"Mawazo" Sehemu Ya 39 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul Рік тому +5

    Every day from Burundi 🇧🇮 we love you dr elie yani mimi sjajuta kukufahamu bcs wewe huna hiyana

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw Рік тому +2

    Kupata picha ya kitu ndiyo kuelewa, Hekima ni uwezo wa kushughulikia matatizo moja kwa moja.Hekima isipotumika ipasavyo inakugeuka . Muhimu kujua danger zone ya wisdom. ❤🎉 Asante Chomoza pongezi kwa Dr Elly Nimejifunza.

  • @pascalmassay9139
    @pascalmassay9139 Рік тому +3

    Appreciate team chomoza🎉🎉

  • @missiontown001
    @missiontown001 Рік тому +2

    DOCTOR UNATUSAIDIA SANAA 🎉🎉🎉

  • @estersilver9872
    @estersilver9872 Рік тому +2

    Wengi tunapona akili zetu kupitia dr Ellie barikiwa sana.

  • @patrickmwamakula1261
    @patrickmwamakula1261 Рік тому +1

    Mbarikiwe sana Timu ya chomoza

  • @هشامسلام-ف7س
    @هشامسلام-ف7س Рік тому +8

    Nawasalimu kwa upendo wa dhat dr ameniponya sana nilizaliwa kwenye familia ya baba mwenye wake wengi licha ya hivyo dada zangu pia walisema yule hakuwa baba yangu nilikuwa nakuwa kwenye mapito ya kusononeka kutokupata mahitaj muhimu kama mtt lkn ndugu zangu wa tumbo 1 hawakuwa na shida ya ihitaj maana walirith kwa baba yao kwa mafundisho ya dr kwa miaka 6 mimi ndiye niliyekumbuka kumjengea hata nyumba yake ya milele maana moyon mwangu ilikuja saut hata kama hakuwa baba yangu lakini ni alikuwa mume wa mama na mimi pia natumia jina lake usononefu ule ulinifanya hata nisidumu kwenye mahusiano kulalamika mpaka nikazaa watt 3 kila mtt na baba yake lkn kwa mafundisho ya dr watt wapo kwa baba zao na wazaz wenzangu tumekuwa tunaheshimiana inafikia hatua hata wakipungukiwa nawaongezea ada za watt na mahitaj sasa tunaheshimiana sana japo wanaish mikoa mingine nilitsman ndoa kupitia meditation na mafundisho ya dr nikapata ndoa na mume alie nipenda sana lakini kwa wivu na mapenz yaliyopitiliza kwangu yule mume nilimuacha mwenyewe tena kwa maombi na kufunga ili asijisikie vibaya tuachane kwa amani na ilikuwa hivyo sasa baada ya kufanya sana meditation najiona natakiwa kuwa na muda mwingi niki relax na mind yangu nifanye kaz niwatunze watoto miaka yangu kwa sasa ni 35 asantee dr MUNGU akubariki sana

    • @cheka480
      @cheka480 Рік тому

      never be ashamed of your scars. Majeraha yapo kwa kutufunza, mimi nikimiss somo lake jamaa nachanganyikiwa hata mm amenisaidia sana

    • @hamidafundi-pw1gw
      @hamidafundi-pw1gw Рік тому

      🎉 Pongezi kwako kwa kujifunza vyema. Hongera kwa Dr Elly na Chomoza.

    • @هشامسلام-ف7س
      @هشامسلام-ف7س Рік тому

      Amen

  • @edgeranacret5455
    @edgeranacret5455 Рік тому

    Thank you we love you Team chomoza

  • @rhodajackson2213
    @rhodajackson2213 Рік тому +1

    Thank you Chomoza!

  • @godlistenemanuel4329
    @godlistenemanuel4329 Рік тому +1

    Mimi ni mwanafunzi kutoka 2019 wakati kwa mara ya kwanza. Nilimuona Dr. kwa kutembelea page ya harris kapiga ya FACEBOOK nikaona alikuwa mgeni.. Wa kipindi cha TERMINAL Na ilikuwa mwisho wa mwaka kama nakumbuka vizur nilishangaa kuona utofauti na ugumu wa kuelewa alikuwa anaongea nini LUGHA NA MATAMSHI... Lakini sasa kanijenga nimekuwa kiongozi katika kanisa huku misingi na miongozo ya uongozi akiwa kanijenga yeye MUNGU ATUKUZWE NA WANADAMU WATAKATIFUZWE....

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 Рік тому

    Barikiwa sana doctor

  • @tegemeawilliammsewa1950
    @tegemeawilliammsewa1950 Рік тому

    ASANTE, SOMO MHIMU SANA.

  • @AginesCosmas
    @AginesCosmas Рік тому

    Tunajifunza vyema, uku you tube sauti ina kua chini sana

  • @ngashajameschristopher565
    @ngashajameschristopher565 Рік тому

    mafundisho yako yooooooote ninayo una kitu kikubwa sana ndani yako watu hawajajua tu

  • @abdulally2764
    @abdulally2764 Рік тому

    Hao watoto bright wameshawekewa mitego ya nyavu saanyingi na mataifa ya nje ... wameandaliwa kupata scholarship wasome nje bure mataifa hayo yameamka mda na hayupo mzaz atakataa so serikali iamue hayo mapema... na ifatilie kuanzia primary

  • @rugaziabaisi6199
    @rugaziabaisi6199 Рік тому +1

    Ukifata mafunzo ya doctor kikamilifu jamii na familia watakuona kuchaaa......

  • @annachachage4931
    @annachachage4931 Рік тому

    Mbarikiwe kwa kutujuza ujuzi na hekima,kubwa kupitia mtumishi huyu wa MUNGU,lakini team chomoza,, sauti ni tatizo huwa chini sijui tatizo ni nini?

  • @edgarkivambe7188
    @edgarkivambe7188 Рік тому

    ninge kuwa na uwezo ningelipia kipi hiki kutoka dk 30 Hadi saa 1. ili tu tupate muda wa kijifunza zaidi kwani masomo haya yame nibadilisha pakubwa mno.. mugu awalinde timu chomoza.. wapate kuish umbali mrefu ili wengi wajifunze na wafurahie maisha..

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 Рік тому

    Sijui lipi naweza sema au nine ne kwaumuhimu nilivyo saidika na hichi kipidi mola azidi kuwalinda na awape umri mrefu.

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 Рік тому

    DR ELLY UMEONGEA MANENO MAZITO SANA KUHUSU TEKNOLOJIA NA WATU KUBISHANA TU KWENYE DINI 🤔

  • @jerrydenis7165
    @jerrydenis7165 Рік тому

    doctor nimebadilika kiasi kwamba naogopwa nifanyeje hata waliokua wanagombana na mm kwa sasa wamekaa kimya