ALLY KAMWE AMPA MAKAVU ATEBA/AMEZIDIWA NA DUBE/KUNA VYUMA TUNASHUSHA VIPYA/BOSSI KASEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 103

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 13 годин тому +5

    Ni sahih Yanga wamekosa clear chanc nying waongeze utuliv

  • @snchimbi
    @snchimbi Годину тому

    Ameshindwa kumtaja Mzize kwenye interview. Mzize amefanya timu ianze kurudi na kushambulia. Pia ndiye Man of the match

  • @shamsuddinsamson5101
    @shamsuddinsamson5101 15 годин тому +7

    Yanga on fire

  • @RuqiaKhaji
    @RuqiaKhaji 14 годин тому +6

    Dube fanya kama kama simba walivyokulalamikia .c walisema ufungi waonyeshe

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 14 годин тому +4

    Mungu Kwanz Mashallah

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 12 годин тому +2

    Jamani kamwe kawazungumzia wapi simba au baunsa ni simba maana naona makolo hamjatekenywa mshaanza kucheka mkitekenywa jeeeeeeee?😂😂😂😂

    • @JeniphaRobert
      @JeniphaRobert 3 години тому +1

      Taratibu wameanza kuchizika😂😂

  • @A.shebyhdjdjd
    @A.shebyhdjdjd 9 годин тому

    Kuna watu background wanapiga zoezi😂😂😂😂😂😂😂alooh

  • @issadul-d5v
    @issadul-d5v 47 хвилин тому

    Usituziie kukosoa, wengine tunakosoa lea wema

  • @MohamedKinunga-p2l
    @MohamedKinunga-p2l 12 годин тому +2

    Yani nyie makoro.ondokoni.apo.juu.mnajaamba.sana..mnatupa.tabu.asa.ahmedi.ali

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 14 годин тому +3

    Tunamshukuru mungu kwakila jambo

  • @BoniphaceWambura-j3t
    @BoniphaceWambura-j3t 8 хвилин тому

    Kama mtu anaweza kutukana kwenye hafura hiii basi huyo mtu apalekwe milembe

  • @godfreywilly639
    @godfreywilly639 12 годин тому +1

    Sema ukweli kwamba tulipe madeni kwanza ndo muanze kusajili

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 40 хвилин тому

    Hila Allikamwe husiseme wajifunze sema tumejifunza sote maana hata huongozi hulifanya blanda sana ,sio kwa sababu Club inaanza kupata matokeo ndio huongozi mjione mko sawa hizo ni zarau na kiburi mlikosea kubalini na Mmtaludia tena makosa yenu.

  • @SadickMfaume-k6m
    @SadickMfaume-k6m 10 годин тому +1

    Mbwa koko ni ww usie jua nn maana ya utani wajad

  • @khadijajumanne3324
    @khadijajumanne3324 13 годин тому +1

    Kichaa hafundishiki usijisahulishe

  • @AbdulghanShakuru
    @AbdulghanShakuru 13 годин тому +2

    Nani kasikia gusa achia twende kwao

  • @feisalally9354
    @feisalally9354 Годину тому

    Sio kwa tabora na Azam Tu ata kwa Simba tutacheza zaidi ya hivi na hapo ndo mutafunua midomo vizur

  • @PIUSDAVIDPIUSPIUS
    @PIUSDAVIDPIUSPIUS 2 години тому

    Yan kolo mtasema bd hamjasema

  • @MirajiOmari-x4d
    @MirajiOmari-x4d 12 годин тому +1

    Huyo so msemaji nishabki 2 wa utopolo😂😂😂

    • @HusnaAlly-fg6iy
      @HusnaAlly-fg6iy 12 годин тому

      Bc pole kwa maumivu

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 3 години тому

      Afu demu wako anampenda Ally kamwe 😂😂 life is not fear 😅Kaka mkanye manzi ako

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 16 хвилин тому

    YAANI HUYU BILA KUISEMA SIMBA HAPATI RAHA,SASA SIMBA IMEPATA WASEMAJI WENGI

  • @IsserQassimu
    @IsserQassimu 12 годин тому

    Yanga ishawaka jaman

  • @abdullmbarouk304
    @abdullmbarouk304 9 годин тому +1

    Huyu asijidai goli gn goli la ofside wafanye wao ao waganga

    • @ahmednoor1412
      @ahmednoor1412 9 годин тому

      Haya litoe hilo la offside zitabaki ngapi au toa na penanti zitabaki ngapi nyie wake zetu jiandaeni na 5G mbwa nyie

  • @RobertKibogoyo
    @RobertKibogoyo 7 годин тому

    Hamna haki mnafunga magoli ya mikono

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 10 годин тому

    Tunarudi kwenye eneo letu.sooooon

  • @scratcharico6223
    @scratcharico6223 3 години тому

    kipindi chapili tumepowa kati kati hapaelewei pas zinapotea hovyo

  • @RobertKibogoyo
    @RobertKibogoyo 7 годин тому +1

    Tunataka mcheze hivyo kwa timu zisizo familia yenu km tabora au azam tuone

    • @JeniphaRobert
      @JeniphaRobert 3 години тому

      Wewe ushajitoa unategemea tabora na azam 😂😂😂😂

    • @felicianmapunda856
      @felicianmapunda856 2 години тому

      Itafanya hivyo ikikutana na makolo

  • @MuddyChitanda
    @MuddyChitanda 11 годин тому

    Makolo mbona km mnaumia mtani lazima umtanie

  • @BabaMkuu-q4n
    @BabaMkuu-q4n 13 годин тому

    Teacher itachukuwa muda kukuelewa ila wataelewa tu.

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 13 годин тому

    Mechi za Familia sio za kupigia kelele maana hadi waamuzi familia

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 13 годин тому

      Waumia ukiwa wap😂😂😂

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 12 годин тому

      Nawewe ni familia maana mara nne mfululizo tunakukanda

  • @abdullmbarouk304
    @abdullmbarouk304 9 годин тому

    Mbn hawasemi km wamepewa goli la plofside

  • @MashakaJuma-u8s
    @MashakaJuma-u8s 13 годин тому

    Lazima Simba mzungu mziwe mme zidi una fiki

  • @RobertKibogoyo
    @RobertKibogoyo 8 годин тому

    Hamna kitu humo mechi 14 goli 3 usiwadanganye wananchi

    • @RobertKibogoyo
      @RobertKibogoyo 7 годин тому

      Usiwadanganye wananchi mbona hutaji mechi alizocheza au husemi wastani wa dube kufunga goli Kwa idadi ya mechi

  • @MashakaJuma-u8s
    @MashakaJuma-u8s 13 годин тому

    Bado ma kolo awamu hii 6

  • @muhayakizibaTV
    @muhayakizibaTV 15 годин тому +1

    tua chukua kombe

  • @BudugwaMbwana
    @BudugwaMbwana 13 годин тому

    We unaona fitina Kama hauwezi unabebwa we hauwezi kucheza ufanyeje

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 13 годин тому

    Kwa nini wasemaji hamzungumzii timu mpaka utaje mipasho.... ya timu nyengine..... mpira umekuwa TANZANIA 🇹🇿 tubadilike...

    • @fidecomedytv5735
      @fidecomedytv5735 12 годин тому

      Lkn yeye si anajibu maswali ambayo anaulizwa, ? Lkn pia kwani Kuna ubaya wowote!

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 13 годин тому

    TopScosrer kwa Magoli ya offside na penalty za mchongo na Bado unaendelea na kamdomooo... Maliza kusema maana kuna kimya kirefu kinakuja hapo mbele usiposema sasa hutosema tena kwa md Mrefuu

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 14 годин тому +5

    Ameajiriwa na yanga but kila siku ni kuzungumzia simba, mbwa koko does not know his duties

    • @ZawadiAdam-cj1vv
      @ZawadiAdam-cj1vv 14 годин тому +5

      Ahmed anaongeaga nn

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 13 годин тому +3

      Yule ahmed ally anaisemaga kagera 😂 bado na mtaendelea kuchanganyikiwa 😂 baada ya mechi tatu zijazo zile kelele tulizozimisi za gsm zitaanza kusikika tena

    • @ShebbySwalafiyuu
      @ShebbySwalafiyuu 13 годин тому +3

      Kama imezama chomoa

    • @UshindiGwivaha-y5y
      @UshindiGwivaha-y5y 13 годин тому +1

      😅😅😅😅 Ubaya Ubwela vibanda vimeanza kuungua

    • @halimamwingu4478
      @halimamwingu4478 13 годин тому +1

      Maneno hayo ungemwambia msemaji wenu ingewasaidia sn