WACHAWI WAJARIBU KUMUUA MTOTO YUNIS MARA 2, APONYA WAGONJWA KUTOKA ULAYA, APEWA ZAWADI YA VATICAN..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • WACHAWI WAJARIBU KUMUUA MTOTO YUNIS MARA 2, APONYA WAGONJWA KUTOKA ULAYA, APEWA ZAWADI YA VATICAN..
    Mtoto YUNIS au EUNICE OGOT wa Wilayani Rorya, mkoani Mara nchini Tanzania, ameendelea kufanya maajabu katika uponyaji wake wa kutumia maji na maombi, ambapo anatibu watu wa ndani na nje ya nchi…
    Mapya ya hivi karibuni ni tukio la kutibu kundi la watu waliopooza, wapatao saba kutoka nchini Djibouti, ambao walifika kwa mtoto huyo wakiwa katika hali mbaya, mwingine akiwa anasukumwa kwenye kiti cha kusukuma (Wheel Chair), lakini baada ya kuombewa na kumwagiwa maji na Yunis alipona na kuanza kutembea mwenyewe…wengine wamekuwa wakitibiwa kutoka Ulaya ambao wamepona na kumpa zawadi ya sanamu kubwa ya Bikiria Maria, yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni nane…
    Maajabu ni mengi…fuatilia muendelezo huu pamoja na ushuhuda wa watu wengine….
    NAMBA ZA SIMU ZA BABA YUNIS: +255 783 426 393 au +255 686 967 279
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 551