Fountain Gate 3-2 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 13/12/2024
Вставка
- Опубліковано 12 гру 2024
- Yamefungwa magoli matano... Fountain Gate wakiibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Coastal Union, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Tanzanite Kwaraa, babati Manyara...
Magoli ya Fountain Gate yametoka kwa Elie Mokono, William Edgar na Nocolas Gyan kwa penati huku magoli ya Coastal Union yakifungwa na Lucas Kikoti kwa penati na Maabad Maulid Maabad
Daaah wagosi vipi ndugu zangu
Wagusi mbon mnazingua tena
Yani wanachukulia.poa.sana viongozo mpira sasa hivi umebadilika lakini viongozi sio watu wa ball
Wanamangushi wazushi uongozi unazingua sana awa walipi wachezaji mishahara yao
Na watafungwa tena na tabora
Wagos vp tena
Na yote ayo wanachukulia poa kutoakana mkoa Timu ni 1 kama na uyo karia anawabeba