"Mawazo" Sehemu Ya 36 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    UA-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2023

КОМЕНТАРІ • 13

  • @suzannebucyanayandi630
    @suzannebucyanayandi630 Рік тому

    Imigisha y’Uwiteka kuri wowe Dr. Elie hamwe na team Chomoza 🙏

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw Рік тому +4

    Tumezaliwa tufanikishe ili turudishe kwa sababu tunapokufa hatuondoki na chochote. Tusitawaliwe na mifumo ya dunia bali tuitawale na kuielewa mifumo.Dunia ni mfumo, mifumo mingine ni dini,siasa na vyama, familia, ndoa .Msukumo wa ndani ni muhimu katika kufanya maamuzi. Asante Chomoza, pongezi kwa Dr Elly. Nimejifunza.

  • @Said-s9c
    @Said-s9c Рік тому +2

    Ahsante sana team choMoza❤

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 11 місяців тому

    Aje zanzibar kadi mutoe

  • @neemabahufashe-se2rk
    @neemabahufashe-se2rk Рік тому

    Juzi nilimuona Kwa mara ya Kwanza Sam sasari kwenye maonyesho ya karibu kusini,nilijisikia vizuri Sana kumuona live,Mungu awabariki imebaki nikuone Dr elie

  • @majjidrajabu2622
    @majjidrajabu2622 Рік тому +1

    Personal inspiration ni muhimu saana; asanteni CHOMOZA, mzidi kubarikiwa na MUNGU.

  • @AgnessPetro-y3x
    @AgnessPetro-y3x Рік тому

    Maneno ayatoshi kuwakilisha shukrani zangu,
    Mungu awabariki

  • @ebonybhoke5321
    @ebonybhoke5321 Рік тому

    God bless you,

  • @neemalaizer1385
    @neemalaizer1385 Рік тому

    Mungu awabariki sana team Chomoza

    • @JumaNgasinda
      @JumaNgasinda 11 місяців тому

      Ndugu zangu team chomoza mnakuja lini

    • @JumaNgasinda
      @JumaNgasinda 11 місяців тому

      Mnakuja lini zanzibar ndugu

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 Рік тому

    Shukran sana kila siku nasoma na nazidi kusimama imara munazidi kunifungua akili kwa mambo mengi ,mola awape maisha marefu 🙏🙏🙏🙏

  • @joelnderingo7444
    @joelnderingo7444 Рік тому

    Kweli kabisa ubinafsi tuta usemea sana ila hatutatoka apo maana tunapotoshwa mnooo na watu walio patiwa nafasi za kutunyoosha wana tupotosha
    Tunapaswa kubaki kua sisi sio kua wao
    Inspiration is better than to be inspired