WAZIRI MKUU ATOA TAMKO SAKATA LA BANDARI, MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU UKOMO WA MKATABA NA DUBAI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 61

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому +5

    Wewe waziri mkuu nilikuwa nakuelewa Sana kipindi cha JPM,ila Sasa ushatekwa na genge la mafisadi RIP JPM

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Рік тому

      unamwelewa ulitekwa pasipo tafiti unaamini watu kirahisi hivyo

    • @mhangagmail.com.Evdanielkibaig
      @mhangagmail.com.Evdanielkibaig Рік тому

      Kabisa hata Mimi nilikuwa namuelewa sana ila Sasa hivi ni kituko tu anaendeshwa

  • @WilsonM.Gillagu
    @WilsonM.Gillagu Рік тому +3

    Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mhe Waziri Mkuu. Sikuku ya washuja wa vita vya kagera, kila tarehe 25 Julay kila mwaka inasherekewa, lakini walioshiriki vita vya kagera hawashirikishwi.
    Pia veterani wa vita hiyo, wametelekezwa na serikali. Hii inatakana na kutokuwepo sera ambao inamlinda wapiganaji walioshiriki vita ile.
    Mfano kuna wapiganaji ambao walipata ulemavu wa kudumu, kutokana na kutokuwa kutokuwepo sera. Inayohusu walemavu wa vita. Hivyo basi,
    hakuna huduma ambazo zitolewa na serikali. Mfano, matibabu, makazi pa kuishi, kusoma kwa watoto wao.
    Hivyo watoto wa hao veterani, wamekuwa ni walemavu kuliko baba zao kutokana na kukosa elimu kwa kareni hii, 21 wa teknolojia.
    Mlemavu Veterani wa vita vya kagera.

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 Рік тому +5

    Tatizo siyo uwezo wa DP, tatizo ni hayo makubaliano. Ni makubaliano yatakayo zaa mkataba wa KITUMWA.

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому +3

    Hatuna imani na ninyi kabisa baada ya kuuza nchi

  • @chezariboy
    @chezariboy Рік тому +2

    Bora kumpa tenda paul kagame awekeze bandari kwa mkataba wa miaka 30 ni rahisi kumdhibiti kama ataleta tamaduni za hovyo kuliko miarabu ya dubai ambayo haitaajiri wabongo wenzetu kwa utaratibu mzur, watakuja kutuunguza taifa tu.

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому +1

    mbona mnalazimisha kuwapahao? Hiobandar nimali ya bunge? Au nimali ya watanzania wote. Mbona wana inchi tumekataa?

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Рік тому

    Miaka60 yauhulu bado tunashindwa kubolesha bandali yetu wenyewe hii inaonyesha nijinsigani chama chaccm kilivoshindwa kuendesha inchi

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Рік тому +2

    Minaona mnachelewa tu anzeni utekelezaji wapeni haraka tuone matokeo miwarabu nawapenda mbo kuliko wazungu,hawapendi dhuruma,rushwa na wanahuruma watanzania wenxangu tutulieni

  • @JohnMatogolo
    @JohnMatogolo Рік тому

    Hatagesi.yamtwala.mulisema.hivohivo.MLI po ga wan am teams.mbonamikopo.kilasiku.tumechoks

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 Рік тому +1

    kwenye ajali umedanganya acheni uongo nyie viongoz wa awam ya 6 ajali kilasiku mnasema yameisha kabsa uongo huo

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 Рік тому

    Watanganyika......!!! Yaan kwa mfano tu raisi aamue ao jamaa waje bandar za zanzibar.... Basi pia watapuga kell wawekzaj kapleka kwao

  • @mclee493
    @mclee493 Рік тому

    Hapo sawa ukom wa mkataba na tunanufaik ipi kwa nchi yetu je ni rfk kwet n kitu cha msing kuliko mabadirik ya harak yanayoitajik..maendeleo n gradual change sio rapid process ukilazimish lazm upate athar kwa kuruk hatua n vzr ukomo wa mkataba..athar na faida zitajwe ili tupime

  • @JohnMatogolo
    @JohnMatogolo Рік тому

    Somanyakati

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 Рік тому

    Mnaongelea ufanisi wa bandari sisi wananchi tunataka kujua ukomo wa mkataba mliowapa waarabu wa dubai, pia je mkataba unasema mmewapa bandari zote na maziwa yote. Please mnatumia nguvu kuwaaminisha watu kuhusu ufanisi wa DP World lakini hamuongei kuhusu mkataba mbovu.

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 Рік тому

    Washatuuuza hawa, sasa ngumu kujitoa kwenye mkataba huo wa kinyonyaji.

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 Рік тому

    Unaweza kuja na sera ya kuuza Inchi ukaitetea macho makavu wewe, hivi kweli hauoni haya kwenye hili Mkataba au Makubaliano ambayo yaliendelea bunge haukutoa ufafanuzi wala hausemi faida tutakazo zipata ili kama hatuta zipata tuifukuze kampuni yenyewe? Pili kwenye Mkataba mama mbona umesemea sheria za mapato ya Tanzania yatumike ile ukomo wa ukezaji hakuna inamaana walisahau

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Рік тому +1

    Mkataba wa dp unakakasi sana rudini mezan tena

    • @akimu-gl7zp
      @akimu-gl7zp Рік тому

      Hakuna vya kuludi mezani hatuwatak waondoke. Wakawekeze kwingine

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому

    Yaani kwa hilo la bandari mmetuumiza watanzania bunge la ccm

  • @universaldesign4295
    @universaldesign4295 Рік тому

    Viongozi Tz wanatujibu kama Madalali vile wa rasilimali za taifa.

  • @samwelbrandan3724
    @samwelbrandan3724 Рік тому +1

    MAGUFULI ALITUFUNDISHA TUKAELEWA KWAHIYO NYIE KWA SASA MJIPANGE SANA

  • @yakubuipariro6392
    @yakubuipariro6392 Рік тому

    Ccm imesinyaa .chachema iyeeeeeee

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 Рік тому

    Waziri mkuu bado hajaweka wazi Suala laMkataba wa Bandari hapo anatupiga danadana asifikiri hatumwelewi. SHIDA YA VIONGOZI WANAOTEULIWA NI KUWANYENYEKEA WALIO WALIOWATEUA BILA KUJALI MASILAHI YA UMMA.

  • @salimalharrasi3943
    @salimalharrasi3943 Рік тому

    LAZIMA USEME KWA CHAMA CHA MAPINZUZI SIKUSEMA ILIOFANYWA NA SERIKALI..

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 Рік тому

    Watanzania hatutaki kwa nini hamtuelewi?

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd Рік тому

    Mh waziri mkuu mbona nyie wasomi mnafanya mambo ya ambayo hata mtoto wa darsa la 7 akisomewa mwongozo wa mkataba huo anakataa Leo nyie wasomi amjui mnaaribu nchi

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Рік тому

    Acheni kulazimisha kitu ambacho sisi watanzania waliowengi hatutaki

  • @ABDULYAQUBKABANO
    @ABDULYAQUBKABANO Рік тому +1

    Pigeni kazi mi namkubali mama samia ila kuna mijana cjui inatumia ulev mpaka hadi akili zao zimepagawa ina fikiri kila mwarb ni muislam ,ina udini balaa, kila kitu mpka matusi, fanya kazi wa ipasuke

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому

    Jambo lidadiliwe na wanasheria amani bila haki au vile ninyi hamjui njaa

  • @sabrinafadhil8835
    @sabrinafadhil8835 Рік тому

    Tumeuzwa

  • @kilutilekituyanuya8504
    @kilutilekituyanuya8504 Рік тому

    Shida ni muda cyo kuwekeza

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Рік тому

    Pigeni majaaliwa na mama tunataka DP world by tomorrow wacha wapasuke wadini na wabaguzi wa ukanda 😅😅😅

    • @akimu-gl7zp
      @akimu-gl7zp Рік тому

      Hatutak viarabu vinahistoriambaya kwenye inchi hii. Viliwatoboa babuzetu miguu.

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому +3

    Mbona mnang’ang’ania kuwapa waarabu? Hivi hakuna wawekezaji wengine? Kwa nini watanzania wasijifunze kuendesha bandari zetu? Nyie watanzania vilaza kweli kweli. Akili zenu kama za kondoo. Mnaendeshwa tu kama malaya wenye tamaa ya pesa.!! Shenzi type.!

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Рік тому +2

      Mbona na wewe unakazana wasipewe unataka apewe nani na kwa nini??

    • @EllyBunzali
      @EllyBunzali Рік тому +1

      Tatizo warabu mkataba wao ni mbovu na masharti yao ni ya hovyo ndo maana hawatakiwi.

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Рік тому

      @@EllyBunzali tuoneshe wenye mikataba miziri na masharti yenye maana sio kufuata tu mkumbo

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Рік тому +1

      Wagalatia hawana pesa hii dunia na waarabu ndio wanazo ndio maana wamenunua mpaka Airport za ulaya zote na timu kubwa za mipira na mabenki 😇😇😇wagalatia wao wana wivu hawapendi maendeleo

    • @chomasongidion6047
      @chomasongidion6047 Рік тому +1

      Warabu unawachukia wewe tu sie tumezaa nao wacha wapewe hii ndio wakati wao,mnakerwa au imetokaa hiyooo

  • @ghuhenjasper8666
    @ghuhenjasper8666 Рік тому

    HUKU WANACHI WANAENDELEA KUULALAMIKIA HUO MKATABA KWAMBA HAWANA IMANI NAO, KWANINI NI KAMA VILE SEREKALI INAFANYA KUWALAZIMISHA WANANCHI KUUKUBALI HUO MKATABA??? UKWELI NI KWAMBA WANANCHI WALIO WENGI HAWAUAMINI HUO MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DP WORLD

  • @BrunoLupande
    @BrunoLupande Рік тому

    Ila behind the seen ____????

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому

    Mkataba mliosaini bandari imeuzwa

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому

    hatutak wawekezaj wakiarabu

  • @centerboysfc9359
    @centerboysfc9359 Рік тому

    Mamb

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Рік тому

    Aibuu kubwa

  • @ABDULYAQUBKABANO
    @ABDULYAQUBKABANO Рік тому

    Sw

  • @kilutilekituyanuya8504
    @kilutilekituyanuya8504 Рік тому

    Shida ni muda cyo kuwekeza