MWILI WA MWINYI ULIVYOINGIZWA KABURINI NA MASHEIKH, VIONGOZI WAKIWEKA UDONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 253

  • @MwanamkasiAliMwinyi-y9n
    @MwanamkasiAliMwinyi-y9n 9 місяців тому +36

    MashaAllah uislam mzur kabur halina tiles wala nn tumeumbwa kwa udogo na tutarudi kwa udogo Allah msamehe dhambi zake 🙏

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 9 місяців тому +12

    Masha Allah tabaraq Allah roho ya marehemu utulia pindi inaposkia quran ikisomwa mungu akupokee kwa mikono miwili mzee wetu

  • @merickshadrack4509
    @merickshadrack4509 9 місяців тому +9

    Waisalam kwakweliiiiii hamnaaaagaaa mambo meng kwakweliii to

  • @zakiahaji1683
    @zakiahaji1683 9 місяців тому +26

    Allah amsameh makosa yke awape subra wafiwa na sie Allah atupe khatma njema amiiin

  • @muhammadsalaam1373
    @muhammadsalaam1373 9 місяців тому +11

    Allah amrehemu mzee wetu Al Hajji Hassan Ali Mwinyi..Mola amruzuku Jannatul firdaus.Inalillahi waina Ilayhi Rajiun.

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 9 місяців тому +6

    Mwenyenzi Mungu amjalie Mzee wetu wa ruksa pepo njemaa 🙏🙏

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 9 місяців тому +3

    Inalilahi wainailaihi rajiun.
    Allahumaghfirllahum fiilmaskanhu filjana .Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit Marehemu Ali Hassan Mwinyi.
    Poleni vizuka na wafiwa wote.Allah atupe subira katika kipindi hichi kigumu cha msiba.Amina.

  • @OkukuStephen
    @OkukuStephen 9 місяців тому +1

    Vanity in all. May the Lord Jesus Christ give me grace to humble down, all my days on earth. Amen.

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 9 місяців тому +11

    Inna Lillah wainna Illah Rajuun UISLAMU NI HAKI KWELI NAMNA ANAVYOZIKWA RAIS MWINYI NI KAMA ANAVYO ZIKWA MUISLAMU WA KAWAIDA HAKUNA MALUMALU NA MAJENEZA YA THAMANI HUZINGATIWA NA WENYE AKILI LAA ILLAAH ILA ALLAAAAH❤❤❤

    • @evanccast6228
      @evanccast6228 9 місяців тому

      🙏🙏🙏

    • @merickshadrack4509
      @merickshadrack4509 9 місяців тому +2

      KWA hilooo waisalam mpo vzr ukweliiii

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 9 місяців тому

      Sana atakavyozikwa maskin na tajir na rais hivyo hivyo​@@merickshadrack4509

    • @illuminathaernest1837
      @illuminathaernest1837 9 місяців тому +2

      Makaburi ya waislam hujengewa ila ni baada ya muda fulani na sio siku ya mazishi na sio kwamba usipojengewa ndio utaenda peponi la kitakachokupeleka peponi ni matendo yako

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 9 місяців тому +1

      Marumaru na majeneza ya dhamani ni mbwembwe tu hakika na kuzikwa kawaida pia ni sawa , tujitahidi matendo mazuri .

  • @RichadiMsofe
    @RichadiMsofe 9 місяців тому +1

    Inauma sana ila mungu pekee ndio faraja yetu ya moyon Mh Rais wetu wa Zanzibar pole sana kwa kumpoteza mzee wetu Mzee Ruksa

  • @MustaphaMbegeya
    @MustaphaMbegeya 9 місяців тому +3

    Pole sana Mzee wetu mwinyi allaah akuangazie mwanga wa milele inshaallah

    • @RichardBarnabas-w7r
      @RichardBarnabas-w7r 9 місяців тому

      Tokea lini marehemu akapewa pole ? are you ok?.. idiot

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 9 місяців тому

    MashaALLAH nilidhani atandani ya kaburi wanajeshi wataingia lakini Usilam Sio km wezetu wameingia watoto ndugu na jamaa wa Marehemu na kusomwa Qur'an tukufu, InaLILLAH wainahiLLAH Rajiuun Rajiunun ALLAH Ailazi Roho yake pema peponi AMIIN AMIIN AMIIN

    • @kelvindaniel327
      @kelvindaniel327 9 місяців тому

      unatka kumaanisha nini ukristo ni uongo na wote wataenda motoni au sijaelewa kauli yako

  • @bibiejuma5094
    @bibiejuma5094 9 місяців тому +1

    Maasha Allah uislam raha sana

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 9 місяців тому

    Mashallaaah nimependa walivokjsanyika kuzika marem nurug tupu ndo inaonekana turehemie marhemu zetu wote walotutangulia utupe mwisho mwema tulobakia

  • @AliHamad-k1y
    @AliHamad-k1y 9 місяців тому +1

    Allah ampe kauli thaabit Mzee wetu pia awasamehe ndugu zetu waliotangulia atujaaliye mwisho mwema twende kwake akiwa ameturidhiria matendo na amali zetu. Amin

    • @Benny318m
      @Benny318m 9 місяців тому

      Mmmmh labda sijaelewa kauli thabiti ilihali amefariki?

  • @marysona9999
    @marysona9999 9 місяців тому +2

    MWENYEZI MUNGU 😭😭😭😭MARAISI WETU WOTE AMBAO NDIYO WALIIJUA NCHI YETU YA TANZANIA KIUNDANI KUTOKANA NA NYADHIFA ZAO! WOTE UMESHAWAITA KWAKO,😭😭😭MUNGU WETU TUNAKUOMBA UKAPANDE UZALENDO WA KWELI JUU YA NCHI YETU. ASANTE SANA MZEE MWINYI KWA KAZI ZAKO KATIKA TAIFA LETU🇹🇿PUMZIKA KWA AMANI. 😭😭😭AMINA.

  • @DonaldTambwe
    @DonaldTambwe 9 місяців тому +1

    Mungu amlaze mahali pema peponi amiiin

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 9 місяців тому +15

    Watoto wema ndio watakaowafaa wazee wao kwadua siku yakufa nashuhudia leo watoto wema wamwinyi

  • @FunnyBalkhHound-tg2jp
    @FunnyBalkhHound-tg2jp 9 місяців тому +4

    Ya Allah amuepushe adhabu y karb ampe Jannah

  • @stelabenidkto646
    @stelabenidkto646 8 місяців тому

    Thanks so much

  • @AbdulJoseph-w8i
    @AbdulJoseph-w8i 9 місяців тому +3

    Poleni sana Wana familiya ya mzee wetu mwinyi kwa msiba ulio wafika

    • @MariamIddy-f1j
      @MariamIddy-f1j 9 місяців тому +1

      Polen saanaaaaa mungu alaze roh yake Mahal pema pepon

  • @NasmahHamzah
    @NasmahHamzah 9 місяців тому

    Mungu amlaze mahala pema amina

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 9 місяців тому +3

    Allah karim mlipe kwa mema yake msamehe kwa madhambi yake

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 9 місяців тому

    Wote wamependez kuva various rasmi ya zanzibar
    KANZU KOTI NA KOFIA
    kwa nini halifanywi various rasmi
    Basi mkend msikitini na mazikoni ??
    Kama ziara za nje
    Baada ya suti wave hivi.
    Beautiful

  • @OthmanChilungo-w1v
    @OthmanChilungo-w1v 9 місяців тому

    Allan marehemu mzee wetuzee wa ruhusa murid wa shekhe Muhammed Nassir r a

  • @husseinhassain8188
    @husseinhassain8188 9 місяців тому

    ALLAH AKBAR HUU NDIO UISLAM ALIOISHI NAO MZEE MWINYI LEO UMEDHIHIRIKA MAANA ALIKUWA KIONGOZ MKUBWA WA NCHI ILA KWA KAUL YAKE ALISEMA MEI NIKIFA MNIZIKE KIISILAM SIHITAJI CHOCHOTE ZAID YA MIMI NA AMALI ZANGU NILIZOTANGULIZA KAMA HV NAA WENGINE HEBU MNAPOKUWA NA VYEO VIKUBWA MSIMUSAHAU MWENYEZ MUNGU NDG ZANGUN KWAN DUNIAN HAKUNA KINACHODUMU.....
    قَالَﷺ «أَكْثِرُوا ذِكْرَ هَاذِمِ اللَّذَّاتِ» يَعْنِي الْمَوْتَ، ثُمَّ قَالَ: «إِنَّمَا الْقَبْرُ رَوْضَةٌ مِنْ رِيَاضِ الْجَنَّةِ أَوْ حُفْرَةٌ مِنْ حُفَرِ النِّيرَانِ»

  • @Ahmadadasj
    @Ahmadadasj 8 місяців тому +1

    Nataka kuona mishono ya nguo za watoto za kushona

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t 8 місяців тому

    Kharaam

  • @JumaMgonja-e6r
    @JumaMgonja-e6r 9 місяців тому

    Huo ndio wiisilamu Allah akupe kauli thaabit inshaallah

  • @Jumankuba
    @Jumankuba 9 місяців тому +2

    Waisilam ndo wapo sahihi hata kama upo na cheo gan unazkwa bila jeneza wala kujengewa hamna

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 9 місяців тому +2

    Mzee alikuwa mwema sana huyu
    الله يرحمه ويغفر ذنبه

    • @ramamchina4730
      @ramamchina4730 9 місяців тому

      Wewe cyo mlipaji

    • @UmmiGanja
      @UmmiGanja 9 місяців тому

      Allaumma amiin 😭😭🤲🤲

    • @UmmiGanja
      @UmmiGanja 9 місяців тому

      Allaumma amiin yaa Rabbina Alamin Allaumma takabal yaa Rabbi 😭😭

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Місяць тому

      Tunamshuhudia alikua mwema amsamehe mapungufu yake amtie peponi..!

  • @maryamsulemani2024
    @maryamsulemani2024 9 місяців тому

    Allah amrehemu mzee wetu sote njia moja kikubwa tuzidishe dua nyingi 🤲🤲🤲😭 innalilahi wainailayihi rajighuni

  • @zahrakazungu5026
    @zahrakazungu5026 9 місяців тому +1

    Innallillah wainailahi rajiuon poleni mbele yake nyuma yetu 😭😭😭😭

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 9 місяців тому +3

    Allah ampe makazi mema yarabb 🤲😢

  • @JenipherKipingu
    @JenipherKipingu 9 місяців тому

    Mw/ akunusuru inshallah nuru ya milee ikuangazie baba

  • @mdoekibai3991
    @mdoekibai3991 9 місяців тому

    Allah ampe kaulidhaabit mzeewetu inshallah

  • @Faridahajji-t6i
    @Faridahajji-t6i 8 місяців тому

    Allah msamehe dhambi zake na mpe kauli thabiti siku ya kiama

  • @abdulqadriabdallah9332
    @abdulqadriabdallah9332 9 місяців тому +1

    Mungu amlaze mahari pema peponi na ampa kauli thabit

  • @YastarJuma
    @YastarJuma 9 місяців тому

    Innallillah wainailahi rajiuon mungu ame rehema

  • @mohamohaze6993
    @mohamohaze6993 9 місяців тому +2

    Mungu ampee makazi mema...kweli uislamu ni nzuri

    • @johndavid_video6506
      @johndavid_video6506 9 місяців тому

      Unauzur gani apo ulio uona ambao kwenye ukristo hujauona

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 9 місяців тому

      ​@@johndavid_video6506na ww ungezungumzia dini yako tu sio lazma ulete mdomo kwny alichoandika mwenzio looooh

  • @AgathaEmanuel-dv3vp
    @AgathaEmanuel-dv3vp 9 місяців тому +1

    pumziko la milele ambalo alikwepeki kwa yoyote mwenyezi mungu akupunguzia azabu ya kaburi

  • @LucyMwinyi-vw3un
    @LucyMwinyi-vw3un 9 місяців тому +6

    Rest in peace grand paaa😢😢

  • @AllyMaulid-r4t
    @AllyMaulid-r4t 2 місяці тому

    da marais wa tanzania wote marehem inauma jaman

  • @FatmaAbdulrahman-ny1mk
    @FatmaAbdulrahman-ny1mk 9 місяців тому +2

    Allahummar Hamhu waskannahu fil jannah😢🤲

    • @UmmiGanja
      @UmmiGanja 9 місяців тому

      Allaumma amiin 😭 thank

  • @HusseinMbawala
    @HusseinMbawala 9 місяців тому

    Mungu ambalik huko aendako nasi twamfata

  • @msungimashauri
    @msungimashauri 9 місяців тому

    YA ALLAH MPE KAULI THABITI MZEE WETU PEPO FILDAUS IWE PEPO YAKE INSHAAALLAH ❤🤲

  • @chidiberbatov3613
    @chidiberbatov3613 9 місяців тому +1

    Uislam wetu,hata uwe nani kwenye kuzikwa tunafanana tu,INNAA LILLAH WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN,ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA MJA WAKE.

    • @Moc.khalfan
      @Moc.khalfan 9 місяців тому +1

      Alivyozikwa yeye kwenye Mchanga na sanda ndivyo alivyozikwa aliyejengwa nyumba refu duniani buruj khalifa na ndivyo nitakavyozikwa Mimi masikini

    • @chidiberbatov3613
      @chidiberbatov3613 9 місяців тому

      @@Moc.khalfan 😭😭😭😭tunaringa sanaaa na nyadhifa ilhali tupo sawa mbele ya allah

  • @ZainabuShabani-i4w
    @ZainabuShabani-i4w 9 місяців тому

    Mbele yake nyuma yetu mungu muondolee adhabi ya kabr inshallah

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 9 місяців тому +5

    Safarii ngumu iyooo tuombe mwisho mwemaa jamaa tuache mjivuno

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 9 місяців тому

      Kabisaaaa kabisa siku ya kwanza kaburin ni pa ngum sana

  • @DeusiSamweli-j2y
    @DeusiSamweli-j2y 9 місяців тому

    Pumuzika kwa amani mzee wetu tuta kukubuka daima

  • @FundiCholo-xk9le
    @FundiCholo-xk9le 9 місяців тому

    Mungu amlaze mahala Pema amin

  • @khadijafeda8598
    @khadijafeda8598 9 місяців тому

    Inalillah wainailaih rajiun hata wanawake hawajaenda sheria ya dini imechukua nafasi yake hii ni safi Tanzania tuna viongozi wanheshimu dini zote na kwa weleni Allah tujaalie mwisho mwema

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 9 місяців тому

    Mungu ampe kauli thabiti

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 9 місяців тому +1

    Innan lillahi waina ilehi rajiun 🤲🏾🤲🏾

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 9 місяців тому

    Mungu amlaze mahala pema peponi

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 9 місяців тому

    Mwinyi😢😢😢😢TUTAKUKUMBUKA MZEE WA RUKHSA

  • @MohameddyMustafa
    @MohameddyMustafa 9 місяців тому

    Dunia mapito jaman kaz na ibada wananchiii

  • @mlangiralameck9158
    @mlangiralameck9158 9 місяців тому

    Pumzika kwa amani mzee wangu, hakika nitamisi busara zako.

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 9 місяців тому

    Huu ndio uislamu hakuna aliekua bora kuliko wengine linalofikia suala kama hili ss binadamu sote ni sawa hakuna tajiri masikini mbora ni yule atakwenda na matendo mazuri tunashuru mmtimiza yale maneno yanayosema tumetokana na udongo tutarudi ktk udongo watu wengi walzani kwa kua alikua kiongozi mkubwa atazikwa na sanduku la zahabu lakini mmetekeleza wajibu wa mungu

  • @mussamisinzo4934
    @mussamisinzo4934 9 місяців тому

    Duh. Hata jeneza hamna!

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 9 місяців тому +7

    Mgebadilisha huu mfumo wamagwaride hasa kwawaislam mnawaumiza marehemu namamelele

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 9 місяців тому +2

      Kwani marehemu Yuko kwenye huo mwili mpaka unasema anachoshwa???

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 9 місяців тому +1

      Shangaa na wewe

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 9 місяців тому

      Yaan watu wanajitia wajuaji,wakati hapo had mashekh wakubwa wapo hapo..
      Kinachoangaliwa na mungu ni matendo tu na sio mizinga

    • @gwanchelezacharia6846
      @gwanchelezacharia6846 9 місяців тому +1

      Wafu hawajui neno lolote

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 9 місяців тому

      @user-yc3so2hi8p Nawewe kwenda huko hiyo dininyenu yene makelele mnaongoza kutapeli watu dini ya mchongo

  • @mussakiligaliga4348
    @mussakiligaliga4348 9 місяців тому

    Alla muweza ilaze pema roho ya mzee mwinyi

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 9 місяців тому

    Allah ampe kauri thabiti mzee Mwinyi😢😢😢😢

    • @UmmiGanja
      @UmmiGanja 9 місяців тому

      Allaumma amiin 😭

  • @rashidnjozi7965
    @rashidnjozi7965 9 місяців тому +5

    Hili ni darsa tosha kwa binadaam

  • @JumaMapondo
    @JumaMapondo 9 місяців тому +2

    Tutamkumbuka mzee wrt

  • @Samia-g6n
    @Samia-g6n 9 місяців тому

    Isha Allah🤲

  • @keshukakurubay6178
    @keshukakurubay6178 9 місяців тому

    Pumzika kwa amani mzee wetu

  • @musamubarak4615
    @musamubarak4615 9 місяців тому

    Msiba mzito mno poleniii Sana raisi

  • @shaznaramadhan
    @shaznaramadhan 8 місяців тому

    😢😢

  • @Maftaha-k8m
    @Maftaha-k8m 9 місяців тому

    Iyo picha apo mbele ni ya nin muisilam ata awe raisi akuna picha zaidi kuuona mwili mara ya mwish ndani lakin twaanza taratib kujisaau sisi waisilam mung awarehem wote walo tangulia inshaallah

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 9 місяців тому

    Allah amlaze pema peponi

  • @ShamsaAbasi
    @ShamsaAbasi 9 місяців тому +2

    Aannlah akupumzishe kwa Amani babu yetu

  • @SalmaMohamed-z2u
    @SalmaMohamed-z2u 9 місяців тому

    Allah ampungzie adhabu ya kabri inshaallah

  • @GNC-Church1FM8MS4F
    @GNC-Church1FM8MS4F 9 місяців тому

    Innalillahi wainnaillahi rajiiighun

  • @KandidusKomba-s1j
    @KandidusKomba-s1j 9 місяців тому

    Pole baba Mungu akutangulie😂😂😂😂

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 9 місяців тому +4

    Kupendeza kaburi hakuna tija ,tija ni kumwamini YESU yaani kuokoka hayo mengine mbwembwetu ,maana hapo kinacho baki nikutolea hesabu kwake yeye aliye tayari kuhukumu kwa haki na kwake hakuna upendeleo wala hadhi wala cheo cha mtu hukumu ni moja kwa wote

    • @ajunavany7476
      @ajunavany7476 9 місяців тому +3

      Muamini peke yako huyo yesu ila mimi namuamini mungu na mitume wake wote

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 9 місяців тому +1

      We mbwa Andrew acha ushoga, mshenzi wewe.

    • @HashimHaji-p4l
      @HashimHaji-p4l 9 місяців тому

      Kaka mueleweshe ili afahamu Usilam kuwa nidini ya haki na Mungu ni 1 na mtu Muhammad ndio mtume wa umahuu, na Yessu hakuwa mtoto wa Mungu bali nikiumbe cha mungu na ni Nabii kama wengine jwa banii israil. Hapo utakuwa umeutendea haki usilam​@@rayisadesigns2646

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 9 місяців тому

    Allah ampe kauli dhabiti

  • @AllyIMMOBLL
    @AllyIMMOBLL 9 місяців тому

    Jikaze baba utafika uwendakooo by dahuu

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 9 місяців тому

    Allah ampe qauli thaabit

  • @imanfingulu7958
    @imanfingulu7958 9 місяців тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @DanielFissoo-b5s
    @DanielFissoo-b5s 9 місяців тому +1

    May his soul rest in internal peace,may the Lord Almighty forgive his sins.😢😢

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 9 місяців тому

    Innalilah waina ilah rajiun

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 9 місяців тому +6

    Maiti akifa hakutakiwi mskelele wa mamizinga mnaziumiza maiti

    • @AmAl-x9j
      @AmAl-x9j 9 місяців тому

      Huyo ni alikua kiongozi nj lazma mizinga ndugu

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 9 місяців тому +1

      Haifai muisilam kufanyiwa hivi musika

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 9 місяців тому

      ​@@AmAl-x9jkwasheria za manaswara wala sio za mungu.

  • @amina-k7u6r
    @amina-k7u6r 9 місяців тому

    inna lilah wainna illah lajuung'un

  • @IbrahimMohammed-ul1wo
    @IbrahimMohammed-ul1wo 8 місяців тому

    R.i.p

  • @AhmadSalim-dm4uk
    @AhmadSalim-dm4uk 9 місяців тому

    Innaalillaah wainnaailayh raajiuun

  • @InnocentSelemani-jq1jf
    @InnocentSelemani-jq1jf 9 місяців тому

    Duh!! Mtu mkubwa duniani ila kabuli la kawaida mno!!.

    • @Slama-jg9wn
      @Slama-jg9wn 9 місяців тому

      Wew unataka liwe NA tairz ndio ujue kam kabur zur

    • @InnocentSelemani-jq1jf
      @InnocentSelemani-jq1jf 9 місяців тому

      @@Slama-jg9wn imani ya mtu inapaswa iheshimiwe sina dhamira yoyote.

    • @hajiomari9271
      @hajiomari9271 9 місяців тому

      Kwanza hoja Yako ni ya kijinga

  • @HamisMrisho-f5b
    @HamisMrisho-f5b 9 місяців тому

    Naenda salama baba wetu hayati huna baya uwende peponi baba

  • @marytemba-c7y
    @marytemba-c7y 9 місяців тому

    😭😭😭😭🙏

  • @saraphinalupondo1115
    @saraphinalupondo1115 9 місяців тому +2

    Apna kujengewa vizur kaburi ndio matendo mema may be mwenyewe katak kuzikwa hivyo

    • @kiri5807
      @kiri5807 9 місяців тому +1

      Sijaelewa kujengwa kaburi vizuri ndio matendo mema ? Amali yako ndio itakusaidia hata km kaburi ya maru Mary na nguo ya almass haitosaidia . Na hapo mwenyewe hajachagua kaburi iwe hivyo . Hayo ni maagizo ya Quran .

  • @SalumuImamu
    @SalumuImamu 8 місяців тому

    inalilahi wainalilahi

  • @WaziriOthuman
    @WaziriOthuman 9 місяців тому

    Sawa

  • @DeejDullah
    @DeejDullah 9 місяців тому +1

    Mzee wetu slikuwa mtu wa dani sana lkn aya mavubuzela hapa tena wakati wa kuzika

  • @zainabuiblahim3608
    @zainabuiblahim3608 9 місяців тому

    allah amsamehe makosa yake sisi sote tuta rejea kwake ina Lilah waina Lilah rajuun

    • @KHAMIS_SHILINGI
      @KHAMIS_SHILINGI 9 місяців тому

      Hapo ndo mwisho wa ukubwa wa dunia allaahu amfanyie wepesi

  • @DadaHawa-xd8kv
    @DadaHawa-xd8kv 8 місяців тому

    vita

  • @VicentMsafili-nr1cq
    @VicentMsafili-nr1cq 8 місяців тому

    Ufugaji wa samak

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 9 місяців тому

    Kila mtu atavuna alicho kiandaa wakati wA Uhai wake mbele za Mungu ,sio wakati wA kuombeana baada ya kifo,baada ya kifa ni hukumu,jehhanam au Paradiso

    • @MariamuAnifa
      @MariamuAnifa 9 місяців тому

      Naukimuombea pia mungu humpunguzia machungu uzuri wa uislam mungu anapenda sana mtu alie kuwa watu wake wakaribu wa muombee msamaha kwa Mola wake special watoto wake ama wake zake kwasababu hana uwezo wa kujiombea tena

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 9 місяців тому +1

    Sasa mbona gwalide lenyewe wanapishana sana miguu jaman.. au mzee alikataa kuzikwa kule zanzibar

  • @HashimHaji-p4l
    @HashimHaji-p4l 9 місяців тому +1

    Kaka Mkristo yoyote au dini yoyote akija ktk baraza za kiislam bc mueleweshe ili afahamu Usilam kuwa nidini ya haki na Mungu ni 1 na mtu Muhammad ndio mtume wa umahuu, na Yessu hakuwa mtoto wa Mungu bali nikiumbe cha mungu na ni Nabii kama wengine jwa banii israil. Hapo utakuwa umeutendea haki usilam

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi 9 місяців тому +2

      😂😂Sasa unampigia debe nani hio dini ya haki? Shahidi yako nani km ni ya haki? Mie naona we jikite kufata dini yako na hakuna anaetaka kujua km ni haki au sio ya haki! Unahukumu hio haki wewe km nani? Hafu huu ni msiba mtakie mzee wetu pumziko jema la milele na sio hzo takataka unasema sio sehemu yake. Jaribu kua mstarabu kwenye misiba ya watu👋👋👋👋👋👋👋🤕

    • @HashimHaji-p4l
      @HashimHaji-p4l 9 місяців тому +1

      @@KiongoziMwandamizi haya sw

    • @KiongoziMwandamizi
      @KiongoziMwandamizi 9 місяців тому

      @@HashimHaji-p4l 👏👏🤝🤝

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t 8 місяців тому

    Muislaam akifa atakiwe dua na sio matarumbeta. Kharaam kabisa mtu wa dini leo anasindikizwa kwa miziki kama kafiri. Jamani jamani jamani