A-Z SAKATA LA MAKONDA KUVAMIA CLOUDS TV 2017 / HAO WAPO KATIKA KILA FAMILIA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @paull8659
    @paull8659 5 днів тому +7

    Makonda ulivamia Clouds, ndivyo hivyo hakuna kuspin.

  • @Nespamgola
    @Nespamgola 3 дні тому

    Mti wenye matunda hupigwa mawe nakukubali sana Makonda fanya kazi yako.

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 днів тому +2

    Piga kazi Kaka na Mungu awasaidie sana ninyi viongozi

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 5 днів тому +2

    Uko vizuri baba kegani Wala huna mbambamba

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 5 днів тому +2

    room control ya apo weka vedio ya kuvamiwa kwa clouds media iwe kama Korea

  • @songombingo108
    @songombingo108 5 днів тому +5

    Humu humu UA-cam andika Makonda avamia Clouds utaona Video yake. Anajizima datta tu.😂😂😂

    • @dyanakibauri3068
      @dyanakibauri3068 5 днів тому +1

      ila amejibu vzuri saana kuwa ni kwer huenda nilivya je uliona what kusikia video za ndan kwamba aliingia kufanya nn

    • @fredychachamkome6829
      @fredychachamkome6829 3 дні тому

      Elewa alicho sema
      Alipewa kazi ya kutengeneza content ili clouds ipae juu

    • @fredychachamkome6829
      @fredychachamkome6829 3 дні тому

      Kumbe ilikuwa content

    • @shaffihsiraji3141
      @shaffihsiraji3141 День тому

      We hujaelewa nini hapo😂

  • @MfalmeKing1
    @MfalmeKing1 4 дні тому

    Daaahh... Nina maswali mengi...
    Lakini mwanasheria wangu kasafiri.😢😢😢

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 5 днів тому +1

    Mwenyez mungu anawaona

  • @dicksonjohn8021
    @dicksonjohn8021 4 дні тому

    Wanasiasa Watu wa Ovyo sana,Mfano ndo huyu hapo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 5 днів тому

    Mambo ya AI hayo wabongo tatizo tunaangalia trending tu tunasahau sayansi iko mbali saana kwa miaka ya leo

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 4 дні тому +1

    Hii nchi watu wako na ujinga sana na wanaugonjwa wa Akili matatizo ya kutokuelewa hapa Makonda kaeleza uhalisia ila wapumbavu hawataelewa EE MUNGU TUREHEMU SANA KUTOKA KWENYE LAAANA YA BABA NYERERE
    "TANZANIA INA SUMBULIWA NA VITU VITATU 1-UJINGA , 2-UMASIKINI, 3-MAGONJWA ...

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 5 днів тому

    Yani Kuna majitu kma mazuzu yapo kwaajili ya kupiga makofi tu daaah aiseeh 😢😢😢😢

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 5 днів тому +1

    😂😂😂 makonda hua najihc vzur speech zakee

  • @fredychachamkome6829
    @fredychachamkome6829 3 дні тому

    Aiseee nimemuelewa makonda kuwa ile ilikuwa content

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 5 днів тому

    MAKONDA 🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MfalmeKing1
    @MfalmeKing1 4 дні тому +1

    Bado natafuta jibu la swali aliloulizwa... alieliskia aniambie jibu.

  • @NicoDaudi-r6m
    @NicoDaudi-r6m 4 дні тому

    Kaka mbona ujibu swali tukuelewe maneno mengi sana kwaiyo ile ilikua Kiki ?

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 5 днів тому +1

    Makusudi tu anataka kujua kama kuna ushaidi wowote

  • @elieneapalangyo6938
    @elieneapalangyo6938 5 днів тому

    Mbona siyo Nape

  • @HenrymodestKipesha
    @HenrymodestKipesha 5 днів тому

    mbonauriwatisha kuwapa kesi

  • @simonlabia3877
    @simonlabia3877 5 днів тому

    Kazi ipo hakuna mtu apo

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 4 дні тому

    Kunawatakao kujibu TU
    Ukweli utabaki ukweli

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali 5 днів тому +1

    Uuwi.. waaambie hao mheshimiwa

  • @djbestseries5634
    @djbestseries5634 5 днів тому +2

    Huyu kama sio Waziri mkuu basi ni Raisi wa 2025😊😊😊😊

  • @EsteregiusShostenes
    @EsteregiusShostenes 5 днів тому

    Yan badala ujibu swali unaleta siasa

  • @HenrymodestKipesha
    @HenrymodestKipesha 5 днів тому +1

    jibuswari huna Majibu

  • @MwanduMachiya
    @MwanduMachiya 5 днів тому

    Rais magufuli aliwapatanisha na luge huko tanga mlikosana nini

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 5 днів тому

    Jibu swari umetumwa na mgufuri

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 днів тому

      Muache Apumzike kwa Amami Magufuli na amemrisisha vizuri kazi anapendwa sana na maskini Makonda kama hayati magufuli timu Magufuli iko vizuri sanaaaa na Mama kawarudisha taratibu Makonda huyo Ally Hapi huyoo Lukuvi huyoooo Kabudi huyoooo hivyo vichwa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 днів тому

      Na aliowaamini ambao Wazazi walusema hovyo kuwa mtu mzuri hafi hatimaye mzuri mwingine kafa na mwanae katolewa aliyekuwa anataka Urais na mwenzie awe Waziri Mkuu wote chaliiii Ccm oyeeeee kazi inaendelea Makonda safi sanaaaa chapa kazi usisikilize ya watu😂

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 5 днів тому

    Jibu swali kwann ulionekana Kwenye CCTV camera pale na bunduki ? Ulitumwa na nani Aya mambo ya sijui walikuwa friends wangu ulitumwa na nyie journalist vp

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 5 днів тому

    Kwa iyo Ruge alikua muongo

  • @VICTORMBWIGA
    @VICTORMBWIGA 5 днів тому

    Mbona hujibu swali uliloulizwa mkuu

    • @KennethSoko
      @KennethSoko 5 днів тому

      Kuelewa Siasa Ni Kazi sana

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 5 днів тому +4

    Serikali hii bwana achana nayo kabisa. Kariako ndo tulipaswa kujielekeza na kupeana pole. SASA makonda umeamua kubadilisha upepo

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 5 днів тому +1

    alafu watanzania utasikia wanasema ety uyu wanatamani ndo awe Rais wa nchi

    • @Dream99chaser
      @Dream99chaser 5 днів тому

      Yes na atakuwa raisi

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 5 днів тому

      @Dream99chaser labda rais wa ukoo wenu

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 5 днів тому

      ​@@elvisoscar9912 wakikupa option uchague kati ya makonda na samia yupi bora kwako

    • @Dream99chaser
      @Dream99chaser 4 дні тому

      @@elvisoscar9912 mark my word bro

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 4 дні тому

      @@GeraldElias-s7j mbona option yako inazungumzia one party Kwan Tanzania akuna vyama pinzani?

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 5 днів тому

    Alitumia madaraka yake vibaya alivyokuwa mkuu wa mkoa dar es salaam huyu ni mwalifu

    • @KennethSoko
      @KennethSoko 5 днів тому

      😂😂😂 wewe ujuh kitu

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 5 днів тому

      Kwaubaya gani makonda aliofanya au nawewe nimuuza Madawa yakulevya?

  • @fredychachamkome6829
    @fredychachamkome6829 3 дні тому

    Aiseee nimemuelewa makonda kuwa ile ilikuwa content

  • @NicoDaudi-r6m
    @NicoDaudi-r6m 4 дні тому

    Kaka mbona ujibu swali tukuelewe maneno mengi sana kwaiyo ile ilikua Kiki ?