"Mawazo" Sehemu Ya 33 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @joelkahesi7280
    @joelkahesi7280 Рік тому +1

    A hub of Hope

  • @annaalute3510
    @annaalute3510 Рік тому +1

    MUNGU awabariki sana

  • @MkalaTsanje-pi7ps
    @MkalaTsanje-pi7ps Рік тому

    Naomba team chomoza muongeze mda tafadhali nipo kenya

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 Рік тому +3

    Woow..leo mmefanya kwa wakati,barikiweni sana!!

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul Рік тому +1

    Dr Élie mimi ni imamu kupitiya hekima yako wewe na Joël nanauka ninafundisha hekima zenu

  • @sophieshezi216
    @sophieshezi216 Рік тому +1

    Dr Elie good God bless you and all Members of TV Chomoza

  • @nyabendagodefroid
    @nyabendagodefroid Рік тому +1

    Tunawapenda daima MUNGU awajazie from burundi

  • @johnchuwa1646
    @johnchuwa1646 Рік тому +1

    Asante sana Dr.. moja ya wataalamu nawafuatilia karibu mwaka wa nne nadhani barikiweni Team chomoza wote🙏

  • @khamisrashidmuhhamed3057
    @khamisrashidmuhhamed3057 Рік тому +1

    Nawapenda sana ❤ kitabu alicho kitoa Dr Eli nitakupata vip

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul Рік тому +1

    Asant my doctor wng from Burundi 🇧🇮 we love you

  • @Newnormal-ch5im
    @Newnormal-ch5im Рік тому +3

    Nimechelewa sana kumjua huyu Dakitari Eli, ningemjua mapema, leo ningekuwa mbali sana,ntawafundisha wanangu maarifa nayopata apa

  • @GODisable7573
    @GODisable7573 Рік тому +1

    MUNGU akutunze na kukulinda Doktor Elie tunamtukuza MUNGU kwa ajili yako Dk. Kaka Jimmy na Sam tunamshukuru MUNGU kwa ajili yenu. MUNGU azidi kuwapa hekima, tunajengeka sana kupitia hiki kipindi, MUNGU atudaidie tuweze kuyafanyia kazi🙏🏾🙏🏾

  • @tishaz-r7j
    @tishaz-r7j Рік тому +1

    Mungu akubaliki mwalimu

  • @josephmshana5833
    @josephmshana5833 Рік тому +2

    Naomba uanzishe ata chuo ili tupate full darasa na vyet kabsaa,barikiwa sana dr ellie

  • @SalimHamisi-g3z
    @SalimHamisi-g3z Рік тому +1

    Asante sana chomoza bwana awabariki

  • @piterstella5778
    @piterstella5778 Рік тому +1

    Nakuelewa sana DR,Asante kwa mafundisho yako mazuri.

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 Рік тому +1

    Asante sana Dr Eli na group la chomoza. " Mwenye hekima habagui" Hii imenifunza pakubwa asante sana.

  • @rhodajackson2213
    @rhodajackson2213 Рік тому +2

    True DR , tumebadilika wengi na masomo haya ...

  • @JujoJr
    @JujoJr Рік тому +1

    Nawapenda sana. God is greatest all the time.

  • @badilikakijana4032
    @badilikakijana4032 Рік тому +1

    Unasema kweli doctor tangu nimeanza kukufatilia nimekua na ufahamu mkubwa katika kila eneo, asante Mungu atakulipa.

  • @daudikifaru1992
    @daudikifaru1992 Рік тому +2

    Hichi vipind ilitakiwa kipewe airtime ya kutosha kwenye station nyingine.
    Asnte Dr.Elie nkmekua mfuasi wako tangu kitambo, nimefungukaa saanaa

  • @Laizer3
    @Laizer3 8 місяців тому +1

    Nakipenda hiki kipindiiii

  • @هشامسلام-ف7س
    @هشامسلام-ف7س Рік тому

    Mnh!❤❤❤❤

  • @khamisrashidmuhhamed3057
    @khamisrashidmuhhamed3057 Рік тому

    naomba kitabu plz

  • @edgeranacret5455
    @edgeranacret5455 Рік тому

    Asante team chomoza

  • @jacob9benny
    @jacob9benny Рік тому +4

    Br. Jimmy amna anaelalamika kuhusu muda, ila ukweli tunahitaj walau saa1 kwa ajili ya dr. Eli. Kama kuna gharama za kurusha kipindi mtuandalie akaunt tutachangia. Jambo hili halihitaj maombi kama unavodai wewe.

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 Рік тому

      Wakiweka saa 1 kwa nondo za huyu mwamba tutaomba iwe saa 1 na nusu... 😂turidhike tuu brooo

    • @jacob9benny
      @jacob9benny Рік тому +1

      Br. Ukwel ni kua dr. Wetu hatumfaid vyema na ni watu wachache wa kariba yake. Ingekua kila siku 30min sawa ila mara moja kwa wiki? Sio sawa. Ana data muhimu nyingi tunazozihitaj bado. Vpnd vungap sio vya kujenga vinatumia masaaa kwa tv vinawekwa? Nyimbo moja ya dk5 kwa sku inapgwa mara6 au zaid saw na dk30 kwa siku, na upigwa kila siku zinatuburudisha sawa ila zinatujenga? Kwangu mim mda uo ni finyu sana.

    • @felictysengasu387
      @felictysengasu387 Рік тому

      Kweli kbs

  • @rosekimario5748
    @rosekimario5748 Рік тому +1

    KITENDO CHA KUKOSA KIPINDI HIKI NAKUWA NIMEPUNGUKIWA SANA.MUNGU AWATUNZE VYEMA .TUNAPONA ROHO ZETU.

  • @MkalaTsanje-pi7ps
    @MkalaTsanje-pi7ps Рік тому

    Unaongea kweli

  • @eliaspeter1258
    @eliaspeter1258 Рік тому

    Sauti iko chini ifanyieni kazi

  • @PraxedaErnest
    @PraxedaErnest Рік тому

    Nina rafiki yangu ambaye alianza na mume wake wakiwa awana kitu lakini walipo barikiwa tu mume huyo alimwacha na kuoa tena iyo inasababishwa na nini..

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul Рік тому

    Dr Élie mimi ni imamu kupitiya hekima yako wewe na Joël nanauka ninafundisha hekima zenu

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul Рік тому

    Dr Élie mimi ni imamu kupitiya hekima yako wewe na Joël nanauka ninafundisha hekima zenu

  • @KoudraAbdoul
    @KoudraAbdoul Рік тому

    Dr Élie mimi ni imamu kupitiya hekima yako wewe na Joël nanauka ninafundisha hekima zenu