Nawapenda sana ila wachezaji mjitahidi msiwe mnaridhika na magoli machache ikiwa huwezekano wakufunga mengi mnayo magoli mengi pia yanaraha yake kwasisi mashabiki naimani mtaongeza umakini golini nafasi nyingi mno zawazi mnazikosa au mawasiliano baina yenu yanakosekana pasi xinapotea ambazo zingekuwa magoli
Yeah lkn kidogo kidogo unawaona uzembe wa miili yao umepungua km kipindi tunafungwa fungal ovyo,, ss hivi kiaina wanajituma ,, kocha anasema kila siku kuwa wachezaji awapo fiti walijihachia sana , Mfano mechi na Al hilal uhoni dube alivyokuwa akianguka ovyo? Yani amna stamina kabisa , Walipewa sana uhuru basi wakawa wanatomba tu , na kujiachia
@damianmcba9525 ni sawa lakini wale key players bado hawajarudi kwenye kiwango chao ambao ndiyo tegemeo kwenye mechi za kimataifa , hii Kasi wanayocheza wakiiingia wanapoozesha mchezo kabisa
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛
🎉amina
Admin asante sana kwa highlights ndefu ambao hatujaangalia game tunaenjoy na sisi
Sama yani
Yanga bingwa
🔰🔰🔰🔰🔰👑🙏
Asande MUNGU BABA na MWANA na ROHO MATAKATIFU ameeeen Hongera Sana nyote kazi nzuri kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom
Gusa achia, twende kwao
Asante admini
Gusa achia twende kwao
Highlights 50mins
Hongera sana
Yanga rahaa
Ila Bacca Mungu akutangulie baba unalinda sana nawenzako hongeren sanaa nawapendaa wachezaji wote 🎉🎉❤❤❤❤
I love ❤️ 😍 💖 ❣️ ❤❤❤yangaaaaaaaa
Nimependa vile kocha anashangila pamoja na bench la ufundi😂🎉🎉❤
Mwaga makopakopa kwayanga yetu💛💛💚💚
Yanga bungwa
Itoshe kusema asanteeee sana mwenyez Mungu kwa zawad ya ushindi nakutufanya tufurahie sherehe ya Christmas
Admin Barikiwa sana...Daima mbele Nyuma Mwiko
Gusa achia twende kwaooo ❤❤❤
Mungu nimwem 🎉 yang bingwa
🔰amina🔰
jaman hapa nawapongeza sanaaaa mashabiki wa yanga tulihitaji sana hizi highlights ndefu namna hii hongereni sanaaa
One love DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
3:36
🙏🙏🙏🙏🙏
Asante nimeenjoy km vile nimeangalia mechi live
Naipenda yanga kuliko kula ❤❤😂😂🎉🎉🎉
Gari limewaka ni mwendo wa 4G 🎉🎉🎉🎉
yani kama movie vile kudadaki👊👊👏
Baaa kubwa, highlight ya maana , Azam wanazingua na highlights zao, muwe mnatuwekea kama hivi , Big Up YANGA TV
Man sha.Allah kazi iendelee
Hakika yanga bingwa
🙏🙏🙏🙏🙏
Duh..Leo Highlight.. Dk 50 Haki Ya Mungu Wananchi Tunainjoi Na Miudambu Udambu Ya Gusa Achia Twende Kwao..😂
Mzize ana kaba sana good performance
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love you yangaàaààa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤yanga ni kama Barcelona
Hii ndo yanga tuyoihitaji na hapo bado hawajasema.
MI NINAOMBA YANGA TV MUWE MNARECORD NA KUITUPIA HAPA KWENYE CHANEL YETU KWANI MNAONYESHA MPIRA WOOTE
Yani mpaka wasemeee 2mejipata😅
KAZI imeanza sasa
Mbona bingwaa kila mmoja analijua hiloo
Nawapenda sana ila wachezaji mjitahidi msiwe mnaridhika na magoli machache ikiwa huwezekano wakufunga mengi mnayo magoli mengi pia yanaraha yake kwasisi mashabiki naimani mtaongeza umakini golini nafasi nyingi mno zawazi mnazikosa au mawasiliano baina yenu yanakosekana pasi xinapotea ambazo zingekuwa magoli
Mzinga ukiwa tuna bahati na wewe na arajiga
Huyu goli keeper wa dodoma jiji mzembe sana anaacha lango wazi anatembea kati kati ya uwanja
HIii ni Idea Nzuri
Mbona mapema leo
Yaap,mwendo wa nne nne. Mwizi anafukuzea kimya kimya.
Gusa achia twende kwao
Kilalakheriy Nawaombea Wananchi Mufike Safari Yenu Ya Kuwa Bingwa...
Pia makisio ya pasi mjitahidi kuyafania kazi mazoezini pasi nyingine zamuhimu zinapotea ambazo zingebadili ubao
Hii Yanga imeshinda lakini naona bado haijafikia kiwango chake kilichofanya iwe tishio Afrika , Skills za wachezaji na Utimamu wao bado kidogo
Eda uwafunze
Ila Utulivu Mbele Bado..Papara Zimekua Nyingi..!!
Hv jamn chama na max wak wap
Max majeruhi atakuwa njd mwezi mzima,, Chama sina habari zake
Wanaumwa jmn 2waombeee🙏🙏🙏