SIKILIZA JINSI MAALIM SEIF ALIVYOKUA AKITUMIA PESA ZA MSHAHARA WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лют 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 190

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 3 роки тому +12

    Mwenyezi Mungu alituachia zawadi tumeikataa ameona aichukue daah Tanza giza.Huko ndyo kuzaliwa kiongozi

  • @fatumahamad6543
    @fatumahamad6543 3 роки тому +9

    Masha Allah Allah amlaze pema peponi mzee wetu Maalim Seif... Amiin

  • @ahmedalhashmy7913
    @ahmedalhashmy7913 3 роки тому +20

    Mashaallah,..Allah amrehemu pamoja na wazee wetu waliotangulia mbele ya hakki

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому +6

    Najitahid niwe mbali nisipate taarifa kuhusu Maalim ili niweze kuyafuga machozi yangu ,nilie kwa ajili ya wengine pia , ila Maaalim anayamaliza machozi yangu 😭😭😭😭, Skua napenda siasa na wala skutaka kushiriki kwa njia moja ama nyengne kuhusu siasa , ila kwasabbu ya Maaalim nilipenda siasa, pengine wengne wanaweza kusema ni mpemba mwenzangu ndo mana nampenda ila mimi sio mpemba, baba angu , mama angu na familia yangu yote kiujumla hakuna haata harufu ya kipemba , ila Siku zoote kiongozi muadilifu hupendwa na watu wengi na wenye mioyo swafi, Nilikupenda sana Baba , shujaa, ila Allah hana makosa katika kazi yake, hiii ni safari ya kila mja , umetangulia na sisi tupo njiani tunakuja, kwa uwezo wa Allah na utkufu wake , akukutanishe na kipenzi chetu , bwana wetu mtume muhammad (s.a.w) wewe pamoja na sisi , Aaamen.

  • @abdullasali4773
    @abdullasali4773 3 роки тому +10

    Subhanallah!! This is something that every one of us must learn.... kumbuka ukitoa kwa ajili ya Mungu unajiwekea akiba ktk benki isofilisika na ukilimbikiza mali ili kuonekana na kushindana pia na watu mali utaziawacha na kuwaachia watu.
    "Those which are with you will come to an end and those with Allah will be forever"

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 роки тому +16

    *Ametuachia pengo ambalo hakuna ataeziba kwetu cc wazanzibar alikuwa baba, kiongozi, mlezi wetu na mtetezi wa haki ambae hayumbishi kwenye analoliamini.. Allah ampokee amueke pema katika wema ameen*

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      Pengo litazibika sheikh omar

    • @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
      @ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 роки тому

      ua-cam.com/video/EprbhEGwTPE/v-deo.html

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 роки тому

      Aamiin yaarabb al aalamiin

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 роки тому +1

      @@mohamedhaji2200 InshaaAllah kwa nguvu za Allah lkn yeye maalim nyota yake ilingaa mapema tumuombee atokee km yeye biidhnillah

  • @rashidimpabuka7525
    @rashidimpabuka7525 3 роки тому +4

    Mwenyezi Mungu amlipe pepo ya daraja la juu Firdaus inshAllah.....

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +32

    Allah amjaalie kaburi lake liwe nyumba ktk nyumba z a peponi...amin

  • @aishafadhili3482
    @aishafadhili3482 3 роки тому +9

    Huyu ndio jemedari mtu wa peponi huyu mashaaallah Allah amuongoze inshaàallah kikweli huyu ndie kiongozi tutae mmisi mashaaallah mtetezi wa wanyonge

  • @salimkhamis7075
    @salimkhamis7075 3 роки тому +1

    Mola amjalie mazuri kheri huko alipo wetu kipenzi maalim sote ni w muumba n kwake ndio marejeo twamuomba mola atujaalie nasi mwisho mwema insha Allah love maaalim 😢💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @abduli_karimkhamadi1730
    @abduli_karimkhamadi1730 3 роки тому +7

    Dahh!!! Zanzibar pengo la malim sefu halizibiki

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 3 роки тому +2

    Allah ampunguzie adhabu yakaburi naamuweke mahalapema peponi inshallah

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 роки тому +1

    Mashaa Allah Allah azid kumpandisha daraja firdaus naalifanye Qabur lake nimiongon mwa maqabur yawaja wema walotangulia mbele khaq 🤲🤲

  • @yussufhussein1954
    @yussufhussein1954 3 роки тому +12

    Nikweli unayosema kijana na mmoja mamaangu mjane analetewa bahasha ya sadaka mungu amjaalie pepo inshallah

  • @abdullasali4773
    @abdullasali4773 3 роки тому +9

    Hooh! Kweli wingi wa mafua si ukubwa wa pua na usikimbilia kuhukumu kwa kesi usoijua..... Aisee ni wengi tulikua tunamchukulia poa tu mzee kumbe mashallah.... Its a class to attend so that you can get big changes.. May Allah bless him and give him Jannah

    • @hassammohammed5046
      @hassammohammed5046 3 роки тому +2

      Maalim hana nyumba ni kweli.anakaa daraja bovu nyumba yenyewe yazamani imechoka

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому +1

      @@hassammohammed5046 ni kweli maana hakuwa mwizi

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 роки тому

      @@kiri5807 umeongea point

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 роки тому +8

    Allah ampe kauli thabit aameen yarabbi

  • @hashimmabruk8953
    @hashimmabruk8953 3 роки тому +1

    ALIKUA KIONGOZI WA KWELI. HAKUA MTAWALA NA HUO NDIO UUISILAMU.
    MUNGU AMUEKE PEMA PAMOJA NA WEMA WALIOTANGULIA.
    AMIN AMIN AMIN

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 3 роки тому +1

    Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin yaarab ampe kauli thabit na ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia

  • @yussufhussein1954
    @yussufhussein1954 3 роки тому +15

    Azina imetutoka angekua rais wanchi tuko mbali sana tunasikitika sana allah atampa ujirawake inshallah

  • @zulekhabaksh686
    @zulekhabaksh686 3 роки тому +14

    Mashallah alikuwa mtu wa watu mungu ampe pepo ya rabby 🤲

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 3 роки тому +9

    Kwa haki kabisa hakuna yyte angeweza gombea na Maalim seif ktk cheo chochote kile Zanzibar na akamshinda....

  • @saidamsisiri2507
    @saidamsisiri2507 3 роки тому +1

    Allah amlipe yalo mema ampunguzie adhabu ya kabri na awe na nafasi katika nyumba ya peponi inshallah

  • @alfansantos9383
    @alfansantos9383 3 роки тому +1

    mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi mpambanaji wa siasa

  • @suleimanmarcelo287
    @suleimanmarcelo287 3 роки тому +8

    sadaka yake zuri sana siowakina diamond wakienda kutoa msahada mpaka waandishi wahabari kamela kama wanaenda kushuti YOPE sifa nyingi PUMBAVU mujifunze kwa MAHALIM R.I.P

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 3 роки тому

      Kweli kabisaa

    • @swahifaabdijuma2782
      @swahifaabdijuma2782 2 роки тому

      Kwelii yaani .Mwisho Zuchu kaenda kumtizama mtu spitali .waandishi wa habari wotee kawaita😁😁🤣🤣❤Wakati Maalim kilaa ijumaa anaemda spitali kuangalia wagonjwa alfaniri na hamna anejua😔😔😔

  • @ibradibango4744
    @ibradibango4744 3 роки тому +3

    Kwa kweli hii ni tabia ya kuiga.Mwenyezi Mungu amrehemu.

    • @abdillahrashid6091
      @abdillahrashid6091 3 роки тому

      Sis familia tumepoteza mtu muhimu Sana kwakweli mpaka Sasa machozi yanatutika pia itachukua miaka kumsahau kwakweli

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому +2

    اللهم أغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دار خيرا من داره واهلا خيرا من اهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر و من عذاب النار

  • @mohamedpandu9441
    @mohamedpandu9441 3 роки тому +1

    Hii yakupeleka pesa kwa marafiki zake walofanya siasa tangu wakiwa vijana ni kweli kabisa mm jamaa angu nnae kila mwezi alikua anapelekewa bahasha ina laki 2 Mwenyezi Mungu amrehemu pengo lake kubwa sana

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 3 роки тому +1

    Allah amlipe kila la kheir #Maalim #Seif

  • @mattarmuhammed1330
    @mattarmuhammed1330 3 роки тому +2

    Mashallah Allah amjalie hyo sadaka iwe pepo ya daraja la juu kabisa na Allah alisema toweni kwa ajili yangu nitawapeni na sio wote wenye imani kama maalim

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 3 роки тому +1

    Mashaalah mungu amrehemu maalim seif

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 3 роки тому +2

    Kwanini mnawasifia watu wakishaondoka,mbona mko wa pumbavu sana kwanini hamuwasifii wakiwa hai???
    Yaone mijuso yao,haya ndo machawi yenyewe.
    Msifieni mtu akiwa mzima ili watu wazidi kumpenda zaidi,na wampe heshima inayostahili.

    • @saidmaaruph6905
      @saidmaaruph6905 3 роки тому

      Wewe ndie mpumbavu usie jua maana, kwasababu imeandikwa tuwasifie maiti wetu kwamazuri, nakutoa kuliko Bora nikwastara sio matangazo, maana hakutoa yeye ili ww ufahamu kwaiyo hata angesifiwa dunia nzima angalia hai waswahili mngeita Kiki. So take care of yourself

  • @hajihaji6351
    @hajihaji6351 3 роки тому +7

    Jengine ambalo Maalim alipotembelea Brunei kipind yupo wazir kiongoz alipewa dollars milion 3 kama zawad yake binafs ila cha ajabu aliporud zanzibar aliziweka katika account ya serikal.

    • @muryd6999
      @muryd6999 3 роки тому

      Alikua Ni mtu mwema

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 3 роки тому +2

    A man of the people

  • @saadiemussa6141
    @saadiemussa6141 3 роки тому +7

    Alijenga ahera hajaitaka duniaa alijua sisi niwakupita, kazikwenu wazulumajii

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 3 роки тому +1

    Mashallah Allah umupe pepo yake

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому +2

    Nasikia hajui hata kununa tumeondokewa jamani mwenyezi Mungu ampe kaul sabit

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 роки тому +3

    Walikua wanamwambia mnafiki sasa mambo kama hayo kiongozi gani anaweza kufanya

  • @bakarikhatib6777
    @bakarikhatib6777 3 роки тому +2

    Nakwenye ugojwa alikuwa kipaumbele sn alikuwa anawajali wananchi wake mungu amrehemu

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому +3

    Maalim seif well miss you for rever

  • @dullyseven690
    @dullyseven690 3 роки тому +21

    Hiyo ndio sifa na ukweli wa Maalim Seif

  • @annerafaela407
    @annerafaela407 3 роки тому +9

    MUNGU ampumzishe mahali pema peponi na hazina zake zipo mbinguni

  • @achooda4078
    @achooda4078 3 роки тому +1

    Allaahuakbar; Allah amlipe pepo

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 роки тому +2

    Yeye alikua hana shida ya mali mana watoto wake alhmdulilalah akitaka haki kwa wote ndio alioakipigania

  • @abdullahmuhene2524
    @abdullahmuhene2524 3 роки тому

    Maashaallah Allah amsameh makosa yake na amlaze mahala pema poponi aamin

  • @mummysuh2289
    @mummysuh2289 3 роки тому +3

    Maashallah

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 3 роки тому +1

    MWENYEZI MUNGU AMRAHAM AMKUBALIE MEMA YAKE NA AMSAMEHE MAKOSA YAKE

  • @polepolemgentz5784
    @polepolemgentz5784 3 роки тому +1

    Mungu ampe wepes malim. Amuweke panapo sitahir

  • @muawiyaal-battashi716
    @muawiyaal-battashi716 3 роки тому +2

    😢💔الله يرحمه

  • @zuwenafaki8302
    @zuwenafaki8302 3 роки тому +14

    Halafu ccm wajinga uku mitaani wanasema eti maalim anatamani awe rais ili aibe.maalim ni muadilifu sana

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 роки тому

      Sasa washaujua ukweli

    • @aishakhmohammed7995
      @aishakhmohammed7995 3 роки тому

      Wanaona haya sasa hayo ndio malipo yao

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 3 роки тому

      Kma ana shida ya hela Maalim Seif angekuwa tu rais mstaafu saiv kupitia CCM asingehama chama kma ni mtu anaeweka maslahi yake mbele lkn Yule Mzee bhana dahhhh!!! Nadhani kutokea tena Kwa Zama hizi za mwisho kiongozi kma Yule itachukuwa muda sana

    • @rukayyarashid3840
      @rukayyarashid3840 3 роки тому

      Ao viongozi wao wa ccm ndo wanaotaka madaraka na kuiba mali tuh

  • @khalidkhaan5688
    @khalidkhaan5688 3 роки тому +2

    Ishi ulaumiwe kufa usifiwe

  • @masterdude1405
    @masterdude1405 2 роки тому

    Mwe/ mungu mrehemu maalim sefu

  • @adamumuki1242
    @adamumuki1242 3 роки тому +1

    Muamal gadafi maalim self ni gadafi wa maisha yah

  • @abdinasirshukri1218
    @abdinasirshukri1218 3 роки тому +1

    Masha Allah mzee yetu

  • @abuukhayrallahissa5415
    @abuukhayrallahissa5415 3 роки тому +1

    Allah amlipe pepo

  • @IBRAHIMELSUBHY
    @IBRAHIMELSUBHY 3 роки тому +6

    NI SHAIRI LINALOLIZA LA KUSISIMUA MOYONI KWA KWELI MAALIM ALIKUWA VIFUANI MWETU😭😭😭
    👇👇
    ua-cam.com/video/RLR-aAqLh6k/v-deo.html

  • @suleimanabdalla4594
    @suleimanabdalla4594 3 роки тому +1

    Ukweli utabaki ukweli tu maalim hakua Kama akina haji omr Shari malim alijitambua

  • @abdallahsalum7301
    @abdallahsalum7301 3 роки тому +2

    Hata Mimi malimu amenisaidi

  • @konceptualagency4837
    @konceptualagency4837 3 роки тому +1

    Ndiomana watu wamelia sanaa kiongozi alieshika dini na mwenye upendo wa dhati

  • @mrs2918
    @mrs2918 3 роки тому +5

    ndio maana wakesema kwenye uchaguzi bao la mkono lilihusika na vurugu juu kutaka haki

  • @khadijaal-amin614
    @khadijaal-amin614 3 роки тому +6

    Innalillah wainailayhi Rajiun

  • @MaryamMaryam-hd7es
    @MaryamMaryam-hd7es 3 роки тому

    Mashallah Allah amlipe kw ujira wke

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 роки тому

    Ila hizi sifa tukufu mbona wengi tunajuwa au kusmbiwa mtu akisha tangulia kwa Mungu wake 😭
    Mungu amusamehe makosa yake na amuepushe moto wa jahanam

  • @khalidtvoloenali1117
    @khalidtvoloenali1117 3 роки тому +1

    Malimu sefu ndie kiongozi hora sana

  • @abuumusamuhsin8486
    @abuumusamuhsin8486 2 роки тому

    Huyu ndo alikua star wa wazanzibar na hakuna zaidi yake kwa wazanzibar hata aje drake kwa wazanzibar hawana habar nae ila akikatiza huyu ilikua hawa huwacha majumba ili wamuone tu mola msameh madhamb yake aliyotanguliza

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 3 роки тому +3

    Daaa! Kweli nikiogozi huyo

  • @jabirnext
    @jabirnext 3 роки тому +1

    Kwa Kifupi Maalim Seif Hakuwa ni mtu wa CORRUPT ( MLA RUSHWA)

  • @merinadaimon425
    @merinadaimon425 3 роки тому +3

    Mtafute mtu mzuri wa kuandika title jamani zipo local sana eti msikilize alivokua anatumia mshahara wake its too normal jamani haishawishi

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 3 роки тому +1

    Nimeonana nae,,, blue bays hotel.. Alinipa tabasam kabisa.. Aliona moyo wng

  • @chatacjr.chanalvideosrashi5164
    @chatacjr.chanalvideosrashi5164 3 роки тому +3

    Firdausi nyeupee

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 3 роки тому

    Mnamtaja Marehem maalim halafu mnatoa ulevi ktk matangazo ya biashara

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 3 роки тому +3

    Mnamsifi baada ya kufa. Hii ndio sifa ya binaadam. Mazuri yanaonekana ukifa. Ukiwa hai Noooo

    • @jambo3751
      @jambo3751 3 роки тому +1

      Wanataja mema ya marehemu na ndivyo Mtume SAW alivyotuambiwa tusitaje mabaya ya maiti wetu.

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      @@jambo3751 alipokua hai haya mema yalikua hayapo? Sikatai tutaje mema yake ila busara tuanze kabla hajafa. Tutakua wanafik. Allah atulinde

    • @rashidimpabuka7525
      @rashidimpabuka7525 3 роки тому

      Yeye mwenyewe alificha sadaka yake unafikiri inajuzu kuiweka hadharani? Tujifunze mema kwa kuyasimulia

    • @rashidimpabuka7525
      @rashidimpabuka7525 3 роки тому

      Yeye mwenyewe alificha sadaka yake unafikiri inajuzu kuiweka hadharani? Tujifunze mema kwa kuyasimulia

  • @entertainmentdiscoverywld
    @entertainmentdiscoverywld 3 роки тому +1

    🤝🤲🤲❤🌹💯

  • @rashidtz6333
    @rashidtz6333 3 роки тому +1

    Mazuri tunatenda matunda yanaonekana lakini (wanashukuru ukishaenda)

    • @lilianngedu1211
      @lilianngedu1211 3 роки тому +1

      Hahaaa umenichekesha kaka angu ni kweli kabisa lkn wanasema tenda wema uende zako malipo utayakuta kwa Mungu

  • @issakassim8291
    @issakassim8291 3 роки тому +2

    Mh zitto iga mwenendo wa maalim

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    May his soul rest in peace!!

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 роки тому

    Mtu Huyu alikuja kuutenda Wema Duniani....

  • @ashahamisi5884
    @ashahamisi5884 3 роки тому +1

    Mungu ampumzishe salama na ndio maana ccm haikutaka kutoa madaraka kuipatia c.u.f serikali ilijua fika sefu ni haki sawa kwa wote.wacha tuendelee na gurudumu letu la hapa kazi tu.

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому +1

      Amiin mdogo wangu asha karibu saudia Arabia

    • @ashahamisi5884
      @ashahamisi5884 3 роки тому

      @@kidjhdf7568 ahsante na wewe pia karibu Dubai.

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому

      @@ashahamisi5884 mashallah nipe no yako +966537824849

    • @ashahamisi5884
      @ashahamisi5884 3 роки тому

      @@kidjhdf7568 nitakutafuta watsap sasa

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому

      @@ashahamisi5884 oky inshallah

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 3 роки тому +4

    Ndomana wamelia sanaa naamewaumiza wanzanzibar

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 роки тому +1

    Hakuna wa kuliziba pengo la maalim seif

  • @saidmohdsaid9677
    @saidmohdsaid9677 3 роки тому +2

    Je wale walo wakisema Marehem ana uchu wa madaraka mme wafikishia hii?

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      Uchu wa madara ni nini kwani? Nyumba au shamba? Uchu wa madaraka ni kutaka madaraka ww tu kwa hali ns mali hata kuumizz wenzsko

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 3 роки тому +1

      @@mohamedhaji2200 ukipata madaraka then si upate ya Dunia. Je hapo alipofika waweza tuonesha nyumba na vitega uchumi unaolingana na wengi wa viongozi.
      Then suala alitaka uongozi kwa ajili gani? Na yeye vipi aliwarai watu wamuunge mkono kwa tumbo lake ?
      Ziwapi mali za Maalim, au ziko Uswiz.
      Maana kuna ccm mmoja nilimsikia anasema ana mali London.
      Labda mtatuonesha?

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      @@sharifjuma1220 nani aliekwambia kua lengo la madaraka ni Mali tu? Trump alikua Tajir anaetambulika tu kabla kua Rais wa America. Inawezekana unataka Madaraka si kwa mali, ila unayatafuta kwa unalolijua ww. Wengine wanatafuta madaraka kulipiza kisasi tu.

    • @sharifjuma1220
      @sharifjuma1220 3 роки тому

      @@mohamedhaji2200 sasa wewe twambie unaonesha unamjuwa Marehemu hajaacha mali, kwa hio alikuwa anataka nini?

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 роки тому

      @@sharifjuma1220 jawabu unalo nini alikua akitaka, Allah amrehemu

  • @seifkhan478
    @seifkhan478 3 роки тому +1

    😭

  • @YTZBOY
    @YTZBOY 3 роки тому +2

    Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni ✊🏾

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 роки тому

    Maalimu Sasa akiishi vp Kama hayo unayosema ni kweli Mbona unapita Mipaka

    • @samirarsan2024
      @samirarsan2024 3 роки тому

      acha ujinga shekhe mambo mengine ni bora unyamaze tu kimya, nitajie kiongozi mmoja tu duniani ambaye anashinda chaguzi mara tano na anadhulumiwa na stil bado hana kinyongo na hao wanamdhulumu na anashirikiana nao katika kila japo , maalimu alikuwa ni mwenye hekima sana, mtu wa watu, mpenda haki, mpenda amani, mtu anayesamehe , mtu anayemjua mwenyezi mungu ndio maana alikuwa na subra na alikuwa sio mtu wa kukata tamaa ,alikuwa ni mfano bora wa kiongozi . inshaalah mungu amrehemu uko aliko

    • @samirarsan2024
      @samirarsan2024 3 роки тому

      mipaka ipi, ina maana huamini au unakhusda tu na maalimu, acha choyo na wivu na roho mbaya na weye ishi vizuri na watu na umuombe sana mungu akuongoe, inaonyesha ni mwenye husda sana na choyo na roho mbovu na inshaalla mungu akuondolee nakuombea

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +9

    ndio maana vilio vikawa vingi.

  • @gharbbllato7703
    @gharbbllato7703 2 роки тому

    Ukifa muda mwengin Raha

  • @dbwaxvevo5780
    @dbwaxvevo5780 3 роки тому

    Chaz Namkubal sana

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 3 роки тому

    Mbona hata seif ali idi aliekua makamu wa pili wa rais hana nyumba hata moja anakaa msikitini

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad3125 3 роки тому

    .

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 3 роки тому

    Sasa hilo ni tatizo, badala ya kuwapa watu pesa, angepaswa kutengeneza miradi kwa fedha hizo hizo ambazo alikuwa akizipatia familia. Lengo ni kwamba miradi iendelee kuzalisha pesa na izquierda kusaidia familia nyingi zaidi. Sasa tuelezane, kwa sasa amefariki, nani ataweka pesa kwenye vibaasha?

    • @drabdi6806
      @drabdi6806 3 роки тому +2

      Acha ujinga ww

    • @alithabit7617
      @alithabit7617 3 роки тому +2

      Bahat mbaya alipokuwa anatoa ulikuwa haujui kwasababu alikuwa anatoa kwa sori ukampa mawazo ila sio Shida Diamond natoa sadaka Sana mfikishie. Empty tin sound much.

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 3 роки тому +1

      Shida na athari za miradi unazijua ww na ndo hapo ungesikia Maalim Seif anaiba pesa za Serikali nchi yetu tunaijua wenyewe hii na Yule walipenda kumzushia mengi nadhani Hilo mwenyewe aliliona coz Maalim Seif ni mtu aliejaaliwa uwelewa wa Hali ya juu kiasi lkn kupitia uwelewa huo huo hakufanya hivo alijua athari zake

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 3 роки тому

      @@suleimansalym7537 kwahiyo unaogopa kufanya maendeleo na miradi kisa tu wananchi watakutuhumu wewe mwizi na fisadi!? Hemu soma tena ulichoandika kisha urudi hapa. Sikujibu chochote kwa sasa.

    • @yussufhussein1954
      @yussufhussein1954 3 роки тому +1

      Sihaba sadaka zake ndio mradi alojijengea akhera

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 3 роки тому

    Allah ampunguzie adhabu yakaburi naamuweke mahalapema peponi inshallah

  • @IBRAHIMELSUBHY
    @IBRAHIMELSUBHY 3 роки тому +6

    NI SHAIRI LINALOLIZA LA KUSISIMUA MOYONI KWA KWELI MAALIM ALIKUWA VIFUANI MWETU😭😭😭
    👇👇
    ua-cam.com/video/RLR-aAqLh6k/v-deo.html

  • @IBRAHIMELSUBHY
    @IBRAHIMELSUBHY 3 роки тому

    NI SHAIRI LINALOLIZA LA KUSISIMUA MOYONI KWA KWELI MAALIM ALIKUWA VIFUANI MWETU😭😭😭
    👇👇
    ua-cam.com/video/RLR-aAqLh6k/v-deo.html