HISTORIA YA MAISHA YA MWANAZUONI IBN TAIMIYYAH KWA UFUPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024
  • Usisahau Kusubscribe Channel hii pendwa ya Kayus Swahili ilikupa kila update mpya kutoka kwetu sikiliza na unufaike kupitia historia hii pendwa Asanteni wote

КОМЕНТАРІ • 7

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +1

    Ahsante sana na Allaah akubariki na akulipe kila lakheri

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +4

    Hawa ndio Maulamaa wakweli walio mshika na kumfata Mtume wetu Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama kisawasawa.
    Allaah amlipe kila lakheri na ampe rehma zake huko aliko

  • @mkude
    @mkude Рік тому

    Baraka llahu fyik

  • @Ibrahym2422
    @Ibrahym2422 Рік тому

    Allah Amrehemu shekhul islaam. Historia yake inatia huruma ila ni kukubali tu kwa sababu yote yap mikononi mwa Allah.

  • @hajiidrisa5656
    @hajiidrisa5656 3 роки тому

    MashaAllah

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +1

    Kwakweli historia na maisha ya Mwana Wachuoni Mkubwa sana ktk Wana Wachuoni wa Kiislamu Ibnu Taymiyyata ina mazingatio makubwa sanaaaaa na imejaa huzuni na simanzi kwa ukhaini na dhulma na ufisadi alio fanyiwa Ibnu Taymiyyata, Allaah amrahamu.
    Lakini jambo la kushangaza, Ibnu Taymiyyata hakuwahipo kuweka mafundo ya chuki na hasad kwa maaduwi zake watu wa bid'ah bali aliishi nao kwa kuwasamehe na kuwaombea duaa