TAHARUKI MBARALI: WANAWAKE WAVULIWA NGUO ZOTE, WACHOMWA NA MAPANGA YA MOTO, WAZIRI MKUU ATOA TAMKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +3

    Na wanazofanya hivyo ni watanzania wenzetu hao game Scout wamekuwa watumwa wa mwekezaji wa Tanapa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Рік тому +2

    Waziri Mkuu na Spika wa Bungeni viongozi wazuri kweli, lazima tuwajali wananchi wetu! Hizi sheria zetu za kurithi kutoka kwa wakolini wakati mwingine zinatuweka njia panda ya kugombana na wananchi.

  • @pepenelimited2627
    @pepenelimited2627 Рік тому

    Ahsante Mh Mbunge Mtega

  • @venustomsombe9708
    @venustomsombe9708 Рік тому +2

    R. I. P Magufuli😭

  • @isayakilumile1816
    @isayakilumile1816 Рік тому

    Inaumaah xna😢

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Hiyo Tanapa ni kina nani?? Maana sehemu zote zinazopakana na wanakijiji Tanapa mtihani nakumbuka hata kule kwetu mkowa wa pwani kule Saadan na Bwagamoyo Huwa kunatokea mara kwa mara mara watuzibie njiya mtu unawahi msibani ukifika pale kwenye kizuizi Cha Tanapa ni mtihani kwa kweli.

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 Рік тому +1

    Waziri muhusika awajibike tu. RIP JPM baba

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Piga makofi kwa Mbunge Esta matiku kuwa yanasemwa lakini utekelezaji haupo Sasa kama waziri mkuu hawamsikilizi.hao waliokuwa chini yake nani Atasikilizwa?? Na Kuna faida gani ya kuweka mkuu??

  • @LoxloxJuma
    @LoxloxJuma Рік тому +1

    Tanapa wabaya Sana sijui hawazaliwa nawazazi wakitanzania au wanatoka nchi za nje mn hawana hata uruma sijui wanaishi nchi gani

    • @victorzimba3316
      @victorzimba3316 Рік тому

      Hiyo ndiyo ccm mnyama ni bora kuliko binahadam

    • @victorzimba3316
      @victorzimba3316 Рік тому

      Kwani tanzania kuna serikal ngap?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      Kwa nini serikali inawaachia? Hakuna aliye juu ya sheria

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Na Hilo la kichomwa moto vipi limepotezewa au vipi??

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 Рік тому

    Sijakuerewa huyu mama Yuko sawa kwasabu hakuna kinchoenderea

  • @ydbranch542
    @ydbranch542 Рік тому

    Sijarizika na majibu ya mh waziri mkuu hawo wangechukuliwa hatua mara moja

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 Рік тому

    Serikali yetu jamani inaruhusije nchi inafika hapa😢😢😢😢😢😢

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Рік тому

    Mama uko sawa

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 Рік тому

      ni bora wamuongeze shahada nyengine ya DR , kwa hivi anavyo fanya kazi 😢😢😢😢

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 Рік тому

    Sijasikia waziri mkuu akiagiza wananchi waliopigwa kama serikali itawalipa fidia na waliowadhalilisha wata adabishwa vipi

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 Рік тому

    Kwanini Kira siku watu hajawa na samani ira wanyama Kweri serekari imekuwa ya ajabu sana Basi endereeni

  • @yohanawihemba5825
    @yohanawihemba5825 Рік тому

    Kusanya wakulima wote wapige kula uone kama utapata alie fulahi, kinachofanyika naselikaliyetu niubabetu yani bado wanambalali hawaamini hivi nikweli hatuta lima mpunga kule kamwe, alafu ata wakija watasema tumekwenda mbalali wanambalali wamefurahi kweli

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 Рік тому +1

    halafu utasikia eti hii serekali ni sikivu. . uonevu kila kona unaofanywa na hii serekali

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому

      Nimeumia kama ndo Mimi

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 Рік тому

    Tatizo kuondoa vyama mubaki wenyewe

  • @mako331
    @mako331 Рік тому

    Pole spika wapo wabunge wanapiga makofi tu hata hawana mada wa kusikiliza kinachosemwa ni shida tu

  • @elishapaul1706
    @elishapaul1706 Рік тому

    Kwa muktadha huo