MASHUHUDA GHOROFA LILILOPOROMOKA KARIAKOO WAFUNGUKA KILICHOTOKEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 117

  • @mariethaKalonga-cm5ns
    @mariethaKalonga-cm5ns Годину тому +2

    Poleni sana ndugu zetu mliopotelewa na ndugu na watoto wenu na majeruhi Mungú awahurumie mpone

  • @yassinsaid1119
    @yassinsaid1119 7 годин тому +13

    Pole sana kwa waliokutwa na Janga Hili Ila Kiukwel Serikali Yetu Iangalie Eneo la Kariakoo Maana Ghorofa Nyingi Hazipo kwenye Mpangilio Maalum Yaan ili Linabomolewa na Kujengwa Kila Siku Kila Kukicha

  • @hanifaalsalamy2935
    @hanifaalsalamy2935 4 години тому +2

    Poleni sana ndugu zangu watanzania Allah SWT awape subra katika janga hili,.

  • @TarimoJohn-h6i
    @TarimoJohn-h6i 4 години тому +3

    Poleni sana Wana kariako ujenzi holela wa majengo wamegusa roho ya jengo biltazri

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 6 годин тому +5

    😢😢😢😢😢😢tanzania yetu 😢😢😢 ewe mwenyezi mungu waponye watu wetu .

  • @zainabnahodabakari1879
    @zainabnahodabakari1879 Годину тому

    Poleni ndug zetu sio watanzania niseme nisis Allah awape subra na Imani juu ya hili janga yote ni mipango yake

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 8 годин тому +10

    Kwa maelezo ya shuhuda wa mwisho Kuna uzembe wa kiufundi umefanyika katika kuunganisha underground ya ghorofa mpya na ya zamani.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 годин тому +1

      Sana huyo ni wapili anaongea hivyo ila kwa rushwa ya nchi hii hakuna kitu atafanywa wakati kaua watu kwa uzembe wa tamaa za kodi .

  • @storytownTv
    @storytownTv 8 годин тому +13

    Haya watu wenye intelegensia kali ,tumemuelewa sana jamaa alie hojowa hapa mwisho ,inabidi mainjinia na mmilik wangjorafa washikwe kwanza ,kwanini wafanye maboresho ya underground huku wameruhusu shughuli za watu ziendelee kama kawaida ,this is so dangerous and stupid decision ever made ..😢

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 годин тому

      Huyo ni shuhuda wa pili

    • @robertpaul9771
      @robertpaul9771 5 годин тому

      Shuhuda wa pili kaongea vizur sana😢let their soul rest in peace 😢

  • @MaryamAdam-x8l
    @MaryamAdam-x8l 6 годин тому +5

    Allah awanusur kwakwel watoke Salam😭😭😭

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 години тому

    Poleni san ndugu zangu soko lote tunalolitegeme zote kwa jumuly wafanya bishaara p moja na vibaka wote wachumumia umuhumu eeee mungu polele san ndugu zangu wafiwa wote aya kimabi upo wap utuambyb

  • @LuzigaLuziga-l6f
    @LuzigaLuziga-l6f 2 години тому

    Ni machozi na majonzi makubwa kwa taifa letu na familia ze2 kikubwa dua amina

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 6 годин тому

    Mungu awatie nguvu wote wanaohusika na kazi nzima ya uokoaji.

  • @AbduliMwamedy
    @AbduliMwamedy Годину тому

    Poleni sana wahanga wa kuangukiwa na ghorofa

  • @GodwineMuchunguzi
    @GodwineMuchunguzi 5 хвилин тому +1

    Mimi naomba watanzania tuache uongo hii nishida ya viongozi njaaa Mimi nimeishi k koo miaka nane yaivi kalibuni naomba niwambie kitu Mimi sitaki siasa ila machawa wanatuangamiza tu ira sote tutazikanaa

  • @KelvinPonsiani
    @KelvinPonsiani 8 годин тому +5

    Mungu tunaomba uzilaze mahala pema marehemu wote,na uwape manufaà ya kupona haraka ,bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

  • @EvanceFrans
    @EvanceFrans Годину тому

    Polen namajanga mungu atawasaidia

  • @LatifaPrensens
    @LatifaPrensens 7 годин тому +2

    Mungu wasaidie ndugu zetu

  • @MailiBusese
    @MailiBusese 4 години тому

    Poleni sana wahanga Mungu aweke wepesi ili uokoaji uende haraka

  • @EnosBujiku
    @EnosBujiku 5 годин тому

    Dah polen sana ndugu zetu watanzania Mungu atajaalia

  • @MosesNtegeye-n1q
    @MosesNtegeye-n1q 43 хвилини тому

    Poleni sana ndugu zangu

  • @NadhiraSaid-m4x
    @NadhiraSaid-m4x 7 годин тому

    Imekua simanzi sanaaa. Kaw watanzania allah atupe subira na hasa hafanya biashara karkooo da😢h😢😢

  • @AllyMudy-w1f
    @AllyMudy-w1f 7 годин тому +6

    Uzembe wa watu unacost Maisha ya watu huyo mmiliki wa hayo majengo awe wa kwanza kuwajibka mungu awanusuru wahanga waliohai awafanyie wepes waliotangulia awalaze pema pepon amiin

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 6 годин тому +1

      Mipango ya MUUMBA Tu

    • @knight6757
      @knight6757 3 години тому

      @@ismailmsangule1380🤔 ghorofa umejengwa na Muumba?

  • @RizikiMussa-s3o
    @RizikiMussa-s3o 5 годин тому

    Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 3 години тому

    Kilasiku,balaa.ni.kaliakoo.daah.inaumiza.sana..alah.awape.subra.waliofikwa.na.mtihani

  • @ZurehaDuma
    @ZurehaDuma 2 години тому

    Polen sana ndugu zangu

  • @huyu1993
    @huyu1993 2 години тому +1

    Hayo yote yanayotokea ni dhulma kwasababu wenye hayo majengo hawako radhi uko waliko kutokana na familia wanavyonyanyasana

  • @MasaiLady-p8p
    @MasaiLady-p8p 5 годин тому

    Mungu awape nguvu wote waliopatwa na jangwa hili

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 годин тому +1

    Kwa kifupi soko la kariakoo lote na na majumba yote yabomolewe.Wajenge shopping mall kubwa ya kumataifa ili kuepukana na balaa pamoja na vifo.Watu wanaongeza orofa juu ya orofa lillojengwa miaka 50 iliyopita.😮😮😮 iko siku litaporomoka.
    Shopping mall inahitajika,na kodi italipwa.Serikali ichukue hatua😢

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 29 хвилин тому

    Eeeeeeee mungu wangu wasaidie viumbe wako kwa kuteketea

  • @zaitunijuma8710
    @zaitunijuma8710 8 годин тому +1

    Yaan wanvyiwahi waandishi wa habar ndio ingekuwa inawahi serikali yetu na vifaa vya uokoaji ingekuwa poa sana lakin mhhh mdomo koma

  • @emmanuelmogela5871
    @emmanuelmogela5871 5 годин тому

    Mungu awaponye majeruhi

  • @HusnaAlly-fg6iy
    @HusnaAlly-fg6iy 5 годин тому

    Polen sana jaman mungu awatie nguvu

  • @JalanBowali-w9g
    @JalanBowali-w9g 7 годин тому

    Kila neno ni neno yaallah tujaalie mwish mwema😢😢

  • @adamally8791
    @adamally8791 3 години тому

    Kuna mwamba alitaka kuiba cjui hapo kala banzi moja akawa anaona wenge, watu wanawaza uwizi tu wanashindwa saidia ndugu zao

  • @RuthCharles-u4j
    @RuthCharles-u4j 7 годин тому +2

    Makosa ya boss mwenye gorofa na mafundi wote

    • @janethiPiala
      @janethiPiala 7 годин тому

      Makosa makubwa Kwa mafundi lakini pia uboreshwaji unaoendelea pia ufanyike Kwa umakini

  • @hussenhussenathuman2811
    @hussenhussenathuman2811 7 годин тому +1

    Serikali Ifanye Uchunguzi Kwa Kina Juu Ya Jambo Hilo

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 4 години тому

    Poleni sana jamani inauma

  • @SEREMONKOTEMU-z8h
    @SEREMONKOTEMU-z8h 7 годин тому

    Mungu awasaidie ndug zetu 😭

  • @jacquelinesangau4767
    @jacquelinesangau4767 6 годин тому +2

    Kwann wanawatoa hao ambao walikuwa wanaokoa mwanzo si washirikiane

  • @RJfashion-t4h
    @RJfashion-t4h 2 години тому

    Pole sana

  • @NasraMohammed-f8l
    @NasraMohammed-f8l 6 годин тому

    Mungu wasaidie binadamu wenzetu😢

  • @MosesNgolo-sk8fr
    @MosesNgolo-sk8fr 22 хвилини тому

    Jaman polen maan sio Hali ya kawaida

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 7 годин тому

    Naomba mungu uwalinde wote waliomo ndani

  • @siamnyone8403
    @siamnyone8403 Годину тому

    Kkooo ni wapi😢

  • @RubyMbawala
    @RubyMbawala 20 хвилин тому

    Poleni Tanzania

  • @AishaRajabu-p1y
    @AishaRajabu-p1y Годину тому

    Poleni sana😢

  • @AaaAaa-s7e
    @AaaAaa-s7e 6 годин тому

    Allah Akbar innalillah wainailaih rajiun

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 8 годин тому +2

    Suhuda anaongea kama mtangazaji
    Ana kipaji haswa

  • @AllyBila
    @AllyBila Хвилина тому

    Yan nchi haina Vista vya uokoaji hii ni hatari sana daah inasikitisha

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 7 годин тому +2

    Poleni tz 😔

  • @lindauma982
    @lindauma982 6 годин тому

    Waaaa😢😢😢 God have mercy😭😭😭😭

  • @ZiadZiadi-j8d
    @ZiadZiadi-j8d 3 години тому

    Aiseee

  • @jescarobert1124
    @jescarobert1124 5 годин тому

    Ohhhh MUNGU awatete 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @MtambalaTv
    @MtambalaTv 6 годин тому

    Poleni kwa changamoto hiyo wapenda

  • @MajutoKanamazi
    @MajutoKanamazi 7 хвилин тому

    Wana habari taarifa zenu zina mapengo mengi ya kitaalam kwamba hamtujulishi ghorofa hilo lilikuwa mtaa gani kongo /...? nyumba namba ngapi ni mali ya nani. Wengi mmetaharuki kwa kutuambia ni Kariakoo

  • @SaumuSalimu-k8v
    @SaumuSalimu-k8v 9 годин тому +2

    Yarabi saidia waja wako😭😭

  • @stellahlinusi8215
    @stellahlinusi8215 3 години тому

    kalikoo kuna magorofa tupu jamani uwiii akuna nyumba ya chini

  • @AminaAbdallah-lu2tm
    @AminaAbdallah-lu2tm 6 годин тому

    Subhanallah

  • @PrincessSalum
    @PrincessSalum 7 годин тому

    Poleni sana

  • @ramsodybala1305
    @ramsodybala1305 2 години тому

    Poleni mbele yenu nyuma yetu

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 3 години тому

    Upuzi mkubwa sana umefanyika na hao walio kuwa wanagusa nguzo za jengo

  • @JalanBowali-w9g
    @JalanBowali-w9g 7 годин тому

    Polen nduguzetu

  • @MamaBouhkari
    @MamaBouhkari 7 годин тому

    Inalillah wainailaih ladjiuna

  • @AminaAbdou-r7t
    @AminaAbdou-r7t Годину тому

    😢poleni hà maman polesana

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 5 годин тому

    Nimekosa hata ni komment nini Kikubwa Mungu awasaidie watoke salama

  • @MonicaMunisi-k9k
    @MonicaMunisi-k9k 8 годин тому

    Poleni kwa yalio wakuta

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 5 годин тому

    0:54 hao watumishi wa serikali au waokoaji. mbona wanatembea kimaringo hivyo katika hali ya taharuki na udharura ukitakiwa?

  • @UpendoListon-n1y
    @UpendoListon-n1y 8 годин тому

    Polen sana jmn MUNGU atunusuru jmn

  • @paulinacharles8058
    @paulinacharles8058 5 годин тому

    Pole san Tanzania yang😢😢

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 5 годин тому +1

    Poreni sana 😢

  • @ReshmaKessy-b9n
    @ReshmaKessy-b9n 2 години тому

    polen wapendwa😢😢

  • @Theddy-kp5be
    @Theddy-kp5be 6 годин тому

    😭😭😭😭 yaaaan duuuh 😭😭

  • @HawaJumbe
    @HawaJumbe 6 годин тому

    Yeeeeeeuwiiiiiii poleni jamani mungu awatie nguvu mlioondokewa

  • @alextarimo4972
    @alextarimo4972 8 годин тому +1

    Fire mbona siwaoni

    • @abrahamanthony5010
      @abrahamanthony5010 8 годин тому

      Sasa gari la fire hapo lina zimamoto gani?

    • @NancyPatrick-il8zj
      @NancyPatrick-il8zj 8 годин тому +1

      ​@@abrahamanthony5010 Uliza kazi za fire kwanza ukishazijua ndio umwambiye fire wana uhusiano gani hapo

  • @MartinaJoseph-u1o
    @MartinaJoseph-u1o 8 годин тому +2

    Polen sana mungu awape njian watoke salam

  • @DeoleeLucas
    @DeoleeLucas 7 годин тому

    Serikali ipige marufuku kuchimba ma underground kwene maghorofa

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 8 годин тому +1

    Leakage wapi ?ujenzi hafifu.

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 7 годин тому +1

    baada ya haya maelezo engeneer, mwenye jengo aliyetaka kuunganisha majengo yakutane ni wahusika no 1, ndio hivi unauwa tajiri unaenda kuishia jela kwa ajili ya tamaa za kijinga,, ukutanishishe ghorofa 2 underground kwa technologia gani mliyonayo baadhi ya ma engeneer wa kariakoo ?

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 7 годин тому

    Mwenye Jengo inginia wake Plus mkaguzi wa majengo mkandarasi hii ni kesi yenu .Mnawezaje kufanya ujenzi huku biashara ikiendeshwa ?hiyo ni tamaa tamaa kwa nini usingefunga biashara zote ujenzi ukikamilika ndio upangishe tena.Na sisi wafanyabiashara iwe fundisho msithibutu kumruhusu mwenye nyumba kufanya ujenzi mkiwa ndani iwe fundisho kubwa. Ashitakiwe huyo ni uzembe mtupu

    • @AminaIssare-cd5wm
      @AminaIssare-cd5wm 7 годин тому

      Umeongea point sanaaaa angahamisha wapangaj afany ujenzi wake akimaliza apangishe yaaan hapo alitak apokee pesa huku akiendelea kutoa pesa hela mwanaharam jamni

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 годин тому

      @AminaIssare-cd5wm Yaani ndugu ipo wazi kabisa ila fedha itatumika na itaisha hivi hivi nchi hii ni big fish eat small fish mdogo hana thamani

  • @CharlesFrank-u3n
    @CharlesFrank-u3n 8 годин тому +1

    Daaa😢😢

  • @fridamohele6939
    @fridamohele6939 3 години тому

    Polen sana

  • @MkutwaMyinga
    @MkutwaMyinga 8 годин тому +1

    Mh hii Tanzania imechoka mala magolofa waya chome moto mala wayadondoshe mbona nishida najua2 hilo haipiti sikumbili mtaona bonge lamjengo😊😂

  • @maryamsulemani2024
    @maryamsulemani2024 5 годин тому

    😭😭😭

  • @happychacha-v1o
    @happychacha-v1o 4 години тому

    polen san

  • @TheopistaEustace
    @TheopistaEustace 8 годин тому

    Uo mda umesimama unaojiwa ujinga si uende useidie wenzako

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 5 годин тому

    😭😭😭😭😭😭😭🎎🎎🎎🎎🎎🎎🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Atb300
    @Atb300 7 годин тому

    Elimu ndogo ya ujenzi na ubomoaji

  • @SamsonSahani
    @SamsonSahani 8 годин тому +1

    😢😢😢😢

  • @ShebyAlly-b8t
    @ShebyAlly-b8t 7 годин тому

    Poleni sana ndugu jaa naarafiki

  • @RabecaNakomolwa
    @RabecaNakomolwa 3 години тому

    P0len Sana Kwa yaliowakuta mungu awasaidie walio hai wapone

  • @ButoyiEmery
    @ButoyiEmery 56 хвилин тому

    Poreni tz

  • @SiahBrown-o6f
    @SiahBrown-o6f 6 годин тому

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @happychacha-v1o
    @happychacha-v1o 4 години тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 7 годин тому

    Duh kumbe kuna waliofariki

  • @BettyMsongole
    @BettyMsongole 29 хвилин тому

    poreñi

  • @IvanDaniel-o9m
    @IvanDaniel-o9m 6 годин тому

    Muhimu hajafa mtu

  • @KassimLaizer-h9k
    @KassimLaizer-h9k 5 годин тому

    Poleni sana

  • @ZittaHerman
    @ZittaHerman Годину тому

    Poleni sana

  • @RJfashion-t4h
    @RJfashion-t4h 2 години тому

    Pole sana

  • @ValentinaKibuga-ww5oi
    @ValentinaKibuga-ww5oi 7 годин тому

    😢