MACHOZI YA MIAKA 27 SASA BASI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Ametafuta mtoto kwa muda wa miaka 27 kwenye ndoa baada ya upako Mungu amemfungua amepata mtoto.
    #arisendshinetanzania #2021mwakawaimani #mwamposalive

КОМЕНТАРІ • 216

  • @shakirajuma9553
    @shakirajuma9553 3 роки тому +8

    Na mimi napokea watoto mapacha wakike na wakiume katka jina la yesu Ameeen

    • @CatherineMhando-t8t
      @CatherineMhando-t8t 7 місяців тому

      Baba mimi nimjamzito lakini nikikalibiya kujifuwa naotandoto mbaya nanikijifunguwa watoto wanakufa baba naomba msaadawako wakimaombi mimi naitwa kasekina muhando

  • @kkjustn8385
    @kkjustn8385 3 роки тому +5

    Napokea double mapacha watano kwajina layesu amen

  • @tumainikaluwa8133
    @tumainikaluwa8133 Рік тому +2

    Nami najiungamanisha na madhabahu ya inuka uangaze, napokea watoto wangu mapacha katika jina Yesu

  • @angelshio2617
    @angelshio2617 3 роки тому +8

    Wasio amini wasiamini 2 lakini Mungu yupo Yesu anayenda kupitia watumishi wake Hongera sana dada yangu furaha yako izidi mara 💯

  • @nahimanabella2478
    @nahimanabella2478 6 місяців тому +2

    Uyu Mwana Mume Mungu alie muvumuliya mkewe Mungu akubariki sana

  • @roseswai5961
    @roseswai5961 3 роки тому +6

    Ushuhuda mkuu..Mungu wakumbuke wanawake wanaotafuta watoto.

    • @magrethmarco89
      @magrethmarco89 3 роки тому +1

      Amen...napokea na mimi watoto kupitia ushuhuda huu kwa iman

  • @BarakaWilson-ni7qu
    @BarakaWilson-ni7qu Рік тому +1

    Mungu akuongeze upako, mtumishi, God bless you,

  • @mariammasamba8104
    @mariammasamba8104 Рік тому +1

    Ameen namimi napokea mtoto kwa jina la Yesu

  • @annangeranko309
    @annangeranko309 3 роки тому +4

    Ameni napokea kwa jina la yesu nipate amani Katika mtaa wangu

  • @salmaathumany
    @salmaathumany 3 місяці тому +1

    Kupitia shuhuda hii na me napokea mapacha wa3 mwezi huu ameeen

  • @Akilunah
    @Akilunah Рік тому +1

    Nampokea mtoto samweli katika jina la Yesu Kristo mungu Kwa haki yako ufanye hima unifungue tumbo langu

  • @elizabethlulandala5149
    @elizabethlulandala5149 3 роки тому +8

    Napokea double miracle kwa jina la Yesu

  • @rahimbhukombe3646
    @rahimbhukombe3646 10 місяців тому +1

    Madhabahu ya inuka uangaze maisha yangu yabadilike kwajina la yesu

  • @glorytem135
    @glorytem135 3 роки тому +6

    Na mim napokea kwa jina la yesu🙏🙏🙏Na naaminiii one dey yessssss

  • @HappensMussa
    @HappensMussa 4 місяці тому +1

    Na Mimi naomba mungu nipokee watoto mapacha wakiki na wakiume kwajina la yesu🙏🙏

  • @IMAKULATAMWENGWA
    @IMAKULATAMWENGWA 11 місяців тому +1

    Amen jina la bwana lihimidiwe mungu amekutendea

  • @dativadaud4300
    @dativadaud4300 3 роки тому +5

    Napokea mapacha ktk jina la Yesu

  • @gloryminja6891
    @gloryminja6891 3 роки тому +6

    Mungu mteendee na Joyce kupitia hushuuda huu watoto mapacha wakike na wakiume kupitia hushuuda huu

  • @lizmbalo6333
    @lizmbalo6333 2 роки тому +2

    in Jesus name napoke mtoto wakike na kiume amen

  • @eligiusmganyizi8412
    @eligiusmganyizi8412 2 роки тому +2

    Napokea kwa imani

  • @merinajuma6948
    @merinajuma6948 3 роки тому +7

    Kiukwl Mimi nampnda sna hyu mtumishi anajli sio Kama watumishi wengne wanaongea vitu mpka mtu unajiskia vbya Kama anakuaibisha mbele zawatu. ublikiwe baba🙏🙏🙏

  • @SamsonyusuphKalikali
    @SamsonyusuphKalikali 8 місяців тому +1

    Na mimi napokea watoto mapacha wakike na kiume katika jina la yesu Mungu atanifungua usikuwa Leo nashika mimba kwa uwezo wamungu naamin Mungu ananifungua

  • @helenahelena5676
    @helenahelena5676 3 роки тому +2

    Amina mtumishi nami Napikea mtoto wa kike kwa jina la yesu

  • @mghanajohn375
    @mghanajohn375 3 роки тому +2

    Amina Mungu wetu ni mkuu sana kwa imani yako atakutendea! Nami naamini kuwa atafanya na kufuta kila chozi

  • @MarthaMlalila
    @MarthaMlalila Рік тому +1

    Nibarik na mm bwana

  • @dianadavid5153
    @dianadavid5153 3 роки тому +2

    Mungu naomba unisaidie namm nipakate

  • @rahmamelvinrechoignatus26
    @rahmamelvinrechoignatus26 3 роки тому +5

    Amen nami napokea MTT wakiume

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 3 роки тому +1

    Wow naamini kupitia ushuuda huu kazi ya mikono yangu itakua safi amen

  • @doricajohn4040
    @doricajohn4040 3 роки тому +6

    Napokea na mm kwa jina la Yesu.💪💪

  • @veronikakibika
    @veronikakibika Рік тому +1

    Nami napokea ktk jina la yesu

  • @shanawilliam1050
    @shanawilliam1050 3 роки тому +3

    Sijui kwann watoto wa madhabahuni wengi wanakuwa wa kiume, GOD IS amazing

  • @ellyamshana1854
    @ellyamshana1854 3 роки тому +2

    Namimi napokea kwa jinala yesuu

  • @ellyamshana1854
    @ellyamshana1854 3 роки тому +2

    Namimi napokea kwa jinala yesu

  • @mapoluchalya280
    @mapoluchalya280 Рік тому +1

    Ameen Ameen nataman kipnz chang nae apate mtoto,,,

  • @janekikoti2179
    @janekikoti2179 3 роки тому +2

    Amen napokea miujiza wangu

  • @kizachristine
    @kizachristine 5 місяців тому +1

    Nami napokea masha kwa jina la yesu kristo,kupitia mazabau iii

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 роки тому +3

    Kilaaa sikuu nawaambia mungu Alie ziumba mbingu na ardhii anaishii hapa amuaminii embuu onenii mama alivyoo furahii huyuu jamanii atowahii kusahau hii mazabauu

  • @deodatadeogratias186
    @deodatadeogratias186 3 роки тому +3

    Napokea kwa jinala yesu

  • @janetnaliakapatrick1676
    @janetnaliakapatrick1676 2 роки тому +2

    I receive my twins in Jesus Mighty Name 🙏

  • @mariammakuka133
    @mariammakuka133 3 роки тому +3

    Napokea na mm kwa imani kwa jina la yesu

  • @miak6085
    @miak6085 3 роки тому +3

    Amen.NIMEPOKEA NA MIMI WATOTO IJN

  • @sikujuahemba983
    @sikujuahemba983 3 роки тому +5

    Napokea mtoto kwa imani

  • @mariammasamba8104
    @mariammasamba8104 Рік тому

    Ameen namimi nitampokea samweli wangu kwa jina la Yesu

    • @DeboraPeter-c4m
      @DeboraPeter-c4m Рік тому

      Naitwa Deborah Petro naitaji wajukuu naomba mungu anipe wajukuuu

  • @happinesstesha4745
    @happinesstesha4745 3 роки тому +5

    Amen pendo amepokea mwakan atajifungua mtoto kama huyo mama na atamshukuru mungu kwa hilo

  • @tunakisiwekamnyoge8061
    @tunakisiwekamnyoge8061 2 роки тому +2

    AMEEEEEEEEEEEEEEEEE🤲🤲🤲🤲

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Рік тому +1

    Alafu watu wanampiga vita huyu mtumishi. Tena wanaompiga vita wakristu tena makuhani.
    Sasa tunawaomba makuhani mnayempiga vita nyie si mna Mungu wa kweli
    Wapeni watu watoto. Wafungulieni watu biashara zao zilizokufa kwa giza.
    Jamani mwacheni mwamposa mungu anamtumia na yuko level ya juu sana kwenye issue ya kiroho

  • @evarinepaulo9667
    @evarinepaulo9667 2 роки тому

    Mungu ni mwema

  • @rehemadiye6026
    @rehemadiye6026 3 роки тому +1

    Amen napokea kwajina la yesu

  • @madamfey9476
    @madamfey9476 2 роки тому

    Nampokea mtoto wa kiume kwa imani ni katika jina la yesu Amina!!!

  • @clarasima5447
    @clarasima5447 3 роки тому +1

    Napokea katika jina la YESU

  • @fadhilasalim9239
    @fadhilasalim9239 2 роки тому +1

    Amen

  • @richardsaimon6325
    @richardsaimon6325 3 роки тому +2

    Glory to God glory to God

  • @emmanuelassey6499
    @emmanuelassey6499 3 роки тому

    Ameni namshukuruu munguu dakika tano zilizo pita ali yangu ilikua sonzury ila sahivi najiskia uleuzito umeishaa ila nimebakiwa na jipuutuu kikwapan ila naamini nitapona kwajina la yes amen

  • @irenebanga7261
    @irenebanga7261 3 роки тому +5

    Haleluyaaaaa 👏👏🙌 God is good all the time 🙏🙏

  • @neemajoseph9109
    @neemajoseph9109 2 роки тому +1

    Ahsante yesu kwakumpa mtoto mwanamke huyu ameni

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 3 роки тому +1

    Had nmelia!

  • @heriethkokobelwa3731
    @heriethkokobelwa3731 3 роки тому +1

    Namuomba mungu nifaulu mtihani wadarasa lasaba amen

  • @frolamkolwi2337
    @frolamkolwi2337 2 роки тому +1

    mungu nitendee nipate mume na mtoto

  • @JemimaDeborah
    @JemimaDeborah 4 місяці тому

    Mi gemima 🙏🙏🖐️🖐️🖐️🇨🇩🇨🇩

  • @dorahtmsuya7884
    @dorahtmsuya7884 2 роки тому

    Namm naomba mungu aniponye kwa jina la yesu amen.

  • @EsterNambeye
    @EsterNambeye 10 місяців тому

    Ameeeeen 🙏🙏

  • @nicholasnicholas2662
    @nicholasnicholas2662 6 місяців тому

    Pia nataka watoto baba am Annrita kirimi and Nicholas mwika

  • @emmykombe6036
    @emmykombe6036 2 роки тому

    Mungu ni mwaminifu napokea kwa jina la yesu

  • @allyhamis429
    @allyhamis429 3 роки тому +2

    Mtume mwamposa sasa ivi nimetoka kutukanwa na mwanamke anae nichukulia mpenzi wangu nataka amuache Tena mchana kweupe pia nataka mwanaume Aldi kwngu Tena aniowe mtume

  • @yustinadastan9229
    @yustinadastan9229 3 роки тому +1

    Amina nami nitapokea linawezekana

  • @vanessanuru9916
    @vanessanuru9916 3 роки тому +1

    Napokea Kwa jina LA yesu

  • @leahmzirays969
    @leahmzirays969 3 роки тому +1

    Amina namimi Leah nitapokea kwaimani

  • @lazarokajole5454
    @lazarokajole5454 2 роки тому

    Amina napokea kwa jina la yesu watoto mapacha

  • @gracebildad8357
    @gracebildad8357 2 роки тому

    Namshukuru mwamposa kwa baraka zake

  • @mwasitivano
    @mwasitivano Рік тому

    Mwasiti

  • @reginacharles1913
    @reginacharles1913 3 роки тому +3

    Kwa YESU yote yanawezekana

  • @marthadeogratius8073
    @marthadeogratius8073 Рік тому

    Napokea mapacha wakike na wakiume kwa jina la yesu

  • @rehemamtemi3590
    @rehemamtemi3590 2 роки тому

    Mungu yu mwemaa

  • @GiftMwashitete
    @GiftMwashitete 8 місяців тому

    Napokeaa mtot wa kiumee kwajina la yesu

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 2 роки тому

    Nimelia kwa. Furaha nami Mungu attafannya

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому +2

    Wow, mungu ni mwema sana 👏👏🙏🙏

  • @sarahnuhu9224
    @sarahnuhu9224 Рік тому

    Naomba maomba na mim tufunguliwe familia yetu mimi sarafina mwinuka

  • @gloryminja6891
    @gloryminja6891 3 роки тому +2

    Napokea na mimi watoto mapacha wakike na wakiume kupitia hushuuda huu

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 2 місяці тому

    Mungu yupo na wanaume wema wapo

  • @nasrapeter4681
    @nasrapeter4681 3 роки тому +2

    Naombea ndoa yang nanitaka nizae watoto mapacha wakike

  • @AmericoMassingue
    @AmericoMassingue 6 місяців тому

    Oky obrigado ❤asante

  • @rosefrancis3200
    @rosefrancis3200 2 роки тому

    nami naamini mwenyezi mungu atanisaidia naamin nitabarikiwa mara mbili

  • @reginakimario4568
    @reginakimario4568 2 роки тому

    Asilimia mungu wakweli yuko arise any shine

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 2 місяці тому

    Mungu kupitia madhabahu hii ya inuka uangaze NAMI nishuhudie kitu leo

  • @amanimatata7891
    @amanimatata7891 Рік тому +1

    Mungu nikumbuke na mimi fungua tumbo langu naitaji mtoto🙏🏼 😭😭

  • @ayoubmakori8680
    @ayoubmakori8680 3 роки тому

    Napokea baraka za watoto katika jina la yesu

  • @user-bd1jv7oi3j
    @user-bd1jv7oi3j 7 місяців тому

    Madhabau ya inuka na uangaze nisaidie ugonjwa wangu unaonitesa upone na utoke ndoa yangu iwe ya upendo na mme wangu anipende aachane nawanawake wa nje

  • @neemakaluwa2146
    @neemakaluwa2146 2 роки тому

    Nami napokea kwa imani🙏

  • @BarakaTutito
    @BarakaTutito Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @immankyami3318
    @immankyami3318 2 роки тому

    Mungu akubaliki baba

  • @janetnaliakapatrick1676
    @janetnaliakapatrick1676 2 роки тому

    Samuel mtoto wa baraka nakuhitaji kwa maisha yangu.

  • @allyhamis429
    @allyhamis429 3 роки тому +1

    Nataka mwanaume amuache yule Alie nitukana leo yesu anitendee miujiza nimepokea

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 Рік тому

    Ameni.

  • @gracelyimo6800
    @gracelyimo6800 3 роки тому +1

    Napokea Muujiza wangu na mimi

  • @SmilingBoat-zl3ts
    @SmilingBoat-zl3ts 8 місяців тому

    Napokea uja uzito kwanzia sasa 2024 kwanzia mwenzi wa pili nitakua mja mzito napokea

  • @theresiamkwai8413
    @theresiamkwai8413 2 роки тому

    Amina mtumishi wa mungu

  • @EsterNambeye
    @EsterNambeye 10 місяців тому

    Na mimi nipokee mimba ya watoto mapacha wa kiume na wa kike kwa imani 🤰🤰

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Waongo

  • @rehema6660
    @rehema6660 2 роки тому

    Nataka nipate mtoto wakike na niweze kubaliki ndoa napokea kwa damu ya yesu

  • @FezaWalumona
    @FezaWalumona 5 місяців тому

    Na Mimi pia nime pokea mapacha wangu wa kiume kwa mwezi huu naishi Mozambique