Kwel kabisa pascal Mungu akutie nguvu unaongea ukwel kabisa nasi tunakuombea Roho mtakatifu atukumbushe tukuombee kila wakati hata mimi nimejufunza Ee! Mungu mlinde mtimishi wako paskal anaonge ukwel Mungu usimuache ata sekunde moja mwanao paskal Amen.
Kwakweli mtumishi kwa sasa tusimame katika maombi tuu maana hizi ninyakati za mwisho Mungu akubaliki sana pia na uzao wako Mungu asiusahau tuzidi tuu kuombeana🙏🙏🙏🔥🙌
Jambo kaka Ubarikiwe kwa jina la Yesu christo wetu Mungu mweye nguvu. Ninabalikiwa kweli, ila Nina swali moja tu kuusu wewe kaka, ni kweli uko kwenye chiyaa ya Yesu kwa sababo Nina endelea kuona ma signé ya uko kwenyi feemasoni?Mungu akulinde wewe na jama lako. 🙏🏾🙌🏾
Aki Mungu akutie guvu uduma katika maombi Na Mungu atakupingania kwa kila Jambo Na akunalinalo mushinda Mungu Na akubariki Sana nakufunulie mengi izindi kutufunuliw ss vipofu weye atuoni likini najuwa Mungu Yuko pamoja nasi
Mwema kweli ni kipenzi cha Mungu. Kwasababu hiyo, hutakufa, kwa ajili ya kusema ukweli. Bwana Yesu anakuombea wakati wote mpaka kusudi lake litimie. Amani ya Kristo ikufinike Mtumishi wa Mungu Pascal. Endelea kufichua ufisadi. Amen 🙏
Ndugu yangu Injili yako ni moto sana, Nakuombea kwa Jina la Yesu upone katika hali uliyo kutana nayo ya ajali ili uje ugonge ukweli ambao wahubiri wengi wa siku hizi wanaipaka injili mafuta kwa maslahi binafsi kwa kutosema ukweli ambao wengi hawapendi kusikia kwa sababu ya mzigo wa dhambi, NASI TUTAIJUA KWELI NAYO KWELI ITATUWEKA HURU
Mungu uketie mahali pa juu palipo inuka tunaomba umponye mtumishi wako Paschal ninateketeza Kila Hilo chafu za shetani ktk jina la yesu nikiomba na kuamini watu wore tuseme amina
Mtumishi wa mungu nakuombea mungu akuwekee ulinzi mukalipamoja na Familia yako yote nyimbo zako zinanibariki Sana zingine zinanitoa machozi mungu atusaidie Sana sisiwanadamu kwa maana hakika hizi nisikuzamwisho🙏🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu ,kilichowekwa ndani yako ni kikubwa moto ulao ,hata shetani asipende utang'ara tu maana hataweza kunyamazisha sauti ya Mungu nakuombea Mungu akuzunguke na jeshi lake la ulinzi maana inawachoma popote walipo watakupiga vita simama imara na Mungu hawakuwezi mteule
Bro mungu atakulinda tumeona ukweli huku kwetu kenya shakahola yani nkama ulijua ukiimba hii ngoma na wamama na watoto ndio wanaingia kwa hii mitego ya shetani kirahisi
Hata wakuchukie ww kaza waokoe watu kwani siku yako yakuondoka utaulizwa namungu ulifanya nn ukiwa duniani fanya vyote najua unaongozwa naroho mtakatifu
Ndugu. Yang. Kwayote ulie pitia usmwache mungu wako mungu akzidishie siku zakuishi
Napenda msimamo wako pascal umepitia changamoto ila mungu yupo nasi tutafaulu may God bless you abundantly 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwel kabisa pascal Mungu akutie nguvu unaongea ukwel kabisa nasi tunakuombea Roho mtakatifu atukumbushe tukuombee kila wakati hata mimi nimejufunza Ee! Mungu mlinde mtimishi wako paskal anaonge ukwel Mungu usimuache ata sekunde moja mwanao paskal Amen.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Mtumishi wa Bwana,kwani shetani anawatumia sana manabii wa uongo
MUNGUwangu akulinde mtumishi maana hizi nyimbo zinawachoma vibaya sana
Kwakweli mtumishi kwa sasa tusimame katika maombi tuu maana hizi ninyakati za mwisho Mungu akubaliki sana pia na uzao wako Mungu asiusahau tuzidi tuu kuombeana🙏🙏🙏🔥🙌
Jambo kaka Ubarikiwe kwa jina la Yesu christo wetu Mungu mweye nguvu. Ninabalikiwa kweli, ila Nina swali moja tu kuusu wewe kaka, ni kweli uko kwenye chiyaa ya Yesu kwa sababo Nina endelea kuona ma signé ya uko kwenyi feemasoni?Mungu akulinde wewe na jama lako. 🙏🏾🙌🏾
Mungu akuwekee ulinzi kwa maana sio rahisi mtu kujitoa kwa huo mtego na akawa salama
Aki Mungu akutie guvu uduma katika maombi Na Mungu atakupingania kwa kila Jambo Na akunalinalo mushinda Mungu Na akubariki Sana nakufunulie mengi izindi kutufunuliw ss vipofu weye atuoni likini najuwa Mungu Yuko pamoja nasi
Tutaendelea kukuombea Sana shetani hana nafasi juu yako you are the son of almighty God nothing will come on your way in Jesus mighty name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mwema kweli ni kipenzi cha Mungu. Kwasababu hiyo, hutakufa, kwa ajili ya kusema ukweli. Bwana Yesu anakuombea wakati wote mpaka kusudi lake litimie. Amani ya Kristo ikufinike Mtumishi wa Mungu Pascal. Endelea kufichua ufisadi. Amen 🙏
Msema kweli ni kipenzi cha Mungu.
almost 5 years down the line and still listening to this soul-turning song,,,, you are blessed man of God.
Ndugu yangu Injili yako ni moto sana, Nakuombea kwa Jina la Yesu upone katika hali uliyo kutana nayo ya ajali ili uje ugonge ukweli ambao wahubiri wengi wa siku hizi wanaipaka injili mafuta kwa maslahi binafsi kwa kutosema ukweli ambao wengi hawapendi kusikia kwa sababu ya mzigo wa dhambi, NASI TUTAIJUA KWELI NAYO KWELI ITATUWEKA HURU
Mungu akupiganie sana brother
Paschal Cassian, Mungu Kubaliki sana ,kwa sababu ya kutwambia ukweli
Ajabu kweli . Lo !!!!!. Mungu utrehemu wengine hatujui twadhani ni kuombewa tu Waaaaaaa
A song summarised in nothing but the truth. God save us from false prophets.
mmh hawa manabii wa uongo mm hamnipati tena,ahsante sana mtumish Pascal kwa mafunuo haya
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,,, Mungu atakusaidia tutazidi kuombeana kweli dunia si kitu zaidi ya kuteseka ungu atupe mwisho mwema
Mungu Ata kulinda Mpaka pale mwisho atakapo kuwa muwa mungu mwenyewe paschal cassian
Mungu wa mbinguni azidi ku Ku bariki mu injilisti Paschal cassian
Mungu uketie mahali pa juu palipo inuka tunaomba umponye mtumishi wako Paschal ninateketeza Kila Hilo chafu za shetani ktk jina la yesu nikiomba na kuamini watu wore tuseme amina
Nashukuru sana unasema ukweli songa mbele utabarikiwa .asante
Asante sana Kwa kusema ukwel mungu akubal
Mungu akisaidie sana aixee unajiamin sana nakukubar sana
wimbo nimeutafuta sana kila siku Ila leo namshukuru Mungu nmeupata barikiwa sana paschal
aaamen barikiwa sana
PASCHAL CASSIAN CASSIAN mungu akubariki mwa huduma
duu kwa hali hi inatsha lakn ndo ualisia mwanadam akikisha unamtafuta mungu na usmame kwa miguu yako
Haaaa .ahijawai tokea tangu mwaka sifuri mtu kutoa sirinzito kama izo ubarikiwe mara 70
Amen Asande sana mtumishi wa mungu kwa kutoa ukweli
Dah Dunia imefika mwisho nlikuwa sjui tatuzo tuna penda sana miujiza ndo mana tuna pokea mpaka mapepo
Mtumishi wa mungu nakuombea mungu akuwekee ulinzi mukalipamoja na Familia yako yote nyimbo zako zinanibariki Sana zingine zinanitoa machozi mungu atusaidie Sana sisiwanadamu kwa maana hakika hizi nisikuzamwisho🙏🙏
Kweli pasipo kuwa na Yesu duniani kuna vituko,utamezwa ukiwa hai,wenzangu tuzame ndani ya Yesu Kristo kwa kumaanisha
Listening it first time 2023,,, and am blessed and mind lightened 🎉
Mungu ndo sababu ya maisha yako wao watakutafuta hawatakuona hapo uripofikia nikusudi ra mungu utakura nya kufuswa rakini hutazurika amin
Hakika mungu yupo kazi njema.
Barikiwa mtumishi wa Mungu ,kilichowekwa ndani yako ni kikubwa moto ulao ,hata shetani asipende utang'ara tu maana hataweza kunyamazisha sauti ya Mungu nakuombea Mungu akuzunguke na jeshi lake la ulinzi maana inawachoma popote walipo watakupiga vita simama imara na Mungu hawakuwezi mteule
Mungu ni mkuu sana hakika
Pasko nimeshtuka nlidhani umekufa sababu namalengi nawew katik huduma hii god bless you
Mungu akupe nguvu kaka mkubwa
God created you with a purpose man of God
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu be blessed Pascal
Amen the servant of God be blessed too in Jesus mighty name amen
Hallelujah 🙌 praise the living God in the name of Jesus christ our lord and savior amen
mutumishi wa mungu uishi myaka mingi kwa JINA la yesu kristo ila na mimi piya ni muimbaji drc gospel
Mais pourquoi vous avez enlever les images ? svp remetté Les images de cette chanson Car c'est trop édifiant.et que Dieu vous bénisse
napendakusikiliza nyimbo zahuyu mtumishi maana nahisi faraja yanguvu barikiwa sana
Bro mungu atakulinda tumeona ukweli huku kwetu kenya shakahola yani nkama ulijua ukiimba hii ngoma na wamama na watoto ndio wanaingia kwa hii mitego ya shetani kirahisi
Mungu akuguse tea Pascal, upate uponyaji in Jesus Name.
bada ya hapo kilichotokea kwako ,ulikua unaanga kweli dunia ,pole sana
Nakupenda hii nyimbo
Ubarikiwe sana , Congo wanabi wanazidi kuja useme ukweli , wakusema ukweli atakiwa auwawe .
Namkubali,sanauyu,mtumishi,nimepitiamagum,lakininikisikia nyimbozaketu nguvuzinakuja munguakubalikimtumishi
Namuomba mungu,nipatemtotowakiume,jinaaitwe,pasko,nakukubalimtumishi
hili jamaa jembe la Yesu
Mungu akuokoe na hila zote za shetani
Barikiwa mno kwa kusema kweeeli mtumishi acha wachukie ili mbingu zikupende
For the. First time naskia wimbo nmefunguka macho sasa
DAMU YA YESU KRISTO UKUFUNIKE KILA HATUA UNAYO PITIA ZIDI KUUITIA DAMU YA YESU KRISTO INENAYO MEMA IKUFUNIKE AMEEN
Sa mbona kama ishara ya kishetani😌😌😌😌😌
Mungu awe pamoja nawe,, hautakufa bali utaishi ulihubiri NENO la BWANA YESU ,,
Hata siku moja Cha Mingi akiwezi kufandaima utaisema kweli jembe la Mungu
May God bless you bro for that. and guess what?since I start leasining to yuor song I feel strong in Jesus name.
Upone paschal kwa jina la Yesu useme kweli
Mungu aendelee kuku kumbuka na aendelee kukuinua na asidi kuku bariki katika Jina la yesu kristo maana yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele
Thanks
Dah,ee Mungu turehemu ,Mungu akubariki sana Pascal
miss Agatha sure
God bless you brother faith
Kama umeamua kutubu kweli, Mungu akubariki sana, napenda sana nyimbo zako
Kaka upo good sana kwenye ukwer ubarikiwe sana
Nyimbo zako za mafunzo kweli zagusa moyo👏
pole kaka ukweli mchungu ivo ndivo ilivyo
Usijali mungu atakulinda na wabaya wako yeye nimwema kwako
Amina mungu atakulinda namabaya yote amina
Wimbo mzuri tutakuombea
Amen praise the lord our almighty father in Jesus mighty name amen
All might God mungu anampango n wewe usichoke zidi kumtumikia .Amen
Kaka unaimba xana napenda xana nyimbo zako zinaujumbe xana
Mungu akulinde ndugu.
👏👏👏👏👏ubarikiwe sana kaka
Duuu eeh Mungu tuhurumie S's wakosefu jmn jmn asant kutufumbua
Hautakufa Bali utaishi🙏💯
Watu kama hawa wanakosa support ya kutosha Kwa waumini n tumekuwa wafuasi wa manabii wa shetani ,huyu tumpeni support ulimwengu umjue
Nitakuombea mtumishi
Ukweli ukweli🙏🙏🙏🙏
Safi Sana mtumishi nataka CD zako
Amen ❤😂
Video ya nyimbo hii huwa naitafuta ila sijawahi kuipata
Happening in our today's life 😢
asante sana barikiwa Mtumishi wa MUNGU lakini wacha hizo lshara za kipepo
anita 28 . Hizo ishara ndiyo ya dunia anayoiaga Kwaheri .
Nilijua tuu uelewa tumetofautiana. ( hii nimaproducer lakini yeye hajaimbia ishara hizi isitoshe hizo ishara anawaambia hao alio wataja
Sa hizo ishara si ndizo anawaeleza kuwa ndo za frimasson!!
Mtumishi hautakufa bali utaishi utangaze wema wa bwana
Amina mtumishi wa mungu
Mungu wangu!!!!!😳😳
Mungu wangu turehemu
Mungu yupo upande wako
Hizo vidole ni ishara ya devil worship
Duh
weka vidio niione mana naenjoy nyimbo zako kiukwel
Hata wakuchukie ww kaza waokoe watu kwani siku yako yakuondoka utaulizwa namungu ulifanya nn ukiwa duniani fanya vyote najua unaongozwa naroho mtakatifu
Wapi like za 2022/25/12🙏🏽🙏🏽
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Nahitaji kukutana nawe ndugu Pascal. Naomba tuwasiliane.
+2556 25 84 76 61
+2557 42 96 26 61
Mungu turehemu
Upone katika jina layesu shetani hana mamulaka juyako
𝗔𝗺𝗲𝗻 𝗺𝘄𝗶𝗻𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝘁
Be blexxed my brothr!
How did he know that the anointing oil is out of burned private parts if he's not among them?
umenifumbua juu ya mafuta ya ubako
Anaendeleaje mkuu wetu Pascal Cassian maana hatupati update zake tujuzane wadau.
God bless you
Kashaenda india tayari kwa matibabu tumwombee tu atibiwe vyema
Ameen
amen
Mbona sijawahi kuona umeweka video ya Dunia kwa heri?
Upo
Passcal Halima mungu akulinde Kaka
usirudi nyuma bro