Mashabiki waliopelekwa na crdb ni washabiki kweli au watia macho tu uwanjani ningepwnda kuwaona kina mzee wa utopolo.Mzee wa mashuka Mzee wa kujipaka mkaa usoni.na wengine wengi tunaowaonaga wakiqmsha uwanjani ivi ni vitu vidogo ambavyo vyinaweza kutufanya maombi yetu yasipokelewe yani ubaguzi Mashabiki wa kweli huwa wanaacha
E mwenyezi MUNGU tunakuomba iki kikombe tukivuke salama kesho insha Allah usiruhusu tena tupoteze mola wetu tafadhali 😔🙏🙏🙏
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛
Mungu nakuomba keshe yanga tupateponti3 kutoka tp mazembe 😢
Allaah Akbar
Kazi njema
Mora akutangulie inshallaaaaaaaaah
Msisahau kuwatembelea watoto yatima kesho kabla ya mechi

Rais