Rose Muhando - Masekete (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Ni wakati wa kumchezea Yesu kwa sababu yeye ni mwema katika maisha yetu hakuna aliye kama yeye chukua muda wako kuungana na mimi kumuimbia yeye.#RoseMuhando#Masekete#MusicVideo.

КОМЕНТАРІ • 1,6 тис.

  • @masekete
    @masekete 3 роки тому +8

    Kama unajua #MASEKETE kutoka kwa jack piga like......
    Rose never fails

  • @raphaelzama4748
    @raphaelzama4748 3 роки тому +2

    Wapi shangweeeeeeee za Yesu Kristo utukufu kwake

  • @chefbriankenya8328
    @chefbriankenya8328 3 роки тому +224

    Congratulations mom hio dancing stly yawa ...trm wapi likes zangu na kenyans wenzangu pitieni hapa

    • @daudionyiego8673
      @daudionyiego8673 3 роки тому +2

      Uchezaji wa muziki wa injili usiwe kama ule wa kidunia hii ni hatari sana. Wimbo mzuri tatizo vinakatwa viuno kama kwamba siyo injili hiyo.

    • @rosesiena5824
      @rosesiena5824 3 роки тому +2

      @@daudionyiego8673
      Who Told You, Before You judge does the bible give instruction on dancing.
      Because I Wanna Know

    • @cbkbrownkenya
      @cbkbrownkenya 3 роки тому +2

      Uko trm wapi Niko nyuma ya tent ⛺

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому +1

      🙄🙄🙄 Upagani huo

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому +1

      Background 0 Decor 0

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +1

    Baba nimekuja kwako nagonga mlango unifungulie naongopa Masekete!! Madanga madanga !!!!!!! Weziiiiii!!!!! Yesu fuguza!!🔥🔥🔥🔥#TRM

  • @collinsmercy3971
    @collinsmercy3971 3 роки тому +20

    God is able kwa kweli waliomcheka rozi kipindi anaugua saa hii wenyewe wameaibika sana .much luv from kenya

  • @mercymbithe7340
    @mercymbithe7340 3 роки тому +2

    Wow!Ni Raha sana kudancia Mungu...izo moves I must try

  • @liliankingoo1785
    @liliankingoo1785 2 роки тому +8

    Why are you not subscribing for her.... And I can see the viewers are so many. This mama sings well. May God protect her and cover what belongs to her 😘 in Jesus name

  • @mimymimy7945
    @mimymimy7945 3 роки тому +245

    And the Queen did it again
    Wale wanapenda kushukuru mungu kurudisha Rose mhando tupatane hapa.🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DM_15
    @DM_15 3 роки тому +3

    Mama kaua du! Mungu akikupa kakuptuu.

  • @dominickvitus4665
    @dominickvitus4665 3 роки тому +4

    Musically I feel the vibe OMG, listen to the BASE UUUUUUUUUUUUWI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @kasongokhensol2991
    @kasongokhensol2991 2 роки тому +3

    Be blessed servante of God for talking one of our language drc I mean lingala we love you🇨🇩🇨🇩

  • @pchab1966
    @pchab1966 3 роки тому +1

    Mama Rose Muhando, Yesu yupo nawe milele na milele!

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 3 роки тому +7

    Kwa kweli dada Rose wewe ni begu ya Mungu na neno linasema bengu ya mungu kwame hitapotelea chini Yesu haxindi kukumbeba.like umbalikiwe

  • @isabellahnyakundi7543
    @isabellahnyakundi7543 2 роки тому +4

    🔥🔥🔥🙏🙏🙏My favorite gospel artist#Rosemuhando

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 3 роки тому +9

    I love the Song. From Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like Sangu?

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +6

    Maneno mengi yanaleta Joto! Uuiiiiiii Yesu nibebe!!🥳🥳🔥🔥🔥🔥#TRM

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 3 роки тому +22

    Mlioukubali huu wimbo wa marikia wa gospel naitaji like 100

  • @hautzaire3854
    @hautzaire3854 3 роки тому +1

    Eh eh eh eh maman iyi Iko nguvu sana shetani ana kimbiya ndombolo ya yesu que Dieu te benisse maman rose felicitation

  • @hannahkanga5931
    @hannahkanga5931 Рік тому +6

    Ubarikiwe na timu yako rose muhando wacha mungu akuinue juu juu sana

  • @alicetheuri629
    @alicetheuri629 3 роки тому +1

    Rose sing,,sing,,sing,,imba Rose.uimbaji wako unatisha kuzima.nakupenda Rose natamani nikutane nawe siku moja.

  • @7thestate777
    @7thestate777 3 роки тому +9

    Whoever doubt that pastor nganga is a servant of God....look at the fruit of one of his beneficially of deliverance grace God has graced upon his life....without God using pastor nganga to bring the world 🌎 to the attention of what devil and witches🧙‍♀️ were doing to Rose behind the scene where will rose be now?? May be even dead....but look at her now....God bless you pastor Nganga and may God grace continue to increase the ANNOINTING of deliverance on your life🙏🏾🙏🏾🙏🙏

    • @bobbybettyofficial72
      @bobbybettyofficial72 3 роки тому

      Ati Pastor who? He's just bullshit

    • @7thestate777
      @7thestate777 3 роки тому +1

      @@bobbybettyofficial72 Bobby Betty where were you when rose hands were ravaged by wounds and pain...??? Where were you when all the hell was breaking loose all around her...?it was pastor nganga who refused her to sing and told her she needed deliverance before she minister again...any other pastor will have been scared of celebrity status of rose and just let her sing and she goes back to her usual hell...but this pastor refused to be intimidated by rose image and he went on to be used by God to set her free and open a new season and release her latter rain...now ....this is a sign of ANNOINTING...only real ANNOINTING can restore someone like this..🙏🙏

  • @jay-bshujaboyofficie3201
    @jay-bshujaboyofficie3201 3 роки тому +2

    Hmmm hongeza maman @Rose_muhando ila dance kama...🕺💃🕺💃🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👀💥

  • @helenasufii1152
    @helenasufii1152 3 роки тому +9

    More 🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Moto zaidi ya pasi. Mungu azidi kukuinua mom.
    New energy, new style, new everything.🔥🔥🔥nipewe likes hata kama ni kumi za those dancers

  • @evangelistnicolassagero8051
    @evangelistnicolassagero8051 3 роки тому +1

    Sure shetani masekete.... Aaaaaah Glory to jehova allelujah.

  • @krishnamwangi1899
    @krishnamwangi1899 3 роки тому +465

    Kenya. Let's show love to Rose as we have always done.
    Amen?

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 роки тому +1

    Bwana yesu nimekuja kwako nagonga mlango unifungulie ,daaaah,sebene languvu lzm tumuimbie Mungu kwa furaha jmn

  • @mohamedjuma6755
    @mohamedjuma6755 3 роки тому +4

    Huu 🔥🔥🔥 uliorud nao so wakawaida mwakahuu wataelewa tu nimwendo wa masekete

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 3 роки тому +1

    Kwanza nashukuru Mungu kukurejeshea afya yako,, dhidi kutubariki na nyimbo zako Malkia

  • @andititimothee3734
    @andititimothee3734 3 роки тому +3

    Mercy for singing in Lingala Fungola Matoyi oyoka

  • @lameckbinigo2897
    @lameckbinigo2897 3 роки тому +2

    Sijawai kukupinga mamayetu rose Mhando barikiwa mno

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +4

    Nguvu za Shetani aja! aja!aja! Yesu fuguzaaa!!#TRM🔥🔥💪

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 роки тому +1

    Ukimtegemea Mungu kunafaida,Mungu ameshakufungulia Rose wangu

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +7

    Naongopa Masekete Yesu nibebe !!!! Mashetani Masekete wananiletea Joto,Joto Yesu nibebe uuuuuiiii! Uiiiiii! 🔥🔥🔥🔥🔥#TRM

  • @lydiabrown2664
    @lydiabrown2664 3 роки тому +2

    I just love your energy ata magonjwa anaweza nyanyuka aka dance

  • @aissatanignan7786
    @aissatanignan7786 3 роки тому +10

    Ah ouiiii !!! Yassu nipépé ! vous avez assuré depuis le BURKINA FASO

  • @neemamassame8183
    @neemamassame8183 3 роки тому +1

    Hongera na usiogope wala usihofu momenti kwa sababu biblia haijaandika namna ya kucheza endelea madame nyimbo zako zina mafundisho

  • @anitabaker8662
    @anitabaker8662 3 роки тому +53

    IT'S TRULY BEEN A GREAT YEAR FOR YOU MAMA MALKIA

  • @kamugishalaurian8942
    @kamugishalaurian8942 2 роки тому +2

    Waooooooooo Jembe letu piga kazi ya Mungu. Nitakutafuta Rose tufanye pamoja kazi one day. Barikiwa sana. Sebene hatareee

  • @jackieleemo655
    @jackieleemo655 3 роки тому +6

    fungola matoyi oyoka liloba ya nzambe, --lingala to the world
    nzambe apambola yo ndeko rose.

  • @magdalinekaruma6482
    @magdalinekaruma6482 Рік тому +1

    Rose you are gifted Love From Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊😊

  • @janiffermueni4114
    @janiffermueni4114 3 роки тому +5

    If u want to know the real artist from GOD nikama rose every time they never disapoint..I mean begu ya MUNGU haikufi..bali ya shetani inavuma kidoho inaisha...wapi shangwe na duru kwa MUNGU kutupea shujaa wa mziki rose muhado 🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉hata maadui wakimuua kwa midomo MUNGU anamuogezea hekima ya uimbaji 🎉🎉🎉🎉🎉💃💃💃💃💃💃💯💯💯🔥🔥

  • @samsonmwanji1940
    @samsonmwanji1940 3 роки тому +2

    Wachawi wote masekete,more 🔥

  • @alistairmutisya4741
    @alistairmutisya4741 3 роки тому +239

    God bless whoever reads this. Amen. God lift me in the ministry just like this minister.

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 3 роки тому +1

    Style zako za kucheza ni za kidunia. Ujue MUNGU ni mtakatifu sana . Kucheza kidunia hakumpi MUNGU utukufu Rose.

    • @lukheleportia7387
      @lukheleportia7387 3 роки тому

      Kuna Style Za Mungu.
      They Is No Instruction On How We Should Dance For God.

  • @benrickske7926
    @benrickske7926 3 роки тому +15

    Finally, it is with us.. Gonga like hapa bila chuki
    #Masekete

  • @Gabrisluigi9
    @Gabrisluigi9 3 роки тому +2

    Kweli hii energy sio mchezo,🙏🙏

  • @mcstevosticomedian5345
    @mcstevosticomedian5345 3 роки тому +39

    Wapi likes za energy ya huyu mama 💓💓💯💯🔥🔥

    • @lioneliteriteka212
      @lioneliteriteka212 Рік тому

      Ubarikiwe sana tena sana ,dada unanipa furaha ya mno na cheko ju

  • @marynjokimacharia4005
    @marynjokimacharia4005 3 роки тому +2

    💃💃💃💃 Rose penda wewe sana,,,🇰🇪

  • @brettavilita5972
    @brettavilita5972 2 роки тому +17

    Mama Rose is alive and at higher level of glory. Glory to God

    • @Kissmy.freckles
      @Kissmy.freckles Рік тому

      ua-cam.com/video/tI67QjAN85A/v-deo.html

    • @SandersonSiska-km7kv
      @SandersonSiska-km7kv Рік тому +1

      nakupendasana mama mi stella malawi nifundishe na mimi napendasana kuimba

  • @emmanuelmauki2938
    @emmanuelmauki2938 3 роки тому +2

    Watasubiri Sana Hujawahi Kosea Queen Wa Gosple

  • @mariammwamlima6694
    @mariammwamlima6694 3 роки тому +4

    Yani huyu nadada ameshushwa kuja kumtukuza mungu ubarikiwe Sana😍😍😍😍😍😍😍

  • @reginamajesi1182
    @reginamajesi1182 2 роки тому +1

    Raha Sana Mungu akutie nguvu usijali piga kazi mama 🔥🔥🔥🔥

  • @vincem1714
    @vincem1714 3 роки тому +54

    It's been a minute,and its agreat year for you Rose muhando.
    ... Nairobi -kenya

  • @palmphilusomolo4413
    @palmphilusomolo4413 3 роки тому +2

    By tha rose anakuwaga wetu🇰🇪😘 ni vile tu amekuzwa Tz ...muhando is from luhya tribe I think mom ndio MTz ...Kenya loves you Muhando

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 роки тому +1

      You can love anyone outside tribe boundaries, tribalism is harmful

  • @michelleakinyi6098
    @michelleakinyi6098 3 роки тому +10

    Naamini kazi yako mama Rose kweli kweli, umerudi kwa mpigoooo😍TRM

    • @duncanmulu2450
      @duncanmulu2450 3 роки тому +1

      🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿😁

    • @abediemuema2843
      @abediemuema2843 3 роки тому

      Tumerundi kwenye zamu yetu; Trm oyeee

  • @jobgeorge1947
    @jobgeorge1947 3 роки тому +1

    Rose muhando acha michezo na jina Kuu ya Yesu

  • @everlyneminayo3881
    @everlyneminayo3881 3 роки тому +4

    Soon mnatowa na diamond 🤗

  • @judybarasa7386
    @judybarasa7386 3 роки тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥yesu nibebe,wachawi,waganga masekete,wafukuzwe Kwa Jina la yesu

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +5

    Rose muhando ni shujaaa wa YESU! Champion, strong machine of God💪#TRM

  • @yesayasongelaeli2240
    @yesayasongelaeli2240 3 роки тому +2

    Nakukubali San Rose masenke imefuni wacha kabisa

  • @curiosidadesefactosdeangol8060

    We need Rose Mohando sister in Angola🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴🇦🇴💥💥💥💥💥

  • @florahmwacharo7553
    @florahmwacharo7553 3 роки тому +1

    Wow!!very nice song,..Malkia wa Muziki,barikiwa sana mamaa

  • @kambuatitus896
    @kambuatitus896 3 роки тому +4

    What a lingala dance.....thumb up Rose....

  • @kennedyosiago3802
    @kennedyosiago3802 2 роки тому +1

    The songs of Rose muhando makes me to love the word of out Lord keep on Rose

  • @nancykaguiri1525
    @nancykaguiri1525 3 роки тому +3

    Mungu azidi kukubariki Mama🙏🏽 🇰🇪🔥🔥

  • @WORSHIPSINGER
    @WORSHIPSINGER 10 місяців тому +1

    Fire lafiki yangu Mungu wa mbinguni akubalike sanna ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @toyosiokechulue3664
    @toyosiokechulue3664 3 роки тому +5

    Representing Nigeria

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому

    Masekete Wana mapengo,wengine wana miiba kwenye migongo uuuuiiiii! Yesu nibebe!!🔥🔥🔥🔥!! Love u Malkia ! #TRM

  • @joshuamungai6749
    @joshuamungai6749 3 роки тому +4

    Masekete Uchawi Nice wòrķ Ròse

  • @sendwekabwe2246
    @sendwekabwe2246 2 роки тому +2

    Dada Rose WeWe ni we wetu 😀👍👍👍👍👍😀

  • @shemaiahclowers8060
    @shemaiahclowers8060 3 роки тому +5

    Kenyans we love Rose Muhando..... Wapi za Kenya 🔥🔥🔥👏🏾👏🏾👏🏾

  • @PatriciaNdana
    @PatriciaNdana 3 роки тому +1

    Kenya Rose unapepea. .live long Malkia wa Muziki

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 роки тому +4

    Mambo ni Motooo🔥🔥🔥🔥 TRM Oyeeeeee!

  • @yohanamchenya1354
    @yohanamchenya1354 3 роки тому +2

    Huna mpinzan japo wanajitahidi kukupoteza songa mbele na uzidi kubalikiwa mama yng

  • @mauricemuteti7557
    @mauricemuteti7557 3 роки тому +114

    Always waiting for new songs from rose and all are in another level. Those who love her songs, piga like hapa ukipita

  • @upendogospelreaching6380
    @upendogospelreaching6380 3 роки тому +1

    Duuuu yaani sjui huu UCHEZAJI daudi angefufuka angesemaje duu na Mungu sijui inakuajee

  • @jacklinemaro1156
    @jacklinemaro1156 3 роки тому +3

    ameeeeeeeeeeeen🦁🦁🦁🦁 kwa jina la yesu

  • @sherleyusha6732
    @sherleyusha6732 3 роки тому +2

    Christians we should praise God in truth and holiness and entertainments and performances belongs to earthly people na ni machukizo machoni pa Mungu vikifanywa kwa Jina lake

    • @lukheleportia7387
      @lukheleportia7387 3 роки тому +2

      Who Told You That Entertainment And Performance Belongs To The World?
      Why are people so judgemental Over Nothing, So That's We Can Not Dance For God Anymore Or Is They A Scripture In The Bible That Gives Instructions On How We Should Dance.

    • @phellowmmbunitv6077
      @phellowmmbunitv6077 3 роки тому +1

      @@lukheleportia7387 muulize ata namshangaa anatakaje

  • @calistusmurunga5003
    @calistusmurunga5003 3 роки тому +60

    Am happy to see her back on her feet again. Our God is om e of restoration. Nampemda sana huyu mama. Been listening to her music since class 4

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому

    Kwenye kucheza umetoka kwenye ramani ya utukufu wa Mwenyezi Mungu.... Tafadhali Rudi Kabla hujaenda mbali na kupotea kabisa... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @otienoidaphrose
    @otienoidaphrose 3 роки тому +3

    Now this is worth 50k...leta till Number 🤜♥️🤛

  • @martinsalumubinmuzizi148
    @martinsalumubinmuzizi148 2 роки тому +1

    De retour sur la Scène musicale la star gospel préféré de l'Afrique centrale

  • @mangaletarcisius1562
    @mangaletarcisius1562 Рік тому +5

    Iyo dance nimeipenda sana, Mungu akutie nguvu my role model

  • @aureliebiayipmofficial8239
    @aureliebiayipmofficial8239 2 роки тому +2

    Love You rose from DRC,
    YOU ARE THE ONE WHO INSPIRED ME TO BE A STRONG SINGER BY YOUR STYL

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 3 роки тому +7

    Mungu naitaji nguvu nyingi kama izi za Malkia Rose Muhando!!🥳🥳🥳🔥🔥🔥Forojo ya nini?#TRM💪

  • @alisamangapi1688
    @alisamangapi1688 3 роки тому +1

    Mungu aendelee kuwa nawe Mama yetu mtumishi wa Mungu

  • @lizershegz3102
    @lizershegz3102 3 роки тому +6

    Lingala gospel to the world🥰🥰🥰🥰

  • @Werema3760
    @Werema3760 3 роки тому +2

    Nakuona mbali tena baadae! Keep it

  • @uniktrust5984
    @uniktrust5984 3 роки тому +3

    Sinashakaaa nakazi za nguli rose muhandoo watasubili..sanaaaaaaa...
    I am dancer ... Kwahinyimboo simchezoooo...
    Love good music

  • @benmichaels3175
    @benmichaels3175 8 місяців тому +1

    One of my favorite songs among this great team,every time I sing Msanii songs I get blessed 🎉❤

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 роки тому +3

    Masekete mashetani nimependa stail ikopowa sana

  • @wilfridashilwatso8870
    @wilfridashilwatso8870 3 роки тому +1

    Mungu akubariki Rose Muhando. Wimbo mzuri kweli

  • @deffencemtagwa9795
    @deffencemtagwa9795 3 роки тому +4

    Gwiji wa gospel mpakwa mafuta wa yesu mama rose muhando love from Kenya 😘😘😘😍😍😍😍

  • @moraakelly1191
    @moraakelly1191 3 роки тому +1

    WEEEEEEEEEEEE ONCE A WINNER ALWAYS A WINNER KWA YESU KUNA RAHA JAMANI, MAKOFI KWA SIMBA WA JUDAH JAMANI

  • @phellowmmbunitv6077
    @phellowmmbunitv6077 3 роки тому +6

    Hiyo dance ya Muhando ni ile ya kutulia tu no stress ,no forcing

  • @janetmumo4783
    @janetmumo4783 3 роки тому +2

    Wooooooooooow keep up my Mentor ever

  • @mwalimu960
    @mwalimu960 3 роки тому +9

    Nyimbo tamu Sana mama ubarkiwe Sana...You are a golden star that shine from the West 🙏🙏

  • @ianbruno6926
    @ianbruno6926 3 роки тому +2

    Waaaaaawoooooo that's wonderful songs wapi likes za rose mohando

  • @inessilunga1224
    @inessilunga1224 3 роки тому +5

    Now Trending Number 30 in kenya

  • @evelinasamweli5024
    @evelinasamweli5024 3 роки тому +1

    hongera askari wa Yesu Mungu azidi kakutumia zaid