aaaaaa eti chama chama kwani Simba kumepita wachezaji wazuri wangapi mana unacho kiongea ukinyuhi embu acheni ushamba kwani sisi Simba ndio chuo chenu tukiwacha wachezaji nyinyi mnabeba alafu mnawaacha Simba nguvu mojaaaaaa
Sisi mashabiki tunaumia mama atupati taarifa mzuri kiukweli media inapoteza quality kama fei toto na mayele awajasajiliwa sema Kweli Mimi nipo musimbiji mkoa WA Pemba (palma mpakani na mtwara) naumia sana
Kwann mnandika tarifa za uwongo kwenye tv yenu, mnasema yuu ya feisali kwenda simba afu, mnauliza mambo ya law, kwann msiwe kama mirad ayo, uwo ushamba,
Semaji tunaomba Kama Fei toto bado hela imekuwa ngumu bx tupitishe hata Harambee tuchangie ili tumlele unyamani ili waumie wale jamaa wanaotuletea ngumu
Yaani Katika Swali la Kijinga na muuliza swali Bila Kupepesa Macho Namwita ni Mpumbaav Kauliza Eti Msemaji kwanini Toka Umejiunga na Simba Haijawahi Kuchukua Kombe lolote Zaidi ya Kombe la Mapinduzi Pumbaav Hilo Sio Jukumu la Msemaji Wa Timu Waulize Viongozi Makocha na Wachezaji Shenzi sana muuliza Swali
Simba nguvu moja
Mwamba Simba kweli wamemsajili namkubali sana msimaji wetu
semaji letu CAF mungu akulinde kwakila jambo naakuondelee marazi
Kaaaaa jamn Iv Feisal anakuj simba kwel
aaaaaa eti chama chama kwani Simba kumepita wachezaji wazuri wangapi mana unacho kiongea ukinyuhi embu acheni ushamba kwani sisi Simba ndio chuo chenu tukiwacha wachezaji nyinyi mnabeba alafu mnawaacha Simba nguvu mojaaaaaa
nyinyi utopolo mbona mnateseka tulieni kwani nyama zipo chini Simba nguvu mojaaa
Dua san
Acheni utani Feisal simba
UPO SAHIHI SANA SEMAJI LA CAF
Ndio hivo, amkubali kwamba kaja Kwa Simba?
Fesail kassjiliwa Mikia ila atcheza Azam.....acheni ujinga ..mbona dusla liko wazi??
Chama kaweke oil penye ugumu
Sisi mashabiki tunaumia mama atupati taarifa mzuri kiukweli media inapoteza quality kama fei toto na mayele awajasajiliwa sema Kweli
Mimi nipo musimbiji mkoa WA Pemba (palma mpakani na mtwara) naumia sana
Maana atupati taarifa mzuri kiukweli media inapoteza quality kwa kuweka picha za wachezaji wasio sajiliwa sio powa...
Boa noite família de simba❤❤❤❤❤
Bro safi
Makol buana
MKIONA HAMPATE VYUER KWA HABARI ZA MATOPOLO MACHOGO FC MSITUUNGANISHE NA HUWO USHAMBA WAO MAFISI FC HAWO
Azizi kii tulia yanga hapana njaa
Munakngea saw na wanasimba wenzangu semeni ukweli
Kweli😅😅
Unyama mwingi msmu huuuu
Asandeekwakumsajili feisali feitoto
Mkovizuri
Kwann mnandika tarifa za uwongo kwenye tv yenu, mnasema yuu ya feisali kwenda simba afu, mnauliza mambo ya law, kwann msiwe kama mirad ayo, uwo ushamba,
Ahmed ally dah huyu ndio msemajai wa kweli namkubali sana napia naamini huyu ni mnyama hasa ,pambana baba mafanikio yanakuja
Mwongo hapo juu yup ibwe anakanusha
🇹🇿👍 4:51
Mayele????😮😮😮😮
we kamwandishi umetumwa
Kwel
utopoloooo😅
Chama amewauniza vichwa sana kama ndoto vile
Semaji tunaomba Kama Fei toto bado hela imekuwa ngumu bx tupitishe hata Harambee tuchangie ili tumlele unyamani ili waumie wale jamaa wanaotuletea ngumu
Na Kama atasusa lawi wenzie Wala
Yaani Katika Swali la Kijinga na muuliza swali Bila Kupepesa Macho Namwita ni Mpumbaav Kauliza Eti Msemaji kwanini Toka Umejiunga na Simba Haijawahi Kuchukua Kombe lolote Zaidi ya Kombe la Mapinduzi Pumbaav Hilo Sio Jukumu la Msemaji Wa Timu Waulize Viongozi Makocha na Wachezaji Shenzi sana muuliza Swali
Broo unajua kuongea maswali ya mtego unapita nayoooooo
Mnaboa nyie kichwa cha habal hakiendan na habari
Semaji lacuf nkupenda mtu wakazi
Hivi hakuna taasisi zinasosimia hizi taasisi fake? Unadanganya watu kwa kuweka heading tofauti na content ili iweje
😂😂😂😂😂😂ata ngao ya jamii ni wamechikua kwa figixu tu
Pumbavu nyie wazili wa habali fungia hawa wezi wa mb za watu kichwa cha habali na kilichopo ni tofauti media za uchocholon futeni