MrCrashmore
MrCrashmore
  • 10
  • 471 067
Lema aelezea Gambo alivyo vuruga uwekeji wa jiwe la msingi kwenye hospitali yake
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akielezea namna mkuu wa mkoa wa Arusha alivyo vuruga uwekaji wa jiwe la msingi kwenye hospitali ya Mama na mtoto ambayo alihangaika kutafuta kiwanja na wafadhili...
Переглядів: 8 857

Відео

Lema amgomea RC (Gambo)
Переглядів 2 тис.8 років тому
Ujenzi wa Hospitali ya Mama na mtoto chini ya ArDF wa vurugwa na RC wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kumzuia asiongee kwenye uzinduzi wa ujenzi wa hospitali ambayo lema alitafuta wawekezaji na kiwanja...
Sauti ya Nape ni Sauti ya Kikwete
Переглядів 3,3 тис.12 років тому
kuna baadhi ya watu wanaamini kikwete aliteleza/ hakukusudia/ kwenye hotuba yake ya juzi au hakumlenga Godbless Lema kuwa mbunge huyo alievuliwa ubunge na mahakama kuwa ndiyo chanzo cha ukosefu wa amani Arusha lakini ukirudisha kumbukumbu nyuma msemaji wa CCM ambae Kikwete aliwahi kusema kauli ya Nape ni kauli ya Kikwete aliwahi kuhukumu kesi hii siku chache baada ya kuanza kusikilizwa..Tujiuli...
Mapambano ndiyo kwanza yanaanza
Переглядів 4,9 тис.13 років тому
Kamanda Godbless Lema akiongea na makamnda wa mjini Arusha, ni juu ya madiwani waliofukuzwa na CHADEMA kuendelea kuhudhulia vikao vya madiwani kwa kupitia chadema lisha ya waasi hao kufungua kesi mahakama kuu kuomba kurudishiwa unachama na mahakama bado haijatoa hukumu yoyote...
Mbowe akizungumzia sakata la Madiwani waliotimuliwa chadema
Переглядів 2,6 тис.13 років тому
Mbowe akizungumzia sakata la Madiwani waliotimuliwa chadema siku ya kwanza ya kesi ya wasaliti hao na chadema...
wapambe wa madiwani waasi wa CHADEMA Arusha
Переглядів 1,2 тис.13 років тому
wapambe wa madiwani waliokuwa wanaunga mkono muafaka wa umeya Mjini Arusha siku moja kabla ya kamati kuu ya CHADEMA kuwafukuza madiwani hao. hapa walikuwa wakifunga ofisi ya Chadema mkoa wa Arusha, wakishinikiza uongozi ujiudhulu.....
CHADEMA -Mahakama kuu Arusha
Переглядів 8 тис.13 років тому
Kesi ilipokuwa inaendelea na baadaya mahakama kumwachia kwa dhamana Mh. Freeman Mbowe...
CHADEMA ARUSHA
Переглядів 29 тис.13 років тому
CHADEMA ARUSHA
Machafuko ya Arusha part I
Переглядів 190 тис.13 років тому
Tafadhali angalia Part I na Part II upate kujua kisa cha mauji yaliyofanywa na Said Mwema....
Machafuko ya Arusha Part II
Переглядів 220 тис.13 років тому
Tafadhali angalia Part I na Part II upate kujua kisa cha mauji yaliyofanywa na Said Mwema....

КОМЕНТАРІ

  • @FARUKUKATALY-c6d
    @FARUKUKATALY-c6d 19 днів тому

    Lema anasifa zakuwa kiongozi na sio gambo.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Lema kazikubwa umeshafanya kaka sitafu na wewe upunzike na pepo yako itakua juu

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Kumbe ccm hawana nguvu wanategemea pilisi

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Polisi wa kikoloni hawa

  • @RichardalfredynomboRichard
    @RichardalfredynomboRichard 3 місяці тому

    Kilasiku wananihibia pesa yangu martini na Julie na angel alfredy nombo wananihibiha hela jingi county crb bankruptcy

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому

    Mapumbavu

  • @joshuahassan1605
    @joshuahassan1605 2 роки тому

    Hakika hii ndiyo ilikuwa Arusha mjini.

  • @maliselachagavalye2176
    @maliselachagavalye2176 2 роки тому

    Police watanzania akili Hamna kabisa, ipo hivyo.

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 роки тому

    Lakini kila lenye mwanzo lina mwisho IPO siku tuu

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 роки тому

    Sio halali kabisa yaan

  • @jjm4583
    @jjm4583 4 роки тому

    Hii ndi serikal ya tanzania ya magufur

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 5 років тому

    Sasa hivi utaandamana peke yako

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 5 років тому

    Huu ni upumbavu kwa kiwango cha rami tena pumbavu kabisa je huyo meya wako yuko wapi sasa hapa hadanganyiki MTU

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 5 років тому

    Huu ni upumbavu kwa kiwango cha rami tena pumbavu kabisa je huyo meya wako yuko wapi sasa hapa hadanganyiki MTU

    • @augoustnopeter5292
      @augoustnopeter5292 8 місяців тому

      Sema na sasa Hakika damu ilo mwagika Arusha milele itawandama CCM

  • @sweetbertmlinda229
    @sweetbertmlinda229 5 років тому

    Kwa iyo unatuonyesha izo picha ili? Zilipendwa izo, so kwa ccm ii brooo

  • @juhudinzowa3938
    @juhudinzowa3938 5 років тому

    Safi sana KAMANa

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 років тому

    Katiba mpya haitafutwi barabarani ni hoja tu watanzania na c chadema nyie tafuteni katiba ya chadema tu ,,,,Kila chama ikianza kutafuta katiba mpya hapo hamna usawa ,,,,, usawa ni Kama watanzania wanataka katiba mpya na c Arusha pekee Democrasia tunaijua by definition na practice don't lie us

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 років тому

    Tushapata Uhuru 1961 tena kamili hahahaha lema bhana yupo Kama Martin Luther King ,,, sahiv tunapigania Uhuru wa kiuchumi bas ,,,,,,,, unafikiri watu wa Arusha tunapenda maandamano cyo?

  • @mamadanhelena8190
    @mamadanhelena8190 5 років тому

    Kumbe mbinu hiz n endelevu

  • @flavyhemillian1743
    @flavyhemillian1743 5 років тому

    Yan maccm ni masenge duh!!

  • @maxmbotta5734
    @maxmbotta5734 5 років тому

    Dah wallah Ipo siku

  • @elizabethkaswa8661
    @elizabethkaswa8661 5 років тому

    Polic hamjui kazi yenu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Angalia mafisadi lema mpaka sauti imegoma kuchaguriwa mea ni aheria harari

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Hizi damu za watu zinamwagwa na lema kuchochea gasia pamoja na mbowe na wwnzake chadema mbaya sana

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Lema upumbavu wako wa mwaka 2012 unanataka kuendereza mwak 2015 huo upumbavu watanzania hatutaki vurugu lema na wenzako mtaishia vibaya

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Ccm inatenda haki

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Waereze mwanasheria mkuu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Akamatwe lema aperekwe mahakamani kazi yake vurugu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому

    Uyu kijana lema mpumbavu sana anagombana na sheria kifungo kinamuhusu

  • @mozartsarahally5719
    @mozartsarahally5719 6 років тому

    Daaaaah hii ni ###tanzagiza###

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 років тому

    Hapa ni Tanzania au wapi?

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 років тому

    Vioja vya nchi hii

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 років тому

    haki zabinaadamu kaulize china

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 років тому

    piga wasenge wameshiba mtoli wanaitania selikali

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 років тому

    acha uwoga bwege ww,

  • @chassesinamba3561
    @chassesinamba3561 6 років тому

    bilamachafuko ccm itatuyumbisha

  • @redmondmulilo4852
    @redmondmulilo4852 6 років тому

    Police wanatekereza Ilana ya chama cha mapinduzi sio kufwata sheria. Iyo ndo Tanzania bhana

  • @amka7413
    @amka7413 6 років тому

    Cheki na hapa uapate kujifunza vitu vingi ua-cam.com/video/r07lb70Msls/v-deo.html

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 6 років тому

    siasa zamagufuli ndoizi

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 6 років тому

    Wana was.Israeli uriyaona mateso yao ukatoa Uhuru wako nasi twakuomba tusikie Julia kwatu amani yaenda wwpi upendo waenda wapi haki yaenda wapi mungu sikio lako so zito hata usione kwa jicho lako type.amani myoyo.yetu imegandana nasi twahitaji mkono wako upite ndipo haki za watoto wako zipatikane

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 6 років тому

    Jamani tuende wpi sisi baba was mbigu tunaomba utusikie tutazame mungu.

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 років тому

    Mlya kelele

  • @allymasenti7974
    @allymasenti7974 6 років тому

    Tangu natangu ccm haijawahi kutenda haki kokote nchini nahaya yasasa yanaishangaza dunia nzima

  • @omarkhamis6335
    @omarkhamis6335 6 років тому

    Miaka 100000000000 hatofikia maendeleo yakweli tanzania

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 років тому

    This is Tanzania bwana

  • @kajanjaahamadi7550
    @kajanjaahamadi7550 6 років тому

    apo police wali jipotezea imani na tumewajuwa walio watuma maana kwasasa munatumika kisiasa daah niaibu sana aisee

  • @boazimbwaga8771
    @boazimbwaga8771 6 років тому

    Nape n shidaaaa

  • @laborapetro5117
    @laborapetro5117 6 років тому

    Msenge huyu

  • @laborapetro5117
    @laborapetro5117 6 років тому

    Msenge huyu

  • @kisandudutu3171
    @kisandudutu3171 6 років тому

    ukigombana na mwehu utaonekana mwehu lema mwehu hata ww utakaye nichukia ni mwehu