Mwanamume adaiwa kumuua mamake na kumzika Mathioya, Muranga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лип 2024
  • Huzuni imetanda katika Kijiji cha Kirimagiga, Mathioya kaunti ya Muranga baada ya mwanaume wa miaka arubaini na mitano kumuuwa na kumzika mamake wa miaka sabini usiku wa kuamkia leo. Kulingana na familia, mshukiwa anaaminika kutekeleza unyama huo jana ambapo mama huyo wa miaka aliripotiwa kutoweka.

КОМЕНТАРІ • 9

  • @faithbreezy628
    @faithbreezy628 Рік тому

    Sad, mental health, drugs are consuming this generation 😞
    Condolences to the family and friends,may she rest easy.

  • @NaimaNaima-gt8le
    @NaimaNaima-gt8le Рік тому

    So sad, jamani binaadam wanakula nn hawana huruma 😪😭mtu kuua mzazi eeeei waah 😢

  • @FaithMutheu-bu8gw
    @FaithMutheu-bu8gw 10 місяців тому

    Dunia imeisha jamani

  • @futurewalkwer5609
    @futurewalkwer5609 Рік тому

    Kikuyu's c watu

  • @ztezte8009
    @ztezte8009 Рік тому

    Muranga Kwa Sabina chege

  • @hellenopiyo3391
    @hellenopiyo3391 Рік тому

    Watu wautoa wapi nguvu yakuua mtu amekubeba miezi tisa akateseka na ww mbaka ukakua mtu mzima unamuua huyo laana itamfuata mbaka kifo yake

  • @catherinemusyimi8591
    @catherinemusyimi8591 Рік тому

    wah😭😭

  • @annwanjiru8897
    @annwanjiru8897 Рік тому

    😭😭😭😭🤔🤔

  • @mikembugua2079
    @mikembugua2079 Рік тому

    Murang'a as usual