Madereva na abiria wakwama Gilgil kwenye msongamano kwa zaidi ya saa 15

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Madereva na abiria wanaotumia barabara kuu ya Nairobi kwenda Nakuru wanataka hatua za haraka zichukuliwe kusuluhisha kero ya kila mara ya msongamanao wa magari katika barabara hiyo. Wito huu ukijiri baada ya mamia ya waliokuwa wakisafiri kutumia barabara hiyo kukwama kwa zaidi ya saa 15 katika msongamano wa magari uliosababishwa na ajali iliyohusisha trela na gari dogo katika neo la Gilgil

КОМЕНТАРІ • 1

  • @miltonmawewe7796
    @miltonmawewe7796 2 роки тому

    Hio Mahari tutakuchukulia🤭🤭aki Wajaka kweli😄😅😂