Mtoto kurudia wazazi wake ndiyo danger zone yake. Nguvu zetu wanadamu zipo kwenye umoja,kushirikiana watu.Wazazi tunawaasi watoto wetu kwa kuwawekea dhana potofu. Zawadi kubwa unayoweza kumpa mtoto ni kumzaa na kujifunza kutoka kwako adabu, nidhamu,ridhaa. Thamani yako kwake ni kuwa mzazi. ASANTE CHOMOZA. PONGEZI KWENU NYOTE NIMEJIFUNZA.
ubarikiwe❤🎉🎉
behold the man is back,
we missed you so much dear doctor, Mungu akuweke kwa ajili ya wengi
Welcome back Dr.Ellie,We Missed you !Hongera team chomoza
ninafura sana leo kumuona dk elie kiukweli mimi hiki kipindi kimebadilisha maisha yangu kila sekta asanteni sana mungu azidi kuwabaliki😂
Tulikumiss Sana doctor tunashukuru kwa uwepo wako Tena we love you dearly and always we do May God bless you and keep you safe❤❤❤❤❤
Daah! Dr tumekumiss!kila siku nacheki sikuoni Chomoza
Am so happy kumuona Dr. na team chomoza, May God bless and keep you safe thank you 🙏
Wow nimefurahi sana kumuona dkt
welcome back Dr Elie, i have missed you. Glory be to God
Happy birthday Dr Ellie Mungu akupe maisha Bora 21/03/2024.
Mungu awabariki sana chomoza
Nimefurahi Sana Dr Elie amerudi tunamshukuru Mungu kwa ajili yako na team nzima
Absolutely ni siku ningine tena after a while, tuendelee Kujifunza 🙏🏼🙏🏼
Asante sana Dr Kwa kurudi tena
❤❤ napenda maneno yako
Mungu akuweke dr❤
Nafurahi sana kuwaona tena. Mubarikiwe sana.
Asante .. MUNGU awabarik sana😊 Nina furaha iliyo pitiliza kuendelea kujifunza.. kwani nabarikiwa Sana
MDINI NI MAGUMASHIIIIIIIIII DR BWANA
Waaaoooow kumbe karudi, mpe salam zangu tulimmisi saaana, Mungu awabariki sana
Whaooh Doctor is coming back
Welcome back I'm so excited to see you again
Japo nimechelewa kuiona ila niiimefurahiii,,Dr Elie umerudi Tena!! Mungu awape afya njema team chomoza
Doctor umenitesa wewe😢, ila nimefurahi sana adi siwezi elezea , karibu tena
Finally ur back
Bora karudi doctor
Thank God umerudi tena Dr
Your welcome back daddy i really miss you 🙏🏽
Happy birthday Dr Ellie🎉🎉, and welcome back
Karibu sana Dr, nimefurah kukuona tena
Tume m'miss sana Dr. Karibu Tena mtumishi wa Mungu
Doctor tumefurahi sana sana kukuona. We love you so much ❤
Dr nilikumiss sana pamoja na team nzima
Your missed Dr.Elie
I'm glad to hear you again ❤️
am so excited to see my mental again god bless him so much and keep him safe
Hatimaye Mungu ametenda
Asante Dr Elly 🎉
Ninafuraha sanaaaa🎉🎉🎉🎉❤️
Dr Eli tuliwamis SANA SANA
Duh, I missed him!
Love to hear you again daddy
❤
He is back again🙏🙏
Muda mrefu sana
Dr nimefurahi umerudi.
We really missed you dr
🙏👍
Mtoto kurudia wazazi wake ndiyo danger zone yake. Nguvu zetu wanadamu zipo kwenye umoja,kushirikiana watu.Wazazi tunawaasi watoto wetu kwa kuwawekea dhana potofu. Zawadi kubwa unayoweza kumpa mtoto ni kumzaa na kujifunza kutoka kwako adabu, nidhamu,ridhaa. Thamani yako kwake ni kuwa mzazi. ASANTE CHOMOZA. PONGEZI KWENU NYOTE NIMEJIFUNZA.
😂😂 asee mpaka nilianza kuumwa ❤
mung ametenda
Nimefurahi pia umerud
Dah afadhali dr umerudi maana mi binafsi nilihisi kupungukiwa kitu
Ulikuwa wapi Dr wetu
Ashukuriwe MUUMBA HALISI NDANI YA DOCTA