MWANA FA FT LADY JAYDEE ALIKUFA KWA NGOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 125

  • @MelaniaAnney-t9f
    @MelaniaAnney-t9f 7 місяців тому +18

    Hizi ndo nyimbo sasa aisee 2024

  • @parmenaprosper3780
    @parmenaprosper3780 27 днів тому +1

    Form 1 moja, wat a song mistari imenyooka, old school walijua sana kuandika.

  • @雄太-f1j
    @雄太-f1j 3 місяці тому +2

    Good broo utafkr imetokajan oy we got

  • @mkala26
    @mkala26 Рік тому +34

    Leo niwape historia fupi ya hiyo video ya Alikufa kwa ngoma.
    Nikiwa video producer miaka ya 2000 nilikwenda Tanzania
    na kukuta huu wimbo ukiwa umeshapotea kwenye radio stations
    yaani ulisha achwa kuchezwa (expired) lakini kutokana na mimi
    kuupenda wimbo huo, nikamtafuta Mwana Fa ambaye kwa sasa
    naibu waziri sanaa, utamadui na michezo.
    Nilipokutana naye nilima idea ya kufanya video ya huo wimbo
    ambao haukuwahi kufanyiwa video, akasema wimbo wenyewe
    umeshapitwa na wakati, nikamwambia sasa tukiufanyia video
    utarudi upya kabisa. Akakubali, shida ikawa ni nani atabeba
    gharama za hiyo video? Yeye Mwana Fa hakuwa kwenye
    position ya kulipia production costs, so mimi nikaja na idea
    kuwa mimi nitalipia gharama zote ili tu nione hiyo video inaruka
    hewani. Kwa wakati huo gharama ya kufanya video 1 Tanzania
    ilikuwa inaanzia Tsh laki 3.
    Nikatengeneza script na baadae tuka shoot hiyo music video
    katika maeneo mbali mbali hapo Dar es Salaam, ikiwemo
    makaburi ya Makumbusho, nyuma ya Millenium towers na makaburi
    ya Upanga karibu na Hellenic club (kituo cha dala dala RED CROSS.
    Na eneo jingine ni kanisa la Saint Joseph mjini linalotazamana na
    bandarini zinapo ondokea boti kwenda Zanzibar. Pia nje ya kanisa
    la Azania front liliopo karibu na New Africa Hotel Dar es Salaam.
    Baada ya kuitoa hiyo video iliurudisha huo wimbo kupigwa kwenye
    ma redio na hatimaye kumpatia shows kadhaa Mwana Fa. Baadae
    mimi na Mwana Fa tukaiuza hiyo video kwa Mamu stores ambao
    walikuwa wasambazaji wakubwa wa Bongo fleva kipindi kile,
    walikuwa na ofisi pembeni ya Msimbazi police staion, mtaa wa
    Tandamuti Karioakoo. Cha kusikitisha tuliiuza kwa kiasi kidogo
    kuliko gharama niliyoingia ku produce ile music video, tukagawana
    ile pesa 50-50. Tangu wakati huo tumekuwa kama brothers mimi
    na Hamisi Mwinjuma aka Mwana Fa. Hiyo ndio fupi kuhusu music
    video ya Alikufa kwa ngoma.

    • @Misifa
      @Misifa 11 місяців тому +1

      Hongeren sana,
      Unaweza kutuambia kwa mamu store walinunua bei gan ili tujue kama ilikulipa boss?

    • @mkala26
      @mkala26 10 місяців тому +1

      @@Misifa Waliinunua kwa Tsh laki 3 tu, huku gharama za ku shoot zilini gharimu Tsh laki 4 za Tanzania.

    • @mohammedmhina3973
      @mohammedmhina3973 9 місяців тому +2

      Hii video n mwaka gana hap sio 2004 hii?

    • @mkala26
      @mkala26 9 місяців тому +1

      @@mohammedmhina3973 2002-03

    • @MouseleyMarshals-fm5vr
      @MouseleyMarshals-fm5vr 4 місяці тому

      SASA wewe nani amekuuliza🤣🤣🤣🤣🤣let us enjoy this tbt in peace myguy🤣🤣🤣

  • @arafathswaleh
    @arafathswaleh 25 днів тому +3

    Nyimbo za zamani zilikua na dakika nyingi utafikiri masong ya kihindi

  • @ibrahimmsumi
    @ibrahimmsumi 2 місяці тому +1

    Hii Nyimbo Namaliza Kidato cha Nne 2003,,Tuliokua Depo moja Gonga like hapa 🔥🔥

  • @nellylineth8189
    @nellylineth8189 4 роки тому +24

    Huu wimbo nlikua nauogopa saa aa😹😹😹anyways 2020 still here

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 2 роки тому

      Kabisa

    • @shishisia1878
      @shishisia1878 2 роки тому +1

      Nlkuaa siangalii at kdg

    • @sebastianalbert2857
      @sebastianalbert2857 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @DonDallas
      @DonDallas Рік тому +1

      Ha hahahah ulikuwa ushazipiga nyama nyingi halafu kavukavu hofu apo lazma ikuhusu na kupima hutaki kila siku ntaenda kesho.ntaenda kesho 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @mohammedmhina3973
      @mohammedmhina3973 9 місяців тому

      Mm na ule wa dudud baya anafariki ulee kweny video aisee nlikuw naogop san nakumbuk kipind iko tunamalizia kuaalia mzee wa busara alafu chennel 10 unakuja mzk huoo

  • @neibaoutfit-ox6lp
    @neibaoutfit-ox6lp Рік тому +9

    2023 and as long as i Breath A be Jamming to this Tune!Bless Up

  • @stephanosay2715
    @stephanosay2715 Місяць тому +1

    Nakukubali naibu ulikuwa mkali

  • @rahimally3898
    @rahimally3898 Рік тому +6

    Hatali sana hii ngomaa 2023

  • @jamalsaedkivuruge4080
    @jamalsaedkivuruge4080 4 роки тому +17

    2020 piga like Apa

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s Рік тому +7

    2000s songs still hit in my ears❤

  • @ADILIMWASHEE
    @ADILIMWASHEE 4 місяці тому +1

    When bongo music was real. Those days

  • @augustynnecko1696
    @augustynnecko1696 Місяць тому

    this song made me travel to tanzania via isebania border..we need these rappers..

  • @mahobesiku5921
    @mahobesiku5921 Рік тому +6

    Huu ndo ulkua mzk achana na mizk ya Leo kaz kukata mauno

  • @nelsonpeter2112
    @nelsonpeter2112 2 роки тому +8

    Big up FA 2022 still nyimbo nzuri

  • @marthakingu4756
    @marthakingu4756 Рік тому +3

    Mfuasi wa maadili 'alikufa kwa ngoma'

  • @omarysalim6876
    @omarysalim6876 2 роки тому +3

    Mbunge wangu wa muheza Hamis mwinyuma

  • @IsmailMmingwa
    @IsmailMmingwa 5 місяців тому +2

    Hip hop bongo imeanzia kino enzi izo

  • @edsonmunuo7112
    @edsonmunuo7112 4 роки тому +4

    Kama tuko sawa 2020,hii ni ngoma ya karne

  • @ODIMZJR
    @ODIMZJR 2 роки тому +2

    From Kenya wit love

  • @Goba1511
    @Goba1511 2 роки тому +1

    Asante sana kuwa nasi leo Clubhouse 🙏🏾

  • @hafidhungando
    @hafidhungando 8 місяців тому +7

    Na huyu jamaa aliye act kama marehemu alikuja kuja kufa miezi kadhaa baadae kwa ajali ya gari namjua alikuwa sonara maeneo ya Komakoma mwananyamala

    • @MwinyiSalim-d4j
      @MwinyiSalim-d4j 4 місяці тому

      😢😢😢😢 alijitabiri mwenyewe sio

    • @anthonykalinga3244
      @anthonykalinga3244 17 днів тому

      Yes ni kweli alikuwa anaitwa TUTU miaka hiyo Mimi nilikuwa nimepanga geto kwao.

  • @jkk4579
    @jkk4579 Рік тому +2

    That was the music that rocked the 2000s amazing it died out quickly

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 4 роки тому +5

    20_6_2020 naangalia hii ngoma ya kusikitisha enzi zile

  • @shadrackjoel2393
    @shadrackjoel2393 2 роки тому +2

    Nyimbo za kusisimua izo ni shida yaani acha kabisa nyimbo zenye ujumbe mzito lakini saizi ni shida tu ata wanacho iba uwezi kuwaelewa kabisa yaani wale watu wa miaka iyo biga kelele

  • @wifiroom8936
    @wifiroom8936 2 роки тому

    Legend fwa huu ni wimbo wa kwanza kuskia wa fwa

  • @djt.i6734
    @djt.i6734 4 місяці тому +1

    2024 still here 🔥🔥🔥🔥✅️

  • @divahshayoshayodivah7544
    @divahshayoshayodivah7544 4 роки тому +2

    Trending in my mind until now 😍😍😍😍

  • @tozbtz8109
    @tozbtz8109 5 років тому +1

    Alikuwa Bado Young

  • @caspermukalo6323
    @caspermukalo6323 2 роки тому +1

    Nliogopa sana hii ngoma enzi izo

    • @DonDallas
      @DonDallas Рік тому

      Lile tangazo la usione soo sema nae halijakuogopesha

  • @simflorianwilliam8617
    @simflorianwilliam8617 Рік тому +1

    Beautiful song

  • @elijahwenges5905
    @elijahwenges5905 Рік тому +1

    Ukweli na uongo uko tofauti

  • @saleh9997
    @saleh9997 2 роки тому

    Nyimbo nzuri sana

  • @shamslukumay2627
    @shamslukumay2627 4 роки тому +1

    Kitambo sana😂😂

  • @eibrahimramadhan7053
    @eibrahimramadhan7053 2 роки тому +3

    2022 we here 22 age now duuh

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 8 місяців тому +1

    Ukimwi kwa wembamba na wacheza Sumo 😅😅😅

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 2 роки тому +2

    Ukisikiliza huu wimbo ni kama unafanya meditation yaani

  • @ayembacettie8415
    @ayembacettie8415 2 роки тому +4

    2022 still listening to this song

  • @aidanerick3441
    @aidanerick3441 6 років тому +7

    5/11/2018 tupia comments yako tujuane

  • @humphreyminga4597
    @humphreyminga4597 Рік тому

    Hakufunga kufuli 2023

  • @faradjibitege256
    @faradjibitege256 4 місяці тому

    Dada yangu il faut sikikumuja mimi n'a wewe kuhusu faraja

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 Рік тому

    😅😅😅😅😅lakin alikufa kwa ngoma

  • @ahmedyshoulin7667
    @ahmedyshoulin7667 4 роки тому

    Hay ndiyo magoma bhna

  • @ramadhanikhalfan7841
    @ramadhanikhalfan7841 Рік тому

    Alikufa Kwa ngoma

  • @issaahmed8622
    @issaahmed8622 Рік тому +1

    16/3/2023 nipe like

  • @felixotieno9319
    @felixotieno9319 3 роки тому +1

    Happening now wazee wanakufa Kwa Ngoma

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Рік тому

    17.02.2023 bado nipo na binamu wangu mwana f.a xaiv uhamasishaji umepoa xana walati bado hili gonjwa lipo na linasumbua xana

  • @mchizigazza5589
    @mchizigazza5589 4 роки тому +3

    2003 kitambo hicho

  • @BugaJustine-wr9pt
    @BugaJustine-wr9pt Рік тому

    Mbunge wetu now

  • @cosmasmasawe9875
    @cosmasmasawe9875 Рік тому +1

    Still 2023🎉

  • @cloudjest5268
    @cloudjest5268 5 років тому +6

    FALSAFA Mtunzi bora wa nyimbo wa wakati wote.

  • @arafatmzee5374
    @arafatmzee5374 Рік тому

    Hit ya kitambo ambayo bado inahit

  • @JensenKahwa
    @JensenKahwa 7 місяців тому +1

    2024🙌

  • @ibrahimmbatta9229
    @ibrahimmbatta9229 Рік тому +1

    2023 likes zenu hapa

  • @eriasa557
    @eriasa557 Рік тому

    2023 rise up u are hand

  • @raphaelmwinuka4125
    @raphaelmwinuka4125 2 роки тому

    hatari Sana hiibngoma

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 3 роки тому +6

    2021

  • @denstonekhakali8314
    @denstonekhakali8314 4 роки тому +4

    Yanikumbusha enzi zile 2005.

  • @faradjibitege256
    @faradjibitege256 4 місяці тому

    Mwana efey n'a nana yetu ledi gey déy

  • @simonkahiro1678
    @simonkahiro1678 2 роки тому +5

    Back to when bongo music was real not this crap by the likes of diamond.

  • @rayexavery6043
    @rayexavery6043 4 роки тому +3

    Nangalia 27/2/2020

  • @ericmwakulila2221
    @ericmwakulila2221 3 роки тому

    Mean Fa mpango mzima

  • @mutwirimutuota6895
    @mutwirimutuota6895 2 роки тому +1

    Bongo gold

  • @bryanlimbi326
    @bryanlimbi326 2 роки тому +1

    2022 like here

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 2 місяці тому

    15/08/2024😢😢😢😢

  • @touristmorgan4090
    @touristmorgan4090 Рік тому +1

    2023❤

  • @elifazmpozayo2930
    @elifazmpozayo2930 Місяць тому

    2024🎉🎉

  • @Salim-gaming244
    @Salim-gaming244 3 роки тому

    2021 bado nipo hapa

  • @samwelmumburia2060
    @samwelmumburia2060 2 роки тому

    Naikubali.hii,ngoma

  • @alexaiddan979
    @alexaiddan979 2 роки тому

    Nakubal fa

  • @allyjumanne6147
    @allyjumanne6147 Рік тому

    Waswali pengo

  • @faradjibitege256
    @faradjibitege256 4 місяці тому

    Pasteur

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 Рік тому

    Bado ujumbe uja chuja #2023.

  • @rashidchembax8383
    @rashidchembax8383 6 років тому +6

    10/08/2018

  • @daniellukasy9136
    @daniellukasy9136 7 років тому +2

    14/10/2017 am watching

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 5 років тому +2

    Tar 10_05_2019

  • @ahamadsuleimam3811
    @ahamadsuleimam3811 2 роки тому

    Hey mo

  • @teejaydonovan
    @teejaydonovan 2 роки тому

    KABISA

  • @mwalamingaeka9814
    @mwalamingaeka9814 5 років тому

    Kitambosana

  • @jameskibaki9058
    @jameskibaki9058 11 місяців тому

    Mwana FA

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 4 роки тому

    Tuka pale ajapata ukimwi

  • @emmzyjr8728
    @emmzyjr8728 Рік тому

    2022👏🏾👏🏾

  • @mapondochimazi9904
    @mapondochimazi9904 Місяць тому

    2014

  • @Priver_Jabir
    @Priver_Jabir Рік тому

    2022💫💫

  • @husseinkatuga414
    @husseinkatuga414 2 роки тому

    Good 3/10/2022

  • @t.h.u.g934
    @t.h.u.g934 3 роки тому +3

    27 may 2021 i was here

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 3 роки тому +1

    23.06.2021.

  • @priscasiame9179
    @priscasiame9179 5 років тому +1

    10/8/2019

  • @timothymikola2317
    @timothymikola2317 10 місяців тому

    2003

  • @mabadhajjih601
    @mabadhajjih601 5 років тому +1

    Milele.tamu

  • @mahmoudhemed5262
    @mahmoudhemed5262 3 роки тому

    9/2021

  • @sylvesterchisenga3707
    @sylvesterchisenga3707 2 роки тому

    2021 /11/18

  • @amanimariki4671
    @amanimariki4671 3 роки тому

    2020

  • @shijangulujose5241
    @shijangulujose5241 5 років тому

    6/7/19

  • @januaryfinias9569
    @januaryfinias9569 2 роки тому +1

    2021

  • @paulobentomiguel6848
    @paulobentomiguel6848 2 роки тому +1

    2021

  • @abuuali390
    @abuuali390 3 роки тому +1

    2021