Majibu ya Waziri kuhusu mkataba wa uwekezaji bandari

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 138

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust Рік тому

    Naomba wazir uelewe na waharir muelewe,Wananch awamkatai muwekezaji wala awakatai mafanikio katika bandari,swali je huo mkataba una masilahi katika nch yetu sio hao waarabu wakanufaike na nchi yetu.

  • @BernardKitundu-hi3jx
    @BernardKitundu-hi3jx Рік тому +4

    Nimemskiliza waziri, kuna tatizo haya mapato tri.7 kwenda Tri. 26 Kwa mkataba ulivyo ni kitendawili . DPW anaweza akaja leo kesho asikulipe kodi mpaka mwende Uingereza tumieni akili !

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 Рік тому +3

    hatuna imani tena na ninyi

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 Рік тому

    Hamna jipyaaaa

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Рік тому +4

    Wasomi wetu hawa apana, wekeni mdahalo wa wazi, sisi wananchi tuletee watu tunaowaamini ili zijibiwe hoja kwa hoja, mbona hamuelewi

  • @Ibnimohd-tr6qc
    @Ibnimohd-tr6qc Рік тому

    Ktk mawazir genius bc hkna km Prf Mbarawa !! Ww upo Sawa ao wapigaj tu ndo zogo tunapitwa na Kenyan! Dp njoon mfanye kaz !!

  • @jonasjohn3176
    @jonasjohn3176 Рік тому

    sawa subri mungu tawakomesha

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz Рік тому +1

    KAZI mnayo kwahayo majibu yenu Yana mashaka makubwa ?jichunguzeni jitafakarini !

  • @TwahaSaidiLigoola-kr1rt
    @TwahaSaidiLigoola-kr1rt Рік тому +1

    Hongera sana wazili wa dhamana mungu akubaliki

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 Рік тому +2

    Kuna wakati mnatulazimisha tuichuikie serikali na nyie viongozi, inaonekana kuna sheria dhaifu katika kuwabana watendaji wabadhirifu, unaposema bandari inajiendesha kwa hasara haileti faida sasa hao wanao sababisha hasara, mizigo haishushwi kw wakati na sababu nyingi mnazo toa hao watndaji wpo na hamchukuliani hatua mnaleana, nyie mmshindwa kuwajibika sasa mnaona ni vema mbinafishe bandari halafu nyie mbaki mabosi yani hamtaki kuumiza vichwa ili bandari ilete faida, hata hao mnaosema kampuni ya dpw nikubwa maana yake kuna watu waliumiza vichwa mpaka kufika hapo walipo, mbalawa hakuna taifa litakalo tuletea maendeleo kama sisi wenyewe hatuwajibiki ipasavyo hiyo sahau baba. Nchi inajengwa na mwenye nchi maelekezo yenu bado hayatoshelezi kwenye vichwa vyetu,

  • @charlesheswa2140
    @charlesheswa2140 Рік тому

    Mzeeee!!!!!!!!!!

  • @jacksonmagera3458
    @jacksonmagera3458 Рік тому +2

    Kusema ukweli huwezi linganisha mwanya wa bandari na viwanja na vya ndege , kama dawa za meno za ushoga zilipita hapohapo sasa kwanini tusiwe na shaka na usalama wetu

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 Рік тому

    Mmmmmmmh wao faida yao wanapataje wamekuja kutusaidia au ukweli mache kwanza mtapotea

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt Рік тому +1

    Mungetujua jinsi sasa tunavyo wadharau wananchi, musingehangaika na upuuzi wa kusimama hadharani kutuletea uwongo wenu. Wewe Absolom Kibanda tulikuamini mwanzoni lakini sasa unaongoza jopo la Wapumbavu kutulaghai. Mbarawa nyamaza hatukuelewi.

    • @AW-vt9pw
      @AW-vt9pw Рік тому

      Sasa ikiwa mwenyekiti wao anaunga mkono mashoga hapo unategemea kuna chama? Hao Chadema ni chama cha wahuni wanawatukana viongozi wakubwa wa nchi hata Rais hawaoni tabu kumtukana kwanza Serikali isiwanyamazie clips zao zipo za ushahidi walipowatukana Rais na mawaziri wake. Sheria ichukue mkondo haraka iwezekanavyo kama walivyochukuliwa watu wa uwamsho kufungwa miaka 9 na wao wahukumie miaka 30

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Рік тому +1

    Ndio maana jpm aliwatumbua viongozi mara Kwa mara

  • @issamatola8171
    @issamatola8171 Рік тому +1

    mie nimefanya kazi miaka 20 Dubai DP ipo lakini makataba unamakosa dubai sio nchi dubai ni mkoa.kama makataba wangeingia na UAE sio dubai mambo yote ya kitaifa nchi na nchi ingekua tanzania na UAE sio tanzania na dubai

    • @jexpew3654
      @jexpew3654 Рік тому

      Walisaini dili ila limevuja

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Рік тому

      aibu hii yani watu hawajui Dubai ni mkoa

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 Рік тому

    Jamanu sikilizeni waziri mjinga mbarawa hajawahi tokea tangu nchi ìumbwe

  • @NassoroKulondwa
    @NassoroKulondwa Рік тому

    Mimi SI mtaalamu sana wa Sheria lakini nachohofia inawezekana wanaopinga SERIKALI wakawa sawa au SERIKALI ikawa sawa kwa sababu jambo linaloshikiliwa na kuzungumziwa na wanasiasa MUDA mwingine Huwa kama fumbo kwa tusio na uelewa maana watu wanaweza kutetea masilahi Yao binafsi yaliyo nyuma ya pazia kwa kujifanya wanauchungu na bandari kumbe wanapotosha kwa manufaa Yao mungu ilinde nchi yetu na udumishe amani yetu

    • @amanikessy
      @amanikessy Рік тому

      😊😢😮😢😮😮😮😮😢
      😮.😮😮
      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. N

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 Рік тому +2

    Tatizo hatuwaamini tena,

  • @BennRich
    @BennRich Рік тому +1

    Yan nyinyi umri umeenda mnataka na sisi tuwe chin ya hao tena hasa Tanganyika hatutaki huo mkataba

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 Рік тому

    Wahalili

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Рік тому +5

    Sasa kama makubaliano yanaitwa mkataba mama,nao hauzungumzii kuwa tukikubaliana tutakua na 1,2,3?. Kwani hawa wasomi woote wa sheria na uzoefu wa mikataba wanaofafanua mkataba(makubaliano)haya kwa undani wote wanaweza kuwa na ubaya gani na serikali?!,ama wamehongwa nanani,kiasi gani kuipinga serikali?!Je,ni kwanini mkataba huu umevuja na sio serikali imeuleta kuujadili hadharani?! Nini kilikua kinafichwa kama mkataba uko vizuri?! Basi kabla ya kuingia hiyo mikataba midogo yenye muda,kuna ugumu gani kuweka kipindi wazi yajadiliwe redioni na tv zote kwanza na wasomi wote bila kujali itikadi badala ya kutuaminisha tuuuu?!

    • @Bikhafija
      @Bikhafija Рік тому

      Sasa mbona.mnsama.mkataba ukibanwa.mnasema makubalin

  • @zakariakashiri7082
    @zakariakashiri7082 Рік тому +1

    Haya ni marudio

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 Рік тому

    Huyu mbalawa Ni mhaini kwa ajiri ya inchi ya Tanzania pamoja na waziri wa Mambo ya ndani ameliingiza taifa kwa ushabiki usiofaa kwakunyazisha watanganyika.

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw Рік тому +1

    Sasa tuone katika mikutano yao chadema watawaongopea nini wananchi ukweli wote ushasemwa.
    Sera zao ni mbovu na hawana shukurani na wakileta vurugu dawa yao ni kurushiwa maji moto kama wanavyofanyiwa wapinzani wa Kenya

    • @JoshuaLeonard-s3y
      @JoshuaLeonard-s3y Рік тому

      Hii nchi inaenda kumwaga damu haijatokea mtawaua kwanza maaskofu ndo mtuue na waumin hatukubali

    • @f.a6043
      @f.a6043 Рік тому

      Acha kujiongope ww mwenyewe MSEMA KWELI NI MUNGU PEKE YAKE
      hapo ni siasa na maslahi yao achakutuzuga wao ni binadam kama wengine sio Malaika ni binadam tu kama walivuo binadam wengine
      wala sio boa kuliko mtoto anaezaliwa leo maana watu wote tuko sawa kwahio mm nawasikiliza lkn siweze kuwaamini ati kwasababu tu ni wawakilishi wa serikali
      I trust no body except GOD HIMSELF
      Eti sababu yao ya msingi ni utendaji au ufanisi finyu ktk bandari hio si aibu kubwa uvivu mkubwa
      tunayo nguvu kazi ya vijana wetu wapewefursa wasomeshwe nje serikali inayo uwezo km madkatari nawataalam wengine kwani hilo ni tatizo lililo anza leo
      Limeanza mika mingi sio sababu ya msingi ni aibu kubwa tunaonekana vichwa vya wendawazimu😮😮😮

  • @ipyanapaulo4774
    @ipyanapaulo4774 Рік тому

    Hawa wasomi ndiyo wanao ifanya nchi hii kuwa masikini sana ivi kwanini nani alie waloga sasa kama mnajua hayo kwanini huwa hamuweki mikataba hiyo. Mpaka lisu awakulupue huko vichakani. Duh

  • @leonardZacharia-jg8no
    @leonardZacharia-jg8no Рік тому

    Fanyeni tulio waagiza kwenye majibo yetu ili tuwaamini tena kubukeni mumetupa sekodar za Kata wenyewe hivyo munaongoza taifa LA waelewa Muno jitahidini kuzisisikia sauti hizi zinazo wasubilia kuwapigia Kula Pokeeni Maoni yeti.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Рік тому +2

    Busara ni kuja na kilicho andikwa kisha kukichambua neno kwa neno hizi ni ngonjera

  • @dottozakayo2903
    @dottozakayo2903 Рік тому

    Hata hatuelewi kabisa mkataba huo sio wa kweli tutamkumbuka sana magufuri hawa watu sio bule kuna kitu kwa nn wanahangaikia sana mkataba huo wakati wananchi hatuuamini?

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому

    Hatupingi mikataba. Sisi tunauliza masharti ya huo mkataba na Tz inafaidika vipi??? Wewe unatuambia namna waarabu watavyofaidika . Acha usenge. Watanzania wengi sio mazwazwa. Magufuli katufungua macho.

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 Рік тому

    Hiyomambo yakibiashara wengiwetu hatujui jinsi ya nchizinapoleta wawekezaji mbona hapa south Africa wawekezaji niwengi,kinachotakiwa ni nchiyetu kuwalindawafanyakazi wazawa.

  • @davidjoachim2398
    @davidjoachim2398 Рік тому

    Nyinyi wahariri wa vyombo habari sijui mkoje mnakera, mnahoji upande mmoja ili iweje sasa, oneni aibu basi hata jambo ndogo lakubalance stori mnashindwa.

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Рік тому

    Hizi ni porojo,kwenye trc,atcl,tanesco,migodi na mengineyo si ni hayohayo mliyafanya nchi ikaingia majangani

  • @judithmwamukinga4448
    @judithmwamukinga4448 Рік тому +1

    Hatutaki kwani lazima

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 Рік тому

    Yan hamuaminki kabsaaa mana mlpachikwa kama kupachikwa na maguful na wala hamka chaguliw na sisi wana nchi hatutaki kutusomea uwezo wa meli tunataka mkataba uwewaz una isha lini na kwashingapi kama awali ilvokua.

  • @hassankhalid2465
    @hassankhalid2465 Рік тому

    Achaneni na wanasheria uchwara hawajui sheria za kimataifa wslishaziwea kushindwa kesi mahakama za mwanzo

  • @dismasngowi6285
    @dismasngowi6285 Рік тому

    Someni mkataba

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Рік тому

    Rudi kwenu Zanzibar wewe Mbarawa, unauza, mumehongwa big time nynyi wapumbafu

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Hatutaki majibu! Acha ujinga! Dubai ni selikali mpuz

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому

    Huyo mbawala akuuze bandari za kwao,,wewe acha kupiga mkwara watu, Samia si mfalme,

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw Рік тому +1

    Hawa chadema chuki yao ni kwanini apewe mwarabu awekeze wakati zipo Nchi za kizungu? Lakini Serikali haijali kabila bali inajali masilahi na ubora wa service zao. DPW wapo nchi 69 yaani hizo nchi zoooote hazina akili ila chadema tu ndio wenye akili😅 kama hawapendezwi na wasage chupa na viwembe wale 😊

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Рік тому

      kwanini tusiwapatie Tanesco

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      unapocommenti ujinga utuwezi kukuacha wewe kicha warabu walifukuzwa hapa nchini

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      akuna cha manufa wewe acha kutupigia kelele wewe manufa umesha yapata wewe. kwa kuongwa dolla laki mmoja

    • @ramakira7895
      @ramakira7895 Рік тому

      Na ww mjinga sana hapa sio chadema wala ccm hili ni swala la nchi👌

  • @BennRich
    @BennRich Рік тому +1

    Hamna akili hamuwezi mkawapa Tanganyika zima wao wakina nani maana mkataba hauna kikomo hatutaki kuwa watumwa wa warabu milele mzee erewa hilo

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz Рік тому

    Kwa mfano mikataba midogo ikiwa na matatizo mkasimamisha !pesa itakua hapati !Sasa mkataba unasemekana Tanzania itavunjaje wakati yeye Hana uwezo wa kuvunja mkataba Sasa atavunjaje ?wakati ukivunja unamripa mtajina faida yote ambayo angepata Sasa itakuaje mkivunjaitakuaje?

  • @hafidhisaidi6550
    @hafidhisaidi6550 Рік тому +1

    Halafu huyu mwenyekiti wa jukwaa La wahalili nae anaonekana chawa

    • @davidjoachim2398
      @davidjoachim2398 Рік тому

      Hana akili mara ya pili wanahoji upande mmoja

    • @shadrackdamson7904
      @shadrackdamson7904 Рік тому

      @@davidjoachim2398 mzee kwajili hapana kilakitu wawe wanatufanyiatu sisi kazi kazi kulala kweli mbalawa daa..

  • @paschalmasha4055
    @paschalmasha4055 Рік тому

    Roboti na technology ndivyo vinavyo wahisha kazi kwann Tena mnazuia Tena roboti kwa ajili ya kulinda Ajira za watanzania ,tz uhuni mwingi pigeni noti MUNGU YUPO

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 Рік тому

    Waziri unaongea yaleyale ila kwa hisia tu kwasababu hayajaandikwa kwenye mkataba, na kitu ambacho hakijaandikwa huwezi ukajiamisha kuwa kitakuwa kama unavyokifikiria ww maana hujajua na mwenzako anafikiriaje,..kingine huyu aliyeenda kufanya mazungumzo bado anapungukiwa uzoefu na exposure ktk maswala ya kimikataba, rais alitwambia Kabudi ndo atakuwa baba wa mikataba akimaanisha atakuwa na jopo la watu wataalam kabla ya kusaini mikataba yoyote ila ktk hii sina uhakika kama alihusishwa, kingine ni kuhusu sheria za maliasili, unapotwambia huyu atakuwa anahusika na makontena tu inamaana atakuwa anafanyia kazi kwenye ardhi ya wapi? Au katka ardhi hiyohiyo kuna mwingine anaweza kuja kufanyiapo biashara bila kuwahusisha wao? tena kwa muda usiokuwa na kikomo maana kwa mujibu wa vifungu vya mkataba, huu mkataba hauvunjiki kwasababu yoyote ile hali inayopelekea kuonekana ni wa milele na kwa kutumia rasimali zetu ambazo tayari wamekuta tuko nazo ambazo tayari zishakuwa kama maliasili yetu?kwa ufupi mkataba huu umeshauza uhuru wetu, na niongeze kwa kusema, kwenye maisha ukiwaza faida pasipokuwaza kama huwa kuna hasara nakuchukua tahadhari unajikuta umepigwa maana tambua unayemwendea nae ana akili tena kubwa kuliko yako kibiashara na kiuzoefu. Sasa hawa watu wetu kwa ufupi walijinyenyekeza sana kwa huyu DPW na ndo maana baadhi ya masharti ni ya kuuza uhuru wetu

  • @icesue6613
    @icesue6613 Рік тому

    Umesema dp world itafungua kampuni Tz. Na 35% watapewa wazawa .,,,,au nimesikia vibaya ? Tafsiri yake ni nini ? Kwa hiyo serikali haipo tena ?

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    DPTW wad ni taifa ad mkataba wake uingizwe bungeni kuupa nguv ya kimataifa??

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 Рік тому

    Wewe mkulugenzi wa bandali pia ni mtalam wa mikataba.

  • @ExavelMapunda
    @ExavelMapunda Рік тому

    Shwali Dp akifungua kesi mh ya kimataifa atatumia mkataba Mama au mikataba midogo midogo?

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t Рік тому

    Nzi kung'ang'aniakwenyekidonda hutafutanini? Wakati mwilisiwakwake:,,.hiyo inafahamika.

  • @denisjoel1592
    @denisjoel1592 Рік тому

    Hawa ni mashetan mbn mnalazinisha mambo nyie ,fanyen yote lkn asilimal watu wamekataa jaman kuna nn mnatumia nguv nying kufoc hatutak shetan nyie,hamuelew nn nyie ccm nyie vip

  • @anaelnanyaro3634
    @anaelnanyaro3634 Рік тому

    Hivi hao wanaopinga wanasheria kwann huwa hamuwaliki hapo mkiwaita wandishi mujibu maswali yao muafaja ujulikane? Mnaita watu wasikilizaji wasiokuwa na uelewa mpana

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 Рік тому

    Mitambo itakayosimikwa na DP World itasomana na mifumo ya serikali.. muda huo sisi hatuna teknologia ya kutosha kuweza kuendesha bandari yetu kwa ufanisi..

  • @MAONYOTVTANZANIA
    @MAONYOTVTANZANIA Рік тому

    Mwongo mkubwa ,wahariri mmehongwa ,achani kutuona watoto

  • @hassankhalid2465
    @hassankhalid2465 Рік тому +1

    Mmechelewa kumaliza majadiliano tunahitaji ufanisi uanze haraka tunatabika bandarin

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Mimi binafisi mzee mbarawa niseme neno mmoja kwako tu ndugu yangu Mimi ni mtumishi wa mungu tama na ulafi vimekufanya ungie kwenye mtego wa shetani sasa mzee mtu mzima miaka uliyopewa na mungu anakaribia kukatika wakati huu wenge takiwa utengeneze njia yako ya kwenda mbinguni umejitengenezea njia ya kwenda mottoni.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      muogope mungu wewe mzee acha tama za kishamba jitafakari mzee acha kuingia kwenye laana sasa unakosa elimu sasa Dubai ni nchi

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Kwann mmekujja kujadili baada ya mkataba kuvuja mlikuwa mmeufichia nn?

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому +1

    Why not zanzibar?

  • @f.a6043
    @f.a6043 Рік тому

    Hayo unayoonge yameandikwa kwenye mkataba au nimboyoyo zetu

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 Рік тому

    Hovyoooooo

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Magu aliwambia hamna akili sijui nani aliye waloga mjinga !unazaj mali za nch kwa mda usio julikana et kwa kuwa umepewa rusgwa! Bora ufe tu mpuz mtup

  • @TanuSonga
    @TanuSonga Рік тому

    Shida nimoja na niliyoina Kwa serikali yetu haijui kwenda na wakati . wanapinga wanafafanua kifungu Kwa kifungu .pia kama mbalawa na jop lake wanatuamisha watanganyika mkataba ni mzurir mbona hawataki mahakama itoe tafasili ya huo mkataba huko mbeya.kama watanganyika hawataki simuache viongozi hamuwajui watanganyika Bora akose maendeleo lakini Aishi Kwa uhuru na amani TU.hata kama analala na njaa.

    • @HassanKangwa-sz4gn
      @HassanKangwa-sz4gn Рік тому

      Wabunge walisema Amna wafanyajazi ni mitambo tu Asa wewe unatuambia watanzania wengi watapata ajira so tumuelewe nani

  • @RehemaIbrahimu-t3b
    @RehemaIbrahimu-t3b Рік тому +1

    Hayo ni maneno ya nani? Na yameandikwa wapi hayo ktk mkataba?

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 Рік тому

    Amekuja kusoma kalatasi au amekuja kusema anacho kuelewa, amewaandalia maandishi. Hizo ndio P.H.D za kufoji.

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw Рік тому

    Chadema ni chama cha Udini kinachoendeshwa na maaskofu,
    Kwani wazungu wana sifa gani kama sio kuletewa IGPT wao kwao ni Ruhusa hata wanafungishwa ndoa katika nyumba zao za ibada.
    Viongozi kuwachagua Dubai sio wamebahaisha wameona mbali. Kwanza Dubai ni nchi tajiri imejitosheleza kwa kila kitu hawana fikra ya kuwazulumu nchi zinazoendelea.

  • @paschalmasha4055
    @paschalmasha4055 Рік тому

    Tunataka mdahalo Naina ya pande mbili

  • @stevenmarunda4353
    @stevenmarunda4353 Рік тому

    Mnarudia yaleyale amna jpya kawadanganyen mnao wapaga kofia na tshat peke yao

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Acha brabra soma huo mkataba ulio sain unasema hayo unayo tuongopea?

  • @RehemaIbrahimu-t3b
    @RehemaIbrahimu-t3b Рік тому

    Tufafanulien mkataba na si lisala hizo hakuna yaliyoandikwa ktk mkataba unaopigiwa kelele

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 Рік тому

    Unayotueleza inaonyeiha wazi hiyo nafasi haikutoshi ndo maana alikufukuza umerudishwa sijui kwa nini najua uwezo wa rais wetu ni mdogo mno kutokana na elimu yake ndogo aliyonayo sijui alifikaje hapo ngekewa tuuuuuuuuuuuuu

    • @RugemaliraRenatus-rf6yv
      @RugemaliraRenatus-rf6yv Рік тому

      Tusianngalie Sana faida ambazo hazionekani illa tuangalie saana hasara ambazo hazijaonekana kwa sasa (unafunga ndoa ya kikristo ) kwakuzani .Eti itakuwa mteremko ,hiyo sahau.Wafikilie wajukuu wako ,ambao hawaoni ,Bora yako wewe upo unaishi kwa sababu ya mteremko tulio wekewa na wa asisi wetu ambao wametangulia mbele za haki wakiwa wana jidai na kufurahi kuwa waliacha utu ,umoja ,mshikamano ,nakujaliana ,kwasababu,hata,wasio wajua wameendelea kufurahia tunu zao.

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 Рік тому

    Muwe munafanya mijadala KWA kuzingatia udhaifu wa mkataba si kuleta propaganda. Achen kutupotosha.

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 Рік тому

    Tz mtaweza lini kuendesha bandari kwakutumia wtz? Unafahamu Dp ni makampuny ya mabeberu na sheria za uk zipo kulinda maslahi yao? Unazungumza kodi tu mgawo wa faida? Nchi yetu haiwezi shinda makama za mabeberu. Tunawasomi na wanahabari mnatamani ya mabeberu lakini hamjadili na kupanga mbinu tunakwama wapi na tufanyeje sisi wtz tuweze wenyewe badala yake tunapangisha mali zetu kwa mabeberu wtz wawewafanyakazi wa mpangaji unajinasibu kuwa nchi itapata kodi na ufanisi,hapo tunajidanganya nchi zilizoendelea zinatumia watu wake kuendeleza rasilimali zake sio wawekezaji

  • @erickpique2437
    @erickpique2437 Рік тому

    Hayo si tumeambiwa hayapo kwenye ule mkataba,afu mbalawa mbona kama unaongea kwa kutetemeka

  • @HassanKangwa-sz4gn
    @HassanKangwa-sz4gn Рік тому

    Ayo mafanikio saw je mkataba wa mda gani

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt Рік тому

    Unasema Bunge letu tukufu? liwapi hilo binge.tukufu? kupiga.makofi na kusema hilo lipitee! huna aibu. kama muda wa kuondoa mizigo ndio sababu, ninani aliowaajiri hao ngumbaru? Acha uwongo wizi na kufichiana dhambi nyie wakubwa hasa viongozi wa CCM ndio sababu.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Рік тому

    Mbarawa jizi ty

  • @geofreymollel4246
    @geofreymollel4246 Рік тому

    Wacheni ukora coz mnaelewa mkataba ni mbovu hta haifai

  • @kamongosanga71
    @kamongosanga71 Рік тому

    Msiwe mnatuchanganya atukataiukezaji shida nimda gani nyie mkula ela ata uongeaji wenu waibu

  • @neveledickson3323
    @neveledickson3323 Рік тому

    Kaka ishu sio ulinz ishu nimkataba kaka msituchanganye aje DP world ila sio kwa huu mkataba mbona mnakwepa

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 Рік тому

    Muongoooo huyu mzomeeni

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 Рік тому

    Wana nchi 2025 tuwaondoe hawa watatuletea matatizo

  • @JohMarwa-z8s
    @JohMarwa-z8s Рік тому

    Si mtoe mda wa uwekezeje maneno mengi na kualibu pesa tupe mda mkataba kuisha basi

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw Рік тому

    ilichokosea Serikali ni kuichagua DPW wakati zipo kampuni zingine kutoka Ufaransa na Denmark, kama wangefanya hivyo mambo yangekua swari kabisa.

    • @jexpew3654
      @jexpew3654 Рік тому

      No hawajakosea ila walifanya usiri. Na ndo maana mkataba ulipovuja ndo umeumbua Madudu mengi na hapo hapo ni kinyume na tenda za serikali ambapo ilibidi watoe tangazo halafu makampuni yangetoa ofa zao. Sasa hapo moja kwa moja mkataba ulivyo ilikuwa ni dili la watu wa cha che

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Makubaliano nimkataba we boya? Yan mmekuwa wez ad shetan amewashiba

  • @johnmambohussein7868
    @johnmambohussein7868 Рік тому

    WANDISHI WAMEPANGWA HAO
    HAKUNA MASWALI HAPO
    UTAPELI MKUBWA KABISA

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Shida siyo kumpa! Shida mkataba ulio sain unamanagan kwa nchi? We boya kweli hiv ww umesoma? Bora ufe wenye akil wachukue nafasi man hna akili

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 Рік тому

    Asali kwa mwenyekit

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Tenda ilitangazwa wap !hizo hella ulizokula rudisha we mjinga

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Soma mkataba mlio kuwq mmeficha unasema huo uongo unaotuongopea? Mbona mnadharau wanainch wa nchi hii kias hiki mnatufanya wajinga !mnafanya upuzii! Dp word nitaifa? Anamamlaka gan yakuwa na mkatba wakimataifa wakati yeye soyotaifa? Kwann hoja zijw baada ya kufichua mkataba kwann muliufiicha??

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 Рік тому

    Nenda Mbeya sasa ukaisaidie mahakama 🤷‍♂️😏😏😏

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 Рік тому

    Mnadanganya nani wakati mnajua miliki wa kampuni hiyo feki ni rostarm aziz

  • @anaelnanyaro3634
    @anaelnanyaro3634 Рік тому

    No za sim za mwabukusi, shivji, tundu lisu hamna?

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Рік тому

    Kwa nn wasiitwe pande mbili, ukaiitwa mjadala?

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Tusomee huo mkataba ulio sain unasemaj

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 Рік тому

    Mmehongwa hela !wajinga mnabinafsisha mali za tanganyik kwa wahuni ww ujihudhuz mjinga

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 Рік тому

    Wote makaburu nyie

  • @MAONYOTVTANZANIA
    @MAONYOTVTANZANIA Рік тому

    Husemi kitu chichote wewe , unadanganya watanganyika tu

  • @eliapendakileo5151
    @eliapendakileo5151 Рік тому

    Tusikubali huu uhuni. Maelzo yao ni ya kushawishi tuu. Mkataba ni wa hovyo

  • @hafidhisaidi6550
    @hafidhisaidi6550 Рік тому

    Hill bunge usiliite tukufu mbalawa acha kutuzingua

  • @jacksonmagera3458
    @jacksonmagera3458 Рік тому

    Sasa kama Kuna mikataba ya kibiashara, huo uliopitishwa bungeni ni nini