HALI YA KIKOSI IPOJE BAADA YA KUTUA DODOMA | HUYU HAPA MENEJA WALTER AKIZUNGUMZA MAZOEZINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 2 дні тому +2

    Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛

  • @MonicaSimon-py3nx
    @MonicaSimon-py3nx День тому

    Naitakia kilalaheri Tim yangu inshallah tutashinda mwenyezi mungu wajalie Afya njema mashujaaa wangu Amen

  • @AyubuGoodwell-sb9in
    @AyubuGoodwell-sb9in День тому

    Wananchiii 💚💛 sio watu wa kulidhika punguzen makosa tumieni Nafasi Kwa usahih sisi kazi yetu ni kuwaombea 🙏

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif День тому

    Jamani bacca wetu apunguze makosa akiwa uwanjani mungu akulinde ❤❤❤

  • @EmmyWilson-do3oe
    @EmmyWilson-do3oe 2 дні тому

    Kila La kheri my team daima mbele nyuma mwiko💚💚

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 2 дні тому

    Kila rakheli timu yangu pendwa 💛💛💚💚

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka День тому

    Wananchi tuzidi kuwaombea afya nguvu uwelewa wachezaji wetu Inahaallah

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 дні тому +8

    Kila la kheri mjitahidi kupunguza makosa kukaba na kuzuia kwa usahihi pia utumiaji wa nafasi kwa usahihi na wachezaji wasiridhike na magoli machache ikiwa nafasi zipo wafunge kwa kadri watakavyoweza pia wasicheze sana na mpira mbwembwe nyingi hazinafaida kwenye sehemu husika especially pacome kuna wakati anafanya unnecessary dribbling anyway kila lakheri dua kwa sana

  • @MaicosalmoBacar
    @MaicosalmoBacar 2 дні тому

    Mungu awabariki nyote pamoja na mama ❤❤❤

  • @SaluMtumwa
    @SaluMtumwa 2 дні тому +1

    Mungu alijaalie kexho letu liamke xalama tupambanie timu yt

  • @RajabuMalidady
    @RajabuMalidady День тому

    Kila La heri🎉 wananchi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 дні тому

    Kazi Iendelee akhui kila la kheri wananchi tunawaombea matokeo mazuri

  • @AminaJuma-o2o
    @AminaJuma-o2o 2 дні тому

    kila la kher

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA День тому

    Hard work pays

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 2 дні тому

    Maandarizi mema jeshi letu

  • @NeemaAloyce-q4l
    @NeemaAloyce-q4l День тому

    Kila Ia kheri kwenu Wananchi

  • @charlesmwongi
    @charlesmwongi День тому

    Kila la heri yanga mungu awatunze point tatu mhimu

  • @christinajohn5055
    @christinajohn5055 2 дні тому

    All the best

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 2 дні тому

    🙏🙏💚💚💛💛💛💛

  • @NgasaLuhamba
    @NgasaLuhamba 2 дні тому

    Waooh

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 2 дні тому

    Daima mbele

  • @islamicstudywithradhiya8371
    @islamicstudywithradhiya8371 2 дні тому

    👏👏💛💛💚💚

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 11 годин тому

    Kila la kheri yanga

  • @amohamedyomary
    @amohamedyomary 2 дні тому

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 День тому

    YANGA BINGWA AKIPANDA KRISMAS HASHUKI TENAAAA😂😂😂

  • @AbubakaryYahaya-y1b
    @AbubakaryYahaya-y1b День тому

    Kwakwer nawaombea Dua chama langu lipate ushindi Kwa siku yakesho

  • @FadhiliYusuf
    @FadhiliYusuf 2 дні тому

    Mbona kam dodoma jij huwa wanakuwaga na bala na yanga sana maana wanakutaga na masiku ya sherehe alafu wanapigwa nying cjui marahiii😊

  • @furahianyambo791
    @furahianyambo791 2 дні тому

    Jitumeni endeleeni kutupa burudani

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 2 дні тому

    Meneja waambieni wachezaji wetu mashabiki wanapo kuja kwapokea waonyeshe ushirikiano,siyo head phone tu masikioni