HIVI NDIVYO DAISLE SIMON ULOMI ALIVYOKUA AFISA WA JESHI LA POLISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @ProperGandatv-b1p
    @ProperGandatv-b1p 9 днів тому +3

    Inaonyesha alitumika sana na serikali kufanya uhuni ndiyo maana wqmeamua kumtoa duniani kimazingira mazingira.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 9 днів тому +2

    Police shkamoo nimewaelewa ikiwa police anaweza kukinywea kikombe cha moto moto basi mi nanyamaza. Itaongea tena naweka mkono kinywani kilichobaki ni kutii shelia bila shulti

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 днів тому +2

    Mnazidi kutuvuruga mwacheni marehem apumzike kwa amani

  • @EmmanuelSniper-s9q
    @EmmanuelSniper-s9q 8 днів тому

    Nyie nao uchwara mnazingua sana 0:36