Professor Jay anakipaji cha dhahabu. Nyimbo zake kamwe si zakipumbavu, na kama wananchi wangemwelewa anachokisema kwenye nyimbo hii,Tanzania ingekuwa mbali sana. He is the most intellectual and activist musician in Tanzania. I love your music and always enjoy them. From Czech republic
Sio mchezo, hii inaitwa I've may dream. Hakuna shaka kwamba Fasihi iliyo kazi ya Sana iliweza fikisha ujumbe kwa Hadhira, na ndio hii tunaiona kwa Professor Jay na Mwana Fa.
This Guy should be big in whole Africa coz the music he is producing is quality music prof Jay nisha kubali we ni the best tangu kitambo....Guyz enjoy the gud work kutoka kwa prof J n mwana fa
Kuna watu Tunamchukulia mwana FA kama Msanii tu! But mm namwelew kama kiongozi flan mpenda maendeleo! Mungu akusaidie ufanikishe kuwawakilisha wananchi wa Muheza! #Najiskia vbaya polepole akimwta jamaa et Msanii
Hawa jamaa huu wimbo ni kweli walitabiri leo hii 2023 wote ni viongozi wa kisiasa wanatetea jamii dah kweli hiphop inaona mbali ni miaka zaidi ya kumi imepita toka hii ngoma ipigwe..big up legendaries
Someone to give professor a gift,the guy sings real life situation .Maudhui mazito mazito ,Masaulaibuka.Wakenya tuigize Watanzania ,twapenda kusikiza kelele tupu
Wow, Nakumbuka huu wimbo , na sasa 2020 Professor amekuwa mbunge wa mikumi kwa miaka tano , na sasa ni Mwana FA mbunge kwa miaka mitano hadi 2025. , How I wish AFANDE SELE , naye pia . I love old bongo rap .
2024 naitazama hii ngoma na teyari hawa jamaa now wote ni waheshimiwa na wametimiza ndoto zao
Kama unaangalia ngoma hili 2020 gonga like twendsawa watutumetoka mbali asee mkot wamwana FA😁
2021
2021🇹🇿
2023
Wanaotazama hii 2020 like hapa
Malengo Ya Muda Mrefu Hatimaye Yametimia Kikubwa Muda,Kuna Cha Kujifunza Kwenu,#WabungeWawili#💪
Professor Jay anakipaji cha dhahabu. Nyimbo zake kamwe si zakipumbavu, na kama wananchi wangemwelewa anachokisema kwenye nyimbo hii,Tanzania ingekuwa mbali sana. He is the most intellectual and activist musician in Tanzania. I love your music and always enjoy them. From Czech republic
Yeah, coz is very conveyed message in society.
Sure very intelligence in using rap to express social and political issue he is the GOAT in that level
Kweli kabisa
Yes! 2020
Wazo huumba, kutoka wazo mpaka kiumbe! Kama wewe unavutiwa na kitu komaa nacho utafika mbali..like tafadhali
hipo hivyo
mafundi ni mafundi tu, heshima kwenu kings of bongo songs
WALE TUNAOANGALIA 2019 GONGA LIKE TWENDE SAWA
Uko juuuuu from 254
Mheshimiwa kweri kipaji uribarikiwa na mungu
Kali xana hii ngoma kitambo xana
2021
2021
Naitazama leo 2-3-2023 baada ya mwanafa kuteuliwa kuwa waziri Mungu mukubwa
Sio mchezo, hii inaitwa I've may dream. Hakuna shaka kwamba Fasihi iliyo kazi ya Sana iliweza fikisha ujumbe kwa Hadhira, na ndio hii tunaiona kwa Professor Jay na Mwana Fa.
2021✍️✊ Mwana FA Bungen nae km Prof. J✊
Itapendeza Sana wakiwa watatu
Leo wote mnaingia bungeni,Hongereni sana Prof J & FA
Nmejikuta tu nmekumbuka hii nyimbo leo (2023.05.01) mziki mzuri sana tuliwahi kuimbiwa..
This Guy should be big in whole Africa coz the music he is producing is quality music prof Jay nisha kubali we ni the best tangu kitambo....Guyz enjoy the gud work kutoka kwa prof J n mwana fa
Those days when music was on the right channel of reality life and even educating pple a round all ujamaa.
Ma mc ma genius wamekutana..... ninge omba wa irudie hii video iwe kali zaidi
Kuna watu Tunamchukulia mwana FA kama Msanii tu! But mm namwelew kama kiongozi flan mpenda maendeleo! Mungu akusaidie ufanikishe kuwawakilisha wananchi wa Muheza! #Najiskia vbaya polepole akimwta jamaa et Msanii
two members of TZ parliament teaming together to make another hip hop masterpiece.
Prof.J and mwana fa are very intellectual artists in tz na nyimbo zao ni za kuelimisha jamii
Exactly is the really Artist.
Mbunge wa Leo akiwa na mbunge wa 2020
Kura yangu
Jaman watu mnajua kutabili aisee
Dah watu mnajua kuotea
@@barakamalinga yaani aisee Mr nyuni hongera kwa utabiri
@@denicemwitakabwere9152 Ahsante sana ndugu.
Siku zote Juhudi huja na malengo
Umetisha kaka
Acheni mungu aitwe mungu.yani nikama mlijua mtakuja kua viongozi waleo
Dream big and you will achieve sasa wote soon wataongoza taifa..✌️👍
Very interesting.....hawa jamaa ni vichwa vikali...... nyimbo ya akili nyingi saaana hii
Nimerudi hapa baada ya afya ya Professor kuimalika
Asante mungu enzi za wimbo huu kama upo mpaka leo tumshukuru mungu 2022 like hapa sema asante mungu🥰😍🥰😍😍
2023
Like hapa kwa wabunge wetu, kweli Mungu kawaona hadi mmekuwa wawakilishi kweli.
Hawa jamaa huu wimbo ni kweli walitabiri leo hii 2023 wote ni viongozi wa kisiasa wanatetea jamii dah kweli hiphop inaona mbali ni miaka zaidi ya kumi imepita toka hii ngoma ipigwe..big up legendaries
Surprisingly, in 2020 they're both becoming MPs. # the power of subconscious mind.
2020 I'm watch! ngoma Kama hizi hazijapewa airtime kwann?
Dah maisha bana eti hao ote washashiriki bungeni na mmoja naibu waziri dah
Someone to give professor a gift,the guy sings real life situation .Maudhui mazito mazito ,Masaulaibuka.Wakenya tuigize Watanzania ,twapenda kusikiza kelele tupu
Mmefikia sasa ndoto zenu.mimi sina like jamani like hapa nione
Wimbo huu ulichangia sana msingi wa prof jize kwenye siasa
Wanao itazama hii 2019 gonga like hapa
Ninapo ona hii nyimbo alfu washikaji wakapata uongozi serikalini hapo ndiyo naona ukuu wa mungu
Ase hawa jamaaa walionambali sanaaaaaaa baba jpm tunakuombe uishi utupganie wanyonge 2020
Wooooo professor ni east african number one sio chameleon Bongo deep inside south sudan.lets follow him woooooooooooooo waaaaaaaaaa
MBUNGE AKIWA NA MBUNGE MTARAJIWA
Ulitabiri vyema mkuu
Ulijuaje kiongozi
Aisee unastahili pongezi
maneno yanaishi
Uliona mbali ndugu, nataman sana uzione comments zako. Hongera zako🤗
Duuu!!!Kumekucha Aisee..Wafalme wa Bongo rap wamekutana
prof j napenda songs zake ju ni za mafunzo,watching from Kisumu Kenya
Waloona hii 2018 like hapa
Kazi kazi uchama pembeni 2020 amazing kama mlikuwa manajitabilia
Hawa walijitabiria kuwa viongozi, mmoja utabiri ulitimia mmoja yupo njiani
Uko sahihi na huyo mmoja tayari alishaupata. Kwahiyo hivi Vichwa viwili ni Kama walijitabiria
old is gold to hold and not to be sold..!
yeye ni baba East Africa,,no one like him
Professor J ulikuwa na idea za mambo ya mbele,naikubali hii nyimbo
Who else is still watching en listening this Song...2017
hii song ni kali sana,ni wakati wake kujukumika kuhudumia wananchi wa tanzania kwa ujumla
Emmanuel Joseph Kalumbete {Kalou} these two men are talented
Emmanuel Joseph Kalumbete {Kalou} 2018
Such a great song🇰🇪🚀🚀
Wabunge watarajiwa walojijua kuwa lazima waje wawe kweli!!
2023 wangapi wapo ..gonga like aisee..ni jukumu letu
Imebidi nirud kuskiliza madini ya zamani 2021
Mbeba maono hafi hadi yatimie..
Gonga like hapa
I can't believe hii nyimbo naichek 2020 wakat hawa jamaa wapo kwenye siasa tayari.
Prof J. Mziki anautendea haki, ukisikiliza nyimbo zake unaelimika. Viva prof.🙏
Daa mnakwenda kukutana bungeni,mungu awajalie mshinde wote uchaguzi huu brothers
Dah! Maisha haya......., yaaaan Jamaa wametoka kwenye Uzee saivi Vijana
Good job brother I'm proud
Big up waheshimiwa you’ve fulfilled your Dreams,,,
Daaah hawa jamaa wanaharakati kitambo sana
Naamini wakiingia bungeni pamoja wataleta mabadiliko kwa pamoja. Hehehe
Nani ana tazama ii gold ya tanzania 2022 weka like twende sawa
Mwana FAA mbunge wetu muheza 🙏🙏🙏nope like kama waitizama baada ya mwana FA kujiunga kwenye siasa 2020.
Mwana Fa was soo young here
love this collabo though #Walewaanzilishi
Ndoto zinaelekea kuwa kweli, muwajibike sasa mfuate kero na mzitatue mkiweza
Ndoto nyingine ni kua kiongozi mkubwa...
Na imewezekana .....huko kwake #Mikumi
WOTE KWA PAMOJA TUSema #NDIOMZEE
Wow, Nakumbuka huu wimbo , na sasa 2020 Professor amekuwa mbunge wa mikumi kwa miaka tano , na sasa ni Mwana FA mbunge kwa miaka mitano hadi 2025. , How I wish AFANDE SELE , naye pia . I love old bongo rap .
Huu wimbo ufanyiwe remix ft Nikki wa 2,Sugu,roma,kala Jeremiah nk
Sure
Ulishajitabilia Uongoz toka zamn 2019 still alive
2020 nawaona wote ndani ya bunge la 12, nendeni mkayasimamie sasa yote mliyo yaongea humu..
Tumekuja kuwatazama waheshimiwa 2020 tujuane maana mawazo huumba
Pro used to educate us thru his songs.very talented.sio zile za inama kidogo,...
I listen this song everyday 2022🇺🇲💙💯💯💯💯
Haya sahivi wote viongozi tuone mtakavyo ongeza kipato kwa wananchi, au mlikuwa mnaimba tu,,,
This is just so cool, rap with a meaning. wah! jay and mwana falsafa hii ni kali.
Daah, the Jumbos of Bongo flava, Wapi Mr. Bue?
2020 we are here March put like from Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jukumu letu sasa tunaekekea uchaguzi 2020 ni jukumu letu.....
Listening to it nine years and looking at the message and you guys ni viongozi. Ni jukumu lenu sasa
Sasa ni jukumu letu. Pale Fa na pale Jay the profesa
profesa j vp tuletee kama hizi sio mchezo hongera
Waliopo hapa gonga like,
Watanzania wote wange walipa awa wasani code......
Huu ndo ulikuwa mziki wenye maana cyo uchafu ule wa diamond
Unatuwakilisha vyema mwakan mnatuwakilisha vyema mwana fa vs jay
Nyie wote ni wanafalsafa ambao mulijitabiria makubwa saana katika sakata la uongozi maana leo wote ni wabunge watarajiwa
mjomba fa na ako ka mwili kama ankali poooool kagame
Anyone here 2024 ?
Duuh namiaka hii jay mbunge na mwana fa mfanya kaz bank na mjumbe basata respect
May mosi 2019. Still naikubali ngoma hii
never tired of this ....
Daaaah!!!! dreams are Valid
Fight poverty and 4get about love music
wafalme wawili walipokutana noma sana aisee
Mbunge mpya na wazamani, respect saana wakongwe
One of the best diplomatic song
Ahsante bro afya njema kwako
Yaani huu mziki unapenya kwenye nafsi halisi...mashairi yalikuwa vizuri sana
Jamaa walijitahabiria aisee ndani ya mjengo
Kitambo snaaa mlijitabiria na kwli yote ymetimia kwnu
Nomaaaaa sanaaa bongee la ujumbe
Mtakutana bugeni October mutuwakilishe na mkalisaidie taifa kweli
Wah.. back then a still remember them days
A luta continua........