MASANJA UNAOWATEGEMEA NDIO WATAKUANGUSHA
Вставка
- Опубліковано 22 кві 2022
- MASANJA UNAOWATEGEMEA NDIO WATAKUANGUSHA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
Jumatano saa9 -12 jioni
Ijumaa saa 9-12 jioni
JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
+255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI
Story nzur sana yenye kufundisha mengi
Wambie washilika wapunguze kusuka sana mtumish wa mungu masanja lakin nimejifunz kitu baba
Big up great powerful message hallelujah from Kenya watching
Ameeeeen bishop blessing you
Amen mtumishi
Nakukubr sanaa
Hyo ni kweli mtumishi amtegemeaye mwanadamu alaaniwe
Amina nimejifunza kitu.....ubarikiwe
Bishop. Ubarikiwe Sana sana.
Amen
Real pastor
Amina amina
Balikiwa mcungaji
Ubarikiwe mtumishi 🔥
Unena mtumishi
Dahhhh nimejifunza kitu aisee dahhh
🙏
Acha hadithi za kizee
Hamna lolotee , mimi nitapenda Sana uwafundishe vijana. Lakini usimtumie Yesu(Mungu) kama mwamvuli.
Hukumu ni ya bwana mwenyewe
Usihukumu Mungu anawatu
Usihukumu Mungu anawatu
Alipata wapi hewa? Stori ya uongo...
Zaburi 34:
7 Malaika wa Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
*MALAIKA WA BWANA MUNGU ANAKULINDA NA HATARI ZOTE SASA NA SIKU ZOTE!!!*
Hii Nchi kila kukicha wachungaji na makanisa yanongezeka siri hasa ya haya yoye ni nini?
sli ya hayaa yonte nkutosegezaa karbu na mungu
Na ww anzisha lako 😢
Amen