Freeemason hata wa chungaji wamo paschal cassian

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 153

  • @beatricengabani2497
    @beatricengabani2497 5 років тому +32

    Unapoitaja freemason ni kwamba umemgusa shetani mwenyewe mzima mzima. Hivyo mtumishi Mkono wa Mungu ukushike na ukuponye maana mapito unayopitia ni kwamba unapambana na ibilisi mwenyewe. Jitie nguvu katika Kristo. Mungu hatakuacha.

    • @amonsekajingo6996
      @amonsekajingo6996 2 роки тому

      The song is fully fact based. Christians ought to be babtized in the Holy Spirit to counter attach the works of the enemy. Live by the Word of God. ' teach and follow the Word; and only the WORD!

  • @julianaomary8164
    @julianaomary8164 3 роки тому +1

    Polee sana tunakuombeaulinzi wa mungu haendle kuwapamoja nawew kilawakati Akikauwimbo huu unanibaliki sana unaujumbe mzitosana tena hulio jitoshreza Aiiisee tunomba mungu haendle kkupandisha viwango vya juu zaidih mungu akulinde wakati wote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @stanstanushindi2701
    @stanstanushindi2701 4 роки тому +1

    Dunia inapita jeanam ipo na paradizo ipo mwanadam akubali akatae na shetani ndie adui na wana wa Mungu ni wanadam watakao mfuata shetani kama mama zetu Adam na hawa oky wafuate ila kuna maisha kisha kifo tena maisha hisio na mwisho 🙏🙏 SOMENI NENO. Kuombewa ni vizuri ila vipi kuusu wewe Duniani akuna mtumishi wa MUNGU sote watumishi kikubwa maamuzi 🙏🙏

  • @ruthmilinde2359
    @ruthmilinde2359 5 років тому +8

    Amina ulinzi wa Mungu aliye hai uwe juu yako nakupenda kwa kusema ukweli kaka yangu

  • @josephkuta7244
    @josephkuta7244 4 роки тому +1

    Ndoo Leo wanlia bcz corona inawafndisha sasa mmbo y pokeaa Prado nymba shamba wweke kndo wamurdie yesu I love your message

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 5 років тому +8

    Wewe unavita kubwa sana na shetani omba sana usimuache yesu

    • @aaeaa2926
      @aaeaa2926 5 років тому

      Mungu atamfunika kwa Damu ya yesu

  • @khalidkhaleed6346
    @khalidkhaleed6346 5 років тому +7

    Yani wewe kaka mungu akulinde kama alivyo walindavmeshak Shedrak na Abednego

  • @happyjohn7050
    @happyjohn7050 6 років тому +21

    Pole sana mtumishi kwa ajali uliopata usiku wa kuamkia leo,,pole sana,,mwenyezi mungu yuko pamoja na wewe,,atakuponya kwa uwezo wake,,tunakuombra sana mtumish ..mungu si mwanadamu,hawez kuacha jina lake lidhihakiwe,,namuomba mungu aonekane aunge hiyo mifupa ilovunjika kwa damu ya yesu, ,,,Amina

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 6 років тому +1

      Amen amen Mungu amponye

    • @gladysalfredy6539
      @gladysalfredy6539 6 років тому

      Amina kubwa mno....

    • @joycedaniel4395
      @joycedaniel4395 5 років тому

      Mungu atakuponya kwa damu ya yesu kristo uungwe mifupa yako kwa damu ya yesu kutoka uliko shetani na jeshi lake 2nawapiga kwa damu na moto wa damu ya yesu!!usikate tamaaa endelea kutegemea msalaba wa yesu

    • @jacqulinemushi5849
      @jacqulinemushi5849 5 років тому

      Amen

    • @agnesdeonatus9231
      @agnesdeonatus9231 5 років тому

      Amen

  • @reginaldmushi1272
    @reginaldmushi1272 5 років тому +13

    PASCAL NAKUOMBEA BWANA AKUPONYE UJASIRI WAKO UWASAIDIE WENGI

    • @devothalekey4242
      @devothalekey4242 4 роки тому

      Ni kweli tupu Leo hii tunahubiriwa Toa sadaka ya kujimaliza utakuta muujiza wako mbele

    • @gloryrwemela823
      @gloryrwemela823 3 роки тому

      Vizuri sana.

  • @protonengineer2934
    @protonengineer2934 6 років тому +23

    Neno LA Kristo na likae kwa wingi ndani yenu!

  • @saimonchambe5352
    @saimonchambe5352 5 років тому +5

    Yamkini Mungu alikuacha uende huko ili ufumbue macho ya wengi du Mungu akutunze Pascal

    • @ezrommkambati1554
      @ezrommkambati1554 5 років тому +1

      Sio yamkini, bali huo ndo ukweli, unadhani tungepataje kupona

  • @kyukiathanas9915
    @kyukiathanas9915 6 років тому +12

    Kweli tupu! Mungu tusaidie.Hakuna njia fupi ya kuifikia paradiso ya Mungu wa lbrahim,Yakobo na Isaka.

  • @carolineunguku9163
    @carolineunguku9163 4 роки тому

    Is true most churches they are against money, aliyekuita ni mungu, mungu atabaki kuwa mungu hata kama haja timiza hoja ya moyo wako, napenda kusikiza nyimbo zako nimejifunza mengi,na mungu akutie nguvu, amen

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 5 років тому +1

    Roho wa Bwana akujaze Ndguvu sana uendelee kusimama Imara na Yesu Kristo maana upo kwenye vita kbs na ma agents wa nguvu za kiza,Mungu Baba akufanyie wepesi katika yote na upokee uponyaji katika jina la Yesu Kristo

  • @MISHIONARYSHUKURU
    @MISHIONARYSHUKURU 5 років тому +26

    Bro minaona kwa ugonjwa ulionao usifikirie madaktari fikiria yesu tu maana
    Upo vitani mtazameyesu
    Apo kazi nikuhomba tu
    Maana umesha weka wazi sirizao

  • @saimonchambe5352
    @saimonchambe5352 5 років тому +4

    Mungu akutetee kwakweli maana vita yako ni kubwa

  • @tatunyakuhama4639
    @tatunyakuhama4639 4 роки тому

    Nakupenda Sana Sana mtumishi kwanyimbo zako zilizojaa mafundisho mungu aliye hair katika kina la YESu akuinue na akubariki akusamehe kwayote uliyoyapitia pengine ukiingia huko kwamakusudi yake ili uje utufundishe

  • @martinemagwe7876
    @martinemagwe7876 5 років тому +8

    anachoimba anakielewa na sasa nami namuelewa, oky Mungu akutie nguvu urudi ktk hali yako maana unagusa penyewe ila kwa kuwa Mungu ni mwaminifu utapona.

  • @andrewmagwila6219
    @andrewmagwila6219 5 років тому +2

    Ninakuombea Sana Paschal Mungu wa mbinguni akuponye urejee kwenye huduma yako

  • @michaelmbatayaanikanumbani6066
    @michaelmbatayaanikanumbani6066 4 роки тому +1

    Kaka umenipa nguvu na mimi kuendelea kutoa siri za Freemason kupitia uandishi wa vitabu hatakama ainilipi ila ntapambana adi mwisho kuvujisha siri za hawa watu waovu Freemason mimi mwenyewe wananitafuta sana lakini roho mtakatifu yupamoja namimi

  • @labinaannastasie2437
    @labinaannastasie2437 5 років тому +1

    Ubarikiwe sana mwinjilisti pascal cassian

  • @priscargeorge7313
    @priscargeorge7313 5 років тому +2

    Endelea kumwamini aliye juu maana ibilisi hana nguvu mbele za mungu

  • @lucyjacob7053
    @lucyjacob7053 5 років тому +2

    Kama kuna kitu niliapa ni kwamba haya makanisa ya miujiza siwez nikakanyaga mimi...Namwamini Mungu wangu tu ndiye atakayenifanyia miujiza

  • @maelaalisa2102
    @maelaalisa2102 4 роки тому

    Amen. Sana. Pascal. Mungu. Akubariki agufikishe mbarii. Njo ombi Rangu

  • @bitterthetruthchannel9190
    @bitterthetruthchannel9190 5 років тому +3

    Let the LORD JESUS CHRIST of Nazareth heal you our brother cassian

  • @gidionezekia1468
    @gidionezekia1468 4 роки тому

    Ubalikiwe sana mwijilisti kwakuzidi kutufundisha akika nabalikiwa kupitia nyimbo zako ningerikuwa najua ulipo ninge kuja kukutembelea

  • @johnsonatebe1881
    @johnsonatebe1881 6 років тому +4

    Kwa kweli umesema, Mungu ndio njia ya usima, tuko nyakati za mwizo.

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +1

    Ni kweli kabisa mungu akuponye na kukulinda na Familia yako na pia aendelee kukuinua katika huduma yako kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen

  • @prosperhosea7966
    @prosperhosea7966 5 років тому +1

    Vita vyetu si vya damu wala nyama bali ni vya Roho ,kwa vita hivi ndgu wapendwa tumuombe Mungu atupe macho ya kutambua aduhi zetu maana wamo miongoni mwandugu zetu niwakati wakuvaa mikanda viunoni mwetu sasa ili tushinde vita hivi

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 років тому +2

    Ameen mungu atusaidie tusome neno la mungu

  • @magretmatiko3566
    @magretmatiko3566 6 років тому +4

    Ni kwel hata yesu alisema si kila MTu anitaye bwana ataulithi ufalme WA mbingun mungu atusaidie

  • @eldanashon2475
    @eldanashon2475 5 років тому +2

    Kweli MTUMISHI, unachokiimba, SKU hizi watumishi wanahubili miiujiza sio njia ya kupatana na Mungu

  • @tatuhamis3640
    @tatuhamis3640 6 років тому +11

    kweli hawahubiriwi utakatifu tena wanahubiriwa baraka tu

  • @francisjapan1594
    @francisjapan1594 5 років тому +1

    Get well soon kaka Mungu atakua pamoja na wew nafs yako haitakufa itaish kwsbbb umetenda na kueneza neno LA Mungu WA kwel

  • @mwanatenaochanda3558
    @mwanatenaochanda3558 3 роки тому +1

    Ww no jasiri sana this shows that u have great faith.

  • @fransiskahaule3343
    @fransiskahaule3343 5 років тому +2

    Iki ulichoimba ndio chanzo cha ajali yako walitaka wakupoteze ila Mungu wako amekuokoa jina lake lihimiduwe saaaaaaanaaaaaaa

  • @stivinsogolela20
    @stivinsogolela20 5 років тому +5

    Good job, Mungu akubarikili , be strong in Jesus Christ

  • @yvonnewitandaye1873
    @yvonnewitandaye1873 3 роки тому

    Mungu azidi kuweka ulinzi wake ju yako mutumishi wake kutowa inje siri za shetani ni vita kubwa.

  • @ecklanddonald6053
    @ecklanddonald6053 5 років тому +3

    Kumbe uliimba ndio maana ukapata ajali? Mungu akusaidie sana kabisa umenena ya kweli kwao mungu awe nawe

  • @mumbangala9097
    @mumbangala9097 5 років тому +1

    ugonjwa ulionao ni adhabu waliokuadhibu ila mwamini mungu na umtumikie kwa moyo mmoja utapona kakangu

  • @KelvinBoniphase
    @KelvinBoniphase 3 роки тому

    Ni Mungu tyu awe pamoja nawe twaguswa sana na nyimbo zaako

  • @petermpanduka8069
    @petermpanduka8069 4 роки тому

    Daah natamani ningekua karbu naww paschal uniambie yup yupo freemasn mtumish nakupenda

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 4 роки тому

    pasco tuna kuombea ila endelea sana kusimama sana na mungu akusimamie

  • @bennympatanishi8341
    @bennympatanishi8341 5 років тому +3

    Mungu akuponye upesi

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 3 роки тому

    Mungu akubariki mtumishi

  • @mchungajisecilia8029
    @mchungajisecilia8029 5 років тому +1

    Pole sana.ndio maana unapata shida ila mungu yupo

  • @agnessalusolo1612
    @agnessalusolo1612 4 роки тому

    Uko sawa mtumishi

  • @sanifhesro2169
    @sanifhesro2169 5 років тому +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu

  • @belsoi9799
    @belsoi9799 4 роки тому

    Asante kwa kutufumbua macho kwa hili wimbo

  • @agnessalusolo1612
    @agnessalusolo1612 4 роки тому +1

    Yaani huu wimbo ni ufunuo wa kichwa changu

  • @paulpaul34
    @paulpaul34 6 років тому +2

    Ukweli tusitangetange tuamini Mungu tu coz kila mahali wamo..isipokuwa kwa Mungu .

  • @lusianasanga3010
    @lusianasanga3010 5 років тому

    Amina mtumishi hakika ww nishujaa wa yesu

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 5 років тому +1

    Kwa huu wimbo umenifungua macho uko katikati ya dimbwi lamateso ya moyo wako ila nikweli wachungaji wamo

  • @roymahemba9226
    @roymahemba9226 5 років тому

    Kumbe ndo maana hawakupi msaada ila Mungu yupo omba sana Usimuache Yesu wako

  • @camelinenatuluku942
    @camelinenatuluku942 5 років тому +1

    May God lift u dear bro.sickness is not ur portion.

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 5 років тому

    mungu akuponye uweze kuliinua jina la Yesu kristo Ameeen

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 років тому +1

    Bwana aliokuleta duniani akuponyee

  • @maryncudo4526
    @maryncudo4526 2 роки тому

    Do not say ameni unless you understand what is Pascal singing about.
    GOD the CREATOR IS SUPREME and
    Stand alone GOD cannot be mixed with
    other religions.
    SOMEONE PLEASE TELL ME IN ENGLISH WHAT IS THIS SONG
    ALL ABOUT THE FRANMASON.
    I am a follower of CHRIST have
    nothing to do with a song although
    I like Pascal's songs.it

  • @paulsaimon8750
    @paulsaimon8750 5 років тому

    Mungu akuponye na kukurudshia maisha na siku zilizoliwa na ajali iyo broo

  • @lazarkbrown9568
    @lazarkbrown9568 6 років тому +1

    Mungu akuponye mtumishi wa Mungu

  • @susanlune240
    @susanlune240 5 років тому

    Kweli tupu kabisa nilazima tusome neno ili tuepuke haya Mungu atusaidie na Mungu akufinike na mbawa zake damu ya Yesu aliye yote ikuzunguke aki napenda unavyokuwa muwazi na ukweli ubarikiwe sana

  • @rachelkhavere1532
    @rachelkhavere1532 5 років тому +1

    Kweli kabisa. Mungu akuponye urudi kuhubiri

  • @Bishopgeorgebilingimotoula9181
    @Bishopgeorgebilingimotoula9181 5 років тому +7

    Unaimba ila nikushauri acha kuwahisi watu kwa utashi wako itakugharimu,Mungu ametoa watu wake mbali unaposema miujiza feki elezea hiyo halisi ilivyo,imiza watu kusoma Neno ili liwasaidie kujua vitu ila sio kuhisi tu

    • @ezekielpetermasonda1777
      @ezekielpetermasonda1777 5 років тому +3

      Alicho imba ni kweli maana kila ukisikiliza mahubili kila kona ya nchi watu wanahubili miujiza tu hawahubili watu waache zambi au na wewe ni mmojawapo wa majibu anayo sema psc

    • @damianjeremia3821
      @damianjeremia3821 5 років тому +1

      Anaimba kweli kabisa wala usijihisi,manabii,wachungaji,utasikia njooo mlima wa moto upate miujiza na mafuta ya kung'alisha nyota yako cha ajabu zaidi wengine wanauza mpaka kalamu, chumvi na maji kwa bei kubwa eti wanafunzi watafaulu wakitumia hizo kalamu unaona iko sawa hiyo🤔🤔🤔🤔

    • @deboraadam6379
      @deboraadam6379 5 років тому +2

      Amekwambia anahisi hapo jaman au nawe upo huko

    • @jacqulinemushi5849
      @jacqulinemushi5849 5 років тому

      Huu ni ushuhuda na siyo kuhisi na hajasema wote hata hivyo yote yaliandikwa karejee agano jipya Mch Pastor

    • @paulsaimon8750
      @paulsaimon8750 5 років тому +1

      ko wewe unaunasemaje labda? Huyu paschal n mtumishi wa mungu alie hai anaimba kwa nafas yake na ametumwa na krsto kwa nafas iyo. wewe kaa kimya

  • @mwesigwaannte1658
    @mwesigwaannte1658 4 роки тому

    Barikiwa sana mtu wa Mungu

  • @lovelynaynay2316
    @lovelynaynay2316 3 роки тому

    Mungu yuko na wewe

  • @winniemwatsuma7167
    @winniemwatsuma7167 6 років тому +1

    vry true mtumishi wa Mungu

  • @bitterthetruthchannel9190
    @bitterthetruthchannel9190 5 років тому +1

    Sorry i don't know Swahili but i pick one by one but GOD we serve is with us.

    • @thadeusmathiews2564
      @thadeusmathiews2564 4 роки тому +1

      His testimony when he was taken with FREEMASON church he says Pastors are there , Gospel singers are there , politicians are there , Businessman also are there , and the higher Honorable people in the world are there . so he inspiring us to read the words of GOD and Pray Amen I think you get just little bit Amen

  • @daughterofzion.9624
    @daughterofzion.9624 4 роки тому

    Freemansion... paradiso ya ulimwengu Mungu saidia watu wako

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому

    Zidi kumuomba Mungu nasiyo madakitar

  • @loreenpeter
    @loreenpeter 2 місяці тому

    naitwa abiud magenda kutoka mara bunda hata mimi naambiwa kuwa najifanya najua kusema ukweli

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому

    Nayeye shetani anataka ajifanye kuwa Mungu hana mamlaka ayo tena akae mbali na watoto wa Mungu hana nguvu huyu ni mshenzi to

  • @babyyshayo3633
    @babyyshayo3633 5 років тому

    Kweli my brother unaye MUNGU Mkubwa sana

  • @sifamwakaniemba443
    @sifamwakaniemba443 5 років тому

    Mtumishi wa Bwana tupo tunakukumbuka kwa maombi Mungu hatakuacha

  • @rebeccaphilipo829
    @rebeccaphilipo829 6 років тому

    ubarikiwe nice song

  • @khadijandugulile3937
    @khadijandugulile3937 5 років тому

    mungu akabariki mtumishi wa mungu

  • @anthonymwandu2615
    @anthonymwandu2615 5 років тому

    ndio maana wanashindwa kumsaidia mtumishi wa mungu kumbe kawaumbua kwenye hii nyimbo lakini tutatoa chochote kidogo kitasaidia nautaludi tena kuwaumbua

  • @virginiakiama807
    @virginiakiama807 Рік тому

    Five corporal works of mercy 🌱mimi sita 😔

  • @protonengineer2934
    @protonengineer2934 6 років тому +2

    Brother ujumbe umefika kumbe Luna miujiza feki yatupasa kulijua neno kwa nguvu sana barikiwa kwa ujumbe number ya mawasiliano nitumie

  • @peterhaule3766
    @peterhaule3766 5 років тому

    Mola akuponye kaka

  • @peterstylesbigboy5195
    @peterstylesbigboy5195 3 роки тому

    Amin

  • @BahatiHidaya-zy4vm
    @BahatiHidaya-zy4vm 8 місяців тому

    nakutia moyo mpendwa

  • @denismichael229
    @denismichael229 5 років тому

    Nimekuelew sana

  • @mdabemdabe1703
    @mdabemdabe1703 3 роки тому

    ongera sn

  • @loreenpeter
    @loreenpeter 2 місяці тому

    kaka niko nyuma nakuja pia najisikia vibaya kanisa kenda motoni

  • @samwelmadaraka1521
    @samwelmadaraka1521 5 років тому

    Mungu yupo nawe sikuzote

  • @majariwagift1498
    @majariwagift1498 4 роки тому

    Ukweli kabisa

  • @edithayoram4601
    @edithayoram4601 5 років тому

    duuu Mungu atusaidie

  • @johnmwakasungula9747
    @johnmwakasungula9747 4 роки тому

    Daaa

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 6 років тому +1

    varikiwa sana ujumbe umefika

  • @mwambauliohai5043
    @mwambauliohai5043 5 років тому +1

    hivi utaalikwa kweli na mitume na manabii uimbe kwenye mikutano yao

    • @yohanadaudelias5650
      @yohanadaudelias5650 5 років тому

      Hamutumikii mitume anamtumkia Mungu huyo pekee ndie wakuabudiwa ,na sio aimbe Kwa kuogopa kualikwa

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 5 років тому

    Mungu akurehemu

  • @happinesskwamboka1540
    @happinesskwamboka1540 2 роки тому

    May bless you protect you and keep safe continue with his work

  • @deboramoris6482
    @deboramoris6482 5 років тому +1

    Wapo kaka ila.tu mtu aishikilie Imani yake na tusome bible maana ndo kila kitu

  • @joycemtitu8546
    @joycemtitu8546 6 років тому +1

    Kweli kabisa

  • @hermancholela676
    @hermancholela676 4 роки тому

    Ameen,

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 3 роки тому

    Let the Lord Jesus Christ protect you from them

  • @wilkisteregesa9013
    @wilkisteregesa9013 5 років тому

    Kwa kweli kabisa mtumishi miujisa fake mwenyezi mungu akuponye urudi kwenye huduma ya mungu

  • @francisngwale4567
    @francisngwale4567 5 років тому

    Clipu ulizo Tumia Pascal

  • @thadeusmathiews2564
    @thadeusmathiews2564 4 роки тому

    Amen

  • @bitterthetruthchannel9190
    @bitterthetruthchannel9190 4 роки тому

    Thanks dear