May God Almighty have mercy upon us all Kenyans people are really going through tough times may God Almighty intervene in our nation in Jesus Christ Name ask Amen
LOOOTER..Alisema hakuna watu wenye watavunjwa mayumba....Mama mbogo haya yanatendeka unaziona kweli...hhhhh mimi nilikuwa mmoja wa wale wa athiriver.. i swear nililia hhhh😊😊😊😊
Yaani unyama gani hii kweli, kwani tulichagua Nani, haki Wanjiku asiwahi vote kwa Nani!!!! huyu tumebakisha miaka 4 tusiwahi ndanganywa dakika ya mwisho wananchi wenzangu
Currently we are unable to do so dear sister, unless there is a revolution country wide,it is so painful,This government will pay dearly kwa maovu hasya yote.
Naomba ufikiwe hapo kwenu uambie kuwa ni shamba la serikali you test that feeling watu wana feel. Na kama bado ruto yuko uongozini hadi 2032 trust me utafikiwa hata kama sio shamba kitu ingine tofauti
Hii ndo maana mie hupenda watu wa kutoka nyanza,ingekua Ni huko nyanza Mambo haingekua hivi,hao watu wa matingatinga na maafisa hao wa polisi wangetoroka.😂
Mungu anakuona Ruto na malipo ni hapa hapa duniani
Aki huyu mtu jameni!!! anyway God is watching him
Kama kuna mtu aliamini maneno ya zakayo labda mlikuwa walevi
😂😂😂😂 walevi tulikua busy on election date 😂😂😂😂, we don't tolerate such nonsense 😅😅😅
May God Almighty have mercy upon us all Kenyans people are really going through tough times may God Almighty intervene in our nation in Jesus Christ Name ask Amen
Poleni sana watu wa msambweni kuna Mungu mbinguni atawavuta machozi yenu
Ruto ni jabazi kwa kweli anataka waenda wapi wakati wote niwakenya 😢😢
So sad😢!!!poleni sana,
Poleni sana same na sisi watu wa mavoko 😭😭
Mnakumbuka uhuru akisema hizo tusimu tulizimwa 😅😂😂😂
Sambueni supported Ruto through their mp!! Hasoraaa tawalaaaaaa
Huslers learning the hardway😂😂😂😂
I hope hustlers have a lesson. Never vote for your fellow "hustler".
Tutamchagua asubui na mapema
Abomoe mpaka state house 😅😅😅😅😂😂 champagne 🍾 zikome haraka...
😂😅😂
Walisema Raila ni Mzee amechoka
Poleni sana.
So painful but almighty God is watching ruto your time will come Kenyans we are on our knees and our prayers will not go in vain
❤❤❤❤❤
Zakayo shame on you
Poleni jamani, what kind of government is this????
Ruto you are in State House on borrowed time. Hatutabomoa state House lakini tutakutoa wewe.
Hapo sasa umeongea ukweli kabsaa. Wananchi wanafaa kuamka na nguvu na fujo
@@nurezdawood8363Nani huyo ataenda uko? Husijidanganye
Maskini huyu Ruto bora afe mbali😏
This is a big lesson to all people reading this...be very careful when buying land.
MAMBO NI MATATU
Wajaribu nyanza tutawaonyesha
Unaongea but yakikukuta hutasema koz police humwagwa mob sana nahakuna kitu unaweza fanya,omba mungu yasiwakute
Mungu anakuangalia Zakayo na atakuangusha na atakuchapa kiboko
LOOOTER..Alisema hakuna watu wenye watavunjwa mayumba....Mama mbogo haya yanatendeka unaziona kweli...hhhhh mimi nilikuwa mmoja wa wale wa athiriver.. i swear nililia hhhh😊😊😊😊
Subhanallah
Poleni aki ina uma sana
Bottom up
This is bad😢! Jameni!
Lessons from peer voting 😅. Nxt time mtapiga mkitumia akili
Yaani unyama gani hii kweli, kwani tulichagua Nani, haki Wanjiku asiwahi vote kwa Nani!!!! huyu tumebakisha miaka 4 tusiwahi ndanganywa dakika ya mwisho wananchi wenzangu
Wakenya Ni wale wale tu my brother,even now we still have those wenye wanaimba huyu mkora tu!! Na 2027 Bado watampigia kura huyu jamaa.😂😂
@@Josephat-jk3hupia mimi najua atanidanganya nimchague tu
Driving people more into poverty
sio haki sio sawa
The only leader in kenya is Raila Odinga and Babu Owino
Kama mimi cjaamini zakayo hata alpokuwa vice-president 😢😢😢
@@Mohammadbora-cd6jg Huyo kumbe alikua anapea Uhuru Kenyatta kazi ngumu Sana
@@EstherMagret Mwanzo ule wakat akaahidi vitarakilishi kuanzia chekechea
Aki it's not fare aki honestly how can this happen Ruto n Gachagua and your government you will never have peace 😢😢😢😢😢
wahh hatari sana
Bottom up reloaded…..
Wasijaribu nyanza otherwise IT Will not be easy
Wasijaribu hiyo watakiona.
WHAT ARE WE WAITING FOR KENYANS???? Majaambazi waondolewe haraka. What Are we waiting for???ITS TOOO MUCH TOOO MUCH.ENOUGH IS ENOUGH.
Currently we are unable to do so dear sister, unless there is a revolution country wide,it is so painful,This government will pay dearly kwa maovu hasya yote.
Very true and well said. We need to act quickly
This is the worst gava in kenya since independence
Kindly kenyans. This is simple. Rebel against Mps and Senators who are pro Government in Every constituency or Else ..
@silasmaratani i concur
Hustler nation hatupangwingwi
Taking the country in the right track.😢😢
Impeachment is what he should be facing.... but they are the majority in parliament and senet
Mlisema Ruto ni mkombozi
Tunawangoja 2027
Ikiwa wali toboa wakiwa nje ya serikali Sasa sembuse wakati huu Kama ako ndani ya serikali,wataiba 2027,your vote will not count my brother
That's true josphat.
Heri usipige kura
Na ndio mwaka tu wa pili...maji sana 254
Seems everyone in Kenya lives in a grabbed land. Where’s this free land? i need one.
Bottoms are ups now
Watu watoke kwa mashamba ya serikali
Serikali niya babako?
Heri ungezaliwa ngombe tukunywe maziwa!
Bila watu hakuna serikali 😢
Shareholder Sasa uingie Kwa mjei ya RUTO ya housing
Naomba ufikiwe hapo kwenu uambie kuwa ni shamba la serikali you test that feeling watu wana feel. Na kama bado ruto yuko uongozini hadi 2032 trust me utafikiwa hata kama sio shamba kitu ingine tofauti
Malipo ni hapa hapa
HAKUNA KURA ZA KENYA KWANZA MSAMBWENI
Come rain come shine i will never listen to zakayo
Cha ajabu mnaiba mashamba alafu mkipatikana mnalalamika,na SI kwamba hawajui ila hapa Kenya kila kitu ni siasa
Serikali ya bottom up
Sai mnyonge Hana haki ya kumiliki shamba
Eti Moha jicho pevu!?, takataka amemezwa na gava
😂😂😂😂😂.... Ruto has to do whatever he is doing to develop the nation.
Nanyie muamkie
They said freedom is coming let them be patient with the smoke in the kitchen.
This is too much
This is really hurt breaking in a country where leadership is elected by same people
The is bottom up economic 😢
Mbona wakati wa kubomoa nyumba watu hawafukuzi askari na matrakta kubwa kubwa. Kujenga barabara watu hutoka kwa mawe na mapanga.Nini la muhimu saaana?
Hii ndo maana mie hupenda watu wa kutoka nyanza,ingekua Ni huko nyanza Mambo haingekua hivi,hao watu wa matingatinga na maafisa hao wa polisi wangetoroka.😂
Bado tunakumbuka mulikua viherehere sana saa hizi munakula jeuri yenu
Na uzuri hawa walimpigia kura awatoe bottom awapeleke up😂😂😂
Ndio hivyo
@@bettywabuko5071doubt if this region was for kenya kwanza
@@catherinehg2852 check the names of the people talking
Tena bado ndo mwanzo wa kualika mkoko maua
Let's zakayo Ruto come to gusii Land and grab lands atajua ajui
😂
Inka
Zakayo is overworking
Ni maombi si uchawi
Ilikua ukambani mkanyamaza Leo n taita kesho n kwenu
from who did the company in question buy land? It is fraud, stealing land from the public and indigenous communities.
Hasora ataware,10 za ruto ni lazima
This government is overworking😂😂😂, i just wonder who voted for this people then coz no one is being spared neither.
Na wakenya wanasema koti ziko sawa na maamuzi yake.hapo hakuna kazi ya ruto juu ata yeye mwenyewe amelemewa na koti
Tuwe makini sana tunaponunua plots we never learn my people
Learn on what
Dont be shocked hizo machine
Zikitokea kwenu
@@adajialex1613 Taita ni kwetu hapo ndipo ziko. We should learn nikiwa hapoo .
Notice was given in the previous government
Ruto ni mafi. Anataka kuiba mashamba
😢😢😢😢
Mlikataa Raila lleno tu wajinga
Sasa lazima wakubali matokeo
Nyie wajinga