CHIDBENZ ,BASATA MNAJUA NIMEDHULUMIWA SANA HAMJANISAIDIA CHOCHOTE ,TUHESHIMIANE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 129

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 місяці тому +9

    Kweri sana broh chidy
    Maana duh BASATA
    wamekuonea kinoma mzee

  • @rodriguekalubandika535
    @rodriguekalubandika535 3 місяці тому +38

    Kama munamuwelewa Chid nipeni like zunu hapa

    • @JoseMaimu
      @JoseMaimu 2 місяці тому

      Like zunu ni nn😂

  • @johntamba2982
    @johntamba2982 3 місяці тому +2

    This is Chidi Benzino my brother!!!!

  • @johnbyani6888
    @johnbyani6888 3 місяці тому +7

    King Kong Yuko right big up legend number Moja Tz love ur vibe

  • @Gamamedia255
    @Gamamedia255 3 місяці тому +8

    Nyie chid yuko sawa sana

  • @antonykomba6631
    @antonykomba6631 3 місяці тому +14

    Unaweza ukacheka, ila anachoongea Ni kwamba ameusaidia huu muziki ila yeye muziki haumpi heshima hiyo.

  • @stivertz7014
    @stivertz7014 3 місяці тому +18

    Brother now hatumii dawa lakin stress zinazomuumiza ni watu alowasaidia wote now hawajamsaidia

    • @JustinMwakalukila
      @JustinMwakalukila 3 місяці тому

      Anatumia ,mm majuz nlikuwa nakwepa Folen pale boma,kuna sehem Pana sheli kabla ujafika boma stand nkaingia kushoto kuna sehem kuna michongoma alaf kuna kigiza fulan hvi ndo tumemkuta anafnya yake na alijifunga fungal matambara mguun!

    • @SPORTSCHEMBATV
      @SPORTSCHEMBATV 3 місяці тому

      ​@@JustinMwakalukiladuuhh inaumiza kwakweli 😢😢

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 3 місяці тому +27

    Hiyo "ulikuwa wapi" andika verse ndefu dakika 5 Kila baada ya mistari minne litamke "ulikuwa wap" itakuwa kali sana

    • @Nimebarikiwa
      @Nimebarikiwa 3 місяці тому

      😂😂😂

    • @jumahamis227
      @jumahamis227 3 місяці тому

      Umempa idea kali sana 😂

    • @msabatozeson9023
      @msabatozeson9023 3 місяці тому

      @@jumahamis227 kweli man Kuna wimbo wa bagdaddy uh naitwa tangazeni una idea kama hiyo ni mzuri sana

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 3 місяці тому +14

    Better speak it out brother you're healing yourself and God bless you

    • @controlTheoryChamps
      @controlTheoryChamps 3 місяці тому

      He keeps on complaining everything each and every day. He had his time and he just wasted it alcohols drugs and some other stupid stuffs. Now he wants every bongo fleva artist to help him

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 місяці тому

      @@controlTheoryChamps shutting him up is never helping him, every one deserves a second chance. Put yourself in his place and try to imagine how it feels when someone comments like what you have said "You had your time wasted it in alcohol and drugs don't disturb people" how would you feel ndugu?

    • @controlTheoryChamps
      @controlTheoryChamps 3 місяці тому

      @@mckobatz5861 Bro, the first thing to get out of an addiction ni kukubali that you have that problem. If you keep on blaming others na hukubali..you will never get out of it. Na shida ya watanzania/Africa we do like to listen a good part and not the truth

  • @songombingo108
    @songombingo108 3 місяці тому +8

    Chid Benz hebu piga kazi. Rudi kwenye game bhana. Acha kulialia bhana. Rudi uwafundishe hawa watoto

  • @Johnsonkayila
    @Johnsonkayila 3 місяці тому +6

    Wanao mhoji huyu jamaa naamini wanacheka sana😂

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 3 місяці тому +3

    Daah huyu mwamba anatema sana madini

  • @NossoBad
    @NossoBad 3 місяці тому +6

    Noma sana Maisha ya kweli

  • @MakwanaJr
    @MakwanaJr 3 місяці тому +11

    Brooo mbona leo anafunguka sana....😂😂

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 місяці тому +3

      Afadhali afunguke hivi kuliko kufa kwa maradhi ya msongo wa mawazo ikifahamika mtu amepoteza maisha just kwa msongo wa mawazo wapo wanaolaumu kwanini hakuwa anaongea na muda huu mwamba ameamua kufungua kinywa kujiponya wengine wanamdhihaki hapa hapa

  • @EdsonMubusi
    @EdsonMubusi 3 місяці тому +9

    Wachane king Kong waache unafik

  • @lovenesdickson1824
    @lovenesdickson1824 3 місяці тому

    Nimekuelewa sana kaka

  • @mwalimhamad3825
    @mwalimhamad3825 3 місяці тому +1

    Nakubalii sana muheshmiwa

  • @ndorobo205
    @ndorobo205 3 місяці тому +1

    Mpen ata kaz ya kuigiza muziki wake ulishapitwa na wakati kizaz kinwbadilika 1990,2000,2020,2040

  • @SamuelJohanes-z7r
    @SamuelJohanes-z7r 3 місяці тому

    Kaka wa taifa❤

  • @ndayi7
    @ndayi7 3 місяці тому +1

    Wasanii pekee ni Tonchi style 7 Kenny D .mbali na Ched B

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 3 місяці тому +3

    leoo nimemuelewaaa sanaaa chid benz

  • @SayeedSalim-c4j
    @SayeedSalim-c4j 3 місяці тому +4

    Jamaaa yupo right sana ila Leo anayozunguza kwa usio mwelewe Kuna siku utakuja kumwelewa Nini achokumaanisha ipo SIKU yupo makini sana kiukweli anamaono makubwa sana najuwa wapo wanaomchukulia kama MTEJA wa unga ila jamaa Ana IQ KUBWA SANA kichwani mwake

  • @stivepeter8054
    @stivepeter8054 3 місяці тому +1

    Huyu mwamba siku mungu akimchukua kuna watu watashindwa kwenda msibani kwake kwaajili ya aibu mwamba kawasaidia wengi mnooo ukweli mie ni vile mambo yangu hayajaikaa sawa tu ila tuombe uzima ipo siku

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 2 місяці тому +1

    Mbona mmemkatishaa au nanyie ndiyo walewale tu!?

  • @sadayosiame8798
    @sadayosiame8798 3 місяці тому +2

    Noma sana ki Kong

  • @djraizotz
    @djraizotz 3 місяці тому +1

    Sasa kila mtu ajifunze anapomsaidia mtu

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 3 місяці тому +1

    Apa anahojiwa au anajihoji 😂😂😂😂😂😂

    • @allyviva8328
      @allyviva8328 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 3 місяці тому +4

    Wasanii watanzania tumchangie chid apate garii

    • @bamdogokiki1486
      @bamdogokiki1486 3 місяці тому

      Analiuza kabla hata ajaendesha.

    • @carlosmizambwa8790
      @carlosmizambwa8790 3 місяці тому

      Mleviii tatzo chid

    • @mwljohnray1725
      @mwljohnray1725 3 місяці тому

      @@bamdogokiki1486 Ile Gari kwenye nyimbo ya Yalaiti iliyofanywa na Lina Ft Mwana FA
      Ni gari ya Chidi

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa ukimuona laivu saiz hadi huruma mwamba kapotea sna nazan mnanielewa,week ilopita nmemkuta maeneo anafanya yake dah!😢, lkn bdo anaonekana ana kitu kzur sna kichwan lkn japo anaitaj msaada mkubwa wa ukombozi wa namna alivyo sasa😢!

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 3 місяці тому +1

    Chidi kama chidi bungoni auto speak,rudi ss ndio washabiki wako ,sanaa ina mitihani, arts is a nourish 😂

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 3 місяці тому

    My all times Rapper alive

  • @shikuhata
    @shikuhata 3 місяці тому +4

    Ila inaumiza sana watu unaowasaidia mara nyingi wanajisahau sana

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 3 місяці тому +7

    Brother mbona unatoa ushuhuda kama unataka kufa kaka😢😢😢

  • @consoponsiano97
    @consoponsiano97 3 місяці тому +1

    Nilichojifunza ni kwamba wasaniii wamekua wanawasahau watu ambao waliwashika mkono now wanamuona km hana akili

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 3 місяці тому

    Hizi hazina maana sana nyakati hizi Benz, kama hujatoboa tu mpaka leo endelea kuwa mpenzi mtazamaji tu acha waliokuwa wanajitambua waendelee kula maisha yao

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 3 місяці тому +3

    Marafiki sio wazuri wakati wa shida

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 3 місяці тому

    Your very smart

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 3 місяці тому +2

    Ww Bado ni tajir chid mkubwa sanaa

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 3 місяці тому +3

    Pls mweshimiwa naibu waziri msaidieni huyu kijana anajua mziji mashairi yake ni mazuri na anajua.alipo anguka sasa hakuna anaemsaidia kama yeye alivyo wasaidia wanamuzki wengi.inampa stress asaidiwe

  • @andrydengaah7389
    @andrydengaah7389 3 місяці тому +1

    Uyo ndo chid wa ilala nabaliiiii

  • @alikhamic4177
    @alikhamic4177 3 місяці тому

    ety naskia nyege 😂😂😂😂

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 3 місяці тому

    Bongo Amna Akili Mnasifia Chid Akili Kubwa Duh Mie Nimeshuka

  • @kulwakulwa.nangemo
    @kulwakulwa.nangemo 3 місяці тому +2

    True brother

  • @yusuphmdoe5451
    @yusuphmdoe5451 3 місяці тому

    Chidi unaweza sana tatizo sasa ni pesa kufikisha mziki wako kule ila naamini akipatikana mtu wakumshka chidi tena anafika mbali napesa yake italudi halaka nakutengeneza pesa chidi anafanya kazi vyovyote mziki wowte anapiga dahh ila jamaa humu anaongea kama anatoa usia aisee dahh jama anaumia sana huyu tumfaliji jamani kama kama ingekuwa nauwezekano watanzania tungemshika mkono kwananamna yake naamini hakosei🎉❤

  • @GeraldBeda
    @GeraldBeda 3 місяці тому

    Dar es salaam dude lina tuzo 2007

  • @BrunoBrighton
    @BrunoBrighton 3 місяці тому

    Chidi hana nyimbo za matusi basata hawampendi tuu

  • @RichardMallisa
    @RichardMallisa 2 місяці тому

    Kaka Hao ndo wachaw wako waliona badae yako itakuaje ww ndo namba moja ss temana nao

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 3 місяці тому

    Malalamiko kila siku

  • @AbdulMangi-x4d
    @AbdulMangi-x4d 3 місяці тому

    Daaah, huyu jamaaa!!! 😢

  • @pitbullfamily4499
    @pitbullfamily4499 3 місяці тому +1

    😈Real talk Chidi 💯💯💯

  • @shabaniiddi510
    @shabaniiddi510 3 місяці тому +4

    Wajinga awawez kumuelewa hyu mwana sema kaongea ukweli mtupu

  • @mambas264
    @mambas264 3 місяці тому

    Dar Es Salaam Stand Up

  • @bossbillionare
    @bossbillionare 3 місяці тому +2

    Kaka anakaa mtu maasira kakosewa nn.ila namkubali toka kenya hapa

  • @AWADHIHEMED-y1c
    @AWADHIHEMED-y1c 3 місяці тому +1

    hunabaya kaka

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 місяці тому +1

    HUNA UWEZO MKUBWA, JITAIDI KUPIGA KAZI...🫡

  • @yusuphmdoe5451
    @yusuphmdoe5451 3 місяці тому

    Dahh bloo anaongea kweli ila dahh apambanie maisha yake maana kazini kuna kazi kwasasa vijana wanaloga sana na kuhonga nakubania wengine wasiende wapo wasanii wakali tuu ila wanabaniwa

  • @yahyasadick8201
    @yahyasadick8201 3 місяці тому

    Waandishi waabar wanavumulia hawacheki wanaogopa dah mimi ningecheka🤩😂😂😂

  • @ianak4
    @ianak4 3 місяці тому

    Sawa, hatuna wasanii wa kimataifa just yet, ila hawa unaowaponda ndio wanaendelea kuweka misingi ya hao wa kimataifa kuibuka, hii ni njia yao kama ambavyo wewe ulikuwa njia ama msingi wa hawa unaowaponda kila kukicha badala ya kuishia kujivunia kuwa umefanya kazi nzuri kuwaibua na kuwasapoti. Kwa nini kila leo unaponda tu wenzio na kujisifia sifia kuwa u bora zaidi badala ya kuangalia mambo yako mwenyewe kama wanavyofanya wao? Songa mbele mzee, focus kwenye ishu zako tu maana haya unayopoteza muda kuyaongelea kila siku hutayamaliza na wala hayatakwisha kamwe.

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 3 місяці тому

    Chid Benz is at war with himself.
    Nothing in life remains permanently. he should stop complaining and never look back but rather look into the future and renew, reinvent and revolutionize his future plans and strategies to regain his lost music glory.in my opinion
    Hard drugs are his greatest undoing .
    May the lord protect him from evil forces working Against him

  • @IsakaMaamba
    @IsakaMaamba 3 місяці тому

    Daa chid Kuna kitu ndani yake kinamfanya awe jinsi alivo

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 3 місяці тому +1

    Full ganja,full bange huyo akili zake zimeshavurugika kitambo

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 3 місяці тому

    Hivi haiwezekani kuwa Mwanamuziki au Msanii mzuri bila kutumia vilevi au madawa? Huyu Jamaa ni ame confuse halafu anajiona yuko sawa. Hii ni hatari sana!

  • @shamtesefu5040
    @shamtesefu5040 3 місяці тому

    Yan uki muoji chidi swali 1 kwake lina majibu kama 100

  • @rahimkihiyo8799
    @rahimkihiyo8799 3 місяці тому

    Daah

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 3 місяці тому

    Ulifanya campaign na ssm na Marais kadhaa ila hawatakusaidia maana wao walikutumia kama big G
    Nifundisho kwa kina mondi na wenzao vibataka wa ssm

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 місяці тому

    BIG UP CHID BENZI , KING 👑 KONG 🔥🔥🔥

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 3 місяці тому +7

    Kumbe JD alikuwa anavua kwanza ndio anapewa gari😂😂

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 місяці тому +5

      Alikuwa anavua ninja usimchonganishe Benz na dadaake

    • @kichenjekichenje2072
      @kichenjekichenje2072 3 місяці тому +2

      @@mckobatz5861 ooh kumbe alikuwa anavua ninja

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 3 місяці тому

    Waandishi wanatia huruma, sura zao zinaonyesha

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 3 місяці тому

    Basata wapumbavu saana

  • @The__Lords333
    @The__Lords333 3 місяці тому +3

    Watu wanavyomsifia uyu ni genius ndio uchizi unamzidi, namkubali chidi ila anapoelekeaa....

    • @NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb
      @NASJAYZEROTOBILLIONTZ-gl3sb 3 місяці тому

      Watch and learn

    • @WakiliHaule
      @WakiliHaule 3 місяці тому

      Watu wanasahau mteja abebeki...kuna watu wangapi wamempa mashavu siku ya nyuma ila ataki kubadilika?..kapewa korabo ngapi uyo siku za nyuma?...anataka watu wamsaidie vip?...wakati awo watu anaolalamika awamsadii nao pia wanafamilia zao zinahitaji kusaidiwa

    • @WakiliHaule
      @WakiliHaule 3 місяці тому

      Cha ajabu umri bado unamruhusu ila kashakata tamaaa

    • @jacksonmacha.8613
      @jacksonmacha.8613 3 місяці тому

      Kaa Kwa kutuliaaa.. tuu

  • @PiusBruno-t3g
    @PiusBruno-t3g 3 місяці тому

    Just stand up again brow in order to move forward in the music arts

  • @mubarakatwaha7776
    @mubarakatwaha7776 3 місяці тому

    ninakuelewa na unajielewa hayo ni mapito tu toa music upo fiti sana hiim interview umeeleweka

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 3 місяці тому

    Chidi yuko sawa kabisa

  • @magesawambura3041
    @magesawambura3041 3 місяці тому

    sema Chidi anamix na chuki ndani yake.

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 3 місяці тому

    Mpuuzi kabaki na stori tu

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 3 місяці тому

    Chidi

  • @Hassan-ot1mc
    @Hassan-ot1mc 3 місяці тому +1

    Kingkong ilala

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 місяці тому

    UMETENDA WEMA NENDA ZAKO...

  • @GeraldBeda
    @GeraldBeda 3 місяці тому

    Uyu ndio chidi ninayo mjua mm funguka king kong

  • @dadyjo_
    @dadyjo_ 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂

  • @lukabenard
    @lukabenard 3 місяці тому

    Hakili nyingi sana wewe chid Japo watakuona kama pombe

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 3 місяці тому

    Wako wapi Daz nunder na wameanza kutamba kwenye gemu ya mziki before yake yeye ...Daz nunder wanamchango mkubwa kweli kwenye mziki wetu lakini baada ya kuanza kutumia madawa ya kulevya tu wamepotea ...ushawai kuwaona hata siku moja wanawalalamikia watu awawasaidii?

  • @djurio
    @djurio 3 місяці тому +1

    Maisha yakimpiga mtu anaeza kuishia kulaumu aliowavusha....kila mtu kuna namna ambavyo Mungu humtumia kuwa daraja kwa wengine...
    Maumivu yake ya sasa asiyatumie kama njia ya kutafuta huruma. Kama hela pia aliipata , show zote alikuwa anapata.....bata batani na kutokuwekeza kwa maisha ya baadae....
    Kuwa na kipaji ni kitu kimoja....kuwa na akili ya uwekezaji ni kitu kingine.... baadhi ya wasanii wanapeta hela nyingi ila wanamiliki liabilities kuliko assets...
    Fainali ukubwani

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 3 місяці тому

    Chid Kama Chid Lispect salout sana Ukweli unamuweka mtu Hulu Ukifa Ndo Tutajua Wanafiki Niwangapi Tz

  • @hashimmawazo5503
    @hashimmawazo5503 3 місяці тому

    Acha mbwembwe wewe ,yaliyopita usiyakumbuke .

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 3 місяці тому

    Uyu kashadata...kashindwa kujiandaa kisaikorojia kwa aya anayopitia...alikuwa ajui kama dunia duara inazunguka...majanga aliyoyaingia ndo yanampeleka puta mpaka akili inamluka...Chidy faida ya unga ndo iyo ndugu...apo ulipo kila mtu utamuona mmbaya mbele ya macho yako pindi unapokuwa na alosto...mteja abebeki Chidy ata nikusaidie vipi msaada wangu utauona hafifu tu kwako...ila kumbuka ushauri wa kuvuta ngada zilikuwa ni hisia zako peke yako..Unataka watu wakusaidie vipi?..kiumri bado mdogo wewe nafasi bado unayo ujazeeka bado pambana na hari yako...usikate tamaa na maisha tazama ulipojikwaa wapi....Allah niepushe na ili janga...amen.

    • @RamadhanNuru-g9c
      @RamadhanNuru-g9c 3 місяці тому

      Acha ujinga

    • @WakiliHaule
      @WakiliHaule 3 місяці тому

      Ujinga wapi wewe..wewe unamtetea mteja uyu sasa wewe ulikuwa unataka watu wamfanye nini uyu ili asilalamike?...kuna show ngapi kapewa uyo miezi michache ya nyuma?...Diamond ajampa shavu uyo siku za nyuma?...watu wangapi wamempa mashavu siku chache za nyuma uyo mteja ila abebeki?...leo anawaona watu wabaya...tambua hata awo watu anaolalamika awamsadii nao pia wanafamilia zao zinahitaji kusaidiwa wewe.

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 місяці тому +1

    Achen kumpa kichwa huyu teja umevua mipaka period nyimbo haina maadili kabisa ile

    • @yussufmohammed9299
      @yussufmohammed9299 3 місяці тому +1

      Ww unashindwa kumuelew hyu Nyumbo ngapi hazjafunguw n Zamatu live n Video huwez kuangalia n mzazi wko bb muelewe vizuri hyuu

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 місяці тому

      Unafiki

    • @FrankSamson-r6s
      @FrankSamson-r6s 3 місяці тому

      Tema mate kaka

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 3 місяці тому

      @@FrankSamson-r6s chizi huyo anafikiri kila mtu anaposimama kusema yanayoumiza nafsi yake kwa faida yake na kizazi kingine basi amechanganyikiwa. Haoni kama akitokea kiongozi mmoja mwenye nguvu akaact kufuatana ushauri wa Chid wataonufaika ni pamoja na watoto au wajukuu zake

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 3 місяці тому +1

      Kumanina ww malaya mkubwa

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 3 місяці тому