RAIS WA YANGA ENG. HERSI ATOA AHADI NZITO KWA WACHEZAJI NA MASHABIKI, AAPA KUWAMALIZA MAZEMBE CONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 4 години тому +7

    Pamoja chama langu mungu azidi kuwasimamia katika majukumu yenu 💛💚💚💛

  • @AminaRaheel-gv2ib
    @AminaRaheel-gv2ib Годину тому +1

    Mungu awabariki YANGA yangu na rais wetu

  • @Sum-sq7vm
    @Sum-sq7vm Годину тому +2

    Pamoja sana chama langu mm 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 50 хвилин тому +3

    Pamoj sana 🫂 WANANCHI WA CONDO DR🔥💯💪⚽🦵🔝💥🌟💚💛

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 4 години тому +4

    Mungu akusimamie rais wetu

  • @hamisanalinga8585
    @hamisanalinga8585 2 години тому +1

    Woyoooooooooo Asante rais wetu Hersi Mungu akulinde sanaaaa

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 4 години тому +5

    Mungu awatangulie Daima Kwa Kila jambo

  • @hamisanalinga8585
    @hamisanalinga8585 2 години тому +1

    Mbarikiwe watu wanaoishi Congo kwa umojawenu mzuri woyoooooooooo 😊

  • @RobertSydney-t2b
    @RobertSydney-t2b 13 хвилин тому +1

    mungu atutangulie wananchi

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO Годину тому +1

    Mora akushike mkono asikuache peke yako kwa kira,yy ndo akawe msimamizi wako kwa kira kitu aminaaaaaaaaa

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 15 хвилин тому +1

    Mungu awasaidie mkafungwe tena wananchi oyeeeeee😂😂😂😂😂

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Годину тому +1

    Kwa mala ya kwanza tunaenda kushinda mechi... Mazembe watatuchangia point suta...🔥🔥🤞kwenye ili kundi

  • @AishaAlly-n6t
    @AishaAlly-n6t Годину тому +1

    Mungu yupo nasi Kwa kila jambo

  • @lololala-w2o
    @lololala-w2o 3 години тому +2

    asant

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 2 хвилини тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉tunakupend san mitano tena

  • @BundalaBerda
    @BundalaBerda 34 хвилини тому +1

    Mngu waachanize wafungwe maana walifikuya kukuomba uwashushie malaika wacheze na malaika

  • @MusaStephano-s9c
    @MusaStephano-s9c 24 хвилини тому

    Bado hapa hakuna kiongozi, lakini tuisapoti Timu yetu yanga ipate ushindi daima mbele nyuma mwiko. Hatujui hatima ya timu, ndoto za kuchukua ubingwa Caf labda uongozi mwingine. Mbwembwe ni nyingi sana.

  • @waziriwaziri8271
    @waziriwaziri8271 Годину тому

    Mbona haujafunguwa tawi Somalia

  • @ZaiJumbe
    @ZaiJumbe 53 хвилини тому +1

    Wewe uliezungumzia sindano utakua shabiki wasimba Kuna lamama Ako wew sindano anatumia baba ako

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 45 хвилин тому +1

    Hata mfungue matawi angan kpgo kesho kipo palepale

  • @ANDREADUWE
    @ANDREADUWE 3 години тому +2

    Ongelea mpra kwa adabu wew

  • @ErnestFurela
    @ErnestFurela Годину тому +1

    Siasa hakuna tunahitaji ushindi

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 52 хвилини тому +1

    Eng jinsi unavyoongea tu unaonekana msanii mnapigwa tena

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 3 години тому +3

    ،Makoro mkiambiwa yanga inaendeshwa kisasa na inakuwa kwa kasi ya ajabu sanaa wamekalia ooh sisi makoro ni tim kubwa africa tumefika nusu fainali kombe la kinyuse😂😂😂😂Inshaallqh mungu awatangulie mrudi na pointi 3 tukate vilimi limi😅😅

    • @MartineRichard-me2ip
      @MartineRichard-me2ip 2 години тому

      Bado hamjasema vibwengo FC

    • @flova7022
      @flova7022 2 години тому

      Kamdomooookamdomoooo....hurudi na point tatu ukijitahidi 1

  • @GeraldodingoSamson-ck5rx
    @GeraldodingoSamson-ck5rx 3 години тому

    Hata kama tukifungwa na yanga yetu

  • @AthumaniWaziri-js5ut
    @AthumaniWaziri-js5ut 3 години тому

    Tatizo usajili bado Sasa mnamleta mwenda Tena kutoka Simba

  • @jumarocky9544
    @jumarocky9544 3 години тому

    Hivi rais tutakwenda kucheza mpira au tutakwenda kulinda tu ?

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 52 хвилини тому

    Muongo sana Eng hahahahahahahahahahahahahah

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 3 години тому

    WAKENYA NI WAPUMBAVU SANAAA WANAGONGWA

    • @flova7022
      @flova7022 2 години тому

      Sio wote ila ileeee willy Paul kabisaaa

  • @SaidMaloda
    @SaidMaloda 4 години тому

    Hatumtaki mchezaji kutokea simba

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 4 хвилини тому

    Matawi hayachezi Mpira wewe

  • @SeleMwogera
    @SeleMwogera 3 години тому

    Mtafungwa tena ongelea mpira kwa adabu

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 3 години тому

      At tukifungwa shida aipo kabisa

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Годину тому

      Ysnakuhusu nini! Afungue YANGA uumiee wewe! Una akili! Kwani Tawi SIO mpira! Mpira NI on and off the pitch kunguru we! Wabongo USHAMBA mwingine!

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 3 години тому

    Umetuharibia ligi kwa kupanga matokeooo sasa utakula ukichokipandaaa na uchawi wenu

    • @sarahsaimon4095
      @sarahsaimon4095 3 години тому

      Ww chizi kweli

    • @rogersmola698
      @rogersmola698 3 години тому

      Watu wa simba mnamatatizo sana, mna roho mbaya kama ya paka, kazi yenu ni kutakia wenzenu mabaya tu, mna roho za kuzimu nini. Jumapil8 simnacheza, malipo ni hapahapa.

    • @menikojohn2782
      @menikojohn2782 2 години тому

      Mbona Hueleweki
      Ni Kupanga Matokeo Au Uchawi?

    • @OscarGregorymosha
      @OscarGregorymosha Годину тому

      Ana matatizo ya akili huyu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 години тому

    Km mmeenda na shindano mtashinda

  • @JohnMakasabi
    @JohnMakasabi 3 години тому

    Wewe unamsaada Gani Kwa Yanga,inawezekana hata kadi hakuna unabwabwaja tu

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Годину тому

      Matawi yanasaidia Nini Kama unafungwa home and away 😂😂

  • @GodwinMtungi
    @GodwinMtungi 4 години тому

    Ole wenu tufungwe sijui mbaki huko huko atutaelewa kitu sisi mashabiki tunaona usajili ambao atuelewi atutaki mchezaji kutoka simba jitahd muongee wachezaji tushinde mchezo kesho

    • @nikiwejimson8527
      @nikiwejimson8527 4 години тому

      Ahahahahh😂😂we waaache sikuizi tunaangalia mechi ya yanga kwa kujificha hatuna raha😢

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 4 години тому

      ​@@nikiwejimson8527acha tu adi cm tunaziogopa kuzishika

    • @KayagwaElisha
      @KayagwaElisha 3 години тому

      We achaaa tu...

    • @Chaibo-i9r
      @Chaibo-i9r 3 години тому

      Man city kafungwa mara 7 mzeee

    • @omarimamboleo2634
      @omarimamboleo2634 3 години тому

      We umetowa.shilingi ngapi?
      Wasirudi kwa lipi?
      Kwani kufungwa ajabu?
      Waanglie man citty man un brazil wako wapi? Uk imebeba kombe mara ya mwisho lin nk
      hebu tuone aibu timu hii inayofungwa lkn wakongo wanagombea kadi sisi kazi kubwabwaja tu
      Wenzetu wanaujua mpira na maana yake?