UNAPO KANYAGA MAFUTA YA UPAKO HAYA HUTOKEA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Maelfu ya watu wa pokea upako wa papo kwa papo baada ya Mtume Mwamposa kuachilia upako na kuwaombea
    #ariseandshinetanzania# shuhuda #mwamposalive #2021mwakawaimani.

КОМЕНТАРІ • 464

  • @KulwaMsafiri-v5u
    @KulwaMsafiri-v5u 11 днів тому

    Naamini Mungu hata kama niko mbali niponye ugonjwa huu kupitia madhabahu hii amina

  • @GiftErasmus-pd7zz
    @GiftErasmus-pd7zz Місяць тому

    Asante Mungu nimepona umeniponya kwa sekunde mateso yote yamagonjwa ya meno na ndoto mbaya zimeisha nimepokea uponyaji asante Yesu kristo kwakupitia mtumishi wako nimepona

  • @ReyJohnson-gr3fw
    @ReyJohnson-gr3fw 18 днів тому

    Madhabahu ya kichawi yaniachilie Afya yang yaniachilie ndoa yang yaniachilie kaz yang yaniachilie kizaz chang Ameen

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 роки тому +2

    Amen amen 🙏🙏 napokea uponyaji ki uchumi na kiafia kwa jina la yesu kupitia madhabahu ya inuka uangaze 🙏

  • @sponsamapunda2130
    @sponsamapunda2130 3 роки тому +6

    Namshukuru Mungu kwakumtuma mch Mwamposya anafanyika baraka,Amina

  • @LAMBOMICHAEL-fq1bh
    @LAMBOMICHAEL-fq1bh Рік тому +1

    Ewe duara sikia sauti hii ya mtume wa wa Mungu Buldozer Mwamposa, andika leo mafanikio yangu, ewe ardhi ,ewe mwamba uliyeko hapa duarani futa umaskini wangu kwa jina la Yesu Kristo. Naomba dhahabu hapa duarani kwa jina la Yesu Amen.

  • @janejohn4257
    @janejohn4257 3 роки тому +10

    amen napokea mtoto wakiume kwa jina la yesu na mwanangu Dominic atakuwa kichwa na simkia shulen kwa jina la yesu

  • @mamamikuwa4991
    @mamamikuwa4991 3 роки тому +2

    Naamini mwanangu Hellen ajira mpya anapata kwa jina la Yesu kupitia madhabahu ya Arise and Shine Amennnn

  • @user-mk4sm3tg5l
    @user-mk4sm3tg5l 11 місяців тому

    Naomba mume wangu aachze tamaa za wanawake wa nje napokea amina

  • @reyjohnson624
    @reyjohnson624 2 роки тому

    Asante MUNGU kwa kunifungua nakuniponya kupitia madhabahu hii nimepona kuanzia sasa ndoa yangu imerudi kuanzia sasa nimepata kazi nzuri kuanzia xaxa ukoo wangu ukanjitenge na madhabahu ya kichawi na nimeachiliwa na nimeondoka kwenye madhabahu ya kichawi kuanzia sasa nimefunguliwa kizazi changu nimeponywa UTI na Fangas nimetolewa kwenye ndoa za majini mahaba wasinitese tena kwa jina la YESU KRISTO AMINA

  • @rehemarachide4085
    @rehemarachide4085 2 роки тому +3

    AMEN napokea uponyaji na anafunguliwa maisha yangu na família yangu kwa jina la yesu alie hai napokea watoto watatu mapacha wakiume 2 n wakike 1

  • @rosegukula4445
    @rosegukula4445 2 роки тому +4

    Kwa Iman tapona magonjwa yanayonisumbua kwa jina la yesu kristo Amen 🙏🙏🙏

    • @teresapaulo7680
      @teresapaulo7680 2 роки тому

      Kwa iman tapona magonjwa na nizaie watoto mapacha wakike

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 3 місяці тому

    Mungu nigunguo vifungo vyote nifungue mm na familia yangu na bibi yangu apone kabisa mungu nisaidie

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 роки тому +4

    Naamini leo ninaponywa naamini leo nikambolewa kwa jina la yesu naomba naza anipende udat animis kupitia madhabau ya mwamposa amen

  • @fatumanachilapa8412
    @fatumanachilapa8412 2 роки тому +2

    Asante mungu kwa uponyaji wa mwili angu

  • @priscachaula4429
    @priscachaula4429 Рік тому +1

    Asante sana mungu wa madhahabu hii naomba unifungue

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 5 місяців тому

    Mungu baba wa mbinguni tenda miujizajuu ya maisha yangu yote na familia yangu yote na mchumba wangu abdala tufungue kiuchumi tunge ndoa kilahis tuzae watoto na mali ziongezeke kilahis tuinuke na kuangaza kila sehemu ya maisha yetu yote nataka mapacha wa kike na wakiume tuzae kilahis katika jina la yesu kristo ameeeeeeeeeeeen

  • @sagudamaduhu-yf9se
    @sagudamaduhu-yf9se 8 місяців тому

    Mungu baba wa mbinguni akulinde, akutunze, akuhifadhi, akuongoze na kukupa maisha marefu said ya miaka 100, uendelee kutukomboa. By the name of jesus AMEN.

  • @GoodluckyStanlei-h9v
    @GoodluckyStanlei-h9v Місяць тому

    Napokea uponyaji was afya na uchumi na wa elimu Mimi na familia yangu kwa jina LA yesu namuua alie iba nyota yangu

  • @jaclinedaniely2563
    @jaclinedaniely2563 3 роки тому +6

    Eeee mungu mlinde mtoto wangu ,naomba ufungue mlango wa kazi mpya juu yangu

  • @rashidingowi5548
    @rashidingowi5548 9 місяців тому

    napokea muujiza wangu kwa kujiungamisha na ibada ii kila kitu kinaenda kufunguliwa kwa jina la yesu

  • @juliethngelangwa2280
    @juliethngelangwa2280 2 роки тому +1

    Mungu nijalie niweze kupokea muujiza wa kumpata mme wa maisha yang naamini amina

  • @annaanyigulile2479
    @annaanyigulile2479 3 роки тому +3

    Amina namimi naamini kuanzia leo mungu wa isaka mungu wa elia ameniponya kwenye masomo yangu

  • @magrethmvwango2682
    @magrethmvwango2682 Рік тому

    Mungu kwaimani naomba niponye na kunipigania nakataa mikosi ninayo tupiwa kwenye Manisha yangu mungu naomba niponye na familia yangu, mungu mguse nitride arudi nyumbani kama kuna Pepo kwenye mwili wake ritoke Kwa Nina la yesu, mungu mfungue Emanueli mnyogele nguvu za Giza zilizo mshikilia zitoke Kwa Nina la yesu, mungu kwaimani namiini jina laki linaponya mungu alie nitamkia kifo kwaimani kifo kimrudie yeye mwenyewe ameni

  • @yunusiwafaume1191
    @yunusiwafaume1191 Рік тому

    Mwenyezi mungu nifungulie kwa kuniunganisha na madhahabu ya nabii Boniface toa vifungo na mikosi na chuki toka kwa watu ndugu na watoto

  • @dolishenery3012
    @dolishenery3012 Рік тому

    Na iman napokea pamoja na familia yang amina

  • @user-lj7pl1yx6q
    @user-lj7pl1yx6q 10 місяців тому

    Ameeeeen napokea kufunguliwa

  • @Ernest-ry9ty
    @Ernest-ry9ty Рік тому

    Naamin kwa jina la yesu kristo kwa nguv ya uponyaj na pona magonjwa yote yanisumbuayoo aminaa

  • @godfreylucas1818
    @godfreylucas1818 2 роки тому +1

    Napokea uponyaji kwa jina la Yesu kila uVimbe navifungo vya uzao wangu leo vinaniacha kwa jina la Yesu naenda kupokea mimba kwajina la Yesu mtoto wangu awe na. Akili shuleni na kila mbaya asifanikiwe kwajinala Yesu amen

    • @analucas7606
      @analucas7606 Рік тому

      Mundo said sana amen

    • @analucas7606
      @analucas7606 Рік тому

      Xtou apdir minha doença sair no meu corpo sida H.l V. Quero ficar muito bem corpo . gorda quero ter emprego , casa , so tenho um filho quero outro filho cm Celso santo Unduku! Quero ele deixar brincadeira com mulher de spostar do estado da mulher, quero sim ele voltar pra sempre cmigo

    • @analucas7606
      @analucas7606 Рік тому

      Quero qui ele pensar em todo dia cnhecer Minha mae com meu pai , eu tambm cnher familhar, eu nao quero namora cm outa pessoA . eu quero qui ele mim responder tudo dia mesmo ele sentir mas eu nao mim porta eu xtou com deus mim salvar nossa vida
      🙌😭🙅xtou asegir senhor jesu amem ele vai voltar comigo?

    • @analucas7606
      @analucas7606 Рік тому

      Amen

  • @kamakiamollel1728
    @kamakiamollel1728 10 місяців тому

    Mungu kupitia madhabah ya arise and shine walionitapeli kupitia njia ya mtandaoni mungu nataka kurudishiwa hela zangu kwa damu ya yesu kristo

  • @mamamikuwa4991
    @mamamikuwa4991 3 роки тому +2

    Napokea uponyaji nakufunguliwa napokea mafao yangu ndani ya mwezi huu wa nne Amen

  • @EsterSelemani
    @EsterSelemani 10 місяців тому

    Amina mtumishi wa mungu napokea uponyeji na familia yangu nakataha roho ya magonjwa napokea kufunguliwa uchumi wangu 🙏🙏

  • @kalaluwakisaka3211
    @kalaluwakisaka3211 3 роки тому +1

    Amen nimepata Kazi kupitia maombi Ya MTUME MWAMPOSA

    • @jacobmwiru3877
      @jacobmwiru3877 3 роки тому

      Mtumishi wa Mungu naomba huduma yangu isonge mbele kama wwe

  • @rashidingowi5548
    @rashidingowi5548 9 місяців тому

    na mm naomba mungu anifungulie mambo yangu leo yote kwa jina la yesu

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 Рік тому

    Asante yesu kwa kupitia madhabau hii nitapona na nitapata Kaz na isiwe na vikwazo yeyote Ile nahamini nimekombolewa

  • @meshackrocky3796
    @meshackrocky3796 2 роки тому

    Maana umbali si tatizo naamin leo nakuombolewa ni katika jina la yesu kristo amen

  • @shukurumunuo8638
    @shukurumunuo8638 2 роки тому +2

    Napokea uponyaji katika jina la yesu🙏🙏🙏

  • @marrymkwama897
    @marrymkwama897 2 роки тому

    Kwa Imani tutapona magonjwa kwa jina la yesu kirsto maana kwake Hakuna Gumu linaloshindikana IMANI JUU YA IMANI🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-mk4sm3tg5l
    @user-mk4sm3tg5l 11 місяців тому

    Na imani napokea kwa yale maombi niliyo andika maombi 12 unapokea miujiza yako amina

  • @EmmanuelJackson-xn5eo
    @EmmanuelJackson-xn5eo 3 місяці тому

    Naamini kwa jina la Yesu

  • @jaclintarimo774
    @jaclintarimo774 2 роки тому

    Amina napokea kwa jina la yesu mungu ukaniponye tumbo langu kwa jina la yesu namwanangu nancy akawe kichwa shuleni kwa jina la yesu napokea

  • @muttaadrian5650
    @muttaadrian5650 3 роки тому +2

    Ameen 👏. Nahisi kupona mguu wangu ambao umenisumbua mwaka mzima na miezi miwili sasa.

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 роки тому

      Mungu niponye na maradhi yanayonisumbua niponye na bariki kazi ya mikono yangu

    • @aminasaidi2486
      @aminasaidi2486 2 роки тому +1

      amiina napokea

  • @patelmbanzi5139
    @patelmbanzi5139 2 роки тому

    Leo nataka nijue kingereza mtumishi wa Mungu amina

  • @mukundaviviane9384
    @mukundaviviane9384 Рік тому

    Napokeya uponyaji ya Bright kwa jina la yesu Amen

  • @user-mk4sm3tg5l
    @user-mk4sm3tg5l 11 місяців тому

    Naomba pesa zote alizo honga mume wangu wote alio wapa wanirudishie mara moja naomba unitendee miunjiza amina

  • @aminayusuph2556
    @aminayusuph2556 Рік тому

    Napokea uponyaji katika jina la yesu

  • @emmanuelcheyo4911
    @emmanuelcheyo4911 3 роки тому +3

    asante mungu kupitia madhabau hii kwakuniponya nakunijalia kupata kaz naboc kuniamin kwenye kaz zake Mimi ndomeneja asante yesu naomba baraka zko ktk family yngu nakaz zangu amina

    • @januaryboay4827
      @januaryboay4827 Рік тому +1

      Asante mungu wa mbinguni kwa madhabahu hii ya inuka na uangaze na Mimi napokea kufunguliwa kwangu kiafya na kichumi na kaz naenda kupat kirahisi ameeen

  • @vedianamgube911
    @vedianamgube911 2 роки тому

    Mungu naomba uniunganishe na mchumba angu deo uweze kuniunganisha nae baba fungua maisha yangu nimechoka na haya maisha nilio nayo baba naomba mkono wako kwangu mungu

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 Рік тому

    Nimepona kwa jina la yesu

  • @petroevery3974
    @petroevery3974 Рік тому +1

    Napokea kwa jina la yesu nipate kazi nisaidie wazazi wangu na ndugu zangu

  • @gambastephano2256
    @gambastephano2256 3 роки тому +1

    Amina kubwaaaaa nabarikiwa mtume

  • @JamilaomariMuhamed
    @JamilaomariMuhamed 3 місяці тому

    Nashukuru mungu kwa upako huu nimefungua biashara yangu ya mama ntilie naomba mungu nisaidie

  • @kalumbamwato7284
    @kalumbamwato7284 3 роки тому +1

    Nilikuwa nasikia kichua napata uponyaji Amen papa mungu Akum bariki saaaaaaaaaaaaaaaaana

  • @user-bi2pi3mc8p
    @user-bi2pi3mc8p 3 дні тому

    Mapokezi uponyaji kwa kina la yesu

  • @graceangelus2869
    @graceangelus2869 2 роки тому +2

    Napokea mtaji kwa jina la yesu🙏

  • @agnesmangamawalla4371
    @agnesmangamawalla4371 2 роки тому

    nguvu za mungu zimeniachia asante yesy kwakunibariki mimi na watoto wajukuu na waumè zao

  • @kurwpaul1134
    @kurwpaul1134 2 роки тому

    Ifanyike baraka kwa wote Na Mimi Na uzao wangu kiuchumi Roho ya madeni Na Yule mtenda miujiza Awe kwangu daima nizidiwe Na mafanikio Amen

    • @januaryboay4827
      @januaryboay4827 Рік тому

      Mungu baba naomba nizidiwe na mafanikio kirahisi ameen

  • @deniskambi7148
    @deniskambi7148 Рік тому

    Napokea uponyaji wa kiuchumi kwa JINA LA YESU AMEN

  • @mwajumasimon7159
    @mwajumasimon7159 2 роки тому

    Napokea upako huu kwa jina la yesu kiristo na amin mungu ametenda amina

  • @azgadbaltazar2623
    @azgadbaltazar2623 3 місяці тому

    napokea kwa jina la yesu

  • @elizabethpeter3374
    @elizabethpeter3374 3 роки тому +1

    Napokea uponyaji ktk jina la yesu naomba alex anipende na anioe ilo pepo la kishetan lililomtawala liondoke la kuto kuoa kwa uwezo wa MUNGU Amen, 🙏 🙏🙏

    • @eliudmbise8927
      @eliudmbise8927 3 роки тому

      Yesu liponye kanisa lako na kuliokoa na nguvu ya upotevu

  • @RosadaMseke
    @RosadaMseke 6 місяців тому

    Amina napokea

  • @odiliamgutu7639
    @odiliamgutu7639 3 роки тому +2

    Napokea

  • @FestoYohana-ll4wk
    @FestoYohana-ll4wk 9 місяців тому

    unauhakika unachokisema mungu akusaidie ndugu usiweunapenda kusema watumishi wa mungu vibaya yesu nimeenda miujiza frimason ni mazingaombwe mungu akusaidie sana ingekuwa huyu mtumishi ni frimason wagonjwa wasingepona mapepo wanatoka kea kulitaja jina LA yesu ingekuwa ni frimason mapepo yangemuumbua

  • @amilianafi8021
    @amilianafi8021 2 роки тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu ninawashwa na nipate mimba na biashara yangu niuzie sana mwanangu pia awe na matokeo mzuri ameni

  • @sarahmbembati3701
    @sarahmbembati3701 3 роки тому +1

    Aminaaaa napokea 🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲

  • @drkim-sarai5966
    @drkim-sarai5966 3 роки тому +1

    kwa jina la yesu naomba familia yangu ifunguliwe katika vifungo vya mashetani na wachawi

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 роки тому

      🤣🤣🤣 mungu wa mwamposa tena

  • @KishaMulokozi-en7cc
    @KishaMulokozi-en7cc Рік тому

    Naomba nipone Figo na kama kuna mawe kwenye mirija yatoke pia naomba nipate Pesa ya kulipa Ada na familia yangu Mungu aiongoze Kwa jina la Yesu amen.

  • @adventinarwegasila4608
    @adventinarwegasila4608 3 роки тому +4

    Nina imani kupitia haya maombi nitapona magonjwa yanayonisumbua Kwa jina la yesu amen

  • @konsesalaurenty9047
    @konsesalaurenty9047 3 роки тому +8

    Mamuomba mungu anipe amani ktk familia yng

  • @valencematutuli9269
    @valencematutuli9269 2 роки тому +1

    Mtumishi WA mungu ...mungu aziki kukupa uzima nanguzu zaidi

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому

    Napokea kwa iman naenda kupata kazi kwa kirahisi kabisaa ktk jina la yesu kristo alie hai

  • @neemamaiko1342
    @neemamaiko1342 2 роки тому

    Ubaryikiwe sanaaa mchungaj

  • @editharhyera6502
    @editharhyera6502 2 роки тому

    Naomba mungu anicmamie katka ofisi yangu

  • @marrymangi2975
    @marrymangi2975 2 роки тому +1

    Napokea uponyaji kwa jina yesu

  • @sarapaulo4718
    @sarapaulo4718 3 роки тому +4

    Mm naomba mungu anipe ufahamu wa kujuwa Siri za hawa watu,na mungu hawasame wote wanapotosha watu kwa kusema miujiza

  • @frankallen2875
    @frankallen2875 2 роки тому

    Asante yesu

  • @elsonjonh3075
    @elsonjonh3075 2 роки тому

    Amina mtume kupitia madhabah naomba uniombee rafik yangu wa karibu amekuwa adui yangu

  • @immaculathaayubu6257
    @immaculathaayubu6257 3 роки тому +1

    Bwana yesu

  • @magdalenaluhanga9853
    @magdalenaluhanga9853 2 роки тому

    Mungu akubarki kwa maana Mungu amekiagiza uje iwaokoe wana wake amina

  • @dolishenery3012
    @dolishenery3012 Рік тому

    Mung naomba mpenz nilionayo awe mme wangu maisha yang sio mpenz tena mwakan akatoe mahali

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому

    Nimepokea kwa jina la yesu kristo

  • @happynecsadick7320
    @happynecsadick7320 2 роки тому +1

    Mimi Nampa nalia kwauchungu baba yangu mzizi Kama mwaka sasa yupo tu kitandani alimbaya na awezi tembea msaidie baba yangu ewe mungu wangu

  • @miak6085
    @miak6085 3 роки тому +5

    AMEN NIMEPOKEA IJN

  • @HappynessNassoro-op4nk
    @HappynessNassoro-op4nk 5 місяців тому

    Kupitia mazabau hiii naamini nitajifungua salama mtoto wa kiume mungu nisaidie

  • @mch7434
    @mch7434 3 роки тому +1

    Amen nmebarikiwa mung azidikukupa hudumaa

  • @enzoon5796
    @enzoon5796 2 роки тому

    Napokea uponyaji mimi na mama angu kwa Jina la yesu amin

  • @immanuelndagijmanae3677
    @immanuelndagijmanae3677 Рік тому

    MUNGU mukuu mwenye nguvu mutenda miyujiza pewa sifa kwa matendo makuu juuu ya family hizi utukufu na heshima birudi kwa KRISTO YESU MUNGU mukuu shalom

  • @thadeiminja1855
    @thadeiminja1855 3 роки тому

    Ombeni nanyi mtapewa amina

  • @barakarazalo2801
    @barakarazalo2801 Рік тому

    Naamini kwa jina la yesu nimekombolewa kwenye biashala yangu nitajidiwa nawateja Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mohamedfakili3376
    @mohamedfakili3376 3 роки тому +2

    Napokea kwa jina la yesu ...vifungo nilivyofungwa nafunguliwa kwa jina la Yesu...

  • @joycechamba4637
    @joycechamba4637 2 роки тому

    Kila baya lililonenwa juu yangu linaharibiwa kwa jina la yesu

  • @JacquesLays
    @JacquesLays 2 місяці тому

    Namimi Nina Imani kwamba maitanji yangu yote yatanjibiliwa

  • @fidelifidelifidelinicolasi2057
    @fidelifidelifidelinicolasi2057 2 роки тому

    Napokea kwa jina la yesu

  • @salhamnenga4680
    @salhamnenga4680 2 роки тому +2

    Kwa iman yangu hy maombi ntafunguliwa ntapata kaz nnayo itaka asante yesu ntafankiwa kiuchumi

  • @bakaridavid9772
    @bakaridavid9772 2 роки тому +1

    Namuobamu mungu anime iman

  • @juliethngelangwa2280
    @juliethngelangwa2280 2 роки тому

    Mungu nijalie neema niweze kupokea kupokea upako hata kama nipo mbali naamini kupokea

  • @AnnaSwai-pf7ts
    @AnnaSwai-pf7ts 5 місяців тому

    Asante ❤ MUNGU

  • @fidelifidelifidelinicolasi2057
    @fidelifidelifidelinicolasi2057 2 роки тому

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu

  • @neemamolell7322
    @neemamolell7322 3 роки тому +1

    Naomba unifungue mm na familia yangu baba mwanangu darasa awe kichwa na wala co mkia amen