Machafuko ya Arusha Part II

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @Olekombeti3
    @Olekombeti3 12 років тому +1

    Huu ni udikteta wa hali ya juu kabisa, lakini huu udikteta utaisha siku moja siku uchaguzi ukifanyika halafu asiwepo hata mmoja wa kuwapa hata kura moja hao akina Chukua Chako Mapema. WEZI WAKUBWA

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому +1

    Hizi damu za watu zinamwagwa na lema kuchochea gasia pamoja na mbowe na wwnzake chadema mbaya sana

  • @mozartsarahally5719
    @mozartsarahally5719 6 років тому

    Daaaaah hii ni ###tanzagiza###

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 роки тому

    Sio halali kabisa yaan

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Waereze mwanasheria mkuu

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 8 років тому

    Tanzania, Tanzaniaaaa nakupenda kwa moyo wote. ila ninacho kiona natamani niwe mzuru.

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 6 років тому

    Jamani tuende wpi sisi baba was mbigu tunaomba utusikie tutazame mungu.

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Akamatwe lema aperekwe mahakamani kazi yake vurugu

  • @salimumohamed4920
    @salimumohamed4920 7 років тому

    Iko siku mungu atawaajaliya

  • @RichardalfredynomboRichard
    @RichardalfredynomboRichard 3 місяці тому

    Kilasiku wananihibia pesa yangu martini na Julie na angel alfredy nombo wananihibiha hela jingi county crb bankruptcy

  • @omarkhamis6335
    @omarkhamis6335 6 років тому

    Miaka 100000000000 hatofikia maendeleo yakweli tanzania

  • @elizabethkaswa8661
    @elizabethkaswa8661 5 років тому

    Polic hamjui kazi yenu

  • @abbasmwacheeabbasmwachee5533
    @abbasmwacheeabbasmwachee5533 7 років тому

    kila lenye mwanzo lina mwisho wake Inshallah🙏🙏🙏🙏 mwisho tutauwona tu

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 7 років тому

      Abbasmwachee Abbasmwachee tangu Lin polis kashindwa mtu?

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 7 років тому

      Polis utaenda tu mbona?

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 років тому

    Vioja vya nchi hii

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 роки тому

    Lakini kila lenye mwanzo lina mwisho IPO siku tuu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Lema kazikubwa umeshafanya kaka sitafu na wewe upunzike na pepo yako itakua juu

  • @matthew4able
    @matthew4able 13 років тому +1

    CCM kwakeli ni wauaji naomba Mungu 2015 wasiendelee kutawala nchi. Na ninaamini kwa neema ya Mungu hawatatawala kabisa.

  • @thohanhaule4501
    @thohanhaule4501 7 років тому

    Jamani CCM hamuwezi kitu kweli

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Angalia mafisadi lema mpaka sauti imegoma kuchaguriwa mea ni aheria harari

  • @jenniphermunguakutangulie7432
    @jenniphermunguakutangulie7432 7 років тому

    walimnyanyasa sana

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 7 років тому

    kweli ccm naporisi awana akili wote paka

  • @michaelbundala7908
    @michaelbundala7908 7 років тому

    inauma sana

  • @MrIsiswe
    @MrIsiswe 13 років тому

    JAMANI JAMANI NI KWELI YALIFANYWA MAAJABU KWANI ILIONYESHA NI JINSI GANI POLICE WALIKUWA WAMEANDALIWA HAPO LEMA AMEFANYA NINI MPIKA WAMKAMATE KWA NGUVU. HIVYO WANANCHI MJUE NI KWANI NINI PINDA ALIITWA MWONGO WAKAFUKIA MADA YA LEMA KUTOA USHAHIDI MPAKA LEO LAKINI SISI WATU WA ARUSHA TUNATAKA IWEKWE WAZI

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Kumbe ccm hawana nguvu wanategemea pilisi

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 8 років тому

    tunaenda wapi jaman

  • @cyruslichoti1933
    @cyruslichoti1933 7 років тому +1

    mungu atasimama

  • @redmondmulilo4852
    @redmondmulilo4852 6 років тому

    Police wanatekereza Ilana ya chama cha mapinduzi sio kufwata sheria. Iyo ndo Tanzania bhana

  • @hajijumaa362
    @hajijumaa362 7 років тому +1

    lema alisema hizi damu zinazo mwagika zitanena nami nakumbusha kuwa hizi haki zinazo kiukwa kunasiku watu watazitafuta kwa namna ambayo wataiyona ndo rahisi kupata hakki zao mbunge kwa hishma yake hawezi kudhalilishwa hivi hata kidogo

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 років тому

      Haji Jumaa Lema sie msingizie mnawajuwa MMungu anawaona monijidai kusingizia wenzenu

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 років тому

      Haji Jumaa Naam kabisa damu hizo zitakuja kuwaweka pabaya hao wanaozimwagwa kwa kutaka kubakisha ccm madarakani nyie polisi nyie wa wananchi ndio maowaadhibu kwa kufuata amri wakati mnaakili zenu timamu MMungu akuonesheni njia ya haki mtapiga mtauwa na nyie mtakuja kufa muogopeni MMungu hakuna alokwenda akarudi huko wacheni uninhabited huo loo mnatufanye tuseme bila kupenda MMungu wetu tuondoshee madhila mengi

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 8 років тому

    Fanyeni mambo kwa kutumia akili hao wananchi wanaowashangilia ndy watakuwa wakwaza kumwaga damu

  • @jjm4583
    @jjm4583 4 роки тому

    Hii ndi serikal ya tanzania ya magufur

  • @mamadanhelena8190
    @mamadanhelena8190 5 років тому

    Kumbe mbinu hiz n endelevu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому +1

    Lema upumbavu wako wa mwaka 2012 unanataka kuendereza mwak 2015 huo upumbavu watanzania hatutaki vurugu lema na wenzako mtaishia vibaya

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 7 років тому

    Ccm hawez kuwa mpinzan

  • @kalingarichard8825
    @kalingarichard8825 8 років тому

    nimechoka!!

  • @piucphilpo9751
    @piucphilpo9751 9 років тому +1

    NAICHUKIA CCM KUTOKA MOYONI

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 років тому

    acha uwoga bwege ww,

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 років тому

    Mlya kelele

  • @joshuahassan1605
    @joshuahassan1605 2 роки тому

    Hakika hii ndiyo ilikuwa Arusha mjini.

  • @allymasenti7974
    @allymasenti7974 6 років тому

    Tangu natangu ccm haijawahi kutenda haki kokote nchini nahaya yasasa yanaishangaza dunia nzima

  • @flavyhemillian1743
    @flavyhemillian1743 5 років тому

    Yan maccm ni masenge duh!!

  • @kajanjaahamadi7550
    @kajanjaahamadi7550 6 років тому

    apo police wali jipotezea imani na tumewajuwa walio watuma maana kwasasa munatumika kisiasa daah niaibu sana aisee

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 років тому

    This is Tanzania bwana

  • @amka7413
    @amka7413 6 років тому

    Cheki na hapa uapate kujifunza vitu vingi
    ua-cam.com/video/r07lb70Msls/v-deo.html

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Polisi wa kikoloni hawa

  • @nesterernest2410
    @nesterernest2410 8 років тому

    Komedi

  • @aerorapul2636
    @aerorapul2636 9 років тому +1

    upumbavu wa kitanzania

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Uyu kijana lema mpumbavu sana anagombana na sheria kifungo kinamuhusu

  • @chassesinamba3561
    @chassesinamba3561 6 років тому

    bilamachafuko ccm itatuyumbisha

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 6 років тому

    siasa zamagufuli ndoizi

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 6 років тому

    Wana was.Israeli uriyaona mateso yao ukatoa Uhuru wako nasi twakuomba tusikie Julia kwatu amani yaenda wwpi upendo waenda wapi haki yaenda wapi mungu sikio lako so zito hata usione kwa jicho lako type.amani myoyo.yetu imegandana nasi twahitaji mkono wako upite ndipo haki za watoto wako zipatikane

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Ccm inatenda haki

  • @maxmillan7664
    @maxmillan7664 7 років тому

    kuna siku yanga atakuwa mpinzan sasa cjuh itakuaje

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 8 років тому

    The condition is so deplorable in deed

  • @godelivamuhumuza8304
    @godelivamuhumuza8304 8 років тому

    Huwezi kutumia mabavu ili uwe mkubwa wa nchi

    • @jasminrobby4094
      @jasminrobby4094 8 років тому

      lema anatetea haki za wananchi lema hana shida watanzania ni wavumilivu ila tunaumia ss mm na ccm mbali mbali

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому

    Mapumbavu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 7 років тому

    MTU kamahuyu anahitaji kiki,,,,,hivyo bila kifinyo haiwezekani ,binadamu hatawaliwi bila maumivu

  • @ibrahimkhamis1862
    @ibrahimkhamis1862 7 років тому +1

    Huyu mbunge sijuwi kama havuti bangi

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 8 років тому

    Tanzania, Tanzaniaaaa nakupenda kwa moyo wote. ila ninacho kiona natamani niwe mzuru.