SHUHUDIA SAFARI YA MASANJA ISRAEL SEHEMU YA KWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • SHUHUDIA SAFARI YA MASANJA ISRAEL SEHEMU YA KWANZA

КОМЕНТАРІ • 66

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 роки тому +2

    Hua napenda sana kurudia his clip nabarikiwa sana 🙏

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 роки тому +3

    Yaani jinsi unavyojua kuelezeaa mimi ndio nishafika huko kwa Imani garama yangu bado langu tuuu na ku like za kutosha sehemu ya kwanza mpakaaaaa asante kwa hiyooo

  • @estershadrack5109
    @estershadrack5109 2 роки тому

    Namuomba Mungu ipo siku na mimi mitakanyaga katika nchi takatifu israel

  • @robertmakuukabwali9488
    @robertmakuukabwali9488 3 роки тому +4

    Mungu awabariki sana,siyo raisi papa pastor hiyo ni neema kubwa sana.

  • @tuleenihome8673
    @tuleenihome8673 3 роки тому +1

    Hongera sana. Inatamanisha kwa kweli. Tutajipanga tuende tena na tena.

  • @betykaromo3230
    @betykaromo3230 3 роки тому +5

    Hongera kaka ni garama Gani kufika huko na unaweza kuichanga kwà mda gani

  • @atfgmmasanga1361
    @atfgmmasanga1361 3 роки тому +3

    Asante Mungu! Umenikumbusha miaka ya 1996 nilipokanyaga sehemu hizo kwa miguu yangu mwenyewe na kuyaona hayo unayosimulia. Hakika! Ni experience ambayo huwezi kuieleza kwa maneno ikaeleweka. Ni mtu kwenda kujionea na kuiishi hali yenyewe pale pale. Asante kwa kunipeleka huko nchi Takatifu. Ubarikiwe sana. Stella Mgaya.

  • @raheemahongeramashaallah1443
    @raheemahongeramashaallah1443 3 роки тому +1

    hongera mnyalukolo na timu yako nimejifunza kitu mubarikiwe

  • @kibikihotfilm0621
    @kibikihotfilm0621 3 роки тому +7

    Wee jamaa huwa unanifanya niwe napambana sana brother 🙏🙏🙏👏👏👏

    • @mrpasua5708
      @mrpasua5708 3 роки тому

      Frola gogo natamani sana kufika hapo majali pesa zakitazania nishilingi ngapi kaka

  • @gaudenciaredwin2154
    @gaudenciaredwin2154 3 роки тому +3

    Woow woow..great Amen my pastor

  • @charlesnassary6689
    @charlesnassary6689 3 роки тому +4

    umetisha

  • @furahinistephano2398
    @furahinistephano2398 3 роки тому +3

    Big up Pastor.
    Truely you opened my heart

  • @pendokisanga4527
    @pendokisanga4527 3 роки тому +2

    hongeraaaa

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 3 роки тому +2

    Tupia gharama mtumishi,Kuna sababu ya kufika huko tukajifunze kivitendo,

  • @jamessichimata3100
    @jamessichimata3100 3 роки тому +1

    Safi saana Mtumishi.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 роки тому +1

    Mbona hampitag katika kabur la Yesu

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 3 роки тому +4

    Gharama ikoje mchungaji? Tudondolee kidogo mtumishi tujuwe tunaanzaje kujipanga, kwa neema ya Mungu tufike uko kama Yesu atakuwa hajatutwaa.

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 роки тому +3

    Panapo majaliwa mungu nimwema nitafika

  • @neemakasawanga1259
    @neemakasawanga1259 Рік тому

    Nauli ya Tz to Israel ni shngp pastor masanja

  • @ggftgfgh4586
    @ggftgfgh4586 3 роки тому +1

    plz mtumishi Emmanuel naomba nami niende nanyi natoka kenya

  • @geraldlaurent7465
    @geraldlaurent7465 3 роки тому +4

    Nzur sana

  • @jesusmwitila2215
    @jesusmwitila2215 3 роки тому +1

    Vizuri Sana ,tutaenda

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 роки тому +1

    Umechagua njia nzr kumfuata Mungu

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 роки тому

    Bee masanja ndidov namba jasim jahoo

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +2

    Hogeraaa

  • @estershadrack4006
    @estershadrack4006 3 роки тому +2

    Mtumishi tuambie BC gharama Mimi Nina ndoto ya kwenda

  • @annanishimwe2011
    @annanishimwe2011 3 роки тому +1

    Mumekuwa namuda muzuri sana. Je mutarudi lini?

  • @gracedonald8794
    @gracedonald8794 3 роки тому +2

    Ameen, tunaomba no yako

  • @robertlyimo640
    @robertlyimo640 3 роки тому +2

    Hongera

    • @pascaljrpresenter7234
      @pascaljrpresenter7234 3 роки тому

      Rdy cnnd

    • @neys3000
      @neys3000 3 роки тому +1

      Naomba kuuliza gharama yote ina cost tshs ngapi? Unaweza weka no ya mtu anae organize kwenda kama group? Thank you

  • @edgarymgaya6248
    @edgarymgaya6248 3 роки тому

    Duu mlongo umetisha ufighile Hadi ghu israel

  • @blandinakimbe4019
    @blandinakimbe4019 3 роки тому +3

    Ukiwa na kianzio tunataman

  • @dianafyondi9048
    @dianafyondi9048 3 роки тому +1

    Jamani natamani nifike huko

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому +1

    middle east lazima,mambo ya rome na ulaya Yesu hakufika n ata alikataza wanafunzi wake wasifike kuhubiri nchi za mataifa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @aidanmpagama3332
    @aidanmpagama3332 3 роки тому +1

    Ardhi nzuri kwa chungwa, ndizi nk as tanzania some areas

  • @gaudenciaredwin2154
    @gaudenciaredwin2154 3 роки тому +1

    Soon najua caravan ya FFC tutapata neema kukanyaga Nchi ya Ahadi🙌🙌🙌🙌🙌

  • @husenimsumba8391
    @husenimsumba8391 3 роки тому +1

    WE !MASANJA NAMBIE NAULI KIASI GANI?

  • @geraldkyoma4332
    @geraldkyoma4332 3 роки тому +1

    Aende mbunguni kabisa acha Izraeli

    • @chantalvumilia9779
      @chantalvumilia9779 3 роки тому

      Munamusafirisha kwenda mbinguni mapema vipi?amefika Islael ,mbinguni bado ayifanye kazi ya Mungu kwanza .na mbinguni atafika tu .

  • @bornthagylife3802
    @bornthagylife3802 3 роки тому +1

    Unzsujufizzwizi ?? Kweliwewechungaji ecter

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 Місяць тому

    Mkienda kutali Israel 🇮🇱 mboni sehemu ya kaburi la yesu hamrusiwi kupiga picha waisrael wanaele kuwa yesu hajauwawa na kufa na wala hakuna kaburi la yesu ni uwongo mtupu wanaficha mengi

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 3 роки тому

    Street pastor

    • @herbertnziku9005
      @herbertnziku9005 3 роки тому

      Asante sana. Nilifika hiyo nchi 2017. Ni uzoefu wa ajabu

  • @albinimichael1342
    @albinimichael1342 3 роки тому

    Huyo jamaaa anamaanisha huko kuna ndizi na machungwa na maembe ambayoo yapoooooo huku afrika masanja nipo sawaaaa???

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +1

    Israel uliyotembelea haikuwepo kabla ya 1948 kimsingi umekwenda Palestine.

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  3 роки тому +2

      Basi tuseme nilienda Somalia kabisa hapo vip 😁

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 роки тому

      Hiyo unajuwa wewe sisi tunajuwa isirael

    • @margarethorgenes4874
      @margarethorgenes4874 3 роки тому

      @@Feelfreechurch Gharama Ni kiasi gani Ndugu Emma. Na kawaida unapewa siku au wiki ngapi. NISAIDIE

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 3 роки тому

      @@Feelfreechurch
      Hahahaaa nimecheka sana kaka

    • @africatravel512
      @africatravel512 3 роки тому

      @@Feelfreechurch 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @biblianenolaukweli5616
    @biblianenolaukweli5616 3 роки тому +2

    Sasa kaka yangu fundisha kwanza kuwacha kusuka nyele na kuvaa pantalon na make Cap kwasababu iyo nichukizo mbele yamungu soma kumbu kumbu latorati 22:5 na 1petro 3:3

    • @johnzacharia2308
      @johnzacharia2308 3 роки тому +1

      Ka wewe umezidi sasa, hata kuvaa kofia ni Dhambi!!! Kwani wew dhehebu Gani? Unajiongezea dhambi mwenyew kwa kujiwekea sheria ambazo hata Mungu anakushangaa,kepu wakati wa ibada haipendezi ila nje ya ibada kunashida gani

    • @biblianenolaukweli5616
      @biblianenolaukweli5616 3 роки тому +1

      Kaka john @@johnzacharia2308 angalia muzuri akuna fasi niliyandika kofia rudiliamo kusoma tena utasikiya muzuri nilisema make Cap nahana yake mapambo byaurembo angalia ata mandiko niliotowa inasemea bitu biwili God bless you thanks bro

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 роки тому +1

      Tusiangalie vitu visivyo na msingi

    • @anahna6788
      @anahna6788 3 роки тому +3

      NI MUNGU NA SIYO mungu
      Jifuze Kutandika majina ya Mungu kwa herufi kubwaa

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 роки тому

      @@michaelthobias9967 yani uyo jamaa amenukuu andiko alafu unasema halina msingi? kweli? Mungu ametoa amri alafu unakuja kusema halina msingi?

  • @kakulemughanda3938
    @kakulemughanda3938 3 роки тому

    Muchungaji wewe nimungongomani nasikiya unasema swaili yakongo

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 роки тому +1

    Muwanji kama Muwanji
    mtu ya chumala