Magoli | Tabora United 2-1 Azam FC | NBC Premier League 13/12/2024
Вставка
- Опубліковано 12 гру 2024
- Azam FC imekula mweleka ikipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Heritier Makambo amefunga goli la kwanza kwa tabora United na kusababisha goli la pili ambalo golikipa Mohamed Mustafa amejifunga...... Goli pekee la Azam FC limefungwa na beki Yoro Diaby.
Kama ww leo umefurahishwa matokeo weka like hapa
Azam umelamba asali makamboooooo hongera sana umenikomeshea mtu
Tabora hiii unaifunga jeeeeeee!!🎉🎉
Tabora wako serious aiseee
Duuuh Tabora wanakuja moto sana aisee
Tabora united wanajambo lao katika ligi kuu msimu huu wachek na mtu 🎉
YANGA BINGWA 💛💚
Makambo baba😂👊👍
Hii asali ifike mahali kila tm onje😂😂
Bado simba kuonja asali...maana tatu bora ..mbili zishaonja😂😂😂
Azam ni ya kawaida Sana. Ila wakicheza na Yanga Sasa.. utafikiri Ni al ahly
Na Tabora je wakicheza na yanga ni wakawaida sio
@YusufSasamalo-uz4ii ulivyoelewa ivyo ivyo.
Tabora Wana Cha kujisif wanabonda majitu mazima
Kila mtu atachanganikiwa kwa wakati wake😂
Mwendo wa kupokezana tu😂😂
One love watoto wa mwinyi🎉🎉
SAFI SANA MAKAMBO, SAFI CHAMA UNYANYEMBE WANA WA ISIKE, CAF yenu mwaka huu..
Ashim alicheka yanga leo umekipata😂😂🎉🎉🎉🎉
,😂😂😂😂😂😂 aongee tenaa
Kipa mzembe hizi chuma zote mbili😅😅😅😅
Azam wakicheza na yanga ndio wanapambania mshahara wao.
Ndugu zao utopolo wameshenyentwa nao😊😅😅
Hamna kipa hapa
Yanga tunafurahi sijuwi kwanini😅😅😅
Unafurahi nini wakati team zote mbili ziliwashenyeta 🤣
Vibonde wenzenu hahahhahaah nyukiiiiiii
Kipi kinakufurahisha hao wote waume zako
Lazima tugurah mwanang
Kwasbb ya mzee wa kuwajaza
Azam hawajawahi kuwa na kipa mzuri wote bums tu
Inshallah nikipita tabora nitachukua asali 😂😂😂
Kwa hesabu hizi YANGA BINGWA MARA 4 MFULULIZO
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga hii mbovu au nyingine😂
Tabora atazifunga timu zote ila siyo simba
Bro Acha pombee
Yanga bingwaaa
Kimeumana nyokooo Bado vingine sasa😂😂😂😂
Umeona 😂😂
Picha mbaya sanaaaa haionekani vizuri
Tulieni kila mtu atafungwa na tabora united😆
Azam na wao wamelambishwa asali kama utopolo😂
Tabora nio🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nilikuwa mbali leo asali na ice cream zimekutana😂😂😂
Naona asali tamu sana kushinda ice cream 😂😂
Tabora bora
From #EconomicallyGrowthMusicians TABORA mnanikumbusha Biashara United alikuwa wa moto hdi kimataifa af kashuka kw moto ule ule hadi Champion ship😂😂😂
Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉
Yanga bingwa tena
Poleni azam
Nani mwingine amegundua kua goli kipa wa Azam alibet😂😂🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umetisha
Hadi Diara alibet
Kwa hesabu hizi Simba bingwa
Malipo hapa hapa dunian
😂😂😂😂
Yanga mnafurahi sababu wote hawa mabwana zenu
Nyie bwana wenu Yanga
Magoli Yote Mawili Ni Uzembe Wa Kipa
Wakwanza 🔥
huzuni imelalia chamazi
Na hapo yacouba sogne fundi hayupo leo hao lambalamba wangekula mkono😆😆😆
uhakika
Asali kiboko ya Azam na yangaaaaaa
Bado nyie
Hiki kikombe cha asali hamtakiepuka marudiano
Leo azam wameshenyetwa,,, maana wali2cheka yanga 2lipofungwa
Na walipowafunga piaaa😅😅😅😅
Nimefirahiaaa
😂😂😂😂😂😂😂
Tupo wengi 😂😂😂
Kipa wa azam anaonyesha anahitaji mapumziko
makambo atarudi yanga
Na hii tuseme kipa wa azam kachukua bahasha kutoka kwa wazee wa asali?😅
Safi sana makambo
Nae kaliwa kiboga😂😂
Makambo ndoo nini sasa unaanguka mwenyew 🐝😀
Kiswahili kinakupa tabu
@@mohdhaji550 Sana yani nifundishe mwalimu🤣
Azamu wakicheza na yanga utafikili kuna kitu wameaidiwa lakin kukutana na timu zingine wanacheza kama wamebanwa
Na yanga pia walishenyentwa na haohao tabora usijisahaulishe
Kwan. Nyie mlishenyetwa na tm gan
Kwahy ushasahau zile 3 😂
Kweli kabisa AZAM akicheza na YANGA, Utafikiri ameahidiwa mabilioni pesa, ngoja acheze na timu nyingine unaweza kusema amebanwa na MAVI.
Je tanga wanaiweza hii timu
Safi sanaaaaaa
Uyo kipa analipwa kwel
Makamboooooooooooooooooooooooooooo
Namsubiri zaka aposti matokeo
Nimefurahii
Mulikenua sana meno alipofungwa yanga Sasa nyie vip imekuwake.
Nyuki wamewashenyenta,,,
Hakuna Goalkeeper hapo
Yanga 5 vs kolo 1 kocha gamond
Kipa wa Azam achunguzwe gol zote mbil ni za kwake,hata mwanangu wa miaka sita pale angedaka
🎉🎉 kwa mtoto goli kipa wa miaka 6😮
Hawa Azam inabidi tuwape Manula awasaidie msimu ujao,hawajawahi kuwa na golikipa mzuri tangu Manula aondoke.
Azam wakicheza na Yanga ndiyo shida huko mbele watashuka daraja
Nimecheka mm 😂😂😂😂
Hawa Azam ama maji maji
Tabora mna nni lakini?
KIPA WA KULAUMIWA AZAM
Goal kipa ni mpumbavu huyu na yote tabora wamecheza vizuri
Goalkeeper mpumbavu eti? Kwaivo Diara nae aliyekula 3 ni mpumbavu 😂😂😂😂😂
Na kolo ulimvizia tabora utalamba na we
Hawa tabora wangalieni vzuri kunawatu watalia
Asali ni lazima kulamba kwa kila timu kubwa
uto tupo😂😂😂😂😂😂😂
tabora kwel mmeamua
Ila Tabora ya moto sana
Kipa kazingua magoli yote
Kipa wa Azamu alikuwa amebeti azalani
Wazee wa kushenyenta
Azam wamsajir Manula... hawana kipa
Mdaka chapati
Tz mnaringa kuwa mna viwanja vizuri kuliko Kenya.Kumbe ni Vile vitatu tu kikiwemo kile Cha mkapa ndio vizuri .Vingine ni kama vya high school 😂
Na nyie mko na gani kizuri 🤣🤣🤣
Mwambie ruto ajenge
Okay kwani nyie ligi yenu namba ngapi afrika😂😂😂😂
Ndugu yangu viwanja vipo vingi na vina ubora tofauti lakin vingne vinahitaji malekebisho makubwa mungu atusimamie
Hamn kipa hapo
Hahah wamelamba asali
Huu sio wakati wa kukutana na Tabora
Bado Simba
Waulize walikula ngapi
Watasubiri Sana uku Simba atataki mazoea 😂😂
Watasubiri sana😂
Mara pap tabora anachukua ubingwa
Waota mchana
Tabora bingwa umelogwa
Bado sana ni ndoto za mchana
Hahahaha hii timu inatakiwa kuvurugwa la sivyo itasumbua
Yanga mshangaz mna upepo kweli mme mbust tabara mpk leo anawala tu wenzenu
Heee Yanga Mshangazi tenaa !!!!
Hahahahaaaaa! Mshangazi Kama mshangazi
😂😂😂
Nyuki wanaendelea kuwauma watu
Azam Kula chumq iko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wale mara mbili washavimbiwa sasa 😂😂😂😂
Tabora inafungajweee
Jamani simba bingwa
Kafungwa azam vyula fc wanalalamika mhhhhhh
Sio vyura ni simbilis au panya rodi ndio wanafurai utafilili hamtafungwa😂
azam midocho
Anawajazaaaah
Tabola gali limewaka
Waume zenu hao lazima mjawe na furaha coz wamempiga mbabe wenu
ata simba waliwafunga kwa sababu hawkutimia kikosi chote
Tabora 3 chura 1
Hata ealirudiana watapigwa tu
@@AdenAdrionYanga 5 kolo 1
Magoli ya kishirikinq
imani yako tu , watu wanapambana
kipa kauza mechi
Sipatpicha Christina mdomo haha mponza
😅😅😅😅😅😅
😅😅😅
Adui wa adui yako