelitambike8732 4 роки тому +1

      @@RukiaLaltia I do love you and

    • @safina5013
      @safina5013 4 роки тому

      Custard powder inasaidia nini

  • @aishakibwana5383
    @aishakibwana5383 4 роки тому +3

    Lozi n nini

  • @lizziecn2729
    @lizziecn2729 3 роки тому

    What is lozi in English?

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 роки тому

    Xafi mamy🙌

  • @sabinamakio340
    @sabinamakio340 4 роки тому

    Nilazima mty atumie sukari

  • @djamalinumber1763
    @djamalinumber1763 4 роки тому

    👌🏻😍

  • @aminamohamed4273
    @aminamohamed4273 4 роки тому

  • @chamieadam7138
    @chamieadam7138 4 роки тому

    I luv you

  • @maryndichu879
    @maryndichu879 3 роки тому

    Hiliki in English?

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 4 роки тому +2

    Hayo matobosha sio lazma kuanikwa juan ama hapo sijaelewa dia

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 роки тому

      No huaniki juani

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 роки тому +1

      makopa ayo ndo unaanika muhogo ila vitobwesha no na wengine wanaita vipopoo

    • @shufaashafii967
      @shufaashafii967 4 роки тому +1

      Silazima bt ukianika mazuri MA sha Allah

  • @katrinasaman3585
    @katrinasaman3585 4 роки тому

    tui ndio nini kwa kingereza