Nawapa pole nyote mungu awatie nguvu ktk kipindi kigum hivi kwer binadamu wamegeuka wanyama inaumziza sana pumzika kwa amani mama hawa wote walio husika watalipa kila walichokitenda 😢😢😢😢
Na wamahabari msisubiri kuletewa taarifa kwanumma kachunguzeni wenyewe maana usikute ni wale wale wasiojulikana pengine visasi au kudhulumiana migao je tunajuaje
Kumamaake hiii nchi kilichobaki nikutembea na bastola au visu na upinde haijalishi polisi au nani akikusogelea nikumwaga upongo mazoea yamezidi Kila siku nikutekwa na viongozi wapo kimya hakiamungu ngoja hii imezidi
Victor uko wp hadi ukamwachia hy mwandishi ktk habari mihimu km hii?Mwandishi wako anakosamasuala muhimu elekezi kuinogesha story.Poleni sn wafiwa maadui hao naamini watakamatwa tu kwa uwezo wa Mungu
Daaa aise ktk maisha yangu sitaki kujihsisha na SIASA
Nawapa pole nyote mungu awatie nguvu ktk kipindi kigum hivi kwer binadamu wamegeuka wanyama inaumziza sana pumzika kwa amani mama hawa wote walio husika watalipa kila walichokitenda 😢😢😢😢
Poleni sana jaman inaumiza sana mungu awatie nguvu
Mungu amechoshwa,na maovu.
Utekaji kila siku na viongozi wapo kimya na wanajilekodi wakifanya matukio na wanajulikana mungu mmoja nitafunga na kuomba huu ni upumbafu
😅😂watanzania tusiiane sisi wenyewe kwa wenyewe bora tuue wageni ili vyombo vya nje ya nchi viingilie kati nimechoka inatosha jamani
Binaadam hatuna huruma hivi unamuuw mwenzio hujui wew utakufa ukiwa hali Gani kweli kiama.kimekRibia Yaa Rabbi tujaalie mwisho mwema
Wew uliyeuwa utaenda kujibu nn mbinguni 😭😭
Nanyie WASENGE .mtamfunguliaje mlango mtumsiyemjua? PUMBAVU zenu
Nchi yetu imefikia pabaya sana, kila leo tunasikia habari za kusikitisha sana, Mungu tusaidie
Ni hatari kubwa sana hili.
Dah hatari kwa kweli😢
Duuu poleni Mungu amlaze mahala Pema peponi
Poleni sana wapendwa
Mungu atawaripa kwa wakati wake kwa unyama huu walioufanya
Poleni sana ndugu zangu
Mungu atulinde. Tuna hofu jamani!
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun duuh inauma sana 😭😭😭
Poleni sana wanafamilia
Jaman mama mwenye nyumba wangu huyu
Alikua clean au ana makando kando
Samia kasema kifo nikifo tu
😢😢hayaja.mkuta ni mbaya mno sio rahisi
Poleni ndugu zangu
Dunia nawatanzani tunsenda wapi inasikitisha sana mama samia tunakuomba utusaidie
cctv camera hazija record wauwaji?
Siasa hizi😢😢😢😢
Watekaji serikali inawajua na walishasema musiwatafute watekaji na kuwaua,uvccm ndo wahusika wakubwa.
Damu hizi zitawafaidi nini wauaji hawa?. Poleni sana ndugu zetu. Hali ni mbaya wapendwa. Mungu wetu aturehemu kwa yote. Amen.
Poleni Sana nimeumia Sana, hivi tumefikia hapa kweli😮
Dah inasikitisha sana😢
Mimi ni chadema ktk hili hapana watanzania wenzangu. Tulaani vitendo kama hivi. Sio tabia na uridhi wa kimaadili ya MTANZANIA kabisa. Ok
Vyombo vya usalama Tanzania kwa kuhoji muko vizuri saana ila kusimamia usalama zero kabisaaa
Sijawahi kutamani kujihusisa na siasa wala sitamani mzao wa tumbo langu ajihusishe na siasa sana sana siasa za zama hizi
mungu anatuona
Polen sana hao watu mungu awalaani kabisa
Hii nchi tunaelekea wapi jamaniiii.
Kwanini watu tumegeuka kuwa na Roho za wanyama.
Jamaniiii
ndio maana Mungu ameweka siku ya hukumu ili hawa wasiojuilikana siku hiyo watajuilikana mmoja baada ya mwengine
Ni siasa ndani yake.....
Mchawi hula myqma hata ya mwanae.....
Mharifu, verylikely katumwa na li CCM jingine hufanya hilo tukio....
Mmh mna viherehere sana,ngongo mnafungua mlango,mnatakiwa muulixe nani,jamani dada kalawitiwa?
Watakamatwa mungu ni mkubwa
Siasa zisitufikishe huko jamaniiii.
Utu wa mtu uthaminiwe
Watu wanauwana kwa mambo ya kidunia ambayo wakifa wataacha kila kitu .
Pole sana
Mh polen sana jaman
Ana maelezo marefu huyu binti badala aeleze yaliyotokea siku ya tukio anaeleza mambo yasiyo na msingi kabisa khaaaa
Mie simuelewi msimuliaji
Wananchi tusipo simama na kukemea huu ujinga marehemu amewafanya nini mama wa watu angalia familia ilivyo umia dah inasikitisha sana
After 7pm I don’t open my door 🚪 never ever
Na wamahabari msisubiri kuletewa taarifa kwanumma kachunguzeni wenyewe maana usikute ni wale wale wasiojulikana pengine visasi au kudhulumiana migao je tunajuaje
Hatari mno,
Mungu awappige wote
Wenyewe kwawenyewe
Sa hivi ni kujilinda sisi wenyewe, hakuna kumuamini mtu saivi.
Kumamaake hiii nchi kilichobaki nikutembea na bastola au visu na upinde haijalishi polisi au nani akikusogelea nikumwaga upongo mazoea yamezidi Kila siku nikutekwa na viongozi wapo kimya hakiamungu ngoja hii imezidi
Kisu au bastola kwsbb Tz n hatari sasa
Hatari sana!
poleni sn wapendwa wetu
Tanzania hii haifai kijihusisha kabisa na siasa,, Mimi siasa never
Kumbe walimlawiti pia
Kumlawiti au kufanyajee??
Tanzania yetu inaelekea pabaya sanaa
Ila hii nchi duuuh!
Viongozi wa dini kemeeni aya maovu, sio kusifia tu kila kitu
Mhijiwa unanipa mashaka kwa mood Yako nahis kama huna uchungu unajilazimisha Kuna kitu hapo
twendeni tu mnapotaka tutafika hayo ndiyo yangu,ila kesho kwa mungu siyo mbali.
Kabisa
Wezi wa kura sasa kinawakuta nyie wengine endeleeni kuiba
Inasikitisha sana
Mmmh 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢jamani jamani 😢😢😢Hawa watu 😢😢😢😢😢😢sijui wanapata faida gani😢😢😢😢😢😢
YLIANZA NA POMBE NA SAMIA SULUHU ANAYAENDELEZA. NCHI LIMEJAA MAOVU KWA KUPATA VIONGOZI WAO U. CCM OYEEE
Ni ukatili mkubwa sana bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Allah awalani wao na vizazi vyao
Kumlawiti au kumjeruhi kiswahili jamn
Sijajua kama tunarais ila ngoja ipo siku
Mbona familia wanasema pia alilawitiwa kwa nini.hawasemi hilo polisi mganga na wanahabari mnaficha nini
Hamna aliyesalama
Hao watakuwa asikari
Mm nilikuwa naipenda siasa lakini kwa sasa bora nifuge Rasta tu Baada Bob Marley ndo mm Sitaki Siasa
🤣🤣🤣😂
Jmn hiii ni Tanzania jmn
tanzania kumekuwa sio sallama tena hali ikko kama kenia tu ni hatari sanaa africa jmn
Polen wanafa milia
0:57 yaani wanakuja kumlawiti na kumuua MTU hivi kuna nini mara mateka mara kuuliwa jamani je Yuko salama
Chonde serikali Hali hii idhibitiwe chonde, na uwezo mnao
Huyu hajui maana ya kulawiti yan kuvamiwa anajua kulawiti
Kwakweli ata mimi simielewi kabisa msimliaji!!!...
Hivi hamna walinzi au
Victor uko wp hadi ukamwachia hy mwandishi ktk habari mihimu km hii?Mwandishi wako anakosamasuala muhimu elekezi kuinogesha story.Poleni sn wafiwa maadui hao naamini watakamatwa tu kwa uwezo wa Mungu
Huu usenge unafanyika kipindi cha uchaguzi tuuu kwanini mnashindwa kujiuliza? Watanzania mmezidi unyumbu
Poleni ndg zetu
Polen san 😭😭😭
Mm huyu shuhuda cjamuelewa uongeaji wake
Mimi pia sijaelewa. Mara kulawiti. Mara kawekwa kwenye boksi. Mtangazaji pia hajui kuhoji.
Hata mm Wala sielewi alijuaje kama analawitiwa ikiwa yeye alikuwa nje na anaogopa kuingia ndani 😢
Haki za binadamu mbona hatuwaoni mkiongea
Mambo ya kushabikia waouvu
Bila Muñgu hatutatoboa
Tumefka pabaya sana, mtu anapgwa bunduki mchana kweupe na raia tupo?
Viongoz wakubwa wamenyamaza tu....kwa nn hawakemei?au mpaka waguswe wao
Lucy ni kweli hii sasa inatak viongozi waliangalie kwa umakini
Dah😢
Daaa huyo muuaji hana utu kwan alipomlawiti hakuona utamu ili asimuue amwache binadam kama chui
Tanzania imekua kama kenya
Kenya uwezi linganisha na watu wasiojielewa.
Mbegu ya uuaji imezaa matunda, je ni matamu tufurahie kuyala?
Ina maana walimbaka kabla ya kumuua? Huu uovu mpaka lini?
Tunavuna tulichopanda. Tumepanda chuki na uzandiki, mavuno yake ndo haya. Impunity huzaa chuki. How did we get here?!
Usihukumu kwasababu nawewe utahukumiwa. ....